Тёмный

MKASA WA MCHEKESHAJI MKONGWE ,MTANGA KUFULIA MPAKA KUISHI KWENYE CHUMBA KIMOJA NA WATOTO 16 

HABARI JAMII DIGITAL
Подписаться 72 тыс.
Просмотров 36 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@ALESIACHIJOKA
Nampendaga sana huyo.kaka ni mtu mwenye heshima.zake mungu ambariki sana yeye na familia yake. Hongera sana
@ukhutfatumah1154
Sheikh mtanga mashallah wallah toka nipo chekechekea mbaka sasa nipo namiliki smartphone nakufatilia sana baba yangu m/mungu azid kukuweka
@user-tk2cb4de6t
Hongera sana mtanga nakukubali sana mungu azidi kukupa maisha marefu na afya njema
@jacknavigator204
My favorite Tanzanian actor.......lots of love from kenya
@Carolina-sm5zt
Nakukubali sana Mzee wa Kabosi Mungu abariki kipaji chako na akutimizie malengo yako uliyo panga kufanya
@mohamedhadad6008
Kwa kweli Mtanga ana kipaji, hapa anavyoongea kawaida katafautisha na anavyoigiza. Hongera sana.
@MussaSalimu-kf4dj
Safi sana mtanga unahojiwa kweli comedy show
@user-uw5oh5yy5m
Mtanga mkongwe kazini🎉
@owdenally3660
Sawa mate,mimi nimepita azania na mchwampka amenifundisha Geography na alikua machachari sanaa
@isayajoseph14
Nakukubali sana mtanga
@ambrosekiage7985
Shabiki wako kutoka Kenya nakukubali Sana kaka
@abdultandala6576
Namkubali sana mtanga 😀😀😀
@user-st8lo8vo3l
Ndugu yangu wa Sakura pangani upo vizuri
@daraeiali9449
Nakukubali mtango 😅
@user-xs5hi9oi3b
Sheikh mtanga nakukubali from USA funny guy
@DelightfulMacawBird-tl5hf
Mtanga nakukbl sana Ila Jina lake jamii nani
@NASMEDIATV
😂😅😂🎉 Mtanga anachekesha kinoma yaan
@DonMooSTUDIO_Express
Kuna wachekeshaji waliendana sana Max na Zembwela, Mtanga na Bambo, Chili na Ringo n.k 😂 Bambo utamsikia MTANGO UNANIMALIZO MTANGO 😂😂
@clovicemusobozi3891
Mtanga ❤️❤️❤️
@mustaphamatelefone-lc9pr
From Mozambique 🇲🇿 tuko sambamba
Далее
The lightweights ended Round One with a BANG 💪
00:10
UKIOLEWA NA MUHINDI ALIYEFILISIKA
8:05
Просмотров 10 тыс.
DEREVA MKONGWE NA TAHMEED POLO G2
1:09
Просмотров 16 тыс.
MTANGA NA BAMBO,WAZEE WA MIPANGO,HII KIBOKO
10:44
Просмотров 59 тыс.
Mpoki, Mtanga, Eliudi | Mkutano wa wanakijiji
9:22
Просмотров 419 тыс.