Тёмный

Mkasi - SO6E04 With Khadija Kopa 

MkasiTV
Подписаться 174 тыс.
Просмотров 200 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@senoritadida7415
@senoritadida7415 10 лет назад
nampenda sana khadija kopa kwanza wajina wangu halaf hana maringo then hana mpinzani kwenye fani yake.pole kwakuondokewa mama ni kazi ya mungu
@emmaculategregory8229
@emmaculategregory8229 9 лет назад
She is legendary in taarab music
@asimaismail5559
@asimaismail5559 8 лет назад
masha Allah khadija jaman mwaaah
@celinemak4486
@celinemak4486 9 лет назад
nakupenda sana khadija kwanza ule wimbo unaringa umepima wewe,allah,kipawa unacho kabisa mungu akuzidishie mengi sana
@ramoussudi2318
@ramoussudi2318 11 лет назад
ama kweli uko juu sana bi khadija kopa,big up sanaa
@Kanzu_Tz
@Kanzu_Tz 11 лет назад
safi kopa i liked that alaf umependeza weacha2 by ruky kopa
@eunicejoseph6272
@eunicejoseph6272 10 лет назад
love Khadijaa kopaaa
@salomekisanga7095
@salomekisanga7095 9 лет назад
Dah uko vizul
@sundaymwakibuja3901
@sundaymwakibuja3901 11 лет назад
mama katishaaaaaaaaa
@rehemachedi5367
@rehemachedi5367 6 лет назад
masha Allah ILove you so much
@celinemak4486
@celinemak4486 9 лет назад
watoto wakiwa na uwezo wa elimu ya private wape,jambo muhimu sana,kwanza mtoto binti nakubaliana nawe khadijaaaa kopaaaaaa,barikiwa sana
@NickMasao
@NickMasao 11 лет назад
She's a legend. Anastahili pongezi.
@fryingguy2168
@fryingguy2168 6 лет назад
napenda nyimbo ya kinyag'unya na gendaheka uziweke nakupenda sana
@rehemachuma7747
@rehemachuma7747 10 лет назад
MALKIA KHADIJA KOPA!!!
@KaningoGoldian
@KaningoGoldian 11 лет назад
Pamoja sana mamaa Hadija Kopa kazi njema endelea kuwapasha wanaostaili kupashwa
@fredlibaba6264
@fredlibaba6264 11 лет назад
Big up Khadija kopa uko juu endelea mama hujazeeka bado wacha waseme
@yasminkituku3875
@yasminkituku3875 7 лет назад
nzuri sana
@matildaalphonce8403
@matildaalphonce8403 10 лет назад
nampenda sana huyu mama
@tatumnaly8336
@tatumnaly8336 7 лет назад
penda sana wew Khadija kopa
@fredlibaba6264
@fredlibaba6264 11 лет назад
Mi kiukweli Nampenda Khadija Kopa for the way she is toka tulivyoanza kumsikia mpaka leo hii yaani hata ukimuweka na Mashauzi bado yupo juu kwa kila kitu kuanzia kazi kutamba jukwaani muonekano hata wanavyosema kaolewa na kijana mdogo mbali na kutofautiana miaka 3 anayosema mwenyewe hata kijana wa miaka 30 angeweza kumuoa bado Unadai mama endelea kujitunza
@jayblackxxx
@jayblackxxx 11 лет назад
ISHAA RAMADHANI bado sana kukupata hata kidole chako cha mguu..... BI KOPA atakae kukushinda bado hajazaliwa
@fradenfrank8508
@fradenfrank8508 10 лет назад
mile napenda pozi zako tuu balaa kama binti wamiaka 22 yani u have a confidence unapokuwa on stage UK juuuuuuumama
@famenaluck567
@famenaluck567 8 лет назад
Muba umepindaaaaaaaa!
@geoffreyengatkinson
@geoffreyengatkinson 8 лет назад
Duuu!
@josephshirima6985
@josephshirima6985 11 лет назад
duh huyu mama hazeeki jamani anakula nini? ngozi kama ya mtoto lainiiiiii duh i wish
@kichwabunga4771
@kichwabunga4771 9 лет назад
Kipidi kizur sana
@nitafutehapa9447
@nitafutehapa9447 8 лет назад
Kudadeki Khadija Kopa! "mtoto yule?" hata kadi yake ya clinic siijui...iko kwa mamaake! hahaha!
@fahadfahmy
@fahadfahmy 11 лет назад
Atlast Zanzibari.
@mauwachale
@mauwachale 10 лет назад
Mama umefunika
@sophiamdee139
@sophiamdee139 10 лет назад
nko
@lalasalama9092
@lalasalama9092 11 лет назад
nice
@robertohtesh3193
@robertohtesh3193 9 лет назад
Kopa MOtooo
@hamzababa2132
@hamzababa2132 11 лет назад
kubali matokeo
@thedonkemo
@thedonkemo 11 лет назад
hasnuu...mafanikio ni aspect of perception..huyu bubie yuko honest..anajibu yeye..sio wewe.mafanikio yake yako anayona kadiri ya upeo wake....anavoamini yeye..enheeeeeeeeee!!!mmuache apumue...
@feiz3180
@feiz3180 11 лет назад
@12.18 Kahadija nakupenda sana lakini kwa hili la uzanzibari naona umekosea. wazanzibari wanataka uhuru wao. Hilo ni maamuzi yetu kupitia kura ya maoni. Muungano huu wanaofaidika ni wao watu wa CCM.
@simple82best
@simple82best 11 лет назад
Eti Wazanzibari walioko Ulaya ndo hawataki Muungano.Muuliza swali umetoa wapi suali ushuzi@ Hakusikiliza maoni ya Katiba Jee wapo Wazanzibari walioko ulaya walio toa maoni kuhusu Muungano? na wengie wamesema wanataka Muungano wa Mkataba. Blood Biscus.. Suali Pumba
@khalfan2706
@khalfan2706 11 лет назад
mbona kazi ipo??????????????
@kishacleo5811
@kishacleo5811 11 лет назад
show yako nzuri salama...Bi Khadija u look sexy mamy
@simple82best
@simple82best 11 лет назад
@Bi Kopa.. Makochi mazuri eti hawana njoo kwangu uone kama yako mazuri..shwein! Kujisifu tu! uliwatembelea jamaa zako nini Ulaya Kopa ndo hawana makochi mazuri.Shauri yako! Wazanzibari waliopo Ulaya mengi mazuri wanayoyafanya kusaidia nchi yeye hayajui wala hayafikii hata robo yake. Makochi sio kipimo cha Maendeleo
@omaniom6030
@omaniom6030 5 лет назад
Ndio qweli😂😂😂😂
@babyskk421
@babyskk421 11 лет назад
halaf nyie mkasi mkoje?eti wiki ijayo kwenye mkasi ... then hamuonyeshi kitu why?????ujanga mtupu tsaili yenu hiyo ni mbovu hatuipendi
@roselema2928
@roselema2928 7 лет назад
nakukubali bibie kopa uko vizuri
@simple82best
@simple82best 11 лет назад
Anayetaka Muungano asotaka ndio democracy wengine wakiristo wengine waislamu wengine wanapenda kuolewa wengine hawapendi. Uzalendo wa nchi yako ni popote utapo kuwa duniani. Kujichubua na nywele feki pia sio kipimo cha Maendeleo. Tembea uko na nywele zako za Bandia utadhani sanamu.. Ndo yake alosema Bi Kidude.. Mama, Baba, Babu wala Bibi hawana nywele za singa wewe umepata wapi?
@senoritadida7415
@senoritadida7415 10 лет назад
nampenda sana khadija kopa kwanza wajina wangu halaf hana maringo then hana mpinzani kwenye fani yake.pole kwakuondokewa mama ni kazi ya mungu
@ogetoj6245
@ogetoj6245 Год назад
Shukrani kwa kazi Yako kwa juhudi ya kufurahisha mioyo ya binadamu kwa njia ya muziki. Nani kama wewe, Maaadam. Dr. Ogeto International
Далее
Mkasi - SO6E01 With Bi Chau
27:57
Просмотров 83 тыс.
Самый БОЛЬШОЙ iPhone в МИРЕ!
00:52
Просмотров 905 тыс.
гендер пати🩷🩵
00:21
Просмотров 113 тыс.
Apple Event - September 9
1:38:50
Просмотров 25 млн
Tunaweza Badilika - Mzee Yusuf & Khadija Kopa
8:07
Просмотров 648 тыс.
Mkasi - SO3E13 with Zembwela
28:10
Просмотров 274 тыс.
Khadija Kopa Top In Town Official Video
20:39
Просмотров 2,5 млн
Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel
27:02
Просмотров 270 тыс.
Mkasi - SO6E13 With AT
27:24
Просмотров 68 тыс.
Самый БОЛЬШОЙ iPhone в МИРЕ!
00:52
Просмотров 905 тыс.