Nimerudia baadhi za interview za mkasi show yaani hii ya bwana Zembwela Beberu mzee wa super mix na sahani yake ya jamaa ni Kali kuliko show za mastaa wote waliowahi kupita ktk kipindi cha Mkasi,,,,Hongera sana Zembwela.
This is the best I have ever watched at Mkasi,this man is the first star seconded by Hashim Thabit,he has all the qualities of stardom,inteligent and all that.
Watu kama Zebwela wamejitolea kusema ukweli . Wanatupa moyo mkubwa kuona kuna wanaweza kusimama jukwaa la mkasi na kuongea ukweli wa maisha TZ bila woga. Na nafikiri Serikali itawasikiliza na kuchukua hatua zifaazo. Nimefurahi daldala kampeleka safari yake ningefanya hivo hivo. Salama na co. Nawaommea mafanikio zaid na zaid. Bravo!!! Kwa kazi nzuri. nOfly
kama kuna mambo ambayo Zembwela umenigusa ni swala zimna la watanzania kutokujitambua tuna taka nini...kwnai ktk hali halisi kabisa na ukweli mtupu...huu mkasi ever...hakuna kama huyu jamaa..big up sana,na mungu akuzidishie..leo nimekufahamu vyema na kupenda yale uliyosema kwa kifupi na kueleweka sana!
uwiiii zembwela...yani too informative! i wonder kama anatoa rushwa au kupokea. Second, i cant picture him being romantic....eh! ujunzi mwingi and soo realistic! BEST MKASI SHOW FOR ME
zembwela is just a bomb!! hongera sana salama kwa kumlete huyu jamaa kweli huyu ni mtu wa kipekee.ila mimi nawashangaa sana mbona asiojiwe mtu wa kawaida tu lazima awe star
Big up Zembwela. We andika tu script na kuhifadhi .mabadiliko ya sanaa ya Tanzania yamewadia.Sanaa ya Tanznaia haipo kwenye ukweli ila mabadiliko ya kisayansi yatawajibisha wote wanaokiuka.
fantastic hta hadzabe kakubali.kwa sasa watu watafuta warembo ndo filamu ziuze-cheki nigeria and ghana waigizaji walewale-je wataka kuniambia warembo huko hakuna? kwenye mataifa wanofanya filam acha wahindi,je wanawachukua wa warembo? nakukubali sana zimbwela na namkumbuka sana max
Kwanza kabisa Zembwela nakupa big up. Wengi wamekuja kufanya show hapo mkasi na maongezi yao haya make any sense lakini you made you point and lots of sense as well. Ningekusihi ufuate ngazi za uongozi zaidi -kama member of parliament hivi, you can make a big difference for a better Tanzania and East Africa kwa Jumla. Thanks Daudi Mtuta.
Aaahh this show is amazing weee .congrates kwenu especially kwa Zembwela mwenyewe..He talk wat he feels like Truth is in this show..Wabongo 2naenda na wakati yet hawajui wakati ni nn...Its not all about Mavazi,starehe,changing lovers..Wakati its all about Wat u have n how 2 use it...Knowledge is everything....
Bro...ur wisdom n understanding of things n situations is what we need the most in video n radio presenters to bring awareness to the society n development in general. U r doing great, we appreciate ur work n support u. Keep it up.
Nimeiangalia na kusikiliza hii show! Dah ebwana Salama big kwa kumleta Zimbwela! Zembwela nakupongeza maana huna mawazo mgando! Salama lete watu wenye mawazo endelevu sio watu wanakuja humo wanajisifu sifu kama majuha!
Ukiwa na uwezo wa kuelewa mambo na kutokua na uwoga ktk kufanya mambo kunakufikisha mbali sana,Zembwela uko poa sana!unauwezo mkubwa sana wa kiakili ktk kuelewa mambo!Keep it up
Judging from the show, Zembwela is one conscious Tanzanian. He knows to dominate the stage, but not in a boring way like T.I.D's. Alichoongea ni ukweli mtupu
Tungekua Na Watu LAKI MOJA Kama Zembwela Dunia Ingekua Poa, SALAMA Mlete Tena Huyu Jamaa....Mimi Mkenya Na Huyu Nimepa Pointi Zote. He's A Realist..Watu Hawaelewi Wanachotaka Siku Hizi...Hakuna Cha "Deal" Maishani.
KWA HAKIKA SALAMA TOKA UANZE KUHOJI KTK KIPINDI HICHI BASI ZEMBWELE ALOZUNGUMZA NI MAMBO YENYE AKILI NA YAMEENDA SHULE YAANI KIUFUPI KAKUFUNIKENI NYOTE HUMO NDANI LOL
naamini watu wanapenda hiki kipindi. Nadhani wengi wamependa show ya Zembwela. natamani akapewa nafasi tena, maana yako yaliyobaki kwake mengi ya kutueleza. Katika umaskini huu tuliozama hatuhitaji umaarufu wa 'uzuri fake'. Tunahitaji mawazo yanayojenga jamii ya Ki tanzania, yenye heshima. Kwako Salama, HONGERA.
Kila kitu kina utaratibu wake kisheria kwa nini zembwela unaongea ukweli eh,ebu chukua halafu tatu...the world is a cycle! Kwa nini mtu mmoja ajisikie yeye ni bora kuliko mwenzie...!