Hahaha I have never been in love with mkasi,but hii nimeipenda,full maswali ya kidesign,vicheko,na vichekesho ilinibidi nicheke tu ingawaje sikuwa na hiyo ratiba(ya kucheka).
kweli Lulu itakuwa vigumu kumuamini tena.kila anarosema Mungu humuanika hadharani mwanzo arijishauwa kuwa Kanumba anamheshimu sana kumbe huku aritkuwa akitwobwa nae bure kifo kimetowa siri tukuaminije wewe mtoto unaraana sibure. nabado usipo mungeukia Mungu wako ww utapata mengine makubwa zaidi yahao usijifariji.
Salama is a TV presenter there fore its her role to ask those question on behalf of the viewer(i being one of them)and she did just that. As a celebrity Lulu is obliged to answer to the society that she represent.
people should just buy the fact that this is an interview,its like a showbiz...people should watch hollywood interviews...if you find anything offensive dont catch feelings...lulu will forever be celeb n salama will forever be hosting this show and ask silly questions to all our popular people in Tz...we cant catch feelings for everything....
salama nimekupenda bure huyu mtoto anamambo mengi alaf jeuri sana,,na usiri haumsaidii haoni wenzie wanavyojibu maswali?mf. wema au joketi yeye anafikiri dunia ina siri hii??na ajue kwamba kudanganya umri ni ajabu na si kawaida kama yeye anavyojitetea akajipange tena katudanganya sana kipindi kile lakini mungu siku zote amfichi mnafiki na kama hatobadilika bado tutajua tu.kwa mtazamo wangu hajabadilika anajichanganya sana.
lulu ni muongo sana,ila ukweli siku zote unajitenga na ukweli hii ni interview u suppose to answer maswali yote sio "sitaki" hiyo ni tabia ya wapi?? jeuri dawa yake ni kiburi ila unatakiwa ujifunze kujibu maswali sio kujibu kama uko chooni.
ihate this gal.she killed kanumba.coz kanumba alsema kwa interview kuwa hatumii pombe.na lulu alisema ati kanumba alimchapa akiwa mlevi.na akaanguka akagonga ukuta akaanguka akiwa mlevi.lulu you are amurderer final