Тёмный

TAKE ONE EXCLUSIVE NA LULU (ELIZABETH MICHAEL) 2-JULY-2013 Part1 

cloudstvtz
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 412 тыс.
50% 1

Kwenye Part 1 aelezea mengi ila moja wapo ni haya
-Sababu za ukimya wake taingia alivyotoka jela
-Aelezea kitu ambacho hatokuja kukisahau maishani mwake
-Aelezea kitu ambacho aliwahi kufanya na anakijutia hatokuja kukifanya maishani mwake
-Kwasasa akiri kwamba hana mahusiano ya kimapenzi na mtu yeyote
-Aelezea project ambayo anaifanya ambayo kwasasa yupo mbioni kwenye kuifanyia uzinduzi (foolish Age)

Опубликовано:

 

2 июл 2013

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 67   
@stellaedward7726
@stellaedward7726 6 лет назад
much respect 2 u lulu cz unakula jasho lako, no body z perfect, kip it up dada kuanza upya c ujinga na hauwez shindana na mdomo wa mwanadam ""
@ZebidaMaungo
@ZebidaMaungo Месяц назад
P P
@cleopatimothy
@cleopatimothy 11 лет назад
Gud to c u back lulu mungu akubariki..
@irenetarimo6109
@irenetarimo6109 2 года назад
just happy lulu leveled up...hii ngeli hapana
@edwinpepela1205
@edwinpepela1205 9 лет назад
It's great seeing you back.movie zake wamba sana.Wikipedia khaki but huku ni wakati wako
@evlyneirakoze7758
@evlyneirakoze7758 6 лет назад
Dieu vous bénisse et vous garde longtemps
@SamwelNyangala
@SamwelNyangala 11 лет назад
Lulu jifunze kudanganya vizuri maana ukweli umekushida
@heritier5119
@heritier5119 10 лет назад
Hakuna haja ya kumuhukumu lulu juu ya yalopita coz ye ni binadamu hakuomba matatizo yamkute pia ilikuwa ni kipindi cha mpito
@monica-eb7nr
@monica-eb7nr 11 лет назад
asiefunzwa nawazazi anafunzwa na dunia kweli nimekuwa nikimukomment sana hivyo hata bado hajahonja jela.na asipojituria tulia yatampata mengi zaidi ya hayo.
@barbiejunior2794
@barbiejunior2794 10 лет назад
wawoo ili kuwa poa sn..nyc lulu!!!
@maulidrequelm603
@maulidrequelm603 9 лет назад
rudi chuo shoste lulu uzungu hauna jifunze ngeli za consonants & vowels upo nyuma sana!!!
@nelsonkassena4285
@nelsonkassena4285 11 лет назад
Jaman lulu kiukweli bana unahitaji kwendashule. Bado mchanga kielim nivizuri kwenda shule Kwan xafar badondefu
@jemimahjohaness2512
@jemimahjohaness2512 11 лет назад
aisee,you should go to school my dear.thinking capacity bado ndogo na ya kawaida.u need to match with the world changes.work work work
@janethgatoni5981
@janethgatoni5981 6 лет назад
Nice my dear
@chawangilenguruchawange6477
@chawangilenguruchawange6477 10 лет назад
maisha yanapita ww ndiye muamuzi pekee jiweka sawa
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 11 месяцев назад
Yaani Lulu nimekupenda buuuuree
@bahatiatarihiingomajamanik998
@bahatiatarihiingomajamanik998 6 лет назад
Uko vzr dogooo
@senoritadida7415
@senoritadida7415 10 лет назад
i love u lulu but i c no reason 4 u 2 try speak 4reign language on yo interviews wakt huwezi umebaki unastak stak, punguza kujipritend kuongea just b yourself & speak lyk ukiwa home.my love i only advise u lyk ma little sista plz never do dat next tym unajiaibisha especially huo msamiati mpya uloupata wa "actually" yani mpk inaboa!!! but all in all yo ma fans kip it up gal
@nimoissa1880
@nimoissa1880 9 лет назад
She needs to go back to class#just saying
@SaumuBintimohammed
@SaumuBintimohammed Год назад
@ndanu2012
@ndanu2012 11 лет назад
Is English taught in tanzanian schools really..??? cant she express her self in English?
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 11 лет назад
Lulu, usitake kulazimisha maneno, Swali ni ulikuwa napangilia kuhongea nini ukiwa Kwenye interview fulani. Yaani nijambo ambalo tayari ulisha pangilia, siyo uhanze kufikiria tena ukiwa nawazia that means u didn't have any thing to say.. Lakini hongera!
@tausimussa4871
@tausimussa4871 9 лет назад
GOOD
@Goddess697
@Goddess697 11 лет назад
hope u gonna change 4 de beta.
@jumambui5407
@jumambui5407 11 лет назад
lulu acha ushamba na jifunze kuskiza swali uelewe ndo ujibu swali usitumie kizungu juu hujui kabisa labda uache tabia mbaya urudi shule
@amongeorge7028
@amongeorge7028 10 лет назад
U luk nc
@imaranoah10
@imaranoah10 10 лет назад
God help her to do wont she wont to do.
@dmwanga1
@dmwanga1 11 лет назад
The host is not asking the questions and Lulu is not answering anything. why is Lulu us talking about herself in the third person.
@dipendijoseph873
@dipendijoseph873 3 года назад
I love you
@ernestmbala3609
@ernestmbala3609 9 месяцев назад
Kisauke secondary school ilikuwaje cjui
@Chai2574
@Chai2574 11 лет назад
Did she go on trial and get acquitted or what?
@sachumasangu3986
@sachumasangu3986 9 лет назад
Like it
@lucysiwila6726
@lucysiwila6726 6 лет назад
sachu masangu nnnnn
@ernestmbala3609
@ernestmbala3609 9 месяцев назад
Zawadi ya shule ilikuwa 1,200,000.
@josekulele6237
@josekulele6237 10 лет назад
Mambo vipi
@mamzaiya
@mamzaiya 11 лет назад
huwa hajui kuelezea siku zote kazi kung'atang'ata maneno na kuingizia vineno vya kiingereza utadhani anajifunza kiswahili
@aminachande3174
@aminachande3174 4 года назад
Amekua Sasa
@bennytheboy8412
@bennytheboy8412 10 лет назад
mia
@happyhans4908
@happyhans4908 6 лет назад
Hyo video yamuda
@mamzaiya
@mamzaiya 11 лет назад
unajua hata jamila(sophia)anakushinda kuelezea
@jumambui5407
@jumambui5407 11 лет назад
shule muhim jamaa ona lulu anajichanganya tuuu
@yogayogatz1
@yogayogatz1 11 лет назад
very sorry for erything but you have to go to school just to prosper your talent.
@petermakaumutuku9150
@petermakaumutuku9150 9 лет назад
Tanzania should come out of that cocoon and come to the the world."Speak english".
@JamesKimuli
@JamesKimuli 9 лет назад
Peter makau mutuku no need for that because Russians , Spanish , Portuguese and the others don't care if you understand them or not
@selinedawns5966
@selinedawns5966 11 лет назад
Kwanini haukuna kitu naelewa????????????????lol
@cabdikanikelvines722
@cabdikanikelvines722 5 лет назад
Nani ako na namba ya Lulu anitumie?
@ppendo3611
@ppendo3611 6 месяцев назад
Njoo inbox
@cabdikanikelvines722
@cabdikanikelvines722 6 месяцев назад
@@ppendo3611 wacha masihara bwana
@annenyambura7654
@annenyambura7654 8 лет назад
05:30 😂😂😂😂rudi shule lol
@braciakivuli7603
@braciakivuli7603 11 лет назад
ilikua ni lazma kusema
@nawal01
@nawal01 11 лет назад
Not satisfied with the interview..!
@salimuali9098
@salimuali9098 11 лет назад
the show was meant for tanzanians. poor you
@annasamo7063
@annasamo7063 4 года назад
Zama maswali yako bana
@mohamedyswai7877
@mohamedyswai7877 11 лет назад
Mburura.....kilaza kwl!
@gracewanja5397
@gracewanja5397 5 лет назад
Little knowledge
@jackytamarcus1517
@jackytamarcus1517 10 лет назад
zam your words i cant here
@nyabarabiuwambui1078
@nyabarabiuwambui1078 7 лет назад
hanjui kuongea huyu, thick mind
@rehemamangala7693
@rehemamangala7693 6 лет назад
mhh kwakwel skul muhimu yan hap lulu anajing'ata kuongea English anabak kuongea broken tu hapo
@sunrisekitchen1
@sunrisekitchen1 11 лет назад
Kabadilika huyu mtoto ona hata nguo alovaa kajiheshimu kidogo lakini sijui
@Joze-ko9he
@Joze-ko9he 6 лет назад
Anahitaji mwana ume kama marehemu kanumba ili nae ,,,,,,,,,,
@babyskk421
@babyskk421 11 лет назад
huyu mtoto ni muongo sana ila the time will tell,,jumba bovu likidondoka atakuja tena hapa hapa kuomba msamaha
@MyShau
@MyShau 10 лет назад
hichi kilulu kiongo. hata pale alipokuwa hajapata matatizo. pia kilisema uongo akina bwana. kiongo kama kanumba
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 года назад
Haaaaaa
@mmn7480
@mmn7480 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Далее
POLI зовет Газана
00:12
Просмотров 794 тыс.
ПОЮ ЛЕТНИЕ ПЕСНИ🌞
3:16:55
Просмотров 1,7 млн
Mkasi - SO7E03 With Lulu
28:19
Просмотров 393 тыс.
Elizabeth Michael - WAKATI MGUMU NAUMALIZA.
5:10
Просмотров 118 тыс.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Просмотров 21 млн
Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1
29:48
Просмотров 338 тыс.
Lulu amwaga machozi Mahakamani
2:59
Просмотров 324 тыс.
TAKE ONE 24 Sept JOHARI KWENYE MTU KATI
15:16
Просмотров 139 тыс.