Тёмный

MKE WA BEKA FLAVOUR AMWAGA MAMBO HADHARANI/KUTOKA NA HARMONIZE"NI KWELI NILIFANYA BILA RUKSA 

SYLI CLASSIC TV
Подписаться 231 тыс.
Просмотров 99 тыс.
50% 1

#bekaflavour

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 147   
@unearthinghumanwork8941
@unearthinghumanwork8941 3 года назад
I gotta tell my brothers " if a woman cries for you; she truly loves you she a must keep" am a Lady i know whatamtalkingbout!
@kakosokigassu3211
@kakosokigassu3211 3 года назад
Uyo BEKA aache kuwatia wanaume aibu, kwa sababu hajakamilika. Imekuaje kukaa kihawara na mtoto mrembo kama huyo ashindwe kumuowa halafu eti anatia masharti yakijinga!
@sheillahassani3997
@sheillahassani3997 3 года назад
Sema tanzania bad tunamfumo dume so happy ungepaswa ty kupa taarifa ili mambo yasiwe mengi wanaume wenyew wasku hiz wanataka kulelewa kama yayi
@anetmush1449
@anetmush1449 3 года назад
Wallah happy we ni tafuta mwanaume mwngne beka atacheza na akili yako sana
@chikumbamahamoud9
@chikumbamahamoud9 3 года назад
Ningekuwa star ningekutfuta kabisa maaana mashalah kwa kuwa mchizi anazingua 🏋️‍♀️😄
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 3 года назад
Hapa mpuuzi beca
@allychaye2925
@allychaye2925 3 года назад
Beka muoe mtoto uyo nakupenda sanaa acha anasa za dunia ndungu yangu
@jeyshillyjack4470
@jeyshillyjack4470 3 года назад
Mungu wangu,huyu dem anampenda bekar lakini bekar hayuko serious dar.
@Siasa-k7v
@Siasa-k7v 3 года назад
Bakari ako na wivu kibao,alafu hajiamini😂😂😂
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 3 года назад
Ila ukweli huyu mtoto ni mzuri bhana
@jumamussakaijagejuma6828
@jumamussakaijagejuma6828 2 года назад
ila huyu mwanamke mzur jamn
@barakag7939
@barakag7939 3 года назад
Nashangaa sana nyie mnao mwambia happy amwache beka mnajua wametoka nae wapi angalien basi hivi isinge kuwa beka leo mngetoa commenti hapa au Angeonekana kwenye vyombo vya habari kama hivi lini mkae mtulie
@chussede3072
@chussede3072 3 года назад
Fact tupu
@malicomjoseph3000
@malicomjoseph3000 3 года назад
Dunia hii wanawake type hii Ni wachache mzuri sura pia tabia
@hassansultan6511
@hassansultan6511 3 года назад
Kiufup uyu Dada yupo tayar kwa lolote
@rehemakitara9978
@rehemakitara9978 3 года назад
Happy yko so bright 👏👏👏
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 года назад
Huyo beka fara sana halafu ana dharau sana, inaonesha dem kavumilia mengi
@salamaseif4183
@salamaseif4183 2 года назад
Mmm mazito na makubwa
@mariamukajiru2302
@mariamukajiru2302 3 года назад
Beka msichana uliyenaye anajitambua tulia mlee mtoto wenu
@victorsakin6073
@victorsakin6073 2 года назад
Huyu murembo hana ubaya wowote jameni, ameomba musamaha yakutosha, tafuta ndume ingine uendelee na maisha bana
@sumayionesmo5817
@sumayionesmo5817 3 года назад
Kweli wanaume ni wa ajabu we Beka kutwa kuchukua watoto wa watu kwenye kaz zako halafu mkeo hutaki
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 года назад
Mke mchungu
@iraqgirl2143
@iraqgirl2143 3 года назад
@@Ryoof-qo7if sio mke hata ivo
@saidynkunya8656
@saidynkunya8656 3 года назад
Happy n mrembo sana nmemuelewa in mzuri sana
@carolnjeri6876
@carolnjeri6876 3 года назад
Beka hapa uko na kibarua kigumu.
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 3 года назад
Nataman walio na mahusiano wapatane hata kama hawajafunga ndoa Mungu afungue milango jaman siku moja wafunge ndoa
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 года назад
Amina jaman kwa kutuombea duwa Asante sana kwa duwa Zako halafu wee upo kama mimi napendaga watu wakipendana
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 года назад
Mkewe mzur mwenyew
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 года назад
Mkew kapendeza
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 года назад
Beka si muislam na beka mkristo au happy atabadil
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 года назад
Ndo mimi saa nyingine mtu akitaka kunikontrol sana nasema kwani umeniowa niowe kwanza ndio unipangia mashart
@janewashe7276
@janewashe7276 3 года назад
Happy fanya kazi siku izi hakuna cha kutegemea mwanaume, Beka utaacha izo pia wewe alaa
@rsautoservice984
@rsautoservice984 3 года назад
Mwijaku huyo demu ako right kabisa na akili yke iko sawa..anaelewa ndoa ni nn..
@selemanimbwambo8839
@selemanimbwambo8839 3 года назад
Mambo UWA hayabadiliki, msumbufu kabla ya Ndoa. Hata baada ya ndoa. Ni hivyo hivyo.
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 3 года назад
Mashallah huyu happy ana akili kweli upo sahihi my dear tengeneza life yako leo kesho ukiambiwa nyuma geuka unahamia kwako😄👌
@chibzeric679
@chibzeric679 3 года назад
Ndizo akili ya wanawake hawapendi kutulia
@victorbeno
@victorbeno 3 года назад
Acheni ushamba ndio maana yake awaolewi mnaishia kupewa mimba tu
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 3 года назад
@@victorbeno 😂 ndiyo akili zenu wanaume halafu mnajua mmetukomesha kumbe mnajikomesha wenyewe fainal uzeeni unakosa hata mtoto wakumtuma maji sababu ujana wako uliishia kuwapa mimba nakuwa kimbia unajikuta watoto wote tumewapeleka kwa Mzee Nyange 😂kuwa makini kwa kauli yako tengua kauli yako maana radi itakayo kuja kukufumuwa bado inapiga Push 😄
@alphoncekomba2129
@alphoncekomba2129 3 года назад
Wanawake wa sampulii hii wamejaa mtaani ukitaka kumuoa either mzazi mwenzie awe kaolewa vinginevo utateseka sana
@ramazubery2641
@ramazubery2641 3 года назад
Binti yupo sawa ungeidhinisha ndoa ulikua unahaki beka
@barackkivuyo3945
@barackkivuyo3945 3 года назад
Dah jah bless that kind of women 🤒🤒🤒🤒
@Twila_Rebeka
@Twila_Rebeka 3 года назад
Beauty and brain 🥺🤲🏾🥰
@joycewaziri4087
@joycewaziri4087 3 года назад
Dada anataman ata kulia ana mpenda kwel
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 3 года назад
Huyu dem maleysia tu...🤣🤣🤣🤣.....ila mondi ndio kiboko ya hawa viumbe ..ukizingua tu ..mapema sana
@nasmasalim2352
@nasmasalim2352 3 года назад
Nimekupenda mdada❤❤
@hadijabashil2680
@hadijabashil2680 3 года назад
Jaman hatakama watu hamna ndoa mkishazaa jaman kuachana ni kuzito ,maana Kwanza mzigo unamuelemea mama alafu mama nae Hadi akupotezee aamue kuolewa huwa nikamchakato na uaminifu unakua haupo Tena mam anaona Kama vile yatatokea yalee
@stn4873
@stn4873 3 года назад
Mapenzi ya watu sio jambo la kuingilia.
@agaowajouniar6614
@agaowajouniar6614 3 года назад
True
@zubedajamuhur6467
@zubedajamuhur6467 3 года назад
Nimemuelewa sn huyu dada
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 3 года назад
Vijana tafteni pesa munaskia kinacho msumbua Beka?
@hafidhchoi3186
@hafidhchoi3186 3 года назад
Ebu kueni mshazaa sio kila kitu media love aitaki show
@gfiremellodis9732
@gfiremellodis9732 3 года назад
She is right jamn
@anetmush1449
@anetmush1449 3 года назад
Beka siyo kwa miwan hyo
@nivicaspect3597
@nivicaspect3597 3 года назад
Katoto kazuri na kana akili.
@rasmissionary7518
@rasmissionary7518 3 года назад
wanaume wengine unashindwa wanataka nini tena...hyu si yule akasema "akikosa cha kwanza anaombaga msamaha?"🤢🤢🤢 I'm disappointed in you Beka kwa kweli
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 3 года назад
Intaviu yenu nzuri Sana.
@congodanceacademyofficial6348
@congodanceacademyofficial6348 3 года назад
Aka ka beka kata sikitika sana bada ya ma siku uyu dem aki enda
@rayouaabdallah1394
@rayouaabdallah1394 3 года назад
Apa beka ndio mwenye matatizo kwa mwenye kusoma saikolojia anaelewa
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 3 года назад
Mwanaume hana kauli kwa huyu mtoto
@issaally8817
@issaally8817 3 года назад
huyo mwanamke yuko sahihi mkumbuke hajamuoa kwa hiyo mwanamke ana haki ya kufanya atakacho sababu hawana ndoa
@novathmsanyamsanya7702
@novathmsanyamsanya7702 3 года назад
Penzi mshumaaa hiyo ogopa sana mwanamke akitoa chozi kinanuka saa yoyote
@babunassoro7173
@babunassoro7173 3 года назад
Camera man haujui unachofanya aseeeee
@daslamonline4665
@daslamonline4665 3 года назад
Mmefanya kazi nzuri sana.
@abelsimon9994
@abelsimon9994 3 года назад
Kabeka kenyewe basi tu
@cheyoforodha1582
@cheyoforodha1582 3 года назад
Hapo beka hana mke msichana anatamaa saana huyo pia mbinafsi
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 года назад
Dah! Yaani nikipata dem kama huyo ntajiona mwenye bahat sana
@gracejoseph6467
@gracejoseph6467 3 года назад
Hahaaaaaaaaaaaaaaa
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 года назад
@@gracejoseph6467 unacheka nini sasa
@ikrammahonda4566
@ikrammahonda4566 3 года назад
Beka nn shida unashindwa kumuoa dadaanakupenda sana huyu
@vince_vinson.2083
@vince_vinson.2083 3 года назад
Chezea mabaharia wewe.....!!!!
@mhifadhi797
@mhifadhi797 3 года назад
Demu mjuaji pita hivi
@kephafrancis7177
@kephafrancis7177 3 года назад
Wasio jua wanawake unaweza mwona MTU ila ndani ya Nyumba ni majanga
@rashidimswagilo8292
@rashidimswagilo8292 3 года назад
Kabisaaaaa. Tatizo wasanii wengi hakuna mapenzi. Wapo wapo tuuu.
@michaelakibira9005
@michaelakibira9005 3 года назад
Huwezi kuolewa mpaka ubehave kwa mmeo mwanamke makosa unayo mwanamme anapenda kusikilizwa na ndoa kama mnapendana mnafunga tu behave
@jacoblukumay472
@jacoblukumay472 3 года назад
Huyu demu siyo Wa kuolewa kabisa hili ni pambo la dunia tu
@ikrammahonda4566
@ikrammahonda4566 3 года назад
Apo kuna kazi ndani ya nyumba
@laurinfred2931
@laurinfred2931 3 года назад
Mke zuri huyu jmn dah Mungu nipe na mm mke mzuri 😋
@mariaelias1526
@mariaelias1526 3 года назад
Beka uyu manzi ukimpoteza,hupat tna km huyuuu yan hupatiiiii ng'oooooooooo
@slimdady5053
@slimdady5053 3 года назад
Hampatii we unajua kamtoa wapi huyu dem alikuwa choko wa kitaa sanaa
@mariaelias1526
@mariaelias1526 3 года назад
@@slimdady5053 jst let them be,kaaa kW kutulia bro
@iraqgirl2143
@iraqgirl2143 3 года назад
@@slimdady5053 una uhakika kuwa alikuwa choko wa kitaa? happy ni msomi kuliko hata huyo beka huezi muita choko wa kitaaa
@slimdady5053
@slimdady5053 3 года назад
@@iraqgirl2143 sasaaa na wew home gal uyo nisimjue mim tna au
@iraqgirl2143
@iraqgirl2143 3 года назад
@@slimdady5053 kwo aunavomjua ndo alikuwa choko wa kitaa au, em achaga uongo ety wamjua na unamuita choko muogope ww
@stephanmgendera211
@stephanmgendera211 3 года назад
Lakin mwanamke ukiwa nae miez 6 si mke wako so inatakiwa umuheshim kila jmbo mahali na ndoa mbwembwe tu
@mahembajulius7036
@mahembajulius7036 3 года назад
Je mwanamke hapaswi kumheshimu mwanaume?
@rehemakitara9978
@rehemakitara9978 3 года назад
@@mahembajulius7036 Hyo cyo mume binti keshamzalia lkn mume hana dalili ya kuoa unaendelea tu kuacha fursa kisa unasubir ruhusa kwa mtu asiye na msimamo nawe
@lightlight4180
@lightlight4180 3 года назад
Virusi Va Corona Na Bayana Ya Uwamuzi Wala Sio Mchezo .. 👇🏻👇🏻 Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani 19 - 05 - 2020 مـ 👇🏻👇🏻 U
@ibrahimshukuru8332
@ibrahimshukuru8332 3 года назад
Beka ajamaliza ujana huyo anakwama wapi xax
@jafarisaidi2069
@jafarisaidi2069 2 года назад
Chege diamo
@zachariahariohay359
@zachariahariohay359 3 года назад
Dada ana jeurî
@bahatiunami3526
@bahatiunami3526 3 года назад
Nimekupenda bure
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 3 года назад
Hakuna mke hapo
@mberwagilbert3200
@mberwagilbert3200 3 года назад
Huyuu mwijaku mhmhh
@ElinihakiMsuya
@ElinihakiMsuya 26 дней назад
Acheni kuwa faidisha watu tunzeni mtoto tu Kila mtu achukue 50 zake
@gfiremellodis9732
@gfiremellodis9732 3 года назад
Beka umeyumba ata ukiachwa ni sawaa pimbi wwe
@lufufumkudesimba6244
@lufufumkudesimba6244 3 года назад
Noma sana
@sidearsenal666
@sidearsenal666 3 года назад
Huyu mwanamke ni mzuri wa ila hakuna mke hapo hana adamu
@issabakari1916
@issabakari1916 3 года назад
Mwijaku Kuna kitu unacho kwa ajili ya kuweka Sawa ndoa, Na mahusiano, kwann usikae humo mzee, achana na mambo ya kushushwa akili,
@irenemunuo9485
@irenemunuo9485 3 года назад
Yan hawa naohoji ndo wanagombanisha watu jaman
@barackkivuyo3945
@barackkivuyo3945 3 года назад
Dah ii mechi ilikua tata aisee🙆🙆
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 3 года назад
wanaume mubadirike haudumiye mwanamuke wako ikifika kikazi wivu unapada ju tena kalipwa kwanini asitumike yeye tena sikuhizi pesa ngumu unapo mutibuwa hahumudumiye dani.
@marysimoni3605
@marysimoni3605 3 года назад
Beka kuwa makini muulize asley
@konkmastertz
@konkmastertz 3 года назад
Jaman laha sanaaa
@sevelinlenjima5195
@sevelinlenjima5195 3 года назад
Oomiim
@maujajr
@maujajr 3 года назад
Sitaki kujua sanna yaliyomo ndani zaidi ila kwa haya hapa.. Beka ndo anazingua dem ana akili nyingi sannaa...
@adbashtv6701
@adbashtv6701 3 года назад
Hamna mwanamke hapo
@chummaulid7115
@chummaulid7115 3 года назад
Mdada si mkweli
@shollodegeorge9056
@shollodegeorge9056 3 года назад
Mlikutana kimyakimya achaneni kimya kimya mnamwambia nani
@issaissah8832
@issaissah8832 3 года назад
Kwani mkewe huyooo aaa mfyuuu
@luqmanrajab943
@luqmanrajab943 3 года назад
Beka anakasimu kadogo
@jacoblukumay472
@jacoblukumay472 3 года назад
Watakuchezea wasanii mpaka ukome ubishi
@sumaboyclassic7071
@sumaboyclassic7071 3 года назад
Najitowa unaabari zauhongo
@manzially7705
@manzially7705 3 года назад
Beka umezingua wa iraq sio wanawake wa kuowa hao me nawajua vzr ni malaya sana hao
@alexvenas2699
@alexvenas2699 3 года назад
Sikweli bro ww kama uliwahi kukutana na mwenye tabia hyo pole ,mm ninaye anamcha Mungu ananipenda nampenda na tunaheshimu ndoa yetu sana,acha kupotosha watu,ngoja nikushauri usitegemee siku moja itatokea upate mtu aliye tulia kama ww mwenye haujatulia "note" tunaposema wakufanana naye siyo sura ni tabiaaaa ukiwa mhuuni utapewa Malaya pia coz ndivyo mwanaume ulivyo.
@manzially7705
@manzially7705 3 года назад
Ww utakua mgen kwa hao mie nawajua vzr na ww unaibiwa ipo ck utaamini hao watu wapo mkoa wa arusha wilaya ya karatu na wote wapo hivyo hvyo wanajificha kupitia kumjua mungu lkn amna chochote
@patrickoctavian7518
@patrickoctavian7518 3 года назад
@@manzially7705 ni kweli kbx
@catherineshayo656
@catherineshayo656 3 года назад
Manzi Ally, kila mtu Anna tabia yake, usichukue tabia ya mmoja ukajumuisha wote, utakuwa hauko sawa, ni sawa dem kakuacha kakuumiza kwelikweli, alafu useme wanawake wote Malaya, ukisema wanawake unajumuisha na mamako . So sio wote wenye tabia mbaya na sio wote wenye tabia nzuri, kila mtu ana madhaifu yake,
@manzially7705
@manzially7705 3 года назад
Wa iraq wote tabia zinafanana km ulikua ujui sasa ni malaya na ni wachawi km warangi tuy
@allyfleva8920
@allyfleva8920 3 года назад
we mwanamke huna akili
@furahakamugisha4455
@furahakamugisha4455 3 года назад
Mim sisikii chochote
@mohamedchorah8514
@mohamedchorah8514 3 года назад
.
@rukiakipande186
@rukiakipande186 3 года назад
Kwani kunaulazima gani mambo yenu myatangaze kwenye mitandaoni haya mambo yautandawanz yanachosha hao ndio wazanzi wenu duuuuuuuuh ulimwengu wautandawanz
@frankphilimon2914
@frankphilimon2914 3 года назад
Hyu mwanamke anatafta ustar wa kuforce anamjbu vbaya mumew Lisa ety kapewa kazi na harmonize aspoangalia jamaa sku moja atamwacha kwel
@hassammohammed5046
@hassammohammed5046 3 года назад
Sio mumewe ni mwanaume wake tuu wabongo mbona hsmuelewi
@frankphilimon2914
@frankphilimon2914 3 года назад
@@hassammohammed5046 ni sawa na mumew tu si kashazaa nae tayar na walkuwa wanaish wote sema tu ilpotokea migogoro ndo wakatengana au wew ultaka mpka wafnge ndoa ndo ujue kuwa saiv ni mumew?
@qualityvoicetz7105
@qualityvoicetz7105 3 года назад
Wanaigiza tyuu hao duuh😂
@bahatischalwe2874
@bahatischalwe2874 3 года назад
Usimwanike mwenzio Kwan wewe huna mapungufu toa kibanzi kwenye jicho lako ndo utaona boliti kwenye jicho la beka umri unasonga acha ushamba, ye pia akiulizwa atajieleza na utaonekana we unamapungufu, Kama ulitaka ndoa usingevua chupi
@frankfredy5710
@frankfredy5710 3 года назад
demu hamna humo ni upuuz m2pu
@ecklanddonald6053
@ecklanddonald6053 3 года назад
Demu mwenye akili ya maisha Kama huyu na mwenyekujitambua simtaki kabisaa pasua kichwa Nataka demu wakumpelekesha
@MohammedAli-vq2dk
@MohammedAli-vq2dk 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣Ck hz wapo mmoja mmoja Sana wanawake wameamka ck hz hawana mda wakumtegemea mwanaume
@marygaspar6429
@marygaspar6429 3 года назад
Shkamoo
@elmasroj9712
@elmasroj9712 3 года назад
🤣🤣🤣 wewe kama mimi yaani
@farajakigullah8571
@farajakigullah8571 3 года назад
@@elmasroj9712 kawatafu vijijini kama hata vijijini utawapata wanawake wasiojitambua
@ashahahahahatwendenikwetut3826
@ashahahahahatwendenikwetut3826 3 года назад
@@MohammedAli-vq2dk bora umemjibu mwanaume mwenzako
@bahatischalwe2874
@bahatischalwe2874 3 года назад
Mlipokua na raha zenu mbona hukutuambia, wewe si mwanamke dada uzuri wa nyumba choo na utamu wa chai sukari huna lolote
@iraqgirl2143
@iraqgirl2143 3 года назад
Tatizo wanawake tuna wivu sana jmn!!
Далее
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Просмотров 21 млн
Which part do you like?😂😂😂New Meme Remix
00:28
WHICH SODA CAN FLY THE HIGHEST?
00:48
Просмотров 8 млн
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Просмотров 21 млн