Тёмный

MKE WA KIONGOZI WA HAMAS ALIINGIA KWENYE HANDAKI AKIWA NA POCHI YA MILIONI 87 KABLA YA SHAMBULIO 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 91   
@allythabiti8150
@allythabiti8150 4 часа назад
Halafu ifahamike hamas hawakufanya shambulio Israel au kwenye ardhi ya Israel bali walikuwa kwenye ardhi Yao inayokaliwa
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 3 часа назад
Nyny milard mmekuwa wazembe kuasi hicho sijaona habar ya kushika hapa au hamna contents niwape😊
@zenawahindi2425
@zenawahindi2425 3 часа назад
mbona pochi mienaliona
@SalumuKomba
@SalumuKomba 2 часа назад
SNS amewaacha mbali sana katika habari😮
@rahimbablia8667
@rahimbablia8667 Час назад
Mzee umejishushia hadhi...hii habari imetoka kwny channel ya kiisrael, huku waisrael wnyw kwny comments wakipinga kuwa hiyo mikoba hailingani....
@edwardsenkondo6219
@edwardsenkondo6219 3 часа назад
Ukisikiliza habariza SNS huwezi kusikiliza habari kama hii. Millard badilika hasa kwenye habari za kimataifa.
@kianohasan5205
@kianohasan5205 2 часа назад
Watoa taarifa hii gani mwehu
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 27 минут назад
Kumbe na yeye alikuwa anakula fedha za waparestina 😅😅😅
@Faya884
@Faya884 Час назад
Uyo nae watamuuwa uyo mke
@fadhilikombe3338
@fadhilikombe3338 20 минут назад
Ivi huko kwenye mahandake Oxygen huwa inapatikanaje?, mbona mimi nikiingia tu kwenye pipa dakika tano nasikia kufa? 😅😅😅
@raydanfrenk
@raydanfrenk 3 часа назад
Sema mke ni pisi atari ata ukikojoa unakojoa sehem salama
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 3 часа назад
Nyny wengine kupita siku hamjawatukanisha wazee wenu hamfurahii jiheshimu mjomba
@JeniferMerick-j2h
@JeniferMerick-j2h 3 часа назад
@@KhamisOmar-kt4kz kweli kaka sio vzr wala
@hamzahassan1944
@hamzahassan1944 3 часа назад
Kumayo
@KHAMIS_SHILINGI
@KHAMIS_SHILINGI 2 часа назад
Duuuh ndo unachowaza hicho😢😢
@mudidachi8616
@mudidachi8616 27 минут назад
Hiyo milio 87 mmeipimaje??
@hamadsobo304
@hamadsobo304 4 часа назад
Kwa hiyo mukitaka aingie na pakacha ya kubebea nazi.
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 3 часа назад
😂😂😂😂😂😂😂😂nashangaa wakati waraab wana pesa
@salimsoyo8118
@salimsoyo8118 2 часа назад
Eti hahahaha😂😂
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ 3 часа назад
Nani alirekodi hii video ?
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 2 часа назад
Sasa shida iko wapi kuwa na pochi ya bei kubwa!? Kwani hao hawamiliki zaidi ya hiyo wao kwavile nime mwarabu hapaswi kumiliki kitu cha bei kubwa!?
@Movies-k5y
@Movies-k5y Час назад
Millard ayo jau nyiee mnauwakika au mmeanza kuwa kama ma k
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Час назад
Asa pochi ya gharama inauhusiano gani na kuuawa huyu jamaa?!
@zainabmirza4581
@zainabmirza4581 2 часа назад
Utatembea dunia zima hutawano wandishi wa habari wajinga wasio na kuwa na elimu kama wandishi wahabari waki tanzania
@ommyshopangi9543
@ommyshopangi9543 2 часа назад
To and fro motion with flight of ideas!!!!
@superzanzibarspiceslimited548
@superzanzibarspiceslimited548 2 часа назад
Una uhakika Gani ni kiasi hicho? Mbona Kuna bidhaa feki kama hizo zinatumika Tanzania
@AllyAbduo
@AllyAbduo 3 часа назад
Futa habari 😂 hii millard, akili zenu naona mmeziacha kwenye sinki la choo , ukifuta tu zinarudi salama
@khamisswalehe
@khamisswalehe 3 часа назад
wao wanajuaje na wana record vip inamn hawa wana majasus
@RehemaMasunga-ml7kt
@RehemaMasunga-ml7kt Час назад
Mimi nilijua kwenye pochi yake ndio kuna 87 kumbe ni gharama ya pochi
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa Час назад
😂😂😂mm pia
@juliusloishiye-y6k
@juliusloishiye-y6k 4 часа назад
kumbe hela ya Israel ina nguvu hivyo yaani milioni moja tu uku kwetu ni milioni mia saba na ushee daah
@ip_header
@ip_header 3 часа назад
Popaganda, akili za kuambiwa...
@mohdhilaly7900
@mohdhilaly7900 4 часа назад
Mh uongo ya kwao hawasemi nyumba ya nyatanyau imeripuliwa mbona hawayasemi pumbavu zao tuliosoma urusi tunaelewa hizo propaganda
@kayagoAziza-z2c
@kayagoAziza-z2c 4 часа назад
Nawamepiga marufuku wasioneshi chochote mbwa ao
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 2 часа назад
R.i.p😢
@salmyhussein6255
@salmyhussein6255 4 часа назад
Hayo ni maneno ya mayahudi, na wafuasi wake kama milad ayo
@CelinTonny
@CelinTonny 3 часа назад
Acha propaganda na uongo Millard umeshindwa kuonyesha watoto wanavyokufa na njaa watu wanachomwa,wanabakwa unaonyesha pochi???ujinga mtupu,unataka kuwa BBC au CNN
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 4 часа назад
Kumbe na wao ni wezi wa hera zauma
@GoodDeeds-Jesus
@GoodDeeds-Jesus 4 часа назад
Hela, Pesa, Fedha.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 4 часа назад
KAIBA KODI YA NANI?! UNAFIKIRI KULE NI TANZANIA? KULE NI MWENDO WA MTUTU MWANZO MWISHO, HATA HIZO PESA WANA VYANZO VYAO VYENGINE KABISA VYA KUZIPATA IKIWA PAMOJA NA KUFANYA BIASHARA ZA SIRI KTK NCHI MBALIMBALI, HAKUNA DHAHABU WALA MAFUTA YANAYOCHIMBWA KULE!! MTOTO ANAZALIWA MPAKA ANAZEEKA NI BUNDUKI TU!!
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 часа назад
Wanalipwa na Iran mfadhili wao wa Ugaidi kwa hio Wana pesa za kigaidi 😅😅
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 3 часа назад
​@@annasolomon9855makafiri mnaangaika kutetea mashoga wenzenu kama kweli hao mashetani wanaweza mbona walishindwa kupata mateka wa kizaiyuni
@abdulismail6072
@abdulismail6072 3 часа назад
Milad badiliken kunawatu wanakuja kivingine katika tasnia ya habar ole wen kuendelea kuripot upuuz
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 3 часа назад
Milad umeanza kuharibu hivyo shtuka.mapema habari zisizo na.mshiko.kama hizi achananazo sinakuondolea mvuto
@Movies-k5y
@Movies-k5y Час назад
Mnafikili tunawafuatilia nyiee tuu tutaacha saiv wa--nge nyiee
@Jameskamotho94
@Jameskamotho94 2 часа назад
Kumamako millard
@papamukulu1045
@papamukulu1045 4 часа назад
Kuna watu waneteta hapa kwa hii post bado hamja chema mpaka mcheme😂
@daslamonline4665
@daslamonline4665 4 часа назад
Shida kumiliki kitu Cha thamani aache roho ya kimasikini
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 4 часа назад
Kwahiyo wanataka watengeneze Fitina Gani hapo haha 😂 shenziiii acha Iran awanyooshe
@geoufo2858
@geoufo2858 3 часа назад
Mwamba kabisa alijua kabisa akaihamisha familiar
@MaulidAbdullah-nw9wu
@MaulidAbdullah-nw9wu 4 часа назад
Habari za uongo acha kutudanganya pumbavu wewe
@ShifaaSaleh
@ShifaaSaleh 3 часа назад
Miaka hiyo walitutengenezea video za bin Laden akiwa kwenye mahandaki na tukashtukia ni za kutengeneza. Karne hii milarayo unatuwekea upuuzi huu, embu fanya uchambuzi kabla ya kutulisha ujinga usiomezeka.
@DanielMrema-e3t
@DanielMrema-e3t 2 часа назад
Mbna hata amuongei kitu cha maana tanzania bhna
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 3 часа назад
Kama wajuzi wawaokowe mateka wao
@allythabiti8150
@allythabiti8150 4 часа назад
Hakuna pochi kama hiyo😂😂
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 3 часа назад
Muulize beyonce
@beatricekennedy8705
@beatricekennedy8705 3 часа назад
Kaangalie price ya pochi za Hermes hadi za dola laki Tano zipo
@beatricekennedy8705
@beatricekennedy8705 3 часа назад
Hermes bikini
@aediaygo8546
@aediaygo8546 4 часа назад
Wayahudi miyeyusho Kuna mifeki kibao Noguchi kibao Na Hao mateka Wanakula Nini siku zote hizo kama siyo propaganda kuitaka Gaza kinguvu 😊
@Omar-q2r7i
@Omar-q2r7i 3 часа назад
Niwaongo
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 часа назад
Wanawatafuta au wanaua raia hao Israel mashoga tu
@ZubeirKhamisAbdallah
@ZubeirKhamisAbdallah 4 часа назад
Media kubwa ila mpo ovyoo sasa ndio iwejee
@TheAlman
@TheAlman 4 часа назад
So what? Acheni propaganda za kimagharibi
@puregamers4215
@puregamers4215 4 часа назад
Millard ayo tunakufaham we ni nani
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 4 часа назад
Kafiti hilo
@lakasid3860
@lakasid3860 4 часа назад
​@@zuheorsalim7759 tulieni huko magaidi
@ChuseStore-j7t
@ChuseStore-j7t 3 часа назад
Wacheni Uongo basi
@TotheFirstWorld
@TotheFirstWorld 4 часа назад
Uongo. Futa hii Milard
@CelinTonny
@CelinTonny 3 часа назад
Milard kaanza ujinga na uongo
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 4 часа назад
MILLARD AYO SASA NDIYO UTUMBO GANI HUU UNAOTULETEA? KWA HIYO HATA UKIPATA VIDEO YA NETANYAHU KAJAMBA UTATUWEKEA HAPA AU SIYO?! UKIENDELEA KUTULETEA TAARIFA ZA KIDUWANZI KAMA HIZI TUTA UNSUBSCRIBE CHANNEL YAKO!!
@papamukulu1045
@papamukulu1045 4 часа назад
Una ngoja nini ku unsubscribe 😂
@emmadora7848
@emmadora7848 4 часа назад
We unataka akuletee habari unazozipenda tu au?
@emmadora7848
@emmadora7848 3 часа назад
We unataka akuletee habari unazozipenda tu au?
@papamukulu1045
@papamukulu1045 3 часа назад
@@emmadora7848 nashangaa
@Movies-k5y
@Movies-k5y Час назад
We nae mjinga mpuUzi tu​@@emmadora7848
@allythabiti8150
@allythabiti8150 4 часа назад
Halafu ifahamike hamas hawakufanya shambulio Israel au kwenye ardhi ya Israel bali walikuwa kwenye ardhi Yao inayokaliwa
@elishalazaro4033
@elishalazaro4033 4 часа назад
ardhi gani😅😅😅 walivamia israel
@absm8084
@absm8084 4 часа назад
Ulikuwepo😅😅😅😅
@fetehomar27
@fetehomar27 3 часа назад
Kuna watu hawajui km Israel wamechukua ardhi ya Palestine km wanaona Israel wanpigana kwajili ya mungu kinachopiganiwa ni ardhi waisrail wamechukua ardhi ya wapalestina ndiomaana wapalestina wanataka kujikomboa
@absm8084
@absm8084 3 часа назад
@@allythabiti8150 hiyo ardhi walichukulia kiholela wenzetu wanatunza history usidhani ni kama kwetu ukifa imeisha hiyo kwao ni tofauti kasome vizuri vitabu na history yao Israel walirudi kwao ndo wanashangaa kuna mtu kachukua ardhi yao nao wanasema ni kwetu so unataka aende wapi na wakati wamepaona kwao
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w 3 часа назад
​@@elishalazaro4033you must be fool you think Israel like you or know you mugu mumu vibaraka
Далее
Кто сделал Катар богатым? #shorts
0:59
Miyagi & Andy panda - minor (пародия Beatrise)
0:30
HIVI WASOMI WALIMFANYA NINI DOTTO MAGARI?😅
1:00
Просмотров 4,1 тыс.
EXCLUSIVE: MKEWE LISSU AFUNGUKA, NGUMU KUAMINI (PART 1)
26:26