Тёмный

MKE WA MASOUD KIPANYA AFUNGUKA/HATUPAPATIKI NA WAKE WENZANGU/NILIJISHAUA KUJUA NAOLEWA NA MASOUD 

Bona Tv
Подписаться 392 тыс.
Просмотров 33 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

15 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 152   
@evankya1955
@evankya1955 Год назад
Ni kujikaza tu hamna mwanamke anatamani au anakuwa na amani na wake wenza hata kama ni dini🙌🏽
@user-ct2nw8br1o
@user-ct2nw8br1o 2 месяца назад
Ni mawazo yako
@mamanael
@mamanael Год назад
Interwew nzuri sana tumejifunza 👏👏👏
@nerryabel7512
@nerryabel7512 Год назад
Haya maongezi ni mazuri jamani,nitakutafuta Mrs Masoud Kipanya👍👍
@user-mo1ui4qm7x
@user-mo1ui4qm7x Год назад
Yuko vizuri sana
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Год назад
Wanawake sisi ni wa pumbavu sana yani. Hivi nawaza tu. Kama wanawake nao wangepewa haki ya kuolewa ndoa zaidi ya moja basi hawa wanaume wangepinga kwa nguvu ZOTEE 🤗 mi niolee, nikutafute danga dadeq
@musseleng.2124
@musseleng.2124 Год назад
Siku ukiwa na Hedhi mwenye zamu yake utamsaidiaje...???
@ayshahussen7452
@ayshahussen7452 Год назад
Yani ww ni kama mm😊
@omarali797
@omarali797 Год назад
Wanafanya India, wewe ukipenda fanya Tu, au kuwa msagaji
@nasrahussein1653
@nasrahussein1653 Год назад
Wee wasinge kubali ingekuwa ruksa Allah karuhusu na MIJANADUME INGEPUNGA lkn ss wanatuonea tuuu hatakama twakubali lkn kiroho pembeni tena mm siwez bora Nidangee had NIPARAREEEEE
@husnamadai7052
@husnamadai7052 Год назад
Labda mjinga wewe ila sio wanawake
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Год назад
Ana mdomo balaa alafu sura ya baba
@oyay2821
@oyay2821 6 месяцев назад
Mdomo ndio hulka ya mwanamke, na sura ni mzuri sana sana
@halimakindamba4883
@halimakindamba4883 Год назад
Nimependaa hayaaa maongezii
@Shalom2018
@Shalom2018 Год назад
Kusema ukweli mambo mengine hayagawanywi hasa mapenzi,ingekuwa wanawake nao wameruhusiwa kuolewa na mwanamme zaidi ya mmoja basi wanaume wasingekubali hilo jambo
@mwanahamishamis2711
@mwanahamishamis2711 Год назад
Naumgana na ww apo
@piusgadau6328
@piusgadau6328 Год назад
muwe kama wanaume wakati Mungu hakuumba hivo
@musseleng.2124
@musseleng.2124 Год назад
Sheria hiyo imewekwa na MUNGU ana maana yake. Hebu jaribu kuwa na mwanamme zaidi ya mmoja halafu njoo utuambie
@ayshahussen7452
@ayshahussen7452 Год назад
Ni ngumu kwa kweli to be honest cwz 😏
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 Год назад
Fikira za kimalaya usilete kwenye maandiko ya Mungu
@dayana5513story
@dayana5513story Год назад
Wanawake wengi wangekua wanafikira kama zako basi ndoa zingenoga
@swabrinaidassy865
@swabrinaidassy865 Год назад
BONA TV❤❤❤❤❤
@jamilajamila9682
@jamilajamila9682 Год назад
😅😅😅😅katika kuigiza pale..😅😅😂😂😂😂❤
@pamelachale8955
@pamelachale8955 Год назад
Uzuri uolewe mke wa pili mwanaume awr na roho ya ibada sio jitu li binafsi puuuh
@mwanahamishamis2711
@mwanahamishamis2711 Год назад
Changamfuu huyu😅😅😅
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Год назад
Tanzania Kuna watu wajinga mpaka wanatia huruma, Sasa naelewa kwa nini Masudi kavurigwa kumbe wake aliorundika Akili anazoshauriana nazo ndio hizi
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 Год назад
Humpati kwaakili hata robo
@marygregory7566
@marygregory7566 Год назад
We mwerevu umefata nini kwenye maongezi ya wajinga
@sylviamapande1224
@sylviamapande1224 Год назад
Hana akili kabisa zunye
@mwanahamishamis2711
@mwanahamishamis2711 Год назад
Ila huy dada 😂😂😂
@fhhfhj7719
@fhhfhj7719 Год назад
Mngetuwacha tufunguwekwanza jomoni😂😂❤❤
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Год назад
Mwanamke akiwa anaongea sana uzur wote unaisha
@aishaomar2287
@aishaomar2287 6 месяцев назад
Assalalaaa😂😂😂😂
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Год назад
Hapa nawaza masoud maneno mengi mke maneno mengi iyo nyumba yao lazima itakua miyeyusho sana wajuaj wawili wakikutana n shidaaa
@AlimaOman-dm2nl
@AlimaOman-dm2nl Год назад
😂😂😂😂😂😂
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 Год назад
Mke wa nnne labda ni mpole. Dunia ina aina nne za wanawake Masoud ana aina zote
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 6 месяцев назад
😂😂😂😂
@estershekika8865
@estershekika8865 Год назад
Mungu wangu wake wanne kwa kazi ile ile ya utangazaji
@zayanazayana5353
@zayanazayana5353 Год назад
Utakuta hao Wanawake kl mmoja ana kikazi chake
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Год назад
😂😂atari Yani tamaa mbele umauti nyuma anachochote
@musseleng.2124
@musseleng.2124 Год назад
Kwa hiyo ukiwa mtangazaji hurusiwi kufanya Biashara...???
@salmabasil385
@salmabasil385 Год назад
Masoud huwa anaoa wanao jiweza na sio mbaya
@isaiahmwasonzwe2486
@isaiahmwasonzwe2486 Год назад
Kazi ya utangazaji anafanya kwa masaa mawili
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Год назад
Sasa ina maana gani kuwa na mke zaidi ya mmoja na huwezi leta familia pamoja wakawa kitu kimoja?
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Год назад
Ndo apo sasa
@oyay2821
@oyay2821 6 месяцев назад
Huyu mwanamke ana confidence kiama
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Год назад
Hii itakua ni moive tu sio kweli
@mamachris6811
@mamachris6811 Год назад
Dada umenyooka 👍
@tinaminja5500
@tinaminja5500 Год назад
Huo Ni upuuzi mnajigandamiza wenyewe alafu magonywa Ni mengi apo aisee
@IsmailIsmail-ix1yd
@IsmailIsmail-ix1yd 7 месяцев назад
Mwanamme awe na wake wanne was ndoa, na mwengine awe na wazinifu wenziwe wanne nje ya ndoa, ugonjwa upo wapi!? Jawabu lazima unalo, Muumba hatiwi kasoro. Anajua anachokifanya.
@IsmailIsmail-ix1yd
@IsmailIsmail-ix1yd 7 месяцев назад
Mwanamme awe na wake wanne was ndoa, na mwengine awe na wazinifu wenziwe wanne nje ya ndoa, ugonjwa upo wapi!? Jawabu lazima unalo, Muumba hatiwi kasoro. Anajua anachokifanya.
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 7 месяцев назад
Naomba namba yako ninashida ya uzazi inshaallah
@claudiajames2003
@claudiajames2003 Год назад
Yani we mdada Kwa akili ulizonazo natamani hata ungeolewa na mwanaume ambae Hana wanawake wengine,Yani dah hivi ni nini jamani? 4????
@ayshahussen7452
@ayshahussen7452 Год назад
Acha kusifia upumbavu ww moyo haugawanyiki awe wa kike au wa kiume huwezi penda mara 2 au 3 au wa 4 kizibo ww
@newbwejuu4302
@newbwejuu4302 Год назад
Unakili kuliko mungu!?
@aminaally5436
@aminaally5436 Год назад
Acha kukufury munguuu
@ayshahussen7452
@ayshahussen7452 Год назад
@@aminaally5436 hujielewi
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Год назад
Mgangaaaaa huyuuu heeeeee
@mligosandrah7851
@mligosandrah7851 Год назад
Mimi kushea bwana siwezi labda nisijue kabisa
@LydiaIsangi
@LydiaIsangi 20 дней назад
Kusaidiwa ni lzm ucheke unune,sema unasaidiwa kistarabu 😂
@ratnarashid7745
@ratnarashid7745 Год назад
King mama kikwapa icho vipi
@annamduma2504
@annamduma2504 Год назад
😂😂😂kumbe na ww umekiona
@hawangalima
@hawangalima Год назад
Ni maumbile na ni kawaida Pia
@edlumala9428
@edlumala9428 Год назад
Dunia ya leo haki inaonekana batil na batil inaonekana haki!
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 7 месяцев назад
Mmmh mbona kuna harufu ya shirki kikubwa Dua tu hayo mambo ya majini ni shirki hiyo 😮
@hassanabubakar5428
@hassanabubakar5428 Год назад
Mashallahila ila unaongea sana
@jasminhussein3024
@jasminhussein3024 Год назад
Sibath oyoooooo🔥🔥🔥🔥
@pamelachale8955
@pamelachale8955 Год назад
Bi dada umefeli sasa siku zote hizo mke wa 3 unajua yupo kwa mwenzio mimi kwa kweli nitakufa na presha siwex hii biashara
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Год назад
Roho mbaya tu
@swabrinaidassy865
@swabrinaidassy865 Год назад
BONA TV❤❤❤❤❤😂
@user-yh3el1oc3t
@user-yh3el1oc3t 7 месяцев назад
Mbona mcharuko pia haendani na tabia za mumewe moto sana
@anitajacob3641
@anitajacob3641 Год назад
Acha uwongo kamakweli unajuwa dawa ungemtuliza mumeo kwani akuna mwanamke anaependa ukewenza
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Год назад
Mna kazi waislam🙌
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Год назад
Dini inaruhusu mpz wangu.hatuna jinc.wanaume ndo wameupatia...suna zote hawaoni wameona hii tu😂..wanaume wameumbiwa mapenzi.daima hawatosheki
@MariamMariam-hc8ng
@MariamMariam-hc8ng Год назад
Hili sasa hv halina waislam wala nn dini zingne wanafanya huko kimyakimya za serikalin 🤣🤣🤣🤣
@svt3
@svt3 Год назад
@@MariamMariam-hc8ng na wanao inne hawaachie hapo wanao wengi zaidi ya wane na mahawara zaidi ya kumi sio eti wanabaki na hao wanne msijidanganye
@MariamMariam-hc8ng
@MariamMariam-hc8ng Год назад
@@svt3 hakuna alonidanganya hilo lipo wazi lnajulikana kulko hao wanaosema ndoa ya mke mmoja halafu nje vmada Kama vyote an kulia wanakiomba michepuko iachie ndoa zao
@svt3
@svt3 Год назад
@@MariamMariam-hc8ng na walio ruhusiwa wake wane wanamichepuko zaidi ya kumi inje japo inne wako nyumbani 😂😂
@ayshahussen7452
@ayshahussen7452 Год назад
Masoud umechemka mke ni mmoja tu kipenz changu mama Malcon iki kishoia cjui umekiokota wp
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 Год назад
😂😂😂dawa labda
@harmonymanongi8417
@harmonymanongi8417 Год назад
Namba please za make wa kipanya
@salehemganga1081
@salehemganga1081 Год назад
Eti mimi akili sina, 😀
@mariammwiso
@mariammwiso Год назад
I love her already. Hio page inaitwa aje. ❤🇰🇪
@shafiismaily9223
@shafiismaily9223 Год назад
Mama unajitambua safi sana
@godlema6104
@godlema6104 Год назад
Mwanamke mcharuko sana apo yupo kwenye media je akiwa nyumban inakuwaje
@aimfetty1641
@aimfetty1641 Год назад
Kwakweli hata mi nimeshangaa😂😂😂😂
@godlema6104
@godlema6104 Год назад
@@aimfetty1641 mwanamke inatakiwa asiongee sana bhna aikiwa muongeaji sana anaboa
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Год назад
Ana mdomo balaa
@KIVULEPLAZASAKANNA
@KIVULEPLAZASAKANNA 7 месяцев назад
😊
@HelenahSian-hl5ue
@HelenahSian-hl5ue Год назад
Unacheka kutachika tu kama mke WA Dr mwaka
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 Год назад
Toa namba watu tunataka hizo huduma
@hamidawamba
@hamidawamba Год назад
Mama wa sit bath
@aminamabalaza7638
@aminamabalaza7638 Год назад
My Wangu
@nasrahussein1653
@nasrahussein1653 Год назад
Mm jamani siwez bora nikadange
@nuruvinny5141
@nuruvinny5141 Год назад
Mipia
@nasrahussein1653
@nasrahussein1653 Год назад
Kumbe yuko weee gii
@isaiahmwasonzwe2486
@isaiahmwasonzwe2486 Год назад
Unahisi unaweza kuwa na nguvu kama mwanaume.....
@nasrahussein1653
@nasrahussein1653 Год назад
@@isaiahmwasonzwe2486 kwann nguvu ninazo tena huenda nikamshinda mwanaumee
@isaiahmwasonzwe2486
@isaiahmwasonzwe2486 Год назад
@@nasrahussein1653 jaman hongera coz wanawake wengi hawawez mikito ya tar 1 to 31.......pia naona kama ndio asili ya uumbaji wa Mungu toka mababu zetu huko Wengine wanaume wana act kwa wake zao kama hawana michepuko ila kuna siri kubwa
@user-mo1ui4qm7x
@user-mo1ui4qm7x Год назад
Nataka namba za huyu mkee 13:09
@rehmakondo
@rehmakondo Год назад
Sisi wanawake hatupendani, utaskia subutuu haingii mke mwenza akhaaaa, ni ukosefu wa elimu yani anaona bora azini kuliko kua kwenye kheri, na wanaume nao anaona bora amkosee Muumba wake amfurahishe mke wake mtihani sana
@hafsashayo1713
@hafsashayo1713 Год назад
Unajipa moyo maana unashea mume
@rehmakondo
@rehmakondo Год назад
@@hafsashayo1713 khaaa 😄😄😄mbona umeumia sasa hakuna cha peke ako watu wanajilia tu ndio nyie mnaojifanya kuweka vikwazo unataka kushindana na Muumba
@hafsashayo1713
@hafsashayo1713 Год назад
@@rehmakondo jibu langu limekuuma,usiogope me jiran yako
@rehmakondo
@rehmakondo Год назад
@@hafsashayo1713 sijaumia wala sijatetereka, huo ndio ukweli, kama ww jirani yngu, basi me ww mwandani wngu, kuwa mpole, hakuna tunachogombea hpo, ila ukweli unawaumaga 🤣
@mwantumuhassani5086
@mwantumuhassani5086 Год назад
tatizo hao waolewaji ndiyo mtihani
@OnlyRuky
@OnlyRuky Год назад
Mashaalah she's very beautiful
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 Год назад
Sio mwanamme wako mume wako.... rekebisha lugha
@helenswai7452
@helenswai7452 Год назад
Masudi kaoa mganga,
@yahayaallytv2852
@yahayaallytv2852 Год назад
Wanawake wengi wakiisiilamu hawapendi dini yao kwasababu ya wake weza
@mamamwajei8789
@mamamwajei8789 Год назад
iv naolewaje mke wa nne?ukiona mtu kaoa wake wanne ujue ni tamaa ya kimwili,,na apo bado hao wanne ukute haridhiki
@pamelachale8955
@pamelachale8955 Год назад
Mbna hiyo kavad hatuioni hista jamani atumr namba
@maindachausa3912
@maindachausa3912 Год назад
andika coveredbutstillhot7
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Год назад
Wewe ni mganga kumbee 😂😂😂
@mwantumuhassani5086
@mwantumuhassani5086 Год назад
wewe lazima uongee ivyo mkewe wakwanza ndiyo anamaumivu makali sana nyinyi wengine wezi tu
@newbwejuu4302
@newbwejuu4302 Год назад
Sema kwa dini yako si uchoyo
@ashamaneno9819
@ashamaneno9819 Год назад
Yan we dada saw namm yan me kujua tuko wengi n ile siku mume akienda kulala kwa wezangu ndo najua ila tofaut n ivyo na enjoi saan.
@sifaupindo
@sifaupindo Год назад
Mmmhh
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Год назад
Ujinga mtupu
@hussainmasoudsubhannallah3786
Huyo ubini ndio wa Baba yako pia usiwe umerithi tabia za makafiri zakubadilisha ubini
@piusgadau6328
@piusgadau6328 Год назад
wewe ni mganga wa kienyeji
@swabrinaidassy865
@swabrinaidassy865 Год назад
BONA TV❤❤❤❤❤
@swabrinaidassy865
@swabrinaidassy865 Год назад
BONA TV❤❤❤❤❤
@swabrinaidassy865
@swabrinaidassy865 Год назад
BONA TV❤❤❤❤❤
@swabrinaidassy865
@swabrinaidassy865 Год назад
BONA TV❤❤❤❤❤
@LavaV80-ny3dq
@LavaV80-ny3dq Год назад
Namba zako dd
@luciazake6367
@luciazake6367 Год назад
Namba ya simu hajatoa.Bona tv wezesha namba
@swabrinaidassy865
@swabrinaidassy865 Год назад
BONA TV❤❤❤❤❤
Далее
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Они просто хотели жить...
0:22
Просмотров 12 млн