Ni kweli Masoud. Epuka sana wale watu wenye nyenyenye mingi. Utawasikia " I'm always real, ... You know what I'm saying...? You get me... Err....? Wazungu mwitu fulani hivi. Kimbia hapo ni jala.
Aya imeanza kwa kusema oeni katika wanawake mnaowapenda imeanza navwawili. Watatu au wanne lakini haikuanza na kuja chini hiiyo siyo SAHIHI. Surat An Nisaa Aya ya tatu.
Naam, swadaktana. Na kwa kuongeze, NDOA ni kubadilishana watoto, mwanaume anaenda kua mtoto wa kwa familia ya mke na mwanamke anaenda kuwa mtoto wa familia ya mume. Nayo ni ahsan kubwa inayo paswa kudumishwa. ( sheikh soud).