Тёмный

Mke Wangu Na Watoto Wangu 3 Wamehukumiwa Kunyongwa|TAZAMA MZEE AMWAGA CHOZI AKIILILIA FAMILIA YAKE 

Afrimax Swahili
Подписаться 311 тыс.
Просмотров 210 тыс.
50% 1

Hii ni Historia Ya Mzee Bilal Miromo Ambaye Mke Wake Na Watoto Wake 3 Wamehukumiwa Kunyongwa.
Kumbuka :Asili ya Video Hii Iliundwa Kwa KISWAHILI&KIFARANSA Chini Ya Afrimax Ltd,Ikimaanisha Tunamiliki Haki Yake kwa 100%,Hili Ni Toleo La Kiswahili,
Usisahau Kubonyeza Alama Nyekundu (Subscribe)kisha Alama Ya Kengele ili Uwe Wa Kwanza Kupata Video Zetu AFRIMAX SWAHILI
#afrimaxswahili #truly #historiaisiyoyakawaida #trending #tanzania #rwanda #yangasc #simba #simbasc
#duet #love #tanzania #simbanayanga #paulmakonda #arushatanzania #daressalaam #ngaoyajamii #comedy #diamondplatnumz #jasonderulo #komasava #trendingvideosintanzania #usajilimpyawasimba #usajilimpyawayanga #wananchiday #sikuyawananchi #simbaday
#azamsports #goldenboy #karma #kenya #ruto #maajabu #greenscreen

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,1 тыс.   
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 4 месяца назад
Kuna majaji hata kama si wote wameteuliwa kinamna hasa wakati wa Kikwete wakati wana ushahidi tosha wa kujihusisha na uvunjifu wa maadili. Inshallah Mzee Bilal, wewe muachie Mungu wote atawalipa na utashuhudia wakipewa stahiki yao. Mungu akusimamie. Huyu bwana anapaswa kuchangiwa lau ajikimu. Vyombo vya habari msaidieni mwenzetu. Leo kwake kesho hatujui ni kwa nani. Mzee ana roho ngumu na ni tajiri wa subira. Hata hivyol hivyo pekee havitoshi. Anahitaji msaada. Mwenzetu ameumizwa amedhalilisha na kudhulumiwa. Hii ndiyo sura ya nchi yetu halafu unaambwa kunogile wakati kunugulu. Pole sana ndugu yetu Mungu atakusimamia na kukulipa.
@hamzahkanuni4830
@hamzahkanuni4830 Месяц назад
Stori inaumiza sana. Kuna watu siku ya kiama watakuwa katika hali ngumu sasa na kwa haya wanayofanya wakiwa duniani.
@hamzahkanuni4830
@hamzahkanuni4830 Месяц назад
Mwenyezi Mungu ampe subira sasa. Wachagga noooma
@user-cf3bd1ym4e
@user-cf3bd1ym4e 4 месяца назад
Tunamwomba Allah atakufanyia wepesi litakwisha tu watakuwa huru siku moja pole sana Dr Bilal
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb 4 месяца назад
Ewe mwenyezi Mungu nakuomba uwasaidie mama na watoto wote.nakumba Mwenyezi Mungu mtie nguvu mzee uyu,ewe mwenyezi Mungu wafanyie njia paspo njia wakomboe katika kesi hii 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@ramadhaningulinga217
@ramadhaningulinga217 4 месяца назад
Pole Doctor Bilali mwezi mungu akufanyie wepesi yeye ndie hakimu wa kweli,,insh Allah
@mfungonishauri4234
@mfungonishauri4234 4 месяца назад
Alhamdhullillah... Alhamdhullillah... Alhamdhullillah.... HasbiAllahu waneemal wakila.... YA MIJIB atajibu in Sha Allah
@user-hp6pq9fb2l
@user-hp6pq9fb2l 4 месяца назад
Inshaallah
@user-uf8cy1mj1h
@user-uf8cy1mj1h 4 месяца назад
Wachaga wanaroho ngumu Sana
@user-uf8cy1mj1h
@user-uf8cy1mj1h 4 месяца назад
Mungu muwezayuponawe
@user-uf8cy1mj1h
@user-uf8cy1mj1h 4 месяца назад
Baba shetani kasimama kakati ingia katitkakisomo watuwameka vifungo amka fanya visomo madua mungu atakusaidi
@DativaMbowe
@DativaMbowe 2 месяца назад
​@@user-uf8cy1mj1h wachagga wanaroho mbaya walimfira mamaako??
@user-fq1gg8rj9i
@user-fq1gg8rj9i 12 дней назад
😭😭 Naam duniya ni mapito....sote tutapita....usikate tamaa Baba... Allah yupo pamoja na wenye kusubir waja wake ... naaam simama na Allah Tabbarak Rahman ..atalihukumu hili ln Shaa Allah...usikate Tamaa Dr
@user-ds5tf9xx1d
@user-ds5tf9xx1d 4 месяца назад
Pole sn mzazi wng baba yng mpogolo mwenzangu history imeniumiza mno na uongeaji wako umenikumbusha marehemu baba wapogolo tunajuana kwa kweli.....mungu akusimamie kwa kila Haki yako itendeke Insha Allah
@AgnessUrassa-io9lj
@AgnessUrassa-io9lj 4 месяца назад
MUNGU kwanza
@AgnessUrassa-io9lj
@AgnessUrassa-io9lj 4 месяца назад
MUNGU kwanza on line
@FatumaBandali
@FatumaBandali 3 месяца назад
Yote kwakweli unayosema mzee ni kweli tanzania hakuna polisi wala haki ni pesa kwenye sheria ni pesa yako tu mzee
@ChikuAbeid
@ChikuAbeid Месяц назад
Pole sana mzee dk bilali mungu atakulipia
@salimwilliam8855
@salimwilliam8855 Месяц назад
Pole sana mugu ataku simamia
@user-wg9xj4bi3s
@user-wg9xj4bi3s 10 дней назад
Pole sana mzee wangu. Mungu ndo hakimu wa kweli. Ipo siku watatoka tu. Haki ya mtu haiwezi potea bure
@alnaseralshaukail3350
@alnaseralshaukail3350 4 месяца назад
Pole sana Mzee wangu najaribu kuvaa kiatu chako hakinitoshi Mwenyezimungu yupo pamoja na ww Inshallah 😢😢😢
@user-fq1gg8rj9i
@user-fq1gg8rj9i 12 дней назад
Baba angu usichoke...kumuomba Allah ndie hakimu wa haki muadilifu...ndie atakuhukumiya hii kesi hao wote watajutiya walio yafanya ln Shaa Allah
@user-pi3vj5sn3l
@user-pi3vj5sn3l 3 месяца назад
Pole sana ndugu yangu katika Imani nakuakikishia mungu ndie mlipaji bora insha'Allah allah atawalipa hapahapa duniani na kesho akhera kuna hesabu na malipo makubwa
@theclamarealle6052
@theclamarealle6052 4 месяца назад
Pole sana dr Mungu atakutendea watatoka Mungu hufanya njia pasipo na njia. ILA TANZANIA JAMANI TUACHE VITENDO VYA UNYASAJI JAMANI SISI WOTE NI NGUGU MOJA TUPENDANE TU MAANA HAKUNA BINADAMU ATAKAEISHI MILELE
@dorcusngota8715
@dorcusngota8715 4 месяца назад
Sio tanzania tu bali nchi nzima
@user-qm2lm7fu7m
@user-qm2lm7fu7m 4 месяца назад
Mungu akupe nguvu baba
@alhamiraj4570
@alhamiraj4570 4 месяца назад
Kweli dunia tunapita @@user-qm2lm7fu7m
@rukiajuma3558
@rukiajuma3558 4 месяца назад
Sio Tanzania tu hata kwetu tuko hvyo
@shamzone388
@shamzone388 4 месяца назад
ALAISA ALLAH BIHAQAMIN HAQIIMIN….. hakuna hakim ila Allah…..mzeee wangu soma sana … WALASAUFAUTIKARABUKA FATARIDHA ….UTASHINDA KESI MZEE WANGU
@user-hp6pq9fb2l
@user-hp6pq9fb2l 4 месяца назад
Mashaaaallah tabarakAllah nimeipenda hiyo❤🎉
@TwahiyaHusein
@TwahiyaHusein 12 дней назад
Allah akuzidishie subra, viongoz mungu awawafikishe kutenda haki katika jambo hili aamiin
@maulidi8479
@maulidi8479 4 месяца назад
Huyoo jaji Mungu ampe laaana yeye na ukooo wake woote
@user-gc5lk9jl6t
@user-gc5lk9jl6t 3 месяца назад
Amin Amin thuma Amin
@nanziamtana1241
@nanziamtana1241 11 дней назад
Pole sana, eeeeeeee mungu sikia kilio cha huyu baba .Mwamini mungu ipo siku watatoka
@awadhmohamed-rm4we
@awadhmohamed-rm4we 3 месяца назад
Mzee wangu pole sana Allah akuhifadhi wewe na familia yako daima
@user-fq1gg8rj9i
@user-fq1gg8rj9i 12 дней назад
Subhana Allah 😭😭😭.laa illlaa haillah😭😭. Yaan duniyan hapa ....hv nyie viongoz mlio soma... mbona mnashindwa kutetea haki...jaman 😭.pole Baba...Mungu ndie hakimu wa haki siku itafika tu Mshukuru Mungu baba etu kipenz.....Enyi viongoz fanyen kazi kwa uadilifu Mungu anakuoneni mnayo yatenda... qur-an imesha sema yote haya..... laa haula wala quwata illa bilahi laa -aliyu L-dhiimu .
@TabuManga
@TabuManga 4 месяца назад
Mama Samia wewe ni msikivu mama iangalie hiyo kesi basi inshallah Allah akufanyie wepesi kuyatazama mambo ya uonevu kama haya
@onyaluoma848
@onyaluoma848 4 месяца назад
Amiin yarrabb
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 4 месяца назад
Kweli jamani na Mungu mlipie kisasi Baba huyu🙏
@muhamadkiploti6310
@muhamadkiploti6310 4 месяца назад
Allah tunamuomba asimame nawe daktari ili uungane tena na familia yako. Amin
@sophymwanyama4007
@sophymwanyama4007 4 месяца назад
Pole sana baba MUNGU akupe nguvu kwa wakati huu mgumu yote ni mapito amini Mungu atatenda katika Jina la Yesu kristo
@zainabuibrahim4766
@zainabuibrahim4766 4 месяца назад
Pole sana mzee wetu.mimi nitahusika kukuombea dua ili Allah akupe ushindi kabla ili wajue kuwa dhuluma
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 4 месяца назад
Samia ni msikivi wa wapi wewe acha kujikomba. Angekuwa msikivu huyo Mzee asingeonewa
@jumakibasame3210
@jumakibasame3210 4 месяца назад
Dah,kweli hapa duniani hakuna Hali haki IPO Kwa mungu dunia ni uonevu Tu.dhuluma
@BelenardoStansilaus-bh9vk
@BelenardoStansilaus-bh9vk 4 месяца назад
Duu pole San mzee mungu hatupi mjakazi wake
@user-sx1xi4yb2z
@user-sx1xi4yb2z 4 месяца назад
Baba ni mchamungu mno,,na mungu amekupa subra isio na kifani,,ipo siku utavuna matunda ya subra,, Nina imani siku si nyingi,mambo yatakaa sawa, Ameen,,, Umeniliza mno my,,na ninakuombea kila nikumbukapo historia yako
@didimeandrewngowi
@didimeandrewngowi 4 месяца назад
Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluh Hassan Tunaamini wewe ni kiongozi msikivu wa wanyonge, tunakuomba uangalie jambo hili, mimi sio mwanasheria lakini kesi hii imetengenezwa.Toa neno moja tu.Mungu anakusikia.
@user-lv7rl2sq6t
@user-lv7rl2sq6t 10 дней назад
pole sana baba mungu ndo mueza wahaya yote ishinde nafsi yako baba usije ukakufulu mungu atakupa hakiyako baba
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 4 месяца назад
Yupo msemaji wa mwisho ni Mungu pekee atatenda kwa haki endelea kumwomba Mungu mtetezi wako yuu hai utashinda kwa kishindo cha Mungu amen
@shamiramsoke1365
@shamiramsoke1365 4 месяца назад
Ameen
@KichwaGeneral
@KichwaGeneral 4 месяца назад
😮😢😊​@@shamiramsoke1365😅😅😊😢ppppppppppi0ppippppoppppppppp
@zahariawaziri6794
@zahariawaziri6794 4 месяца назад
Haki inachelewa ila itapatikan kwa uwezo wa Allah hii mitihan ickie tu kwa mwenzio inauma Zaid ya sana
@FrolaMhagama-tt4ez
@FrolaMhagama-tt4ez 4 месяца назад
​@@shamiramsoke1365wew wsßwssßed
@user-cz5zy1ck2k
@user-cz5zy1ck2k 4 месяца назад
Allah nakuomba uhukumu kesi hii .,kwani ww ni mjuzi na nimuweza juu ya kila kitu. Yaa Rabbi tenda haki. Haki inatoweka kwa kiasi hiki ?!!
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s 3 месяца назад
Mwenyezi mungu akufanyie wepesi mzee wangu. Na aiponye familia yako itoke salama huko magereza , inshallah mwenyezi mungu atasikia maombi yako na yetu kwa pamoja.
@DavidJohnMtui
@DavidJohnMtui 4 месяца назад
Uyo Jaji alaaniwe yy na kizazi chake ee MUNGU uweke kila aina ya ubaya na laana zote za dunia kwenye uzao wa hao watumishi wa serikali wanaotendea ubaya wenye haki bila kuwa na hatia,,haribu kazi zao na maisha yao na ikikupenda zaidi MUNGU wetu wazike familia zao kisha na wao wafe kwa mateso makubwa 😢😢😢 Amen
@dorcusngota8715
@dorcusngota8715 4 месяца назад
Amen
@KHAMIS_SHILINGI
@KHAMIS_SHILINGI 4 месяца назад
Allaahumma aamiin yaa rabbi 😢😢😢
@user-gd6kt9hu3t
@user-gd6kt9hu3t 4 месяца назад
Amin yarabiy llalamin
@user-bu3lg2sc7x
@user-bu3lg2sc7x 4 месяца назад
Ameen yarab aalamin..... Laaanaatul wallah jaji....
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 4 месяца назад
Huyo ni mchawi jaji atapata laama sana
@allykomsonde7813
@allykomsonde7813 4 месяца назад
SAKINA simfukwe kama ulijua unachokikifanya kwenye kesi ya hiifamilia basi mungu atakulipa kwaanziawewe nakizazi chako kupitia maraika wamwenyezi MUNGU mudahuu 03:46 usiku Amina
@user-gc5lk9jl6t
@user-gc5lk9jl6t 3 месяца назад
Amin thuma Amin
@alisaid9920
@alisaid9920 4 месяца назад
Pole sana mzee inshallah Mwenyezi Mungu akuone kwa jicho la rehema familia yako iachiwe uonane nao inshallah
@aminaali792
@aminaali792 4 месяца назад
Subhanah ALLAHbinaadam wenzetu wanapitia mitihani mikubwa sana tuseme tu Alhamdulillah 🤲🏼😭imeniuma nyinyi wana hii channel naomba mumsaidie apate haki zake musiishie kumtoa kwenye channel tu mukafaidika peke enu jamani mumsaidie please 🙏🏽😭
@aminamaulid7371
@aminamaulid7371 4 месяца назад
Allah ni mwingi wa Rehma na ni mkuu wa mahakimu wote, Insha'Allah haki itapatikana tuu😢
@user-sk9co1qz3p
@user-sk9co1qz3p 4 месяца назад
Pole sana baba huu ni mtihani2 na hakika utafaulu kwa jina la Allah Inshallah!
@SubiraKhamis-ix4nf
@SubiraKhamis-ix4nf 4 месяца назад
Mzee Allah akupe subira inshallah
@user-dn5pc6fn2h
@user-dn5pc6fn2h 3 месяца назад
Pole sana babayangu na mtihani huo naamini Mungu yupo atakufanyia wepesi ishaallah
@SarahMbelwa
@SarahMbelwa 4 месяца назад
Subhnallah. Ewe Allah wafanyie wepesi waja wako haki itendeke kwa family hiyo ya Dr Bilal. Naomba namba yako Dr.
@mwanajumajenjewa851
@mwanajumajenjewa851 4 месяца назад
Kaka Bilal swali tahajud
@zuhurahussein
@zuhurahussein 4 месяца назад
Pole Sana babangu Allah akupe subra na nguvu haki na bathil haisimami Allah atakulipia ntakutilia dua inshaallah kwenye swalah zangu inshaallah utafuzu kwa uwezo wake Allah
@AblaSakasa
@AblaSakasa 4 месяца назад
Pole Dr mungu atakufanyia wepesi kwa Hill jambo,,,,,,,,,,
@hamisimkulu6571
@hamisimkulu6571 4 месяца назад
Chukua mbuzi mwekundu vaa mavazi mekundu soma suuratul anaam 21 ukiwa nawatoto 7 wanatia Nia Yani wawe wanamuomba Allah ukimaliza chinja huyo mbuzi gawa hizo nyama kwamajirani halafu usikilize majibu
@bonifacefaustine3075
@bonifacefaustine3075 4 месяца назад
Pole sana Baba yangu.maelezo ya mzee yanaonesha kuna uonevu mkubwa.Mungu akusimamie ushinde hilo jaribu kubwa lilokutenga na wapendwa wako wa damu
@user-ig6pg6oz9i
@user-ig6pg6oz9i 4 месяца назад
Duh apo mzee pole saana mungu anaona mimi mchozi unanitoka bila kujijua😢😢😢😢
@YusraHamadi
@YusraHamadi 4 месяца назад
Hasbunallah Wane'emal Wakil Ne'emal Mawlaaa Wane'mal naswiru. allahu A'alamu💯
@MasterNicodemus-yw8tq
@MasterNicodemus-yw8tq 4 месяца назад
Pole sana mzee mungu ndio mtetezi wa haki hivyo anakuskia
@Iddy-qd6cj
@Iddy-qd6cj 3 месяца назад
Pole sana baba tuzidy kumuomba Allah akufanyie wepesi ishaallah nikutakie maisha mema dunian na kesho akhera
@rahmashapani5926
@rahmashapani5926 4 месяца назад
Pole Sana Baba angu Kwa uwezo wa.Allah watatoka
@RahabuJoseph-sp5dz
@RahabuJoseph-sp5dz 4 месяца назад
Shida Ni nin?
@dignanguma
@dignanguma 3 месяца назад
Pole sana kwa mapito magumu haya. Mwenyezi Mungu atakusaidia kiasi kwamba hii itabaki kuwa historia.
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 4 месяца назад
Mzee pole sana, ushauri wangu kama unaweza kwenda Arusha omba kuonana na Makonda msimulie hii kitu itaisha. Pole sana Mzee.
@romanamassawe814
@romanamassawe814 4 месяца назад
Utakuwa mjinga mpaka lini ?
@zainab8251
@zainab8251 4 месяца назад
Makonda ni hakim au
@romanamassawe814
@romanamassawe814 4 месяца назад
@@zainab8251 Asante wangu, hata wewe umeshangaae ?
@FridaMmari
@FridaMmari 4 месяца назад
Nyie vilaza makonda sio levo yenu,Makonda Atalifikisha kwa mamasamia,na hao mahakimu,wakaifuta kesi
@annengumbi5551
@annengumbi5551 4 месяца назад
Julisha Mama Suluhu hii jambo.
@Khalidmwangwai4651
@Khalidmwangwai4651 25 дней назад
Mwenyezi Mungu awape heri aki
@user-bu3uh1bu7z
@user-bu3uh1bu7z 4 месяца назад
Pole na mitihani baba allah akufanyie wepesi kwenye hili inshallah 😢
@jeremiahpirminnyoni618
@jeremiahpirminnyoni618 4 месяца назад
Mtani wangu Mpogoro pole sana, mke alikupa Mwenyezi Mungu bahati mbaya kabila hilo ni hatari sana kwenye ardhi, ilikuaje mtani wangu ukajiwekeza ukweni wakati kwenu kuna ardhi nzuri yenye rutuba? Pole sana Mungu ataleta heri haki itapatikana tu. Allah akusimamie.
@ahazinelson6351
@ahazinelson6351 4 месяца назад
Pole sana Dkt.Billal,hapa tujifunze kitu kwa wakwe sio kwakuwekeza.
@TwahiriyaHussein
@TwahiriyaHussein 2 месяца назад
Pole sana baba mungu atakupa haki yako mkeo na wanao watakuwa huru
@genevievesunday
@genevievesunday 4 месяца назад
Ukiona hivyo na uchawi unatumika kukuangamiza, kinachotakiwa ni kumwomba Mungu zaidi aingilie kati swala Hilo. Pole sana Dr.
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 4 месяца назад
Hakika haswaaaaaaa!
@mauasylla5024
@mauasylla5024 4 месяца назад
Mwenyezi Mungu akutie nguvu. Haki itatendeka tu. Wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Malipo no hapa hapa duniani. Poleni sana.
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 месяца назад
Oo mungu wangu kumbuka rahema ukumbuke kilio cha wanyonge
@MwamvitaMrisho
@MwamvitaMrisho 3 месяца назад
Pole Sana Dr bilali mwenyezi mungu aikusaidia atatoka ishallah
@AmneAlRiyami-zp4ri
@AmneAlRiyami-zp4ri 4 месяца назад
Pole sana Allah atakulipia haki Yako dhulma haidumu Tanzania hayo mambo wanafanyiwa watu wengi sana inasikitisha sana mama Samia okoa maisha ya huyo binaadam mama Samia mitano tenaaaaaa
@muthannajuma6896
@muthannajuma6896 4 дня назад
Allah ni hakim wa haki. Allah atakulipa haki yako na ujira kamili. Inasikitisha saana
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 4 месяца назад
Amka SAA name usiku uswali taka mblili soma dua hii Allah ilaha iaanta subhanaka ikintum mina dhalimini mungu atakujibua
@shamilaalhabsi909
@shamilaalhabsi909 4 месяца назад
Laila haila anta subuhanaka ini kuntum minadhalimini
@wemakalama6458
@wemakalama6458 4 месяца назад
Kweli kabisa Allah ndie mjuzi wa yote.
@mariamissa4029
@mariamissa4029 4 месяца назад
Pole sana baba yangu Allah atafanya wepesi watatoka na Allah atakulipa
@mwanakombobakari2451
@mwanakombobakari2451 4 месяца назад
Baba pole sana Mungu atakuinua na familia yako itarejea kwa uwezo wa Allah.
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 4 месяца назад
Amiin Amiin Amiin thuma Amiin
@RamadhanSaid-ys9fc
@RamadhanSaid-ys9fc 4 месяца назад
Polesana mzee bilali mungu atakusaidia juu yawatu madhalimu pamoja nauyo jaji mungu amdhalilishe hapaduniani naa akhera naote waliotowa ushahidi wakinafiki nauongu waangamizwe mbele yamwenyezi walaaniwe naote wanaopenda haki
@hassankhamis7302
@hassankhamis7302 4 месяца назад
Allah yuko pamoja na familia yako washauri tu wafanye ibada sana gerezani ucku na mchana
@fathiyasulieman1263
@fathiyasulieman1263 24 дня назад
Inshallah kaka yangu atakusahilishia kesi yako na utashinda biidhinllah Mwenyezi Mungu yuko na wewe madam unamwamini na kumuomba hatokutupa ipo siku inshallah utafurahi na kuhadithia. Pole sana kwa kweli inahuzunisha.
@Juma-om7ho
@Juma-om7ho 4 месяца назад
INSHAALLAAH FAMILIA YAKO ITAKUA SALAMA NA ITATOKA KWA UWEZO WA ALLAAH
@user-uo5qq2lu2b
@user-uo5qq2lu2b 4 месяца назад
Pole sana Mzee, Ulipaswa kuiondoa familia yako Mazingira hayo mapema sana kwa hayo matukio tu makubwa mawili yaliyotangulia. Yote kwa yote mpangaji ni Mungu na ndio mwamuzi wa kila jambo
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 4 месяца назад
Mola wetu mlezi anakupenda Sana bbetu ndio mana paka sasa awaja kupata wakakuuwa, zidisha ibada na visimamo vya usiku InshaAllah utashinda hii vita ya Dunia myonge hakimu wake ni Allah
@serahmohamed6513
@serahmohamed6513 4 месяца назад
Pole sana Bilali, inshaallah Allah atawanusuru na hukumu hiyo, Inshaallah watatoka salama , Aamin
@MaryamaMaria-k2g
@MaryamaMaria-k2g 16 дней назад
Pole babaangu Mungu. Yupo atatenda haki
@paulmndeme
@paulmndeme 4 месяца назад
Mzee ya tosha Mama ni msikivu Amesikia Atatenda Kwa jina la YESU AMENI
@maryamtan682
@maryamtan682 4 месяца назад
Mm gn wewe, wakati mambo ndo yanazidi kuwa magumu.
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 4 месяца назад
Yesu ndo nani ?
@Morningglory88817
@Morningglory88817 4 месяца назад
​@@EddahBure-te7ft son of God WHO died on the Cross to Take away our Sins
@husseinissa7118
@husseinissa7118 4 месяца назад
​@Morningglory88817 God sent himself to kill himself to the people who created himself ,what sort of God is this?
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 4 месяца назад
@@Morningglory88817 god ni jinsia gani na yesu alizaliwa na nani
@user-st2ig6ds3f
@user-st2ig6ds3f 4 месяца назад
Pole sana Allah allah atakufanyia wepesi inshallah inshallah utapata haki yako inshallah zidi kuomba dua inshallah allah atasimama na ww duwa wa mwenyewe kudhulumia hairudi nyuma allah atasimama na ww inshallah
@SegolenaKirita
@SegolenaKirita 4 месяца назад
Pole sana mzee namwamini sana makonda nenda Arusha kamwone nanda hakim itatendeka
@HamisaSaidi-e9y
@HamisaSaidi-e9y Месяц назад
Pole sana babaangu allah atakufanyia wepes
@OmanOman-hz1qm
@OmanOman-hz1qm 4 месяца назад
SAKINA MUNGU ANAKUONA MUNGU ATAKULIPA HAPA HAPA DUNIANI NA FAMILIYA YAKO UTAKUFA KIFO KIBAYA SANA HASBILAHU WANEEMAL WAKILI
@awadhmohamed-rm4we
@awadhmohamed-rm4we 3 месяца назад
Mungu atakulipia hapa duniani na kesho akhenaten na huyo jaji pamoja na washirika wake mimi nawaombea laana maisha yao yote
@mussataufik1604
@mussataufik1604 4 месяца назад
Pole sana baba hiyo nchi ni ngumu sana haki inapindishwa mnyonge ananyongwa nchi mbovu sana iyo ao mahakimu ndio wa ovyo kabisa na sizani kama una hakimu atakae iyona pepo katika mahakimu 100 basi 20 wataiyona pepo waliobaki wote watakwenda kukiona cha moto kwa mungu
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 4 месяца назад
Mbona wengi 20 ni wa5 tu naona au 3
@alicemumbi7585
@alicemumbi7585 4 месяца назад
Mwenyezi Mungu Sikia kilio cha mja wako... Wewe pekee ndie Waweza🙏🙏🙏
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 4 месяца назад
Nakuombea kwa mungu kwa muda huu na kipindi hiking adhana shahidi mungu atahukumufamilia yako utaipata salama MOLA atakutetea kubwa ni dua sana za usiku wa SAA 8
@husseinmwanjela8644
@husseinmwanjela8644 26 дней назад
Asbunallah wananeemalwakili . Allah alifanye jambo hili liwe jepesi ameiyn
@hurumamwaipopo6005
@hurumamwaipopo6005 4 месяца назад
Pole sana mzee. naona upendo mkubwa sana kwako baba
@KHAMIS_SHILINGI
@KHAMIS_SHILINGI 4 месяца назад
Yaan wallah tena 😢😢😢
@LightnessMassawe-dy4qw
@LightnessMassawe-dy4qw 4 месяца назад
Mungu wa Mbiguni ndie jaj mkuu Na anayejibu kwa haki💔💔📌📌
@user-bu3lg2sc7x
@user-bu3lg2sc7x 4 месяца назад
Subhannallah..... Hii nchi nzitooo sanaaa mnyongee hana haki kaibisaaaaaa jamboo kubwaa mnooo pata picha km linakukuta ww inakuajeee ..... Ila haki itarud mzeee subra inshallah.....😢😢😢😢😢😢😢
@shukranjazzakhaallahukheir1897
@shukranjazzakhaallahukheir1897 4 месяца назад
inshaaAllah.Mungu atatenda haki..Mama Samia lione hili tena na kuomba kuana mazoea ya kuenda mangereza utajua mengi inshaaAllah
@MartinLukas-us6gd
@MartinLukas-us6gd 4 месяца назад
Pole San bab yang uyo jaji mmungu atamhukum ❤❤❤
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 4 месяца назад
Allah Akbar haki haitapotea ongeza juhudi za kumuomba Mungu
@idrisaallysalum9447
@idrisaallysalum9447 4 месяца назад
Nashindwa kuelewa, Mtu msomi, amefanya KAZI WHO, imekuaje anaishia kwenye "Maisha Mabovu" alikuwa halipwi?....kwanini baada ya kuona ndugu wa mkewe wanawasumbua akashindwa kwenda kuanza maisha sehemu nyingine?....inashangaza sana huyu Mzee kuishi hivi
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 4 месяца назад
Asalam alaikum mama samia tafadhali msikilize huyu mzee Tanzania kunamakabila niwatata wa alidhi hasa makabila hilo
@user-xt2zr1wi3z
@user-xt2zr1wi3z 4 месяца назад
Pore sana baba hakimu wakwanza ni mungu peke yake bina damu tumekuwa wanyama wamuongope mungu hii dunia inapita baba angu usiriye yataisha tuu mungu yupo nawe
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala 3 месяца назад
Kwakweli
@zainazaina9301
@zainazaina9301 4 месяца назад
Magufuli uko wapi. Baba tuna teseka huku wanyonge tutakukumbuka daima. Mtetezi wa wanyonge wetu Allah asimamie. Huyu baba na watoto
@DottoNgelanija
@DottoNgelanija 4 месяца назад
Pole sana Baba, dunia hiii haina huruma watu wema watendewa mabaya kila kukicha, umetenda wema kwa watu wengi sana lakini, wema wako hautambuliwi tena,! Lakini MUNGU ni msikivu sana asikia sauti ya wanaoonewa. Baba kwa jina lako tukufu, hawatanyongwa. Sakina kumbuka malipo ni hapahapa dunia tenda jema upate baraka siyo kama unayoyafanya. Mzee Billah Allah yupo. Masikini tunanyanyaswa sana kama hatuna haki ya kuendelea kuishi.
@SaSa-ov6pn
@SaSa-ov6pn 4 месяца назад
Mmmh pole sana mzee wangu mungu akufanyie wepesi n akutangulie inshallah haki itabatikan
@Brandsonce-qs2yt
@Brandsonce-qs2yt 3 месяца назад
Mzee kama unavyo muamini mwenyezi mungu, endelea kuamini, Haki za familia yako iko njiani na watapewa haki zao. nasi tunaendelea kukuombea hili ukarudishiwe Familia yako kiusalama.
@user-up9gz8ij1s
@user-up9gz8ij1s 4 месяца назад
Pole sana ba baba angu mungu akufanyie wepesi
@MarySangiwa-fz1jc
@MarySangiwa-fz1jc 4 месяца назад
Pole sana Mzee MUNGU atufanyie wepesi Yeye ni mhukumu wa haki Àmeen.
@janetkithi775
@janetkithi775 4 месяца назад
Mimi ninaongea ivi. Kwa babaangu kipenzi awe pole kwa kutendewa unyama familia yake. Lakn ninanena ivi. Wenye walifanya hivyo watapata malipo yao. Machozi ya mzee itawatafta kwenye walpo. Watakosa aman adi pale watakapo sema ukweli juu ya unyama walio tendea mzee huyu in Jesus name 🔥🔥. Na wataregesha chenye walpoteza kwa mzee huyu😭😭😭. Km binadam wameshindwa kumtetea ila Mungu yuko anaona yoote😭😭😭. Familia ya huyo mzee itarudi. Mungu yuko haachi mjawake😭😭😭
@jeremiahpirminnyoni618
@jeremiahpirminnyoni618 4 месяца назад
Amen
@fatimaabdullahmohd2347
@fatimaabdullahmohd2347 4 месяца назад
Wallahi mtihani mzito huo, ALLAH alufanyie wepesi mama samoa msaodie mzee ipate family yake maskini.
@annamosha968
@annamosha968 4 месяца назад
Ee Mungu, Ee Mungu, Ee Mungu tunakuomba msaidie huyu Baba😭😭😭😭
@user-er5oz3lk8q
@user-er5oz3lk8q 4 месяца назад
Allah ndo atakufungua na atakulipia kwa yote hayo. Ikiwa sihapa duniani basi atakulipa akhera. Pole sana Dr.
@ShaniShabani-gd3yw
@ShaniShabani-gd3yw 4 месяца назад
Pole baba Mungu ndio hakimu wa haki naatakulipa kwa uwezo wake
@Annahamis-pn3xp
@Annahamis-pn3xp 4 месяца назад
Ppppppppppppppppppppppppppppppppp
@Annahamis-pn3xp
@Annahamis-pn3xp 4 месяца назад
Ppppppppppppppppppppppppppppppppp
@Annahamis-pn3xp
@Annahamis-pn3xp 4 месяца назад
Ppppppppppppppppppppppppppppppppp
@FjgHekgo
@FjgHekgo 3 месяца назад
Pole sana sana Allah akupe subra ,na Allha akupe subra
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 4 месяца назад
Baba mtegeme mungu atahukumu sikumoja na mungu atakuonyesha haki lipo mungu atakutetea hapahapa duniani
@user-ol6lb6nz3t
@user-ol6lb6nz3t 3 месяца назад
pole baba allah atakupa shufaha watatoka tuombe dua tyu pole san
@user-bp1py7dk5n
@user-bp1py7dk5n 4 месяца назад
Mungu anaona chozi lako Baba na mtetezi wako yu hai ipo siku utatoka hayo ni majaribu na kipimo cha imani amin utashinda tu
@yasinimuna3570
@yasinimuna3570 4 месяца назад
Allah awafanyie wepesi watoke gerezani salam kwa baraka ya mtume mohamd S,W,S,
@siriyangu4724
@siriyangu4724 4 месяца назад
Swallah Allah alye wassalm inshaallah
Далее
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
NILIVYOSAFIRI NA JINI KUTOA DAR MPAKA MOSHI
1:50:01
Просмотров 191 тыс.
MTOTO NYOKA  ( FULL EPISODE 1 - 5 )
46:45
Просмотров 853 тыс.
MCHUNGAJI ABADILI DINI NA KUA MUISLAMU,AFUNGUKA MAZITO
39:38