Тёмный

SIMULIZI:BI AKIBA MTANZANIA ALIEFARIKI MAKKA MAAJABU MAZITO MTOTO WAKE ASIMULIA "ALIJIOMBEA DUA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 1,2 млн
50% 1

Опубликовано:

 

6 авг 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,6 тыс.   
@victorvenantkaigarula6255
@victorvenantkaigarula6255 Год назад
Nimemsikiliza vizuri huyu dada,amenifanya nitafakari mahusiano yangu na Mwenyezi Mungu...
@salmajumanne3634
@salmajumanne3634 Год назад
Amin amin
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 Год назад
Kweli kbs
@ramlamussa613
@ramlamussa613 Год назад
Sana yani jamani Allah atuhifadhi
@helenkambi3918
@helenkambi3918 Год назад
Kweli kabisa
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Год назад
@@ramlamussa613 amiin amiin ya Rabiialamin,Ila nasi tujikurubishe kwake na atujaalie tuwe wenye kunyenyekea kwake,amiin amiin amiin
@akidajulius8397
@akidajulius8397 Год назад
Da huyu dada, aliemuoa emepata mke, dada ni jasiri,dada ni mcha MUNGU,dada Amesoma dini,dada amelelewa kimaadili ya dini,niwanamke wa heshima,angalia alivyo pokea taalifa na jinsi alivyo ileta kwa ndugu zake na baba yake,MUNGU akufanyie wepesi dada umalize maisha ya dunia salama,
@halimahalima1488
@halimahalima1488 Год назад
Amiiiin yaarabih
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 Год назад
Sema mashallah
@saghirhassan7902
@saghirhassan7902 Год назад
Asnt mkuu
@akidajulius8397
@akidajulius8397 Год назад
@@zaytunhijja6771 mashallah
@mamuumamuu7743
@mamuumamuu7743 Год назад
Ameen yarabbi
@habityabsa997
@habityabsa997 Год назад
Subhanallah 😢 hakika Mwenyezi Mungu humpandisha cheo amtakaye! Bi Akiba ame pata bahati ya pekee. Msiba wake ni huzuni na furaha! Allah amghufirie madhambi yake na amjaalie pepo ya daraja ya juu kabisa 🤲🏾
@aimerancedido3454
@aimerancedido3454 Год назад
Allahuma ameen 🤲
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 4 месяца назад
Hhhuyhggguyyytttgf4rrfy
@flavy_kipps4025
@flavy_kipps4025 Год назад
watu kama haw ndio wanaweza kushawishi mtu kuwa muislam sio walee wa kukashfu kila kitu mdada anautulivu wa kutoka ndani
@mohdhakim8216
@mohdhakim8216 Год назад
Good
@mumaheza151
@mumaheza151 Год назад
Utakuwa inshallah
@jojosky337
@jojosky337 Год назад
Kabisaa
@ilovejesus666
@ilovejesus666 Год назад
We baki uko uko huku tumejaa
@mukafumumukafumu6100
@mukafumumukafumu6100 Год назад
Hatuna haja ya kuwa waislam ila kuwa waadilifu katika dini zetu inatosha.
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 Год назад
Huyu bint pia dini kasoma huyu,speech yake yaonyesha,namuomba ALLAH nawe akupe mwisho mwema.
@fatumamuya7296
@fatumamuya7296 Год назад
Amiin
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 Год назад
Real kabisa
@hawamashauri1218
@hawamashauri1218 Год назад
آمين يا الله 🤲🤲
@husna34562
@husna34562 Год назад
Amiin
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 Год назад
hawa ndo wake unaoowa ukapata utulivu wa ndoa
@zuheriswalehe4703
@zuheriswalehe4703 Год назад
Innalillahi waina ileihi rajiun . Ila we Dada masha Allah umejaaliwa iman kama mama yako ,wallahi umenitoa machozi na kunirudisha katika njia ya hakii
@yasinimalya4001
@yasinimalya4001 Год назад
Dah yani Dada yangu wewe ni mtoto mwema na Baraka kwa wazazi wako na hakika wamekupa malezi mema na hii ni kukufundisha dini MashaAllah! Ee Allah tujalie tuwe miongoni mwa waja wako wema na utujalie tuwe wazazi wema kwa watoto wetu, kesho waweze kutengeneza vizazi vyema. Alhamdulillah 🙏🏾
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 3 дня назад
Nimempend❤❤❤
@angelaurassa9748
@angelaurassa9748 Год назад
inalillah wainalillah rajiun yaani we dada Allah akuongoze uwe kama mama yako nimekisikiliza kwa makini sana umenifanya nilie umeniongeze kitu katika imani Allah atujalie sote mwisho wema na watoto wema amiin
@afandechanel1507
@afandechanel1507 Год назад
Kwa niaba ya wa kristo wote ndani ya ayo tv tuna sema inalilah wa inalilah rajun kwa ndugu yetu alie mpoteza mama yake , Mungu awape nguvu hii familia
@assiahassan2671
@assiahassan2671 Год назад
na mm nakushuru Kama mwisilam huyu ndio umoja Mtume wetu tunaemkubali sote ISSA(yesu)katufundisha Amani na upendo ,Yani nimefurahishwa na Comment yako
@afandechanel1507
@afandechanel1507 Год назад
@@assiahassan2671 ubarikiwe tena na tena
@mwanaidomary7159
@mwanaidomary7159 Год назад
Aamin
@aminaally8475
@aminaally8475 Год назад
Allahumma ameen
@pilimusa3217
@pilimusa3217 Год назад
Mwenyezi Mungu akubariki
@assoistiquamat2397
@assoistiquamat2397 Год назад
Inna lillahi wainna ilayhi rajiuna Allah Amrehem hajat Huu Akiba Wallah Alizaaaa😭😭naamewacha Watoto Wemaaaa Huu Nimfano Mwema Wamalezii Tuigee Maleziii Sinikutoka Burundi Mola Akubali Ibada Zakee Amsameh Ampe Yale Mazuri Aliyomuomba Amin
@fatumamuya7296
@fatumamuya7296 Год назад
Amiin
@halimahalima1488
@halimahalima1488 Год назад
Amiiiin yaarabih
@MohdMohd-rd6jt
@MohdMohd-rd6jt Год назад
Ameen
@fatumahussein3474
@fatumahussein3474 Год назад
Amina ya rabbil'ala miin
@wema3619
@wema3619 Год назад
Imeelezwa Ktk Qur'an Kuwa Mtu Mwema Huonekana Nuru Ktk Sura Yake Masha'Allah Ukhut Nafikili Nawewe Nikati YaHao Watu Tulioelezwa Yaa-Rabii Matamanio Ya Moyo Wangu Nikuwa Kama Huyu Mja Wako Alietangulia Mbele zako na Kuwa Nakizazi Km Chake اللهم تكبر دعاء 🙏
@nuujaimaabdallah8931
@nuujaimaabdallah8931 Год назад
Amiin
@abnaaa7197
@abnaaa7197 Год назад
Amiin
@neemamireillegbenye7898
@neemamireillegbenye7898 Год назад
Ameen 🤲🏾🤲🏾
@sweetiemollel7567
@sweetiemollel7567 Год назад
Innalilah wainalillah rajun
@user-fb3er2pi8r
@user-fb3er2pi8r 13 дней назад
Allahuma amiina inshallah rabby tujaalie nasi na wazazi wetu na waislamu wote kwaujumla tuwe miongonii mwawaja wema
@seifseif1572
@seifseif1572 Год назад
Mama amekujenga Masha'allah ..Familia yenu ina'athari kubwa ya Dini Namuomba Allah msipungukiwe katika hili!!
@nuujaimaabdallah8931
@nuujaimaabdallah8931 Год назад
Masha Allah Amiin
@edijuma2426
@edijuma2426 Год назад
Ameen
@manxhakofficial5249
@manxhakofficial5249 Год назад
Maashallah
@Fx_expertmoneymaker001
@Fx_expertmoneymaker001 Год назад
Ukisema Athari inamaanisha nn🤔🤔
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 Год назад
Allahumma Amiin 🙏
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Год назад
Waislam walioshika dini huwa wanamaanisha kweli kweli. Wanakuwa na hofu na Mungu na pia wanakuwa na imani na Mungu.
@mastidiadionis3335
@mastidiadionis3335 Год назад
Sanaa, mashaallah.
@zennalilomo5682
@zennalilomo5682 Год назад
M.mungu atupe mwisho mwema,tuliobakia
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 Год назад
Hiyo ipo kote ndugu
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 Год назад
maashaAllah Jazaakumullahu khaira 🙏 dada uko vizuri
@ireneshao1700
@ireneshao1700 Год назад
Poleni sana dada jamani siwezi kukaa kimya japo mkristo dada ume lelewa vizuri sana mama alikuwa ana Waleya kwenye misingi mizuri Mungu awape wepesi
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 Год назад
🤝 nawe pia mwenyezimungu Akujaalie kilalakheri
@hamzahkanuni4830
@hamzahkanuni4830 2 дня назад
Mashallah ukti ALLAH akifanyiwa wepesi kwa kila jambo
@magdalenek.5990
@magdalenek.5990 Год назад
Nikivyoiona tu hii video hapa RU-vid, sikupanga kusikiliza yote, Ila nilivyoanza tu kuisikiliza nimeishiwa kuisikiliza yote. What an end to her life. Beautiful end. Zawadi ya kifo chema ilikua ni dhahiri kwake. May God heal the hearts of her beloved and everyone else who was touched by this story.
@just_this_way
@just_this_way Год назад
Aamiiiin. Hata mimi nlikuwa kama wewe lakini nimeisikiliza mpaka mwisho.
@rausaid9430
@rausaid9430 Год назад
Ata mm natamn hii familia niijuwe
@helinasubila987
@helinasubila987 Год назад
pia mimi
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 Год назад
@@rausaid9430 Kumbe wewe kama mimi 😆 natamani nipatane na watu wazuri kama hawa maana maisha yangu yote ni changamoto na watu. Labda nihamie Tanzania lakini pia naogopa mara wanijie wabaya 💔😠
@rausaid9430
@rausaid9430 Год назад
Karibu mm nitskupokea
@victorvenantkaigarula6255
@victorvenantkaigarula6255 Год назад
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya Bi Akida,Mwenyezi Mungu atuongoze katika njia yake na atujalie mwisho mwema,Amina.
@cresensiandimbo4195
@cresensiandimbo4195 Год назад
Amina
@nuujaimaabdallah8931
@nuujaimaabdallah8931 Год назад
Amiin
@allykingu6954
@allykingu6954 Год назад
اللهم آمين
@fakihmohammed3923
@fakihmohammed3923 Год назад
Aamiin Yaarabb
@husseinyappi9330
@husseinyappi9330 Год назад
Watu wanabahati kweli ukisikia mke mwema ndio huyu sasa
@mwaminiadinanimwiri
@mwaminiadinanimwiri Год назад
Wallah...nimesikiza roho ya imani imeniingia namuomb Allah niwe miongoni mwa waumini na watuwema...na MwenyeziMungu ailaze Roho mahali pema Peponi...
@linyamakasim191
@linyamakasim191 Год назад
Jinsi huyu dada anavyoijua Dini nimempenda saaana,ni wachache sana kupata mabinti kama hawa, Mungu ampe baraka tele
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 Год назад
Innalillah wainnailaih rajiun 😭😭😭Kwakwel huyo Mama Kifo chake hakihuzunishi jaman 😭😭😭ikiwa mtoto wake yuko hiv je Mama Mzazi alikuwa je 😭😭Allah amlaze mahal pema pepon na sisi atupe mwisho mwema 🤲😭😭😭Sisi sote ni wa ALLAH na kwake tunarejea😭😭😭kifo chake kishajuilikana lkn chetu sisi hatujakijua kifo chake kinafurahisha Alhamdulillah Mashallah Yarab na sisi tujaalie mauti yetu yawe mepesi 🤲😭tufe katika mji mtukufu wa Makka tuzikwe na Mtume wetu Muhammad S. A. W. Na tuswaliwe ni watu katika watu wema 😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲
@samirhumud7408
@samirhumud7408 Год назад
Mtume kazikwa Madina.Aaamin
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 Год назад
Allahummah Amyyn yaraaby
@salwasalum6758
@salwasalum6758 Год назад
Amiiiin Amiiin Amiiiiin ya rabbi
@rahmahussein1600
@rahmahussein1600 Год назад
Allahumma aamin yaarabi
@skygold6837
@skygold6837 Год назад
Allahuma amiin
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 Год назад
Wewe dada mume wako amepata dhahabu Ktk ndoa yake maashaAllah Allah Akujaalie kilalakheri dadayangu na ajaalie ndoa yako iwe ni yenye kheri na Barka tele na kizazi chako Allahumma Amiin 🙏
@SunnahMickdady
@SunnahMickdady День назад
😊😊
@jamalahmed5922
@jamalahmed5922 Год назад
May Allah Guide us all to the siratul - mustaqeem , ease your pain and emptiness, and grant all our mothers Jannatul firdaus. Ameen Ya Rabi🙏Poleni sana ndugu zangu.
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 Год назад
Naam Allahumma Aameen
@jamalahmed5922
@jamalahmed5922 Год назад
@@nahimanamayassa8305 May Allah reward you جزاك اللهُ خيرً
@aishaabdulkarim2636
@aishaabdulkarim2636 Год назад
Ameen
@moureennyambura2076
@moureennyambura2076 Год назад
O
@mwashabanirashidimitumba7788
Masha Allah
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 Год назад
*It shows how the deceased raised her children well who prays for her always. May Allah have mercy on her. From Allah we belong and to him is our return* 💕
@abdullahsalim5582
@abdullahsalim5582 Год назад
For sure... W Aamin
@iddirajabu4577
@iddirajabu4577 Год назад
Kati ya wanawake wenye (AKILI NA HEKIMA),mwenyezimungu akujaalie mwisho mwema pamoja nasi,inshaallah
@mudybeka6698
@mudybeka6698 Год назад
Aamin
@salwasalum6758
@salwasalum6758 Год назад
Amiin
@salamanauthar480
@salamanauthar480 Год назад
Amin Inshaallah
@aishaabdulkarim2636
@aishaabdulkarim2636 Год назад
Allah atujaalie na sisi mwisho mwema yarabbi
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Ameen
@hayati9453
@hayati9453 Год назад
Mashaallah namuomba Allah akujaalie ufate nyayo za mamaako,,,,,shemeji yangu kapata mwanamke mashaallah
@tunudachitalks6575
@tunudachitalks6575 Год назад
Nimeshindwa kujizuia ma shaa Allah she is a super woman ma shaa Allah ma shaa Allah
@tunudachitalks6575
@tunudachitalks6575 Год назад
Allahumma Ameen thumma Ameen
@jonathanmollel3548
@jonathanmollel3548 Год назад
Yaan huyu aliemuoa huyu dada amepata mke maashallah I wish ningalikuwa mie. Yan ametulia anajieleza anaijua Dini anaunyenyekevu maashallah. Allah akujaalie maisha marefu na mwisho mwema katika imaan.
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 Год назад
mashaalah dada yangu, Mimi si muislam lakini nimekupenda yote uliyoongea.🙏
@annakadamanja2196
@annakadamanja2196 Год назад
kabisaaaa nimempendaaaa sanaaaaaa
@jonathanntare4787
@jonathanntare4787 Год назад
Mungu mwenyezi tunaomba Upokee mama yetu mfia dini na Mwenye Imani thabiti.
@apoloniaalex2825
@apoloniaalex2825 Год назад
Amen
@DativaMbowe
@DativaMbowe Месяц назад
Amen
@yunushuden1639
@yunushuden1639 Год назад
Yaan najiskia wivu sana tuwe mfano wetu huyu mama hakika tayar ametakasika sehemu alio zikwa hazikwi mchafu yaa Allah tupe khusnul khtma nasisi
@kurthumjabir7399
@kurthumjabir7399 Год назад
Hakika.
@swaumukhalfani4967
@swaumukhalfani4967 Год назад
Amiin
@abnaaa7197
@abnaaa7197 Год назад
Amiin
@helenkambi3918
@helenkambi3918 Год назад
Amiin
@fardahhassanially7033
@fardahhassanially7033 Год назад
Amiin Ya Rabby
@fakihkhalfan-gr4se
@fakihkhalfan-gr4se 18 дней назад
Namuomba Allah amridhie Hajjat Akiba na sisi tumuombe Allah atupe mwisho mwema
@mwanalelee6
@mwanalelee6 Год назад
Ata ivo dada jasiri umejikaza sana unaongea ww,machozi yananitoka mm.Allah awape subra
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Год назад
Sana tokea mwanzo wa msiba😭😭
@mwanjaarashidi7402
@mwanjaarashidi7402 Год назад
Poleni sana dada nimejifunza kitu kutoka kwako mashaalah
@lucykapinga369
@lucykapinga369 Год назад
Amwn Imanii I Imeshiba Hapoo
@aysheromary7935
@aysheromary7935 Год назад
Yaan nikweli kabsa
@hudhaifatissa7490
@hudhaifatissa7490 5 дней назад
Hi!! Mbona kama nakujua mwana lele😊
@zuhurayasini4717
@zuhurayasini4717 Год назад
Poleni sana nimejifunza kitu kwa uyu dada natamani nimuone live inalilah waina lillah rajiun kwa mama yetu kipenzi
@sayeedbinazan
@sayeedbinazan Год назад
Pia Pongezi kwa presenter. Umekua mtulivu katika interview. Na umeumilza maswali ambayo yanafaida kwa wengine
@inspirationalclips1422
@inspirationalclips1422 Год назад
Machozi yananitoka mimi mja dhaifu , mwenye chungu nzima ya madhaifu na madhambi Yaa ALLAH nisamehe kwa Rehema zako na uniingize peponi bila ya hesabu . Kama ulivyonipa neema ya uislamu ukubwani Alhamdulillah Amyn 🤲
@faizanassor6336
@faizanassor6336 Год назад
ALLAH AKBAR ALLAH atujaliye mwisho mwema sisi na vizazi vetu AMEEN 🤲
@salmajumanne3634
@salmajumanne3634 Год назад
Allah umma amini
@jasminjuma6390
@jasminjuma6390 Год назад
Amiin yaraab
@nuujaimaabdallah8931
@nuujaimaabdallah8931 Год назад
Amiin
@abdulfazb2089
@abdulfazb2089 Год назад
Innah wa Innah lillah Rajun Daaah Kwa kweli Dada Nimekupenda Bure Wallah Mwenyezi Mungu Akuzidishiye Katika Misingi Mema Daima Milele Mwenzenu Kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@alqamarchannel1740
@alqamarchannel1740 Год назад
Innalillah wainna ilayhi raajiun 😭😭 Tumuombe ALLAH nasi Atupe mwisho mwema 🤲🤲
@evancemapunda9512
@evancemapunda9512 Год назад
Dada nae anaiishi akhera ndio maana ana ujasiri. Dunia kaipa nafasi ndogo tu.
@shaphaina9941
@shaphaina9941 Год назад
Innalilahi wainnailayhi rajiun Allah amlaze mahali pema. Natamani namimi siku nitakapo kwenda kuhiji mwisho wangu uwe huko huko.
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Год назад
Itakuwa
@hekimayassin6475
@hekimayassin6475 Год назад
Amiin insha Allah
@ruqayyahmohammed3188
@ruqayyahmohammed3188 Год назад
Subhanallah!!! Allah ampe makazi mema pepon Nimejifunza kitu Allah atujalie mwisho mwema kwetu sote 🤲🤲🥺
@habibhassan7172
@habibhassan7172 Год назад
Mashallah huyu dada ni mfasaha sana Allah amzidishie maana ameeleza mazungumzo yote kwa taratibu na sarufi hakika inayofahamika. Mama amelea hakika Allah amridhie
@rahmatahmed1871
@rahmatahmed1871 Год назад
Ukhty Allah Akulipe umrii thawiil wenye twaa na waislam wote na Awarehemu jaamia mouti muslim wa muslimat yarabby...unaujasiri sana dadangu... Allah Amridhie mamaetu na jaamia mouti muslim wa muslimat yarabby 🤲 nimejifunza mengi kwa huu msiba wa mamaetu ...Allah atukutanishe na Mtume wetu MUHAMMAD SALALWAHU ALEIHIWA SALAAMU kwa sidri mutakha Amiin yarabil Ala Amiin 🤲
@mgenikhamis
@mgenikhamis Год назад
Nimempenda huyu dada maashaallah mwenyezi mungu atujaalie na sisi subra ya hali ya juu kama yako dada
@tausiramadhani675
@tausiramadhani675 Год назад
Mashaallah
@ChanelEmulate
@ChanelEmulate 18 дней назад
qu'Allah soit adore a jamais
@sayeedbinazan
@sayeedbinazan Год назад
Anaongea kwa upole na hekma kama mama yangu. Allaah Awape khery wazaz wetu. Daaah😭😭
@hekimayassin6475
@hekimayassin6475 Год назад
Amiin
@rainessmgowole5976
@rainessmgowole5976 Год назад
Mashaaaalllah
@noffelsalim830
@noffelsalim830 Год назад
Na mm mungu anijaalie niende kuhiji Makkah,na nife huko huko nizikwe huko huko.
@alifaki4651
@alifaki4651 Год назад
Mashallah Allah akujalie hatma njema dad angu nilitamani nipate mke kama ww
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Год назад
Amiin amiin ya Rabii Allah akupe hitaji la moyo wako,namshukuru Allah nimeiwahi mwaka huu sijamaliza siku arobain,nakuomba Allah mtimizie hitaji lake huyu mja wako,amiin amiin ya Rabii
@carenmgongolwa8127
@carenmgongolwa8127 Год назад
Ameen ameen
@noffelsalim830
@noffelsalim830 Год назад
@@hadijamandanje6189 Amiina inshallah 🤲
@noffelsalim830
@noffelsalim830 Год назад
@@hadijamandanje6189 mungu akujaalie uwe ni miongoni mwa walisosamehewa madhambi inshallah,
@mozasultan5152
@mozasultan5152 Год назад
Ya rabb tujaalie mwisho mwemaa 🤲🤲... Tujaalie tudumu katk Yale mema yanayokufurahisha tueke mbali na Yale mabaya yanayokukacrisha yaaarabb tujaalie pepo ya daraja ya juu kbs 🤲🤲
@simplyfay5308
@simplyfay5308 Год назад
Me nimelia sana baada ya kusikia hii habari Ila watoto wa marehem n watu wenye hofu ya Allah 😭 Allah awape subra na mama etu jannat firdaus yawe makazi yake yarraby🙏
@munasuleyman3159
@munasuleyman3159 Год назад
Amein Yarab
@aminaabrahim9656
@aminaabrahim9656 Год назад
Allah humma Aamiin yarrab
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 Год назад
Namkumbuka Huyu Dada Tulisoma Pamoja Alfallah Muslim School Kama sikosei alikuwa ni Amirat Mpole sana
@mwajumamotto4425
@mwajumamotto4425 Год назад
Mashaallah, hata mimi namkumbuka nimesoma nae Mkunazini
@ummyomary6350
@ummyomary6350 Год назад
Allah Akbar
@alijuma7674
@alijuma7674 Год назад
Kaka A.alkm warahmatullah ulisoma Alfalah mwaka gani mm nilimaliza 2008
@alijuma7674
@alijuma7674 Год назад
Alhamdulillah huyu dada masha Allah
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 Год назад
@@alijuma7674 mm mwaka huo Niko Kidato cha Pili Darasa La Kina Mahfoudh na akina Aden..... Nyinyi mlikuwa wa Kina Saleh kama sikosei Dinyo
@omarymohamed9834
@omarymohamed9834 Год назад
Kasoma sana dini huyu binti, poleni sana mwenyezi mungu awape wepesi
@latifahally3812
@latifahally3812 Год назад
Innalillah wainaillayh rajiun 😭 dah dada nmekupenda dini unayo n una subira sana 🙏
@nadiahussein5079
@nadiahussein5079 Год назад
Mashaallah nyumba yenye dini allihamdullah m mungu atupe mwisho mwema sichoki kumuangalia huyu dada wallah
@qurankareem2275
@qurankareem2275 Год назад
Allah, anifanyie wepesi na mm niwe na mwisho Mwema 🙏
@khaleed6517
@khaleed6517 Год назад
This is why i trust in islam
@victorvenantkaigarula6255
@victorvenantkaigarula6255 Год назад
Ishu sio uislam,muhimu utafakari mahusiano yako na Mungu,dini haikupeleki mbinguni,
@marianaduncan6330
@marianaduncan6330 Год назад
Kwa BWANA YESU KRISTO ndio sehemu sahihi kuliko zote Duniani na Wala hakuna Mungu mwingine zaidi ya yeye Utukufu na heshima ni Kwa BWANA YESU KRISTO milele na milele amini ukombolewe
@allymwenda3145
@allymwenda3145 5 дней назад
​@@marianaduncan6330ww kaza fuvu tu ivyoivyo
@YondelaKaniki
@YondelaKaniki 16 дней назад
Yah Allah mpe mama yetu bi akiba pepo ya juu pamoja na mtume wetu muhammad amiin
@user-jg8zz6el8k
@user-jg8zz6el8k 5 дней назад
Amiin Insha Allah Na Atupee mwisho mwema Amiin Thumma Amiin 🤲🤲🤲
@samiramahmud406
@samiramahmud406 Год назад
Innallillaihi wainna illaihi rajiun Allah Ampe kauli Thabit Ndugu yetu Amsameh madhambi yake Amuondoshee Adhabu za kaburi Na Amlaze mahali Pema Peponi Awal Daraja Jannat Firdaus Yaa Rabbi 🤲❤ Poleni sana wafiwa wote Allah Awape Subra Yaa Rabbi 🤲❤ Shukran sana Mdogo wetu Wasia Mzuri sana Allah Atuongoze kwa Sote,Tuwe miongoni Mwa waja wema na Tuwe watu wa Peponi Yaa Rabbi 🤲❤
@zenasaid9713
@zenasaid9713 Год назад
SubhanaAllah. Inna lillah wainna ileyhi rajiuon. Allahuma ghfirlaha warhamha waskinha fil jannah. Allahuma thabithna bil kauli thabit. Allahuma jaalna qabra raudha min riyadhil jannah. Kwa kweli kisa kizito na chakuskitisha Alhamdulilah Allah awazidishie imani ndani ya moiyo yenu nimemkumbuka marham mamangu kwa kweli ukipata taarifa ya kifo kitu cha kwanza kukifanya ni umsujudie mola wako na huwa wapata utulivu wa nafsi kupambana na jambo zito hilo.shukran kwa elimu nzuri mama yetu bi akida kwa kweli tumepata funzo zuri
@shujaamzarendotzafricanher9133
MASHALLAH
@asiamuhammad8718
@asiamuhammad8718 Год назад
Daah dada anaonekana ana uchamungu na kapata malezi bora yan mumewe kapata mke kwa kweli
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 Год назад
Mmm mama huyu aliishi maisha matakatifu kweli hata na muonea wivu
@munasuleyman3159
@munasuleyman3159 Год назад
Mashallah mwanangu khanifa Allah atakupeni subra dada angu Allah kampenda na kamzawadia zawadi sote tunaililia nafasi hii Yarab mjaalie firdaus ya darja ya juu poleni mama
@husna34562
@husna34562 Год назад
اللهم امين
@makamealimussa5535
@makamealimussa5535 Год назад
Dah,, dada umetupa elimu kubwa sana ,pia poleni sana kwa kuondokewa na mzazi dada poleni.
@sophialikku2344
@sophialikku2344 Год назад
Inna lillah wainna ilaihir raajiuun
@AshakoKassim
@AshakoKassim Месяц назад
❤❤❤❤ Allah akbar umenifanya nijililie kuliko maman .maman allah amzidishie nuru kila siku Allah tujalie vifoo Bora
@ummutawheedumlai315
@ummutawheedumlai315 Год назад
May Allah guide us all to the straight path of swiratal mustakeem Ameeen yaarabbal Alameen
@zuhurahkhamis4257
@zuhurahkhamis4257 Год назад
Ameen
@furahayamoyo9193
@furahayamoyo9193 Год назад
Allaahuma ameen.
@rahelisalum6989
@rahelisalum6989 Год назад
Allahumma Ameen🤲
@jacksonshile2081
@jacksonshile2081 Год назад
Ya rabi mpokee mjaa wako mpe alicho kitaka nasi tujalie mwisho mwema na utupe pepo tuondolee hadhabu ya kaburi na hadhabu ya moto utupe pepo ALLAH TAKABALANA DUA ETINA AMIN
@shamzone388
@shamzone388 Год назад
Subhana allah Allah amjalie janat firdous iwe makazi yake Allahuma Amin yarab
@nawandafamito500
@nawandafamito500 Год назад
@sheshi beshi HAPA ni spesho, AU kwaajil, AU kwaniaba ya, MAMA, mmoja, alie jaaliwa imani yake thabiti, kipenzi cha muumba mbingu na ardhi, yani muumba mawingu na mchanga, na kila unacho kiona mbele yako, NDUGU nakuomba tuache kwanza, sio kwa ubaya, NA pia chunguza NA seemu.
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 Год назад
MASHAALLAH MI MTU AKIFA KAMA HVYO HATA SIUMII NABAKI NAJIOMBEA MWISHO MWEMA TU MANA MAMA KAFA AMESHATUBU MASHAALLAH ALLAH AMPOKEE KWASALAMA NASI ATUPE MWISHO MWEMA ALLAHUMMA AAMIIN YAARABB.
@aishayeahhasan7379
@aishayeahhasan7379 Год назад
Hakikaa
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 Год назад
@@aishayeahhasan7379 Yaani huyo kafa kama malaika hana dhambi hata moja unaumia nn? Jman tuombe mwisho mwema yarabb
@ummuamareeynummuamareeyn9467
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ،اللهم اغفرلها وارحمها واسکنها الفردوسی الأعلی🙏
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Год назад
Innallilah wainallilah rajioun poleni sana kwa msiba Allah awape subra ndugu zetu kwa kumpoteza mama
@jonathanmollel3548
@jonathanmollel3548 Год назад
Maashallah aliemuoa huyu dada amepata mke hakika. Napenda sana mwanamke anaeijua Dini anautulivu ana subra. Allah amsamehe mama huyu na amuondolee adhabu ya kabri
@kurthumjabir7399
@kurthumjabir7399 Год назад
Inalillah Wainailaih Rajuun. Mwenyezi Mungu atujaalie nasisi mwisho mwema. Kweli Mwenyezi Mungu ametuambia "Niombeni nitakupeni" "Rejeeni kwangu nami nitawasamehe" Alhamdulillah kifo cha huyu mama kimeniongezea Ilmu zaidi. Alhamdulillah
@ramadhanimasudi6904
@ramadhanimasudi6904 Год назад
Hakika bila kujali wewe ni mwanamke wa nani ila najivunia wewe sana. Ni mwanamke unaejitambua kama mwanamke. Wewe unanifanya niamini wanawake walio bora kwa hakika wapo. Mungu na akupe umri mrefu ili watu wanufaike na neema zako isha'ALLAH.
@floraleonard9095
@floraleonard9095 Год назад
Dada, mwenyezi Mungu akubaariki wewe na uzao wako, hakika mmelelewa vema imedhihilika hapo.
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Год назад
@sheshi beshi hili
@nuujaimaabdallah8931
@nuujaimaabdallah8931 Год назад
Masha Allah Amiin
@enterenter7798
@enterenter7798 Год назад
Naam niliwah kwenda umra kila baada ya swala huswaliwa swalat jeneza,, Mashaa Allah mam amezikwa vizr naamehifadhiwa sehem nzuri mchanga wamadina mzuri jaman Allahu Akbar Allah amjaalie Jannat firidaus 🤲🤲🤲🤲🤲
@abuubilal2646
@abuubilal2646 Год назад
Amin na sisi sote
@zainabzain3434
@zainabzain3434 16 дней назад
Allahumma Amiin 🤲
@zaynabsalum526
@zaynabsalum526 Год назад
Mashaallah Allah awape mwisho mwema wazazi wetu na waislaam wote kwa ujumla
@nassirfarah3159
@nassirfarah3159 Год назад
Allah amrahamu mama yetu amjalie janatul firdosa Amiin
@saidaswaleh8437
@saidaswaleh8437 Год назад
INNALILLAH WAINNA ILAIHIRAAJIUN Allah amfanyie wepezi katika safari yke na kw familia Allah awajaalie subra biidhinillah. Allahumma ghfirlalla warhamaha waskanalla fil jannah 🤲
@bintmhammad9557
@bintmhammad9557 Год назад
Innaalillahi wainnaaileyhi raajiun Ma sha Allah Mwenyezimungu atujaalie Mwisho mwema... Huyu Dada Ma sha Allah nimempenda sana
@gililwise
@gililwise Год назад
Yaani dada Mungu akuinue sana.wanawake wamuige huyu dada kwa imani aliyonayo.
@andrew29468
@andrew29468 Год назад
Huyu dada ni mke bora na mcha Mungu.
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 Год назад
Innalilahiwanlarajinn mungu ampe kauli sabiti amuondoshe azabu za kabri amin
@user-wk1ix1gm1p
@user-wk1ix1gm1p Год назад
Mashaallah, mashaallah , dada yangu umeongea vzr , pia umetupa darasa tumejifunza wengine kupitia wewe , pia niseme malezi mazuri ulolelewanaamin mama huko aliko anafurahia na anaimani wewe kaacha mtu ,Allah akijalie wewe Na kizazi chako chote
@salmaally8243
@salmaally8243 Год назад
Daaa mwenzetu kapewa Mwisho mwema na Allah, Aminaa
@minjesha
@minjesha Год назад
Subhannallah, Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema!! Binti mwenyewe anaijua dini vilivyo !!
@johasaid9894
@johasaid9894 Год назад
INNALILLAH WAINNAILAYHI RAJIUUN ALLAHUMMA GHUFIRAHA Warhamaha waskanaha fil jannah wajamiil muslimina wal muslimat🤲
@faizafaiza9822
@faizafaiza9822 Год назад
Amin
@shakitv
@shakitv Год назад
Innalillah wahinna illah rajiuun.
@husna34562
@husna34562 Год назад
اللهم آمين
@mussabinford9872
@mussabinford9872 Год назад
Amiin
@salmasalma318
@salmasalma318 Год назад
Mashaallah
@sultanrajab5812
@sultanrajab5812 Год назад
Innalillahi wainna ilaiyhil rajiun....Allahumma aqhfirlaha warhamaha waasqana fil janna....Allahumma Aqhfilri waliwalidaiya warahmhuma qama rabbayani swaghira... Allahumma innaqa afu'un tuhibul afuaa fa'afuanna.....Allahumma Jaalna minal mutawaabina, Walmutwatwahirina, Wajaalna minal ibadi Qasalihina... Allahumma Aghfirli Maa Qaddamtu, Wamaa AGhrartu, Wamaa Asrartu, Wamaa Ahlantu, Antal Muqaddimu Wa Antal Muaghiru, Laailaha illa Anta Faghfirli Maghfilrata min Indiqa, Waarahmni Innaqa antal Ghafurul Rahim........... Rabbana Jaalna Muqimas swalata wamin dhuriyata Rabbana Wataqabbal Duaa... Allahumma Aghifilri min ahlil Quburi, Minal Muuminina wal Muuminati, Wal Muslimina wal Muslimat, Al ahyaihim wal amuwat..... Allahumma Jaalna husnil hatimaa.............. Aaamin Yaa Rabbi Taqabbal Duaaa
@Mimy_keys
@Mimy_keys Год назад
Amiin Yaarab 🤲💕🙏👌
@halimahalima1488
@halimahalima1488 Год назад
Amiiiin yaarabih
@nuujaimaabdallah8931
@nuujaimaabdallah8931 Год назад
Allahuma amiin
@ummyomary6350
@ummyomary6350 Год назад
Allah Akbar tujaalie mwisho mwema
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Ameen
@sharifuahmed8340
@sharifuahmed8340 Год назад
Eeeh ALLAH jmn mola Wang...nijaalie mwanamke Bora km huyu dada, anaeijua dini, mchamungu, mweny kuniongoza kwenye njia Bora ... Allah nijaalie jmn mke Bora km huyu yaraab... WANAWAKE km Hawa kuwapata daaah wachache na nikimpata daaah Dunia ni pepo kwang
@sulaimsameer2668
@sulaimsameer2668 Год назад
Na ww uwe mwema ndo utapata mke mwema
@beatrisbongole8044
@beatrisbongole8044 Год назад
@@sulaimsameer2668 hahaaaaaaa
@wahidashabaz814
@wahidashabaz814 Год назад
Hakika ya imani ni ujasir Allah nijalie kheri katika imani ya dini yangu.innalillah wa innaillah rajiun
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 Год назад
Mashaa Allah, qur'an ndiyo muongozo wa maisha yetu
@rahmavuai3059
@rahmavuai3059 Год назад
Allah akulipe kheri Dada yetu khanifa🤲Na mama yetu Bi Akiba akutanane na Mtume Muhammad sw,pepo ya firdaus iwe maakazi yake
@abouassifmabrouk8110
@abouassifmabrouk8110 Год назад
Ameen Ameen 🙏
@amourmaulid106
@amourmaulid106 Год назад
Ameen
@user-rl3ts2kr2t
@user-rl3ts2kr2t Год назад
Mashallah dadangu nimekupenda imani yako ya dini hiii ndoraha yakufundisha dini watoto Mashallah Allah amlaze mamaetu pema kwa wenye wema.
@raykhalamour3666
@raykhalamour3666 Год назад
Ma sha Allah.Allah amjaalie awe miongoni mwa watu wema wa peponi..na sisi ..Allah atujaalie khusni lhatima..amiin.
@didamanyanya4893
@didamanyanya4893 Год назад
Mdada anajitaid kuongea mambo ya kheli mwenyezi mungu nisaide niwe kama uyu
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Год назад
Hata nami nimempenda natamani niwe kama yeye MashaAllah wazazi wamejitahidi kumsimamia kwa kuishika tawhd ana mawaiza ukimsikiliza hadi raha
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 Год назад
Dida, Inshaa Allah, ALLAH atakupa hilo ulilolikusudia.
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 Год назад
Natamni MUNGU anipe moyo wa subra kama wa huyu dada
@fatumamuya7296
@fatumamuya7296 Год назад
Amiin
@hawajuma2163
@hawajuma2163 Год назад
Na hekma
@halimaabdi2026
@halimaabdi2026 Год назад
Kwa sote yarraby jamii islam ☪️ yarraby .
@nailasaid6412
@nailasaid6412 Год назад
MaaashaAllah huyu dada is such an inspiration.
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 Год назад
You can say that again
@husna34562
@husna34562 Год назад
Mie history ya Huyu mama yetu hainichoki kusliza niliskiza zanjibar tv sai naskia hapa yaani amepata pepo raha sana kufa hali Allah amekuridhia huzun kwetu furaha kwake Allah atupe mwisho mwema
@faaabuboy1900
@faaabuboy1900 Год назад
Allahummah ghufirlaha warhamha waskanaha fill jannah jannah firdows yaraby
@habibndyeshobora6848
@habibndyeshobora6848 Год назад
Amiini yarabbil alamin, mpatie firdaus akae na mswahaba na watu Wa daraja la juu yarabbi.
@kadrayakub7813
@kadrayakub7813 Год назад
Alhamdullilah been A Muslim is great opportunities 🤲
@hassanharuna1519
@hassanharuna1519 Год назад
Masha Allah wallah najikuta na liya kwafuraha familiya nzuri sana tungekua sote waislam itakiwavyo hata wenzetu wa kristo wange silim bila shaka ukijua wislam ki sawa sawa na kuufwata ki sawa sawa nineem isiyo namfano pia ndo furah ya hapa duniyan na kesho akhera ananiongezea iman Allah awafariji nasiye atuongoze sote natupe mwisho urokua mwema🤲
@mrishojumaamrisho3212
@mrishojumaamrisho3212 Год назад
Maa shaa allah amirat uyu mungu amuongoze katika heri
@barkemohamed4198
@barkemohamed4198 Год назад
ALHAMDULILLAH dada una subra ya hali ya juu taarifa hii ya mama yetu imenijenga sana kiimani
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 Год назад
Pole saana, na hongera kwa subira na kumkabizi yote Allah
@KizitoTvKtv
@KizitoTvKtv Год назад
Allaahumma ighfirlaha warhamaha maskanaha fill jannah, Ameen Yaa Rabil-aalamina
@allymasuke1543
@allymasuke1543 Год назад
Allah Amrehemu mama yetu, Yaaani kwa jinsi dada yetu alivyojieleza. Vyote nimependa lkn kikubwa sn nimependa family yote ina dini, guys tuswalini wallah hatujui dk,saaa,wala cku....wallah Mom ameondoka akiwa mwema wallah Allah ampokee
@yassinerasmus7400
@yassinerasmus7400 4 месяца назад
Jazakallahu khaila uyu bint amenifanya mpaka nikatoa machoz.namuomba Allah Akupe hekima na busara kama mama yako.pia namuomba Allah ampe mama yetu daraja ya juu kama alivyokuwa akiiomba kwa Allah haza wajjallah 🙏
Далее
КРЫЛЬЯ - ЗЕНИТ: все голы
01:00
Просмотров 85 тыс.
КРЫЛЬЯ - ЗЕНИТ: все голы
01:00
Просмотров 85 тыс.