Napenda Afrika mashariki saaaanaa🧡 Najaribu kuongea kwa kiswahili. Lakini bado haitoshi. Nikikosea nijulishe! Insta yangu : @ushindi_park #speakingswahili #kikorea #koreangirl
Prince in Swahili is "mtoto/mwana wa kifalme". This direct-translates to "royal child" and can mean either prince or princess. EDIT: "Mwana wa Mfalme" is also correct and can be shortened to one word "Mwanamfalme".
Na mimi napenda nijifunze kikorea pia naomba kuwa rafiki yako unni ushindi. In jesus name i do believe you will reply on ma comment as to catch your contacts that we can talk much. Please
Prince kwa neno zuri ni Mwana wa Mfalme, the son of the King. Pia ziwa Victoria linapatikana nchi tatu tu Tanzania, Kenya na Uganda. Lakini unaeleweka sana. Hongera.
Kwasababu nataka nijue zaid kuhusu kikorea kama utapenda tunaweza kuongea je unadarasa lolote unasomesha hapa Tanzania ukiacha n hili la you tube ntapenda kujiunga ili kuja zaid hii lugha