Тёмный

Mkutano wa Balozi Polepole na Wanahabari Malawi 

Amb. Humphrey H. Polepole
Подписаться 24 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Maelezo yangu Mafupi baada ya Mazungumzo na Mhe. Lazarus Chakwera Rais wa Jamhuri ya Malawi kwa Wanahabari wa Malawi 🇲🇼 #tanzaniaunforgettable 🇹🇿

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@isaacthomas7888
@isaacthomas7888 2 года назад
Akili nying sana kiongoz Wang Mungu akutunze na kukulinda maana weny jicho la tatu tunakuona mbali Sanaa kiongoz wetu..
@juliusjames4768
@juliusjames4768 2 года назад
Hongera sana mheshimiwa balozi polepole...watanzania tunakutakia kila la heri katika majukumu yako mapya.
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 года назад
BALOZI ANAE JITAMBUA NDUGU POLEPOLE nakuona kwenye ubora wako nakuomba piga kazi mpaka aombe poo 💪💪💪👍👍👍🏃🏃🏃🏃
@alphabriton
@alphabriton 2 года назад
Congratulations his excellency Mr. Polepole…🎉🎈🎊…. Am proud of u …. Am sure u will carry out the task given 2 u perfectly… I have no doubt with u as far as work is concerned…..
@jamesmagumba6370
@jamesmagumba6370 2 года назад
Bless u, May God Be with You wherever u go, Present yourself a blameless workmanship🇹🇿🇹🇿🇹🇿May you Excel to the Foremost the Lord has set for u Honorable Ambassador🇹🇿🇹🇿🇹🇿 We Love You very much and Make our Country Proud🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪✍️✍️✍️✍️✍️
@emmabrownmissana6996
@emmabrownmissana6996 2 года назад
Nakuona mbali Sana👍👊💪😎🇹🇿
@senjiyunvankunzimana4143
@senjiyunvankunzimana4143 Год назад
Nakupenda sana pole pole uko vizuri sana japo walikupunguza makali yako.ila mwenyezi mungu akupe miaka mingi mpaka ufikie uzeeni
@bevenmolokwane_tz4643
@bevenmolokwane_tz4643 2 года назад
Mimi natabiri mapemaaa, the next Tanzania's #Nyerere#Magufuli = Humphrey Polepole
@hamasaonlinetv1549
@hamasaonlinetv1549 2 года назад
Tuna miss sana "Shule ya Uongozi" Mkuu.
@kilingahamisi9386
@kilingahamisi9386 2 года назад
Hongera muheshimiwa wewe ni Kiongozi makini sana mwenye kila sifa ya Kiongozi inshaallah m'mungu azidi kukulinda siku moja upate kuliongoza Taifa letu Tanzania,kila la kheri kwenye majukum yako mkuu
@sometimes5621
@sometimes5621 2 года назад
We miss Shule ya Uongozi! Hon. Pole Pole is another Level!
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 года назад
No more polepole Tanzania
@nicholauslema2707
@nicholauslema2707 2 года назад
Kaka Humphrey Polepole Hongera kwa Nafasi Uliyoteuliwa. Tafadhali Fanya Kila Linalowezekana uturudishie Shule Ya Uongozi aisee,,,, Huku TZ Mapichapicha Yanazidi Kuongezeka😤
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 года назад
Natamani uwe Rais WA tanzania
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Hongera sana baba chapa kazi mkweli huwa hapendwi
@mwigakatumpula6852
@mwigakatumpula6852 2 года назад
Safi sana RAISI mtalajiwa ajae 🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👍👍👍
@didasstanley3769
@didasstanley3769 2 года назад
Strong man always speak confidential God bles you Bro Blood of Jesus may cover you every corner of your life live healthy man of God
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Wewe ni Rais wa baadae tunaomba mungu akupe uhai bado kijana
@henrymamathias4905
@henrymamathias4905 2 года назад
It was very good speech ever heard by Tanzanian college, it is indeed a crucial time that Mr polepole has to relocate there ,I'm very confident that he will serve at best interest of our both countries addressing inch by inch, meter by meter and kilometer by kilometer all the challenges that prevent us from having economic ties for betterment of social and economic prosperity.
@MgimbaMediaonlineTvJEMS-pu7wq
@MgimbaMediaonlineTvJEMS-pu7wq 2 года назад
Tulimic sana kauli yako mkuu endelea kuupiga mwingi uko kaka.
@joojombi2341
@joojombi2341 2 года назад
Safi sana akhui mola akubariki kila la kheiry na majukumu mema. Mola akulinde
@MoN_KaDO
@MoN_KaDO 2 года назад
I'm proud to have a man like you H.Polepole
@kiatu
@kiatu Год назад
Balozi, tupe history ya Malawi huko Temeke, Tanzania.
@bennyjohn1412
@bennyjohn1412 2 года назад
Pole Sana ndungu Mungu yupo pamoja nawe shujaa msemakweli
@101334001
@101334001 2 года назад
You're brilliant Sir. Lots of love from Kenya.
@nestor384
@nestor384 2 года назад
Smart and bravery Brother you are the trusted future I always do pray and pilgrimage tha ancestry good spirits to rise you up more to the apex level of our country leadership.🙏🏻 A mild version of The Late Mwl. Nyerere and Dr John Magufuli
@George-ue9qe
@George-ue9qe 2 года назад
Be blessed Hon Polepole ,I'm sure you will perform in good way what you Intended
@paschalsimion3726
@paschalsimion3726 2 года назад
Our call to God is to protect you, to stand for the best of our country in the very near future to come, we are very sure you are the only seed left over by JPM
@geofreymalekana8000
@geofreymalekana8000 2 года назад
Nakukubali sana polepole bigup 👍
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 года назад
Nyota kali Mze Baba. Yani kama vile we ndio balizi pekeee kwa unavyo nkara.
@rehemaulimboka450
@rehemaulimboka450 2 года назад
All the best SMARTMIND TZ IS PROUD OF
@ndakiisaac8427
@ndakiisaac8427 2 года назад
sema usjali it came wit a ship..... home boy gonga tu ka mzeee
@bevenmolokwane_tz4643
@bevenmolokwane_tz4643 2 года назад
Balozi wa mfano💥💥💥🕺🕺🕺
@ndakiisaac8427
@ndakiisaac8427 2 года назад
Nan HIM... matter of language home boy umeniangushaa sanaaa haraf mbele ukamtaja tena .......
@emanuelkiyumbi362
@emanuelkiyumbi362 2 года назад
Umesahau kataa wahuni. #kataa wahuni
@marrymaige2481
@marrymaige2481 2 года назад
The future President
@mabubambassa4882
@mabubambassa4882 2 года назад
May Almighty God be with you. You future is brighter.
@hamasaonlinetv1549
@hamasaonlinetv1549 2 года назад
Kaka ana hofu ya Mungu na anampenda ndio maana Mungu anakupa kibali. "Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea Bwana ambaye Bwana ni tumaini lake. Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji. Uenezao mizizi yake karibu na mto. Hautaona hofu wakati wa hari ujapo. Bali Jani lake litakuwa bichi. Wala hautaangaika mwaka wa uchache wa mvua. Wala hautaacha kuzaa matunda." Yeremia 17:7
@richardhyera7584
@richardhyera7584 2 года назад
It's so wonderful, ....we are proud of you 😊😊
@hsd8615
@hsd8615 2 года назад
God bless you. polepole
@kenethjohnmwasekela8819
@kenethjohnmwasekela8819 2 года назад
Super
@babumaziku
@babumaziku 2 года назад
Comrade💪🏿
@bevenmolokwane_tz4643
@bevenmolokwane_tz4643 2 года назад
Balozi mwenye bashasha !!!
@clevermngao7565
@clevermngao7565 2 года назад
Umeupiga mwingi sana, nakuona kwa mbalii Rais ajayeeee! Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Ambassador Polepole! The coming president I don't know when but the time will tell!
@MrMohamed74
@MrMohamed74 2 года назад
Piga kazi kaka. Wewe ni alama ya Tanzania na ni alama ya vijana wa kitanzania wenye uzalendo wa kuwajibika
@pastorfikencharles8041
@pastorfikencharles8041 2 года назад
Good
@sherallysherally1203
@sherallysherally1203 2 года назад
I admire your good experience and knowledge of your work. I believe that one day something big and positive will happen before you, if God wishes. In shaa Allah. Keep it up.
@mendradphillipo2659
@mendradphillipo2659 Год назад
brother tunakuomb kwangu kwenye mjukumu yakoo
@ahadimnkeni7752
@ahadimnkeni7752 2 года назад
Hahahahah father of nation
@salimally3714
@salimally3714 2 года назад
Huko kumekufaaa sana umependeza hapa tz ulikuwa unatukana sana ww
@errydeo8865
@errydeo8865 2 года назад
WE know Samia was not confy[scared] with you around thus sending you out of the country!!! We know she is scared of anyone smart,intelligent,out spoken,clever,trustworthy,competent,hardworking above of man of the people.Comrade Polepole,samia sending to Malawi,thought that she will or has weakened your stance,hell no ,she has actually strengthen you diplomatically.We need you home 2025 tufanye letu jambo.God bless you Comrade,salute.
@titokwareh1852
@titokwareh1852 2 года назад
Naisikia tone ya Mwl Nyerere alipokaribishwa na John Kennedy White house 1963
@pastorfikencharles8041
@pastorfikencharles8041 2 года назад
How about shule ya uongozi mwalimu we miss it
@victorwilliam1111
@victorwilliam1111 2 года назад
Yess
@moberoministries3610
@moberoministries3610 2 года назад
My future@ Humphrey Pole pole
@pastorymasanja8838
@pastorymasanja8838 Год назад
AKILI KUBWA.
@williamlaiza6633
@williamlaiza6633 2 года назад
kanenepa sanaa
@mkushiandikayakoachananaya7944
@mkushiandikayakoachananaya7944 2 года назад
Malawi wanajuta kumuuliza Polepole kwa lugha ya Kiingereza maana kawaingiza shuleni upya! Polepole ana jambo moyoni siku akiwa mahali ataonesha tu. Kwa sasa chini ya serikali dhalimu acha awe mpole tu! NI MTU SANA HUYU!
@errydeo8865
@errydeo8865 2 года назад
Wamalawi Kingereza ni lugha yao ya taifa pia,ulitaka wamuulize kichechewa??Make wengi hawajui kiswahili..Nyie mlifikiri Polepole mbumbumbu..ndo maana maza anamuogopa huyu jamaa..
@saidipara4134
@saidipara4134 2 года назад
🤔🤔Tunacho hofia sisi na wewe utatugeuka kama hawa wengine huku.hatuofii kuteuliwa iwe kimkakati wa kukutoa kwenye reli sisi hatujui hilo sisi tunachokuomba usitusahau na usitugeuke.maana wengi tunakupenda .shule ya uongozi umetuachia madawati tu.😭😭
@sun7282
@sun7282 2 года назад
@KelvinShoo
@KelvinShoo 2 года назад
Let Me tell you one thing " This man have the legacy of President Maguli and soon he will a selected candidate for 2025 " God will shock people and the world "
@errydeo8865
@errydeo8865 2 года назад
Thats why samia sent him to Malawi to destabilize him,she knows how smart he is.Mwiba huyu jamaa angekaa home.lol
@haroldtarimo3115
@haroldtarimo3115 2 года назад
That's daydream my friend Mama is doing wonders I'm confident that she will lead the Nation up to 2030 May God bless our President
@RobertsKibasa
@RobertsKibasa 8 месяцев назад
He will be a president of Tanzania 2030 to 2040, he is capable of being a president.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@princekagame8203
@princekagame8203 2 года назад
Balozi kama balozi
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 2 года назад
See you in 2030!
Далее
How to Install and Use an Adjustable TV Arm
00:18
Просмотров 963 тыс.
Balozi Polepole: Ukubwa wa Afrika na Vita ya Ukreni
2:38
How the Computer was Accidentally Invented
8:40
Просмотров 22 тыс.
Amb. Humphrey Polepole MBC exclusive interview
25:49
Просмотров 4,8 тыс.
MAHOJIANO YA NDG. POLEPOLE NA WASAFI TV
1:01:18
Просмотров 8 тыс.
BABA ASIMULIA MAUAJI WANAFAMILIA WATATU
6:13
Просмотров 4 тыс.