Тёмный

Mtoto wa Rais Samia amkosha mama yake katika uzinduzi wa MIF 

EastAfricaTV
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 157 тыс.
50% 1

Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 119   
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 2 года назад
Mashallah like mother like doughter mpaka working style
@lailasalim8685
@lailasalim8685 2 года назад
Nakusapot asilimia zote🙏🙏
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 года назад
Hongera!!!
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 2 года назад
Chapa kazi na Mwenyezi Mungu atazibariki kazi za mikono yako,achana na wale wenye vijiba vya moyo dhidi yako.
@salamaisayas8281
@salamaisayas8281 Год назад
Hongera zako M/kiti WA wanawake MH Wanu Hafidhi oyeee na Mungu akuweke
@lailasalim8685
@lailasalim8685 2 года назад
Wanawake tunaweza ....tukiwezeshwa tuna plan za kujiendeleza na kuinua wenzetu wasiojiweza,mayatima na wajane vipi tutaweza bila kusapotiwa na kuwezeshwa😓😓.........big up mungu akutangulie kwa kila hali napenda sana hvyo vitu
@zakarianyakunga9207
@zakarianyakunga9207 2 года назад
Huna hata aibu huyo aliyewezeshwa anafanya Nini mbona KILA mtu analia
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 2 года назад
Unaweza nn sasa kama unasubiri mpaka uwezeshwe
@veronicasulle1849
@veronicasulle1849 2 года назад
Umemsifia nani sasa na vip amekuwezesha huon watu wanavyolia 😏
@mohamedmhando8548
@mohamedmhando8548 2 года назад
Jambo la mama, Jambo letu sote 🙏👍
@rosemussa3240
@rosemussa3240 2 года назад
Pole sn ww, hujamuona mwenye mama yake?!?
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 года назад
Ajaribu akishonesha wamshonee shati refu kidogo alipo nyanyuka kutowa heshima nimeona aibu mm
@saadmbaraqa5272
@saadmbaraqa5272 2 года назад
Mtihani
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 2 года назад
Amina 🙏🇹🇿🔥🔥🔥🔥 MUNGU amekupenda Sana mama samia unatakiwa umshukulu kweli🤔🙏🏿
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 2 года назад
Police wanauwa wamasai, au wamasai syo watu, furhn kunyweni cheken, ila mungu yupo mama Samia pandisha vyakula watu wfe kwanjaa nyinyi nenepenitu , unajisahau sna, kwakuw ww ni mzazibar
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 2 года назад
Acha kuongea sana ww😆😆😆
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 2 года назад
@@salamasaidi6620 wananiudh xna hawana ubinadam
@peterdavid4230
@peterdavid4230 2 года назад
Hawana utu wanajichumia matumbo lkn ivo ni vyeo tu wataviacha apa apa
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 2 года назад
@@peterdavid4230 Yaa hata mm naamin wanamwaga dam za wa tz wenze2 ila ipo sku1 nadam zafamilia zao Zita mwagika hk wakitizama kwamacho Yao, on day one time
@peterdavid4230
@peterdavid4230 2 года назад
@@makongoronyerere1564 kabisa kumbuka what goes around comes around
@sarahkelvin4845
@sarahkelvin4845 2 года назад
Mmh hakun ki2 hap
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 года назад
Unateseka ukiwa wapi
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 2 года назад
Mungu azidi kumbariki ili aendelee kusaidia Wanawakebasa wasichana wadogo wanaoishi mazingira magumu. Ukimuwezesha mwanamke umewezesha jamii nzima. Tanzania Imara Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
@farujohn622
@farujohn622 2 года назад
Big up endelea hivyo hivyo kuhudumia wapi nani kama mama
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 2 года назад
Kazi ipo ipo ipo ipo....anaguswa sana na mambo ya jamii....huku mkuranga barabara mbovu anajua hilo?
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 2 года назад
Jenga ww
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 года назад
Wewe Richadi acha uongo Mkuranga gani? unatoka Mbagala mpaka Mkuranga lami tupu. wapi barabara imeharibika? si ajabu hata hiyo Mkuranga yenyewe hauijuia. Kazi kupotosha tu kwa michuki yako hiyo ya kishamba.
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 2 года назад
@@rayisadesigns2646 Shut up! Tarura wanashughulika na barabara za vijijini na sio main road kaongeze akili, (usichanganye barabara za tanroad na tarura, na zile za manispaa), watu hawaishi barabarani main road wanaishi interior.....mafungu ya pesa za barabara tarura zinatolewa? Mbona njia mbovu...au unaishi wapi wewe mburura? Piga simu kwa CEO wa tarura atakuambia kero nilizomfikishia tangu 2020 kajitahidi sana the guy is good but leo ni 2022, piga simu mkuranga tarura watakuambia....kama hujui au unaongea ushabiki kaa kimya! Wewe unayeishi main road this is not your topic...go to hell 😈
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 2 года назад
Kwa kiasi chake tumejenga sisi kwa kujichangisha na wengine kupeleka moto....hapo vipi Mohamed umeridhika? Wazee wa michongo, unaonaje hapo? One day you will endure eternal punishment...wait it's coming soon
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 2 года назад
@@mohamnedsalum2150 achana nae Fisadi wa roho huyo.
@bjzee1981
@bjzee1981 2 года назад
Anawezaje kua mbunge wa sehem mbalimbali.
@jambo3751
@jambo3751 2 года назад
Mbona Hussein Mwinyi amekuwa mbunge wa Mkuranga na Kwahani pia?
@albertjames6845
@albertjames6845 2 года назад
Unaijuwa katiba ya nchi wewe?
@dr.bahatirichardson8834
@dr.bahatirichardson8834 2 года назад
Umenifanya nitafakari na kusikiliza upya video hyo. Hivi wale wa viti maalumu nao huwa wa sehemu maalumu kumbe? Nchi hii ina wenye nchi na wana wa nchi.
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 2 года назад
Hovyooooooooo
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 2 года назад
Acheni wivu mama anaweza
@ereriamatarimo7964
@ereriamatarimo7964 2 года назад
Hawezi..Kaz.i..sa.wanaume..yeye..akalee.mume..na..wajukuu
@simontamba1285
@simontamba1285 2 года назад
Vyema dada kikubwa tubadirishe mfumo wetu wa Elimu uzalendo saana na vitu vingi vianze kufundishwa mashuleni teena msingi ikiwa kazi ,sheria ,na usimamizi wa fedha
@abednego3876
@abednego3876 2 года назад
Safi hongera kwa Dada, waliopata wazazi maraisi alaf hawakufanya la maana pole zao .
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 2 года назад
Kwa kweli wengine kila siku mitandaoni midomo kama machochonge vile
@mwigakatumpula6852
@mwigakatumpula6852 2 года назад
Lkn sio walala hoi wapo vzr maana watakula keki ya taifa mpaka mwisho wa vizazi vyao
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
@@mwigakatumpula6852 mmmh
@thomasmseli3046
@thomasmseli3046 2 года назад
Kweli ni mara ya kwanza kukuona na kukusikia nakukubali na nimeamini unaweza kazi hiyo uliyo anzisha. Keep up binti mzuri nakutakia mafanikio mema njoo pia Moshi upate uzoefu
@ajheemclassicaltv7608
@ajheemclassicaltv7608 2 года назад
Yetu macho kizuri kula na mwenzio
@sekwaocekwao259
@sekwaocekwao259 2 года назад
Mama tufikishe ule mji wa maziwa na asali,watasema tu ila tunaimani na mama!
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 2 года назад
Kweli Nadra umeliona hilo biti Hassan
@athumansuphian5891
@athumansuphian5891 2 года назад
Hii nchi ya ajabu sana
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Uajabu wake nini?
@safiaothman5175
@safiaothman5175 2 года назад
Nchi ya Kiajabu kivipi?
@enickosanga4921
@enickosanga4921 2 года назад
Endeleeni kutuona wtz Mabwege hivohivo
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 2 года назад
Huyu mama Anataka tuijuwe familia yake.
@mussahassan8751
@mussahassan8751 2 года назад
Mtoto wa Samia Hana uzalendo hata kidogo kwanza ana ubaguz wa Salamu kaishia kusalimia waislam tu shame on,, tayari washaanza udini😏
@allyabdallahally9637
@allyabdallahally9637 2 года назад
Yaani ukiweka hayo mbele hutafika hayo ni mazoea tuu
@melkzedeckmaimu8344
@melkzedeckmaimu8344 2 года назад
Hii nd nch amby wtt w mskin wkjiajr alf wtt w viongz waajriwe dahh 😪
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 года назад
Na bado , wewe kaa na ujinga alf ujiite masikini na utakua masikini mpk ufe
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 2 года назад
@@mbwanarajab4756 😆😆😆😆
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 года назад
😥😥😥🙏🙏
@sknapoleonshoo3145
@sknapoleonshoo3145 2 года назад
Serikali inaendeshwa kifamilia 🥺🥺🥺
@nancymwangi7926
@nancymwangi7926 2 года назад
sipendi marais wanqotumia nafasi zao kupromoti watoto wao nahii iko kwa Y67oel mseven kagame jakaya naleo samia
@allykigatta7564
@allykigatta7564 2 года назад
Ikisha ANA MJUNGU SI HABA...
@athumansuphian5891
@athumansuphian5891 2 года назад
Nchi yaendeshwa kifamilia
@abbassalum6824
@abbassalum6824 2 года назад
Kwani Kuna Mtto asiemksha mama yake nyie waandishi vp
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 2 года назад
Hata mimi mwanangu ananikosha sana naomba mumrushe pia
@saidipara4134
@saidipara4134 2 года назад
Klla mtu ale kwa urefu wa kamba yake.baada ya muda tutamuona bungeni.😔😔watoto wa kimasikini Bunge tubaki kulisikia tu.
@reisedyy4910
@reisedyy4910 2 года назад
Shauri yenu, mtaendelea kua maskini mpaka lini?
@mariamusiraju3289
@mariamusiraju3289 2 года назад
Yupo bungeni huyo na ni mke wa waziri wa utamaduni mbunge wa Jimbo la rufiji kwahiy hapo ni maji tuu yanafat mkumbo
@salumumapunda6717
@salumumapunda6717 2 года назад
Yupo bungeni hata kabla mama yake bado sio makamu wa rais
@saidipara4134
@saidipara4134 2 года назад
@@salumumapunda6717 ok
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 2 года назад
Hongera mama mazuri yapo njiani
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 2 года назад
Kutoka kwa wazungu 😄😄
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 2 года назад
@@greysonmheni5176 kutoka kwa wizi wa mafuta ya transformer na wizi wa miundo mbinu ya bara bara mpya na mengine mengi tu tunajijua wenyewe
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
@@greysonmheni5176 ukipata tumia bila kujali kimetoka wapi ??isiwe mkopo tu wa kuua nchi
@jamesponeca8912
@jamesponeca8912 2 года назад
Na Yeye apewe uwaziri
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 2 года назад
Twakupenda sana mama samiha 🥰❤❤❤❤🌹👌
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 2 года назад
Mumpende huku zenji kwrnye njaa
@abdulhalim3840
@abdulhalim3840 2 года назад
Si buno hilo
@bojobunton7138
@bojobunton7138 2 года назад
😸🤣
@Awatee
@Awatee 2 года назад
🤣🤣🤣🤣Mungu anakuona
@zuakhalfan9767
@zuakhalfan9767 2 года назад
Acheni wivu alopewa kapewa
@nazarenajoseph2695
@nazarenajoseph2695 2 года назад
Kina mama hoyeeeee
@bjzee1981
@bjzee1981 2 года назад
Tozo zime wanenepesha
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 года назад
Wewe ni mshamba na ubongo wako ni mavi tu
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 года назад
sana yaani hadi wanakaribia kupasuka
@anithakyara623
@anithakyara623 2 года назад
W
@omarykitololi447
@omarykitololi447 2 года назад
Mshaanza kutuludisha tupotoka vipind vya kikwete na mkapa mashavu mnapeana wenyewe kwa wenyewe kana kwamba nyinyi ndo mmezaliwa special uongoz pumbav mtupu
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 2 года назад
Tafuta pesa wacha majungu hayawezi kukusaidia kupata maisha' Bora ah ah ah
@eleoncejohn3823
@eleoncejohn3823 2 года назад
Na wewe mpe shavu mwanao Kaka
@saphiahaji7715
@saphiahaji7715 2 года назад
😀😀😀😀
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 2 года назад
Nakusapoti mana kajaaliwa kama mama yake
@kindandakudingwa7514
@kindandakudingwa7514 2 года назад
Mtoto wake ni yupi happo??
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 2 года назад
@@kindandakudingwa7514 huyo bi dada alie karibisha hapo na kuongerea hiyo hafla kavaa mtandio wa blue
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 2 года назад
@@kindandakudingwa7514 ameenda kaa jirani na mamaake.
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 2 года назад
Wabaguzi wa Salam, mmm
@simontamba1285
@simontamba1285 2 года назад
Umeonaaee
@yasserrashid6843
@yasserrashid6843 2 года назад
Salam ipi unataka
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Zanzibar ni nchi ya kiislam, usisahau Hilo!!
@Sheba4651
@Sheba4651 2 года назад
Nyie mtasalimiwa kwa jina la Jamhuri tu, Hizo salamu toka kwa muumbaji ni special kwa wanaomjua muumbaji. Sasa mungu wako wewe si Mungu wetu, tuna miungu tofauti kabisa.
@barakakhemedi1250
@barakakhemedi1250 2 года назад
Huyu akisema mama ana haki ni mama ake ila sie wengine rais tu
@dr.bahatirichardson8834
@dr.bahatirichardson8834 2 года назад
Tayari kuna Msichana Iniatives sasa hii Mwanamke Initiatives imesajiriwaje? Mtoto wa Rais anazindua foundation mgeni rasmi ni Rais? Ama kweli hii ni Nchi ya Wenye Nchi siyo ya Wana wa Nchi. By the way nimempenda baba ake Wanu (mume wa Rais), anaonekana hana makuu mzee wawatu na wala hajishauwi wala kujikweza,wonderful! Hongera kwake kwa kuwa mwanaume wa kwanza katika nchi yetu ambaye mkewe ni Rais wa nchi tena naye wa kwanza mwanamke, wote wamevunja record: First Female President and First Man.
@missmrs829
@missmrs829 2 года назад
Nchi ya walaji kaka tutafanyaje Acha tuwe wapenzi watizamaji 😁na unafiki wa watanzania eti wanampigia makofi 😅😅sijui ni kutokuwa na elimu? ama njaa ya umasikin??
@raffeiystar2870
@raffeiystar2870 2 года назад
Ulitaka mgeni rasmi awe kingwendu ndio ungefurahi??
@urumtewele9693
@urumtewele9693 2 года назад
@@missmrs829 lakini sisi Waswahili tunapenda sana kulalamika lakini siyo kujitolea nakuanzisha kitu kitakacho faa kwa uma, tuna penda kuwa na wivu usio na maendeleo kumbe tukitaka kusonga mbele ni kuwa nawivu wafaida yeye kaanzisha hiki basi mimi naanzisha kitu kingine hivyo tutasonga mbele huo ni mtazamo wangu nisamehe
@mohamedasaid7910
@mohamedasaid7910 2 года назад
@@urumtewele9693 Uhasidi hauna dawa. Huyo Dada Mwanu amekuwa Kiongozi kabla Mamake Kuwa Rais.Mamake amepata Urais kama kadari ya Muumba.Hakupigania.Sasa mahasidi wamlaumu Allah Nikumbushe Rais Magufuli alivyomsifu Mama Samia kwa kusema kuwa alipomchagua Mama Samia hakuwa anamjua sana lakini amejua ni Mama mchapa kazi sana
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 Год назад
Ndio pale utajua hujui...
Далее