Тёмный

Mlugaluga alivyoiigilizia sauti ya Rais Magufuli. 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 483 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 117   
@nanoinc5690
@nanoinc5690 8 лет назад
Tanzanian Artist are the most creative people in the World....
@deogratiusmagembe276
@deogratiusmagembe276 9 лет назад
Asanteh sana kaka kwa kazi yako nzur mana ninapata vitu ambavyo vilinikupita kwa mida fulani
@peterbayo4677
@peterbayo4677 6 лет назад
Jamaa ana talanta ya kufa mutu. Anahitaji kutiwa moyo na kujiendeleza zaidi. Hongera sana kwake
@williamsadock8346
@williamsadock8346 9 лет назад
Hahaha hongera sana Millard ayo kwa kutuburudisha mungu azidi kukubariki bro
@miltonogot1054
@miltonogot1054 8 лет назад
MTU wangu wa nguvu Millard unatoa kazi nzuri sana mungu akulinde napenda sana kazi yako
@timotheomushi1215
@timotheomushi1215 7 лет назад
.
@richardmghweno5473
@richardmghweno5473 5 лет назад
Uko vizuri Sana keep it up una kipaji
@ladibon
@ladibon 8 лет назад
Jamaa anakipaji kweli. Hongera sana. Keep it up
@josephinemrope8768
@josephinemrope8768 6 лет назад
safi sana hongera kaka kwa kipaji chako
@DavisTibbz
@DavisTibbz 8 лет назад
Swafi sana...aisee anaweza
@hawahamisi6237
@hawahamisi6237 9 лет назад
Millard SHUKURN sana mbavu zang daah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@anthonylimommuni1481
@anthonylimommuni1481 8 лет назад
thanks for this
@samsonkawogo1085
@samsonkawogo1085 9 лет назад
Your very bright bro keep it up
@adamuupunda882
@adamuupunda882 8 лет назад
jamani na shukuru kwa kunipa mojo nitafanya zaidi my mobile phone +255 716 490959 fb adamu upunda, aka mlugaluga, nakushukru mirad mungu akubariki kwa kunitangaza.
@januaryjulius9821
@januaryjulius9821 6 лет назад
uko vizuri sana broo...unapatikana wapi we ndo msanii asee wengine wanatuzingua tu
@mpendaedward9578
@mpendaedward9578 6 лет назад
Nimekutafuta sana kk
@djmasaicowboy1534
@djmasaicowboy1534 5 лет назад
Kaka unaweza sana
@SafeHaven_TV
@SafeHaven_TV 5 лет назад
Uko vizuri sana Mlugaluga,sidhani kama kuna msanii hapa bongo kama wewe bro.Wewe uko 'real' yaani hulazimishi.Hongera sana.
@kimukinyau5516
@kimukinyau5516 4 года назад
adamu upunda mingu azidi kukuinua blood
@pauldominic1220
@pauldominic1220 8 лет назад
uko vzr sana millad ayo kila kona wanakusifia sana
@saidikobossa7489
@saidikobossa7489 9 лет назад
safi sana what a nice beginning of the week
@willyjohn7858
@willyjohn7858 8 лет назад
aiseeee ni nzuriiii xn
@brysonsabun4657
@brysonsabun4657 8 лет назад
That's awesome. Nimeinjoy mnoo!!
@rehemajuma7413
@rehemajuma7413 9 лет назад
tanx my kaka kwa burudan
@elizabethmwandu9899
@elizabethmwandu9899 6 лет назад
Kwa kweli nimecheka huyu kaka kwa sauti anawezea sana big up.
@lukambaofficial5541
@lukambaofficial5541 5 лет назад
Elizabeth Mwandu umetishaaaaa 😁😁😁
@SafeHaven_TV
@SafeHaven_TV 5 лет назад
Mlugaluga yuko vizuri sana kiukweli
@fredrickitala3903
@fredrickitala3903 7 лет назад
huyu ndio msanii wengine wamelewa sifa
@frankomart5801
@frankomart5801 9 лет назад
thats talent right there
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 6 лет назад
Anajuaaa....
@hillaryfrancis707
@hillaryfrancis707 9 лет назад
Hahaaaaa nimefurahi sana bro Millard,, shukrani kwa burudani,, jamaa anaitwa nani tafadhali?
@millardayoTZA
@millardayoTZA 9 лет назад
+Hillary Francis asante sana Hillary, jamaa anaitwa Mlugaluga
@hillaryfrancis707
@hillaryfrancis707 9 лет назад
+Millard Ayo Nashukuru bro,, pamoja sana
@athumaniramadhani4975
@athumaniramadhani4975 8 лет назад
+Millard Ayo Habari zako kaka
@xmathematics_
@xmathematics_ 5 лет назад
jamaa yuko poa.sana.....cjui kwann hajapata trending
@ngerezashafii1424
@ngerezashafii1424 8 лет назад
huyu jamaa ni jiran yangu yaan nacheka kila nikutanapo nae
@meesipro6799
@meesipro6799 8 лет назад
jamaaaa yupo vizuriii saaanaaa
@edwardpastory812
@edwardpastory812 8 лет назад
hivi huyu ndo yule jamaa wa matangazo ya voda mwaka 2003/2004 ya morocco posta aliekuwa anataka kutoa NAULI NUSU KISA HAFIKI POSTA?
@patrickmbogo7805
@patrickmbogo7805 4 года назад
👏👏👏
@welmanadam5727
@welmanadam5727 6 лет назад
he's the best right now to be honest
@ericmdemu2876
@ericmdemu2876 8 лет назад
Hakika anaweza, dhahiri kipajiche si kidogo!
@kisianganijob1068
@kisianganijob1068 8 лет назад
This is dope
@issaramadhan
@issaramadhan 8 лет назад
dah jamaa ni hit of the show
@samuelmakombe1802
@samuelmakombe1802 9 лет назад
Jamaa noma
@patrickmbogo7805
@patrickmbogo7805 6 лет назад
inafurahisha kweli
@mzanzibartv8774
@mzanzibartv8774 6 лет назад
Kizuri hakiozi 3/10/2018 nimerudia tena
@t1910j
@t1910j 8 лет назад
Lol. He nailed it completely! Safi sana.
@consolataakwabi7321
@consolataakwabi7321 8 лет назад
wooow nice1
@bakarilengesha9050
@bakarilengesha9050 6 лет назад
Good
@kibatishasanaissa8225
@kibatishasanaissa8225 8 лет назад
daaaah nouuma sanaaaaaaaah
@mageseemmanuel4466
@mageseemmanuel4466 8 лет назад
iyo noma sana kwa rais msitaafu jakaya jamaa kampatia saut yake
@yohanarafael1022
@yohanarafael1022 8 лет назад
huhuhu@@mirad ayoo huyoo jamaa anaitwa nani
@mugenyiemmanueli7304
@mugenyiemmanueli7304 8 лет назад
yaaani kwakweli god bless all thats have a talents
@EmmanuelGMongi
@EmmanuelGMongi 9 лет назад
hahaaaaaaa kaka millard unaelimisha na kurudisha leooo nimeburudika sana heshima kwa kazi yako
@mwamininajim3031
@mwamininajim3031 9 лет назад
thanks a lot.umetu kosha moyo,I love you
@mwamininajim3031
@mwamininajim3031 9 лет назад
thanks again and again.Millard Ayo
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 8 лет назад
Guud
@georgematahimba5242
@georgematahimba5242 5 лет назад
Good
@nusuramrota4116
@nusuramrota4116 6 лет назад
Milad we noma kwa burudan
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 года назад
Hapo kwa magufuli umeshinda
@naylucumay5549
@naylucumay5549 8 лет назад
bro pa 1, sana
@rhodalaflor6790
@rhodalaflor6790 9 лет назад
this made my morning lol
@geofreyernest3437
@geofreyernest3437 7 лет назад
hapa hakuna cha hoho wala Nani jamaa Nouma
@evanrwiza8681
@evanrwiza8681 9 лет назад
haa haaa noma sana
@erickhaule8680
@erickhaule8680 8 лет назад
du huyu jamaa noma
@sevarinpg1835
@sevarinpg1835 8 лет назад
utakatatifu ndio njia pekee ya kumuhona mungu. ndio yesu Bwana anasema iweni watakatifu kama baba yenu alivyo mtakatifu
@richardgirgis4302
@richardgirgis4302 5 лет назад
Sio kumuhona sema kumwona
@reachpizo8013
@reachpizo8013 6 лет назад
huyu anayaweza kwel bro"
@hagaijohn9597
@hagaijohn9597 7 лет назад
aiseeeeee yaan huyu kauwaaaaaaaaaa. uwiii mbavu zanguuu
@othmanabdallah1817
@othmanabdallah1817 8 лет назад
ananua sana
@mahesenitunduma2438
@mahesenitunduma2438 8 лет назад
Duuu. Mlugaluga ww noma
@bryuronu4858
@bryuronu4858 8 лет назад
baridaa
@fibolychifunda6639
@fibolychifunda6639 8 лет назад
mlugaluga ni mtaalam
@danielbujiku3054
@danielbujiku3054 9 лет назад
Jamaa ametisha ile mbaya
@abbydeco9125
@abbydeco9125 7 лет назад
Uyuuu jamaa anajuaaa mbayaaaaaa😂😂😂😂😂
@millotv8050
@millotv8050 6 лет назад
Usikia kipaji ndip hiv
@salummbunga4872
@salummbunga4872 3 года назад
Huyu anaitwa adamu mbwecha alikuwa akiishi tandika huku eneo la soweto
@peterpoul4732
@peterpoul4732 7 лет назад
Jmn duh
@agnesluoga2807
@agnesluoga2807 9 лет назад
millard ayo umemtoa wapi huyo mlugaluga ljn? uwiiii mbavu zangu yn nimechecheekaaaa mpk nimewashtua waliolala yn kila anaemuiga anampatia sana tena sana
@hamadfungo9740
@hamadfungo9740 6 лет назад
Huyu jamaa ni funika bovu hakuna cha jk wala Steve nyerere
@onesmompiluka7869
@onesmompiluka7869 6 лет назад
Broooo we ni shiiida apa nimecheka mbaka basi
@mr.dopects
@mr.dopects 8 лет назад
Duuuuuh jamaa ametishaaaa
@victorkumenyafilms716
@victorkumenyafilms716 9 лет назад
Uyu jamaa kichwa sana
@saumusalimuhassan772
@saumusalimuhassan772 8 лет назад
Hahaha! !! hii ni balaa
@kamisadoctor2437
@kamisadoctor2437 8 лет назад
mmmhmm!! uyu jamaa ni noum, mbavu zangu jaman!!
@gideonimathew6491
@gideonimathew6491 6 лет назад
Kila mtu na ajue Jesus coming soon
@khamischabai3216
@khamischabai3216 7 лет назад
adamu mlugaluga unatisha
@newtonmunenekaibiria6623
@newtonmunenekaibiria6623 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥 JPM part
@ezekielkimaro1647
@ezekielkimaro1647 6 лет назад
nooooomaaaa
@G-vas1992
@G-vas1992 8 лет назад
Hahahaha jamaa nimemuelewa haha!!😂😂😂
@anatolybukhay2074
@anatolybukhay2074 7 лет назад
noumaaaaaaa
@JoshuaNamfua
@JoshuaNamfua 9 лет назад
HAHAHAHHHAHAH!!!!!!! AYO PAMOJA sana
@maikosamila7187
@maikosamila7187 5 лет назад
Hili jembe wengine watasubiri
@samsonkusupa8115
@samsonkusupa8115 6 лет назад
😂😂😂khaa
@aminakassim8272
@aminakassim8272 8 лет назад
Hii kiboko
@africanchild4525
@africanchild4525 8 лет назад
hiki ndo kipaji cha kuchekesha sasa. naweza muangalia huyu siku nzima kuliko wale wa zeomedy. they are not funny at all. nilikua nawat6azama mwanzo mwisho sicheki.saiz nimeacha kabisa. wampe kipindi huyu jamaa.atapasua mbali sana.
@eliamakiluli1777
@eliamakiluli1777 8 лет назад
amazing hahahahahahahaaaaaa
@khamischabai3216
@khamischabai3216 6 лет назад
HUYU PEKE YAKE NDIO ANAMPATIA MAGUFURI
@hamidarashid8424
@hamidarashid8424 9 лет назад
😂😂😂😂burudani hadi raha
@ajidujafary7894
@ajidujafary7894 8 лет назад
wewe hadija wambie waweke moving ndefuuu
@christinananag4277
@christinananag4277 6 лет назад
Haaaaaaa
@ombenmichael3473
@ombenmichael3473 7 лет назад
Hahahahahahhahaa noumer
@ramaally7462
@ramaally7462 8 лет назад
😂😂😂😂
@christianluvanga2673
@christianluvanga2673 9 лет назад
Hahhaha
@yuddakazz8929
@yuddakazz8929 8 лет назад
mawasiliano Kwa ajili ya Mlugaluga Ni 0679174374
@harunamroboto5858
@harunamroboto5858 4 года назад
Haha🤣🤣🤣🤣😂😂
@nassraja
@nassraja 9 лет назад
😅😅😅😂😂
@joharintandu1264
@joharintandu1264 7 лет назад
hata hawez hyo saut ya magu
@mwakano
@mwakano 8 лет назад
Makaravati laki tatu hahahahahahaha
@moudyramacare7256
@moudyramacare7256 9 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😉😂😂😂😂
@moudyramacare7256
@moudyramacare7256 9 лет назад
jman raha sna
@suleimanabubakar8251
@suleimanabubakar8251 8 лет назад
hahahaaaa!
@zubeidahafidh9809
@zubeidahafidh9809 9 лет назад
hahahahahaha
@geofreyernest3437
@geofreyernest3437 7 лет назад
hapa hakuna cha hoho wala Nani jamaa Nouma
Далее
Don't bother ganking Ammar - ESL Dota 2
00:23
Просмотров 93 тыс.
CS Duale's view on Gachagua's impeachment
10:57
Просмотров 4 тыс.