Тёмный

MOBETTO KAFUNGUKA: "Kuhusu Lulu... akiwa na Baba Mtoto wangu" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 457 тыс.
50% 1

Mrembo Hamisa Mobetto amezungumza kuhusu Mwigizaji Elizabeth Michael "Lulu" aliyehukumiwa wiki iliyopita kwenda jela miaka miwili pamoja na uhusiano wao.

Опубликовано:

 

17 ноя 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 166   
@selincharles3383
@selincharles3383 6 лет назад
hamisa umeongea vizuri wew duuu hongera mama umama ni haki yako safi sana
@khantv6949
@khantv6949 6 лет назад
KAMA una kubali Mr countdown / MILLADY AYO gonga like, appreciate your work brow
@millardayoTZA
@millardayoTZA 6 лет назад
asante sana Suleyman mtu wa nguvu
@jacklinesaxtus5943
@jacklinesaxtus5943 6 лет назад
Countdown
@mariamivava3275
@mariamivava3275 6 лет назад
blue
@remabianca7821
@remabianca7821 5 лет назад
Hi
@beyoncendegwa7803
@beyoncendegwa7803 6 лет назад
God bless you hamisamobetto you are good woman.God protect lulu pia 2yrs is like kesho,I usually stay 3yrs bila my family nazikiisha ua sijui.Be strong lulu
@zubedaswaleh5158
@zubedaswaleh5158 5 лет назад
Kweli
@dianamwawasi5873
@dianamwawasi5873 6 лет назад
hamisa really love you sana atawakusemeje kiukweli nakupenda uropoki mpaka wakukere sana unajua ata kuwajibu yaani much love you
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
NIMEJIFUNZA kitu kutoka kwako Hamisa, yani uko tofauti sana, love you Hamisa forever.
@safiabakar5200
@safiabakar5200 6 лет назад
Saumu Hassan Daimondi
@clyfhm4649
@clyfhm4649 6 лет назад
Saumu Hassan 😭😅😅😅
@ayshamahariq8126
@ayshamahariq8126 6 лет назад
Mashallah Hamisa mungu Akupe moyohuohuo
@lovemika9814
@lovemika9814 6 лет назад
umeonge vizur xana hongera kama kweli uko ivyo
@nicoledamaris6347
@nicoledamaris6347 6 лет назад
Shukran Hamisa.We need people like you.
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 2 года назад
Subbhannallah
@hugettebenga7107
@hugettebenga7107 6 лет назад
hamisa I love you because you like to protect your kind and ukusema something paka useme wa toto wako I love you hamisa you so pretty
@marianyari583
@marianyari583 6 лет назад
Hamissa ww nimwanamke mwenyekujielewa nazidi kukupenda jmn mwaaaaa
@lovenesshumphrey4604
@lovenesshumphrey4604 6 лет назад
I like ur voice dear 😅😅😘😘😘 na Lulu pia mmnwwwwaaaa😘😘😘
@Monicah-dc9by
@Monicah-dc9by 6 лет назад
wow your so awsome gal love your brain bigup
@fatumatunu2208
@fatumatunu2208 6 лет назад
Mungu akuzishie.mzazi.mwenzagu.lulu.naazidikuwa na moyo.huwohuwo mupendane dada.zangu+254
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 6 лет назад
Hamisa sasa ivi umekua kifikra hongera sana
@juvicufjumuuiyayavijanacuf9538
I love it mmy misa
@nusretkoptekin4871
@nusretkoptekin4871 6 лет назад
Nimekupenda hamisa
@claracalvin5055
@claracalvin5055 6 лет назад
hongera mama Dylan
@patriciamuendi9490
@patriciamuendi9490 6 лет назад
Ohhh i never knew this cograts hamisa
@ashuramamaashuraaachekuvaa7798
mmh unamoyo Dada
@joharibashir6879
@joharibashir6879 5 лет назад
Nakupenda my huna wivu kipenzi mungu akupe mausha marefu
@samanthaali873
@samanthaali873 6 лет назад
Big up daa huo ndio utu ss binadamu hatukosi lakusema
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 6 лет назад
Umeongea vizur mpaka naona ragha yaani vyombo vya habar vinachochea tu baadhi lakn wanakuza mambo watu wapo pw na yao
@hamadiabdallah9564
@hamadiabdallah9564 6 лет назад
doctor cheni hongera sana una ufahamu wa mbali mno na akili nyigi za kupambanua mambo
@theewheelchairbabygirl
@theewheelchairbabygirl 6 лет назад
I love lulu and hammisa
@emmyjohn3970
@emmyjohn3970 5 лет назад
Yaan umejieleza kutoka rohoni uko vizuri Mobetto
@elizajohn5136
@elizajohn5136 6 лет назад
ubarikiwe wajitambua sana mrembo mamisa
@festomartinchanga1987
@festomartinchanga1987 5 лет назад
Nakupenda sana Hamisa kwa tabia yako ya uvumilivu, vilevile ex wake bwana Majizzo naye kakuvumilia, woote mmeanzisha mahusiano mapya, hongereni kwa kuvumiliana, tabia za kusemana vibaya sijaziona, nyie ni mfano
@jacqulinemushi5849
@jacqulinemushi5849 5 лет назад
U look good when your natural lov u Misa
@peterramazani3490
@peterramazani3490 6 лет назад
Yeah that is so good
@hyzuhuranaombanoyakoplzhus3326
Uko vzr hamisa nakupenda mammy
@briebella3895
@briebella3895 5 лет назад
Wanao kuchukia Missa wana kasoro penda wewe sana😍😍😍
@kudratkadawi6881
@kudratkadawi6881 3 года назад
Hongera hamisa endelea na moyo huo
@aksamnyamazi6647
@aksamnyamazi6647 5 лет назад
yani katika vitu umenikosha sana Mungu akubariki sanaa
@miriamkanku9802
@miriamkanku9802 6 лет назад
Wow girl
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
Mashallah, love you Mama#Dylan
@dolynmuriithi8625
@dolynmuriithi8625 6 лет назад
I love it
@gracejulius5000
@gracejulius5000 5 лет назад
Safi sana hamisaa
@jojonoor7183
@jojonoor7183 6 лет назад
To much love for you lulu .hamisa please take care of your face it's seem like you have to much stress according to your face
@sweetmama3242
@sweetmama3242 6 лет назад
Joan Mbabazi Alafu hamuangalii mtangazaji usoni. Anakwepesha kwepesha macho na uso. Au mwanga wa kamera mkali. 😎😆
@zuhrahalima5987
@zuhrahalima5987 6 лет назад
Joan Mbabazi imagine u think just exactly like me uso ni ndogo na imekonda ajaribu kukula vizuri si urembo tu.
@sweetmama3242
@sweetmama3242 6 лет назад
Zuhra Halima 😂😂kukula vizuri. Ataki unene labda. Ha!ha!
@marymayeye7947
@marymayeye7947 6 лет назад
Zuhra Halima , kwangu mimi Hamisa uko tu vizuri, stree ndiyo nyinge ni sisi tumpe moyo .anajidaindi vilinyo .
@marymayeye7947
@marymayeye7947 6 лет назад
Sweet Mama , hata mimi nachukia kitu kinachoitwa kinono nahata Dera kufa sijawahii kufaa, kwani nguo ya Dera hujielewe kama umeokeza kg ,
@lucyfabian482
@lucyfabian482 6 лет назад
uko vizur nakupenda bule
@n7428
@n7428 Год назад
Una moyo mzuri ila Lulu hawezi 😢
@bakarilingame9648
@bakarilingame9648 5 лет назад
Nakukubali hamisa wangu
@sweetberthacharles6960
@sweetberthacharles6960 5 лет назад
Hamisa kila siku unazidi kukua kiaakili nakupenda the way unavyojielewa
@susanantangalo335
@susanantangalo335 6 лет назад
Love u mobeto
@victoriachesco35
@victoriachesco35 5 лет назад
Hongera kwa kuwa na Hekima
@janendichu7572
@janendichu7572 5 лет назад
Wow...
@camillaeddy3185
@camillaeddy3185 6 лет назад
Wajua kuzitafuta pesa hamisa.watoto wrote wamastaa.daa hiyo Kali.
@twalibumohammed558
@twalibumohammed558 6 лет назад
hapo nimekupenda bure Hamisa ila inabidi uonyeshe upendo kwa Zari kwasababu nyote ni wanawake tena wazazi
@deblackmalkia7334
@deblackmalkia7334 5 лет назад
point kabixa mama Fantasy
@daudimaguha9447
@daudimaguha9447 6 лет назад
Mnajickiaje watz mnapofatilia udaku, mnaacha maendeleo?
@railamypresidentrailamypre629
@railamypresidentrailamypre629 6 лет назад
Daudi Maguha nawashangaa haki hawana kazi hawa
@abdallahhemed3527
@abdallahhemed3527 6 лет назад
Daudi Maguha .huu ni upuuzi sana haena jipya Hawa watu kuna mambo ya msingi.hawatu wanaalibu maadili katika jamii ukifuatilia kwa undani utagundua lakini watu wengi hawafahamu
@user-ry2uv5mc6k
@user-ry2uv5mc6k 6 лет назад
Na nyie mnaeongea hivyo mko wapi😂😂😂😂😂si mpo humu humu mtandaoni
@radhiarukemo6150
@radhiarukemo6150 6 лет назад
عماني الراسبي umeonaeeh mi hadi nimecheka
@esterpromy3183
@esterpromy3183 5 лет назад
@@user-ry2uv5mc6k wao wenyewe wapenda udaku
@mwajumakweli6753
@mwajumakweli6753 6 лет назад
Penda sana Hamissa wallah
@bernadetakibano9108
@bernadetakibano9108 5 лет назад
Nakuelewa misa mama
@georgettetiemele8220
@georgettetiemele8220 6 лет назад
Hamissa, hamissa, kan je dis el aime les problèmes voilà, hier s'était lulu et ojourdhui ses zari. L'enfant est pour baba là.
@faidadusabe9249
@faidadusabe9249 6 лет назад
Georgette Tiemele c'est Lulu lulu qui a des problèmes pcqu'elle a volé majizo, et zari avait trouvé Mondi avec Amisa sont ensemble...
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 6 лет назад
Tunakupenda Hamisa but umekonda jtd upunguze mawazo? (From Uk)
@lilianasizira6786
@lilianasizira6786 3 года назад
Kweli amekonda
@annabalenga7637
@annabalenga7637 4 года назад
Safi sn umeongea point
@shamimuomari4923
@shamimuomari4923 6 лет назад
nimejifuza,kitu,kutoka kako hamisa
@dianawihanzi2530
@dianawihanzi2530 6 лет назад
nice
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 2 года назад
Chako ni kuibia tuuu
@ramamshana6532
@ramamshana6532 5 лет назад
safi
@rehemakulaba923
@rehemakulaba923 5 лет назад
Jamani kiingereza sijui kwanini hamuongei kiswahili dah
@happykisite3990
@happykisite3990 2 года назад
Sio kuna mwanamke sema mke wa majizo
@jenjoseph7270
@jenjoseph7270 5 лет назад
mmmhhhh kwahiyo lulu kawa km mfanyakaz wa kulea watoto wawatu makubwa
@hafidhsemindu5222
@hafidhsemindu5222 5 лет назад
Plz kiswahili
@elizabethmwandu9899
@elizabethmwandu9899 5 лет назад
Hakika Mobeto wewe ni mwanamke wa nguvu nimekukubali kwa maneno yako yenye busara.
@gggjjahhhh9419
@gggjjahhhh9419 6 лет назад
Unasababu yakuongea hvyo coz we siumetembea na mondi haliyakuwa unajua yupo na zari? nampaka mtoto ukazaanae so huwezi kuumia nawewe kwa hilo utakuwa mjinga kwakweli
@whitnesmalowoko7286
@whitnesmalowoko7286 5 лет назад
unaakili sana wewe dada
@agatharichard4529
@agatharichard4529 6 лет назад
kwa hiyo wewe unazaa ili wengine waleee yaani wewe ni shida tu jamani mwanamke gani huna busara mdomoni
@christinelihavi7923
@christinelihavi7923 6 лет назад
Muongo...mbona ulikua unamrushia maneno Zari?Lulu ni tishio kwako....huyo wa D pia umpelekee kwa Mama mdogo wake Zari
@michoomicharazo1591
@michoomicharazo1591 6 лет назад
huyu dada wakawaida sana ila mamekapu yanamsaidia
@brightonymartin2541
@brightonymartin2541 6 лет назад
MICHOO MICHARAZO ata ww siupake kama utakuwa hivyo!!?
@justinanicolous3822
@justinanicolous3822 5 лет назад
ukitaka,aweje?? kwan kuwa msanii n lazm uwe mzur ?? loooh msiuuuu
@devothamalugumalugu7593
@devothamalugumalugu7593 5 лет назад
MICHOO MICHARAZO 😁😁😁lol
@agnessprincess9321
@agnessprincess9321 5 лет назад
MICHOO MICHARAZO huhuuu maneno aliyoongea hayasikika ila imeonekana make up huhuuu unafk wa ujanan uzeen huwa uchawi
@berthampandagoya7143
@berthampandagoya7143 5 лет назад
Kwel mwaya
@OfficialLutfia
@OfficialLutfia 6 лет назад
kwa mambo ya urembo ni follow @ beglamors.com/makeup-essentials-in-swahili
@Susharealestatecompany
@Susharealestatecompany 6 лет назад
Kwan hilo. Shavu umepigwa mbona limevimba
@evangeliquehb4640
@evangeliquehb4640 6 лет назад
Jmn mpende mwenzako lulu usisubutu kumchukia kisa baba wa mtoto
@getrudequeen6657
@getrudequeen6657 6 лет назад
hamisa kua Makin utazaa kila mtoto na baba ake itakua shida badae kea watoto mbona umzuri keanini unajizalilisha
@hafsamohd7931
@hafsamohd7931 4 года назад
Wapotoshaji nyny malaya
@mgenimussa5785
@mgenimussa5785 5 лет назад
mtoto ni wa majizo itafika wakati ndiyo ataishi huko wewe utabaki kumtembelea tu, inabidi upende tu lulu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 лет назад
ONGEA TU KISWAHILI MPENZI .
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 6 лет назад
Leo umeongea pointy sn hongera
@joliechristine5963
@joliechristine5963 6 лет назад
Kumbe roho inaweza uma mbona wewe ulimuchukuwa diamond kisha Zari naye pia ni baba watoto wake kumbe unaweza umiya hahahaha hii nidunia.
@agatharichard4529
@agatharichard4529 6 лет назад
Matako wewe hamissa kwa hiyo Lulu ndo house girl wako huna akili kabisa pumbavu kabisa mtake Lulu radhi.
@verodada8370
@verodada8370 6 лет назад
unahakili sana wewe hamisa
@hawaheri5833
@hawaheri5833 3 года назад
Kumbe huyu Aliza na mwamaume Wa lulu
@jamilamaashaalaaomari2862
@jamilamaashaalaaomari2862 5 лет назад
watu wanafaa waishi hivyo na siyo chuki mwanaume nikama rafiki Leo yuko naww kesho kakuacha Yuko nayule utapigana nawangapi?
@Tiffany340
@Tiffany340 6 лет назад
ukiongea ako kamdomo duh
@miamiamia4491
@miamiamia4491 6 лет назад
ongea kiswahili unaboaa!!!
@clyfhm4649
@clyfhm4649 6 лет назад
mia miamia 😭😂😂😂
@clyfhm4649
@clyfhm4649 6 лет назад
mia miamia yeah talk Swahili
@lightnessanthony8527
@lightnessanthony8527 6 лет назад
Yan kamobeto kamekuwa kabaya aisee, hizi makeup jamani mhhhh
@monicahkanali7654
@monicahkanali7654 6 лет назад
Hamisa the makeup yo
@petronillalhmaloba2043
@petronillalhmaloba2043 5 лет назад
eti umeumwa ? dats exactly wat happened to zari nktest
@irenemarandu7034
@irenemarandu7034 6 лет назад
Sawaaa,,ila makeup mbayaaa
@nolinefredy4806
@nolinefredy4806 5 лет назад
Mobeto hana akili mchaw mkubwa
@dyinaoulo3082
@dyinaoulo3082 6 лет назад
Weeee tuliaaa haya zaaa tens namwingineee
@oopsm3574
@oopsm3574 6 лет назад
Amekaa kama zeru zeru!!
@jamilacheyo8910
@jamilacheyo8910 6 лет назад
Ooops, zeru zeru naye mtu
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
jamila cheyo Exactly my dear
@jamilacheyo8910
@jamilacheyo8910 6 лет назад
+Saumu Hassan , pamoja sana myn! huwa tunajisahau saana aliyemuumba huyo zeru zeru ndyo kamuumba yule ambaye co zeru zeru
@oopsm3574
@oopsm3574 6 лет назад
Mwenye Enzi Mungu kakuumba kama ulivyo sasa unakwenda kujikongowa itakuwaje?unataka uwe kama mzungu utakuwa zeru zeru aaaah.natural ndio utamu, akiwa na mtoto atamzoea hivyo makorokoro yakitoka mtoto anamkimbia, chungu cheupe
@elizabethsjoberg8101
@elizabethsjoberg8101 6 лет назад
Good girl 💟
@maidamwaipopo7645
@maidamwaipopo7645 4 года назад
Hiyo ndo akili ukimchukia na yeye atamchukia mwanao
@helgaaporinaly2811
@helgaaporinaly2811 6 лет назад
U'r critical thinking
@fatumasaid9985
@fatumasaid9985 5 лет назад
Umekaa kama kitumbili na hiyo makeup ufffffffffff yaani UMETISHA KAMA JIZOMBIE VILE
@amirsab1158
@amirsab1158 6 лет назад
penda sana ww
@elysefayida8777
@elysefayida8777 6 лет назад
safii sana
@marrydchee6788
@marrydchee6788 6 лет назад
Mmmmm muhongo
@spiritmontana1395
@spiritmontana1395 6 лет назад
Mbo a hio sure ya mobeto haifanani na rest of her body?
@Rahmamatengo6114
@Rahmamatengo6114 6 лет назад
Mnabadilishan tuu wasanii
@tausimwaluvalile6491
@tausimwaluvalile6491 6 лет назад
Yaan unajipendekeza kwa lulu kijuso
@tausimwaluvalile6491
@tausimwaluvalile6491 6 лет назад
Huyu tahila anajipendekeza
@swaumually6777
@swaumually6777 6 лет назад
Penda sana
@justinanicolous3822
@justinanicolous3822 5 лет назад
make up mbovuuuuu
Далее
LULU AJIBU HABARI ZA KUMFUMANIA MAJIZZO
4:22
Просмотров 110 тыс.
ПОЮ НАРОДНЫЕ ПЕСНИ🪗
3:19:41
Просмотров 1,8 млн
MAMA DIAMOND AJIBU KUHUSU KUMPIGA HAMISA MOBETTO
2:54
Просмотров 369 тыс.
Millard Ayo and Hamisa Mobetto | The Talk!
10:58
Просмотров 6 тыс.
KISS MY PAIN 1:IRENE UWOYA /HEMED PHD
53:23
Просмотров 843 тыс.