It's 6:25 EAT namaliza kuangalia hii video thumbs up Sns 👍 thumbs up ndugu mtangazaji na bwana Branding hizi interview tunazihitaji sanaa zinasaidia Sana nice content you are solving a problem kwa wajisiriamili kupata mafunzo ya bure kwa lugha nyepesi Victor mwambene🔥🔥🔥 ukiona jamaa amekisoma kitabu Cha Robert kiyosaki Rich Dad poor Dad mpe ulinzi na ukimuona amekielewa mpe ulinzi zaidi na ukimuona anatekeleza mafunzo aliyoyapata mjenge sanamu😂😂😂keep going
Huyu mtangazaji yupo vzr sana...saaana. yani ni kama anapiga story nae, kachangamka anauliza maswali ya msingi kiasi ambacho nahisi hata hicho kitabu nshakimaliza kwa maelezo hayo.