Тёмный

MOTO AWASHIWA WAZIRI WA FEDHA MAKAMO WA KWANZA MHE OMO ATAKA AFUKUZWE ANAVUNJA MUUNGANO 

Tifu Tv
Подписаться 23 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

Опубликовано:

 

22 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@Mahirwazanzibar
Let's be like Kenyans 😢 tutabak hiv mpak lini
@user-qz2cs5wm5u
Awajamaa kweli wamejipanga kuchukua nje namungu atawajalia
@omarmohammed5157
Jambo lilouwa zanzibar ni dhulma ya wana ccm wa Zanzibar na Tanganyika
@saidabdillahi8107
Mchafuvi wa lugha Chama hiko, chama hiko, chama hiko,nilifikiri ulitamka kwa bahati mbaya kumbe unajaribu kutusilimisha
@salyali7807
Inasikitisha fedha zinavofujwa 😢😢😢
@DuuSaid
Sasaivi ndio pazuri kusema bendera inamruhusu usimlaumu 😂😂😂
@lusakaone7782
Taarifa nzuri ila lugha ya mtangazaji haipo Sawa
@rajabrajab3525
Mtangazaji ajifunze kiswahili cha znz
@hakiyangu
Hata sisi Tanganyika tunataka mamlaka kamili, na ss tuwe na rais wetu kama nyinyi.
@MwigaAdam
Ndugu mtangazaji sio chama hiko kiswahili sanifu ni chama hicho
@febby8308
Mwamba yuko sahihi
@kassim1262
Mbona ccm hwtki hili neno znzbr yenye mamlaka wao wnachokitaka barabara namasoko ty😂😂😂😂
@ALIKHAMIS-un4fv
Cha hicho dada sio chama hiko
@hashimchaoga9566
Hapa ndio unaona serikali tatu hazikwepeki
@user-kv9lq7yy8l
ndugu muandishi chama hiko ndio nn
@hajihassan5433
Mhe. OMO ulikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa karibu miaka 10 naoina ilikuwa "plate form" nzuri kusema hayo na ulikuwa ni wajibu wako. Hasa.
@salyali7807
Chama hiko au chama hicho?
@AbdallahSalim-is3db
Labda mtangazaji ni mchina
Далее
Мой инстаграм: v1.ann
00:13
Просмотров 93 тыс.