Тёмный

MPAKA HOME YAZUA KASHESHE ‘BEI MBAYA’ KWA ESHA BUHETI! 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 538 тыс.
50% 1

SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
KIPINDI kinachozidi kujizolea umaarufu mkubwa cha Mpaka Home kinachorushwa kila wiki kupitia channel hii namba moja, wiki hii kilikumbana na kasheshe kubwa, baada ya kumvamia msanii mkongwe, Esha Salim Kaombwe Buheti ‘Mtata’, usiku wa manane kwa lengo la kufanya naye mahojiano kama ilivyo ada yake, hivyo kuzua sekeseke la aina yake.
Katika uvamizi huo, Esha Buheti ambaye ni mjamzito wa kujifungua wakati wowote, aligeuka mbogo na kumpa masharti mengi na magumu mtangazaji wa kipindi hicho. Hebu tazama mwenyewe ujionee kilichojiri.

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 517   
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 7 лет назад
Masha Allah shukran Esha Masha Allah uko sawa,Hongera sana .Duuuh mtangazaji umepatikana leo.
@kijanakasiaka7208
@kijanakasiaka7208 7 лет назад
Nmejifunza mengi sana kwa Dada hakika ni mama bora yuko vizuri ningependa nimwone inaonekana ako na madini Fulani mungu akupe maisha marefu sana dadaangu nakupenda sana
@odonifa7351
@odonifa7351 5 лет назад
In
@veronicasarvatory9516
@veronicasarvatory9516 7 лет назад
Mungu akusaidie Sana ujifungue salama
@alialesry5131
@alialesry5131 7 лет назад
Da Asha nimekupenda sana sana Inshaallah mungu Akujalie ujifunguwe salama mtoto mwenye kheir na wewe Ameen Ameen Yaraby😚😚😚😚😚😚😚😚😚😚😍😍😍😍😍
@pianoslm1992
@pianoslm1992 7 лет назад
Emmanuel Sanga uko pows
@bibynana3729
@bibynana3729 6 лет назад
ali alesry
@mariamstomic7586
@mariamstomic7586 6 лет назад
Nice
@davidmihambo3051
@davidmihambo3051 7 лет назад
one of the best program on television big up global tv , na huyo Brighton msimbadilishe muacheni hivyo hivyo na ukatuni wake inapendeza
@khalekichambo2143
@khalekichambo2143 5 лет назад
😂😂😂😂
@mjsaidkeya
@mjsaidkeya 6 лет назад
Hahaha MashaAllah ana roho safi sana Esha buheti
@shamsaismail7707
@shamsaismail7707 7 лет назад
Mashaallah tabaraQillah kila lakher Dada Esha Buheti....Lovely lady
@veneminja8668
@veneminja8668 7 лет назад
nakupendaga esha buhet mungu akulinde na kijacho wako
@mundelemuzuri9623
@mundelemuzuri9623 5 лет назад
kiukweli atamm nakukubali sn dada Mungu atakusaidia na utajifungua salama
@thauratali3656
@thauratali3656 7 лет назад
Tumekupenda esha
@asaali7380
@asaali7380 6 лет назад
Nyumba zilizo haribika kisiwani pemba
@lykamlaki1218
@lykamlaki1218 5 лет назад
Aisee hongera sana mtangazaji umejitahidi umekuwa mvumilivu
@ابوعشر
@ابوعشر 6 лет назад
dada Mara yakwanza nimekuona nimekupena sana mungu akupe kher inshallah ujifunhuwe salama inshallah
@hildakaaya6924
@hildakaaya6924 7 лет назад
daaaa yani hana hata hasira. ...hadi raha 😂😂😂😂
@ahmedalminshad1211
@ahmedalminshad1211 7 лет назад
Woow, huyo mtoto yuko swafi sana aki
@otianasanga9106
@otianasanga9106 3 года назад
Kwahiyo utajifungua wa kike
@rahapaulina1451
@rahapaulina1451 7 лет назад
ahahaha nakupenda sana dada esha. mwanao mzuri
@veronicasarvatory9516
@veronicasarvatory9516 7 лет назад
Hongera Sana kwako pazuri Sana.
@hashimoscar1920
@hashimoscar1920 5 лет назад
Wewe mtangazaji huna quality ya hio kazi cha kwanza ukaaji wako na huyo mwanamke hauridhishi umejongea sana na,moving ur hands near her ukiuliza maswali..second maswali yako hayako proffessional na matamshi yako hayako clear unabaruza sana maneno..tatu uvaaji wako na style unapoongea unaeka tama sana mara,unajipangusa uso maro kubetesha shingo..nafkiri you need to be smart look the write types of questions..they way unapeleka mikono kwa hilo tumbo..unafaa upigwe makofi na kutolewa nje na husband wake ..mshamba sana huyu jamaa global tv munajiebisha to have such people..I'm sure kuna watu wanavipaji wa hii kazi but munawapa watu kujuana someone one like huyu jamaa hafai
@Bagi873
@Bagi873 6 лет назад
Nampenda sana uyu dada
@annachuma247
@annachuma247 7 лет назад
Esha ni mzuri kwa kwel
@fatinasudi8886
@fatinasudi8886 7 лет назад
😂😂😂 et unantemea mayai.....nampenda sana huyu dada
@veronicasarvatory9516
@veronicasarvatory9516 7 лет назад
Hongera Sana esha napenda Sana muvi zako
@rizikially7163
@rizikially7163 6 лет назад
Uko vizur
@neemamoses6110
@neemamoses6110 5 лет назад
nimekupenda bureeee sana mamiiiii duuuuh u teach meee many things
@halimamkoko6060
@halimamkoko6060 7 лет назад
lov u esha 😍😍😍
@alengeswedi6962
@alengeswedi6962 6 лет назад
Yaani huyo lazima nimuite dada tu; analipa kweli kweli
@khadijahomar9139
@khadijahomar9139 7 лет назад
nampenda sana huyu dada mashallah
@yassirahmed3061
@yassirahmed3061 6 лет назад
Katika wasanii wasanii wanawake wa bongo eshe ni number one I love you esah buhetiiii
@chimwanakasanda3952
@chimwanakasanda3952 5 лет назад
Hayo majibu
@annakwaha9801
@annakwaha9801 7 лет назад
Jaman mi nampenda huyu dada....yani nataman alijue hilo...
@halimamlili8803
@halimamlili8803 7 лет назад
Mtoto mzuri mashaall
@mpockmtawa6046
@mpockmtawa6046 6 лет назад
dada mungu akulinde
@jusuboy3200
@jusuboy3200 6 лет назад
Kabisa
@bakariluhala7332
@bakariluhala7332 6 лет назад
Nampenda sana esha
@Raheema-pp7st
@Raheema-pp7st 7 лет назад
hahaaaaaaa ''kwan wew ndio unanipeleka lebaa''huhuuuu
@saidiabdul389
@saidiabdul389 5 лет назад
unamaneno yahekima sana dada binaadamu anapanga mungu anaamua
@bauwagase6035
@bauwagase6035 7 лет назад
Mi mjamzito ctakiwi kuumwa na mammbu duu hahaa nimeipenda nimecheka sana hii interview
@briggsanji9176
@briggsanji9176 7 лет назад
Siyo vizuri kuvamia watu
@hibahmbila3537
@hibahmbila3537 6 лет назад
Ingawa si ipendi hii tabia ya kuwaendea watu majumbani mwao bila kuwajulisha wahusika , lakini nimempenda huyu Mtangazaji ni mtilivu na heshima .
@asmaafamau5139
@asmaafamau5139 7 лет назад
Mashaallah mngu akujaalie mtoto mwema
@halimaomar6070
@halimaomar6070 7 лет назад
jamani tefuteni mwenye mimba mwengine mufanye interview manake sikwa majibu hayo...ilov u eshaa😂😂😂😂😂😂😂😂
@lykamlaki1218
@lykamlaki1218 5 лет назад
😂 😂 😂
@habibakhlifa8534
@habibakhlifa8534 7 лет назад
esha we mzuri nimekupenda sio mjeurii mashaallah
@alfanabdul161
@alfanabdul161 7 лет назад
Habiba Khlifa kumbe dadake kabula jaman
@fatmamgunya2857
@fatmamgunya2857 6 лет назад
Jaman huyu dada wallah nampenda from the bottom of my heart,,,, anafurahisha halaf ni mzuri maa Shaa allah, ila Brighton punguza😂😂
@viviandon8525
@viviandon8525 6 лет назад
Duuh tam hiyo nimeipenda sana mungu akupe maisha mema nawanao kadada ila sijaamini we kama nimasai kwauzur huo khaa
@magrethmkumbo8510
@magrethmkumbo8510 6 лет назад
yani watanzania mnavimaneno maneno hatari, mnatoa mapovu mpaka mnaboa, me sijaona kosa lolote hapo hesha buheti ajui kulinga pia me nampenda coz anapenda kusema kweli na ukimkosea hajui kuweka kitu moyoni mtasawazisha na maisha yataendelea.
@merychandeka7275
@merychandeka7275 7 лет назад
Nimekupenda bure Esha
@Jordan_mexicana_owecity
@Jordan_mexicana_owecity 2 года назад
Dada esha yani unaongea vizuri sana uko na furaha sana mungu akulinde dada na mwanao
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 3 года назад
Poleni sana waandishi wa habari mna kazi ngumu mmmmmmm🤔
@mariamkimwaga943
@mariamkimwaga943 7 лет назад
🙌🙌 hapo kwenye chispi kuku umenikumbusha mbali mana nilikuwa napenda nilivyokuwa mjamzito ukitaka nikulilie usilete hicho kitu mimba kiboko
@annamasare9291
@annamasare9291 5 лет назад
hongera mpz nakupendaga sana Esha wangu
@محمدالزنجباري-ل9ق
Eisha jaman mdada wa watu mstaarab kabisa na mimba alokunayo lkn bado ni mstahamilivu sana
@lilianmavika2757
@lilianmavika2757 7 лет назад
mtoto mzurii kama mamayake
@gloryabdulhassan7100
@gloryabdulhassan7100 5 лет назад
nimependa Sana haya mahojiano na huyu dada
@junithamwasile7337
@junithamwasile7337 5 лет назад
Yaan hujanifikia mm glory
@jasminkinga7684
@jasminkinga7684 7 лет назад
Esha nimejifunza jambo toka kwako,stay blessed
@allyadamtz
@allyadamtz 7 лет назад
mtangazi mwenyewe kuongea hajui! ==😂😂😂😂😂
@bajjboy259
@bajjboy259 6 лет назад
officiall triple ongea ww unaejua 😏😏
@zuenakhalfan675
@zuenakhalfan675 6 лет назад
officiall triple ongea wew unaejua
@scolaodeyo8110
@scolaodeyo8110 5 лет назад
officiall triple umeona nilichokiona hafai kabsa wala haendani na utangazaji
@agnesantony7538
@agnesantony7538 4 года назад
Nice uyo dada yuko vizuri
@billylovebilly9418
@billylovebilly9418 5 лет назад
Jamani hadirah natamani mtoto wakike namimi
@safikisubi3592
@safikisubi3592 4 года назад
Muombe Allah atakujaalia
@bigmanyamafilmproduction5890
@bigmanyamafilmproduction5890 3 года назад
I like it.Maisha uliyoishi ww usijekukubali wanao waishi tujitaidi sana kutafuta na kuwekeza kwa ajili yao.
@abdinasirshukri1218
@abdinasirshukri1218 4 года назад
Masha Allah
@marymah7149
@marymah7149 7 лет назад
Mama kijacho noma
@augeniamsoffe6355
@augeniamsoffe6355 5 лет назад
Leo mtangazaji umekipata,kazi ya Leo imekuwa ngumu kwako ila una uvumilivu hongera
@nasraabdallah2063
@nasraabdallah2063 5 лет назад
maashallah Allah kakujaalia
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 7 лет назад
Ipo siku atang'atwa na mbwa kiukweli ukweli maana kumuendea mtu usiku haileti maana
@tayatanamantinegro1189
@tayatanamantinegro1189 4 года назад
Nakupenda bure da Esha 😍
@leylahchesavio9551
@leylahchesavio9551 4 года назад
Hongera
@latifahally2819
@latifahally2819 6 лет назад
hahahahaha jmn lav u sana da Esha
@anitharaymond5222
@anitharaymond5222 5 лет назад
daaah mtangazaji uyu n OMA!!!!!!!!!!
@yshamwilima3301
@yshamwilima3301 7 лет назад
Inshaallah dada mola akujaze afya ujifungue salama
@marykarlo7761
@marykarlo7761 7 лет назад
Uwe na mic mbili
@bainuta3931
@bainuta3931 7 лет назад
Endeni kwa wemaaaaa sasaaaa
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 7 лет назад
Ila nampenda sana esha
@yalesahaule532
@yalesahaule532 7 лет назад
esha mtt wako mzur sana
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 7 лет назад
mashallah
@DeeDiyo5
@DeeDiyo5 7 лет назад
Esha ni moto
@ummali7942
@ummali7942 7 лет назад
siku Atakula Makofi huyu mpka home itakoma hahhaha
@maryannajoseph3087
@maryannajoseph3087 6 лет назад
Umm Ali 😂😂😂😂😂
@flaviankhasoa2327
@flaviankhasoa2327 5 лет назад
hehehehe hehehehe
@joezeno8
@joezeno8 5 лет назад
😂😂😂😂
@shamsahaidar3602
@shamsahaidar3602 5 лет назад
Somo yangu somo yangu Esha mrembo naona hata kitabia za fanana toto LA msa
@rosechild5021
@rosechild5021 7 лет назад
I nearly pee myself laughing 😂 lol 😂
@lykamlaki1218
@lykamlaki1218 5 лет назад
😂 😂 😂 😂
@otianasanga9106
@otianasanga9106 3 года назад
Hongera navyokupenda
@dorinjonh8055
@dorinjonh8055 5 лет назад
Nakupenda sana dada esha 💞💞💞
@marthakatyale8054
@marthakatyale8054 4 года назад
Esha acha vituko mbwa anakula viatu? Du
@emmyshaban126
@emmyshaban126 7 лет назад
hahhaha eti ukiacha viatu nje mbwa atajisevi
@irenesese6968
@irenesese6968 5 лет назад
Pole mtangazaji changamoto
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 лет назад
Huyu jamaa yupo vizuri sana afu anafanana na hiki kipindi😂😂
@bahatielias9978
@bahatielias9978 7 лет назад
Hassanova junior 😃😃
@madinakipingu4252
@madinakipingu4252 7 лет назад
+Martin Mussa 😂😂😂😂
@yshamwilima3301
@yshamwilima3301 7 лет назад
Hassanova junior jamaniii
@yshamwilima3301
@yshamwilima3301 7 лет назад
Mama kijacho unanikosha hatareee
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
+Ysha Mwilima Me too
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 5 лет назад
Safi dada mungu ndo kila kitu
@salmasaidy5643
@salmasaidy5643 6 лет назад
Nakupend Xan xixter uko vizur nimekukubali
@thauratali3656
@thauratali3656 7 лет назад
😂😂😂😂😂😂jamani esha
@veronicasarvatory9516
@veronicasarvatory9516 7 лет назад
Tu nakupenda pia
@mangirtkiristofa1337
@mangirtkiristofa1337 7 лет назад
kabisa mama tumerizika
@neemathomas2656
@neemathomas2656 7 лет назад
hongera nengajan'g
@janembwilo9730
@janembwilo9730 6 лет назад
@esha weee mashallah
@alimaalima6016
@alimaalima6016 6 лет назад
Mashallah
@oyay2821
@oyay2821 6 лет назад
Mtoto akaribishwa na shampagne, Allah atamsaidia
@jamesisaya5448
@jamesisaya5448 5 лет назад
Isha wewe mzuri sna
@kalthumomarali1261
@kalthumomarali1261 7 лет назад
safi sana Esha napenda watu kama nyinyi hahahhaha japo ameingia but wampa vijembe hehehee warureeee
@lajulajuz8557
@lajulajuz8557 7 лет назад
kama kweli iko hivi kutafta uhalisia wa hawa ndugu zetu, kazi ipo aiseeee,
@tiffahofficial2715
@tiffahofficial2715 3 года назад
Me nampenda da esha jamani
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Kipind kiko powa sana, japo wanakuwa na tabu kuojiwa
@nassibabdulaziz4809
@nassibabdulaziz4809 6 лет назад
mpaka home nendeni kwa ebitoke
@lightnesselia765
@lightnesselia765 4 года назад
ahahahahaha jaman staki kucheka mm
@asheredward5866
@asheredward5866 7 лет назад
shukuru makofi umekosa
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 7 лет назад
eisha kila la khery utulitee mgeni inshaallah
@sashababy1321
@sashababy1321 7 лет назад
Esha kiboko.nimekupenda bule
@salummohamed2116
@salummohamed2116 7 лет назад
mashallah
@pendonjau5378
@pendonjau5378 5 лет назад
Nampenda huyu dada
@aminamassare888
@aminamassare888 7 лет назад
jmn Leo nmechekaje huyo jamaaa
@chivwetaprecious958
@chivwetaprecious958 5 лет назад
Daaah Esha unanifurahisha xana
@cephaszulu5628
@cephaszulu5628 7 лет назад
Ok
@veronica2950
@veronica2950 5 лет назад
ajari kazini
@dodomikleni9299
@dodomikleni9299 7 лет назад
Kiukweli si uungwana na mnafanya jambo baya.. Na mtu anaweza kukushtaki kabisa.. Unawezaje kwenda kwa mtu bila taarifa . Jifunzeni ustaarabu
@kiduutesha7678
@kiduutesha7678 7 лет назад
red apple kweli kbsaaa
@davidmihambo3051
@davidmihambo3051 7 лет назад
huwa wanawapa taarifa unadhani wanavamia kwel,i ila huwa wanawaambia waigize kuwa wakali ili kunogesha kipindi ila kiukweli wanawapa taarifa.
@swaumsadat2371
@swaumsadat2371 7 лет назад
Kaswi
@rukiakawambwa3432
@rukiakawambwa3432 7 лет назад
red apple wanawapa sana taarifa siyo kwamba hawana taarifa wanajua saana
@daimavlog
@daimavlog 7 лет назад
david mihambo Kabisa, Maana bambo alikuwa hadi ma mic lol!
@arnoldnicholaus3835
@arnoldnicholaus3835 7 лет назад
Jamani interview inachekesha hii
@frankzabmoon1516
@frankzabmoon1516 6 лет назад
Arnold Nicholaus kabisa
@gilbertmwamtobe3273
@gilbertmwamtobe3273 5 лет назад
Arnold Nicholaus.
@wardakasoloi6689
@wardakasoloi6689 7 лет назад
Esha weee hatari ati ulikua mnatoka kwenda kula Ice cream 😂😂😂mwanao atakaaa!!!!....nakutakia kila la kheri ujifungue salama.Inshaa Allah
@cleosaferista4255
@cleosaferista4255 5 лет назад
Mtangazaji, kweli umenichekesha sana!!!! Viatu ukiacha inje, mmbwa atavila!!!!!!!
@sabinaomari3925
@sabinaomari3925 7 лет назад
siwai kucheka kama leo
@christinahaule9726
@christinahaule9726 7 лет назад
Hahahaja pambana na hali yako mtangazaji
Далее
SENGA /DIAMOND / NIKIKUKAMATA / WANALINDA NINI.?
33:14
LOLLIPOP-SCHUTZ-GADGET 🍭 DAS BRAUCHST DU!
00:28
Mpaka Home MAISHA HALISI YA MUIGIZAJI MTANGA UTAPENDA
16:30
SIMTAKI MTU
2:56
Просмотров 2,6 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /45/ #love
20:10
Просмотров 147 тыс.