Тёмный

GHOROFA ANALOISHI ASHABOKO/ ANA NYUMBA MBILI/ MOJA NIMEPANGISHA / MUME WANGU ALIFARIKI. 

ZamaradiTV
Подписаться 240 тыс.
Просмотров 113 тыс.
50% 1

Usisahau ku"SUBSCRIBE" RU-vid channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Развлечения

Опубликовано:

 

20 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 264   
@Juke995
@Juke995 4 месяца назад
Asha hadi raha kuongea nae hapo kasahau kam ni interview 😂 dah napenda sana kuona wasanii wazaman wakiishi maisha mazuri kiukwel wameteseka sana 😢hata kama kapanga ila haombi ombi anapata kodi ndo maisha hata ulaya watu wanapanga apartment wananunua nyumba wanapangisha maisha yanasonga
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 4 месяца назад
Sahani inaoshwa haifutwi inawekwa chakula😅😅kufuta mikono nyuma ya makalio😅😅😅tishu bei gani kwani kama taulo za kufutia huwezi nunua?..😅😅😅
@salmabasil385
@salmabasil385 4 месяца назад
@@OmanOman-dn6djmaisha halisi hayo kaka waswahili hatunaga hizo mambo za tissue wala kitambaa chankufutia vyombo
@NataliaKenny-vb6os
@NataliaKenny-vb6os 4 месяца назад
Kama Umeona asha boko anakakumfanana kajara macho 😂gonga like
@halimasalehe1731
@halimasalehe1731 4 месяца назад
Wa sita kucomment ndani ya dakika tano like zenu please 😅
@GiftAbduly
@GiftAbduly 2 месяца назад
Mashallah asha boko ni mcheshi sna ❤
@GraceSichinga-bm4fh
@GraceSichinga-bm4fh 4 месяца назад
Salehe ilki kipindi kinakufaaa 😂yan umesomea kwel kwel endelea kutupa raha next time nenda kwa riyama ali au kwa vyone cherry aka monalisa❤
@mask815
@mask815 4 месяца назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-r2iEjIz-D30.htmlsi=ihbQK3DIjWbRGLAI
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 4 месяца назад
Yaani hapo kwa misosi Saleh ndo mwake lazima ale 😂😂😂😂😂
@clovicemusobozi3891
@clovicemusobozi3891 4 месяца назад
Mashaa Allah love you Asha Boko ❤️❤️❤️❤️
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 4 месяца назад
Ila mshauri asher uwashaji wake wa gas ni hatari.yaani antifungal ndio anaanda kiberiti ni hatar saana.alitakiwa kuwasha kiberiti kwanza.
@salmaseif-rq9ux
@salmaseif-rq9ux 4 месяца назад
Jmn nampenda asha Boko Allah amueke nikimuona tu naskia Raha ❤❤
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 4 месяца назад
Mimi sipendi kuangalia bongo movies but nikiona muvi alocheza huyu mama lazima niangalie nampenda sana ashaboko❤❤❤
@mask815
@mask815 4 месяца назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-r2iEjIz-D30.htmlsi=ihbQK3DIjWbRGLAI
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 4 месяца назад
Mashaallah mkongwe Dada asha❤❤❤
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 4 месяца назад
Wow that's awesome you're so much better ☺️😎 ooyy kutu letea mishe mishe za abari huko ulipo 🎉❤🎉❤😊 amen amen 🥰🥰
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 месяца назад
Salehe asante sana kwa kipiindi..unapomaliza na kumuaga interviewee kaa pembeni na utoe summary ya mahojiano ndo ufunge kipindi au sio
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx 4 месяца назад
Wabongo mpk mmuchunguze mtu!! ya nn? Kuwe kwake kusiwe hallelujah!!
@user-qn6nl4lu8j
@user-qn6nl4lu8j 4 месяца назад
Nampenda sana asha Boko jaman
@alimanana7564
@alimanana7564 4 месяца назад
Mama kipunje nakupenda sana ❤
@Youngteo394
@Youngteo394 2 месяца назад
Huyu Asha nampenda sana ❤❤❤
@renypaultv8342
@renypaultv8342 4 месяца назад
Beat Iko juu sana
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 месяца назад
napenda sana hapa anapokaa..simple and so nice!
@FedFox-fl5pw
@FedFox-fl5pw 4 месяца назад
Nimeipenda hiyo ayaa umeme umerudi am tz from wsuzlendi
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir 4 месяца назад
Hii nyumba inaoshesha ndio kwanza imemalizika ujenzi na iko mikononi mwa madalali bado haiĵapata mpangaji ila asha book kakodi kwa masaa tu ya intavuu😂😂😂😂
@methodmasaka1436
@methodmasaka1436 4 месяца назад
Acha dharau na roho mbaya onyesha ya KWAKO na wewe
@faridapandu7579
@faridapandu7579 4 месяца назад
❤❤ nakupenda daasha
@khadjamhozya
@khadjamhozya 4 месяца назад
Jamani Kuna watu wana maisha yawo na huwezi kuwazania maana hawajitapi kwenye mitandao
@zainabzain3434
@zainabzain3434 4 месяца назад
Haileti maana mitandao
@user-gb3fk1yt8n
@user-gb3fk1yt8n 4 месяца назад
Maashaallah
@user-sc2eq5ub5c
@user-sc2eq5ub5c 4 месяца назад
Umemee wakatika ivyoooh aaah Tanesco mwatak laana nyie adi Mahojiano
@user-fd2lm5uz8v
@user-fd2lm5uz8v 4 месяца назад
❤❤❤❤ Asha boko huna baya,mnao mbeza mkome
@edinalihedule7609
@edinalihedule7609 4 месяца назад
Asha ❤❤❤❤❤
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 месяца назад
Asha. Na. Mwene wanafanana sna. Had vituko
@ireneflorence2232
@ireneflorence2232 4 месяца назад
Ashaboko kila kitu amesahau kidogo😂😂😂😂
@shamimageta6651
@shamimageta6651 4 месяца назад
😢😢😢😢😢
@yakfizahran4536
@yakfizahran4536 4 месяца назад
Yan saleh anawaz kula to et ubwabwa tutakulajee😊
@khadjamhozya
@khadjamhozya 4 месяца назад
Nimeshanga sikutegemea❤❤😂
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir 4 месяца назад
Eti umekodi nyumba kama hiyo alafu jikon una kijiko cha kilo 5 cha genius kimoja😂😂😂😂😂
@JennyJma
@JennyJma 4 месяца назад
Kumbe miriam amour ni mdogo wako ndio najua leo ila mmefanana kidogo sema wewe mrefu Miriam mfupi 😀
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 месяца назад
huyu Asha poa sana jmni...nimempenda sana sana
@lovirinaa
@lovirinaa 4 месяца назад
Yuko vizur in person ❤
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 4 месяца назад
Mashallahaa
@simonsmithajax
@simonsmithajax 4 месяца назад
AsHa boko na mzee senga movie ya wema😂😂😂inachekesha sana
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir 4 месяца назад
Huyu anaonyesha hii nyumba si yake wala hajakodi muongo , labda kuna mtu anakuana nae kamwomba ajionyeshe ktk intavuu tu , hahahaha😊
@user-cy9bl3eu9g
@user-cy9bl3eu9g 4 месяца назад
Kwanza kunavty vnaoneshaa tu sio lake ajiamn 😂
@AgnesAgnes-fm8wp
@AgnesAgnes-fm8wp 4 месяца назад
Haha haha asa weee love you so much 😂😂
@siriyangu4724
@siriyangu4724 4 месяца назад
Mashallah ❤
@rosemsafiri7568
@rosemsafiri7568 4 месяца назад
Sele wapenda kula 😅😅😅umeme nao
@user-un9eh6xn6c
@user-un9eh6xn6c 19 дней назад
Nakupenda bure asha boko❤😂😅
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 4 месяца назад
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha nimeipenda iyo dada ashaboko
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 4 месяца назад
Mashaa allah 🎉❤pazuri kwake jomoni ni majirani na miye tunapoishi
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 4 месяца назад
Sidhan kama ni kwake hapo . Kwake bagamoyo huyu mama
@user-jr2qg9qp5h
@user-jr2qg9qp5h 4 месяца назад
Samahani izii nyumba zikwapi nimezipenda
@user-jr2qg9qp5h
@user-jr2qg9qp5h 4 месяца назад
Nipe instagram yakoo unieleweshe
@ArafaAmirAmir-ci7ld
@ArafaAmirAmir-ci7ld 4 месяца назад
​@@shantellemwanakombo3703Na mie nafaham hivyo
@user-st2ig6ds3f
@user-st2ig6ds3f 4 месяца назад
Mashaallah
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 4 месяца назад
Swalekhe uende ukamtembelee na bi Sabah muchacho 😊
@SashaOscar
@SashaOscar 4 месяца назад
Asha boko jmn nampenda sauti yake haibadiriki 😅😅😅
@chimamilion
@chimamilion 4 месяца назад
Ichi kikaka kinapenda kula namwili hakina😂😂😂et mpk umekuja kuolewa na mashaallah😅😅😅mbonaivo
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 4 месяца назад
😂😂😂😂😂
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 4 месяца назад
Cyo kwake hapo kwa mwanae, yeye kwake bagamoyo
@meckraudndelwa-jv8co
@meckraudndelwa-jv8co 4 месяца назад
Pata na ww mtt ukakae kwake
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 4 месяца назад
Hata yy kasema kapanga hapo
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 4 месяца назад
Panga na wewe umuite mama yako chokooo
@juliethkipagile4632
@juliethkipagile4632 3 месяца назад
Mi nilijua kakodi kumbe ni Kwa mwanae afadhalii
@user-gx2wz1xs6d
@user-gx2wz1xs6d 4 месяца назад
😅😅Nimecheka jmn umenipa raha
@user-qy3jf1cs7g
@user-qy3jf1cs7g 4 месяца назад
Salehe anasema raha ya kiporo ukigeuze hv😂😂😂😂
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 4 месяца назад
😂😂😂😂😂 Salehe punguza uroho😂😂😂😂😂
@victorcephas3618
@victorcephas3618 4 месяца назад
TANESCO wamefanya yao katikati ya interview
@user-bz3zk8pn7y
@user-bz3zk8pn7y 4 месяца назад
Labda halagi nyumbani mmmh
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir 4 месяца назад
Sio mkazi au mwenyeji wa hapo😂😂😂dah kweli wabongo kwa uongo tumefuzu😂😂😂😂
@sabrinasabrina3974
@sabrinasabrina3974 4 месяца назад
tuletee rihama ally❤❤😊😊😊
@ZalhathamohdSaid-qn4jj
@ZalhathamohdSaid-qn4jj 4 месяца назад
we ndo umesema
@Sophia-yh4dc
@Sophia-yh4dc 4 месяца назад
Ila sale unapenda kula wewe njoo kwangu unihoj majirani wanione😂😂😂😂
@TerrorTrove-bx4pg
@TerrorTrove-bx4pg 4 месяца назад
Nend kwa kwa wasanii wakubwa tuone nao maisha yao
@denishaule6314
@denishaule6314 4 месяца назад
Aibu sana nch yetu umeme umeme
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir 4 месяца назад
Wakialikwa kwenye enter view wanatafuta nyumba sio zao😂😂😂😂😂
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir 4 месяца назад
Umeliona jicho la asha alivyomkatia mhudumu yaani kama anamwambia wewe usije ukasema kitu😂😂😂😂
@Tyughcdrbdt
@Tyughcdrbdt 4 месяца назад
Ila tanescoo😅😅😅😅
@kajalamaganga1913
@kajalamaganga1913 4 месяца назад
Wakwanza leo😂
@gracepatric4371
@gracepatric4371 4 месяца назад
Afu kweli wamefanana na mariam amour
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 4 месяца назад
Hahahaha Saleh😂❤🎉Eti ubwabwa tutaula kiza😂
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 4 месяца назад
😅😅😅 kashajihesabia na mapemaaa yani nimechekaaa
@chimamilion
@chimamilion 4 месяца назад
Wangp wameenda kuangalia iyotaarabu ya dda wa asha😅sema nampenda uyu mama kipind kile anaigiza nakanumba et anagombea umis tanzania😂
@paulinapius3184
@paulinapius3184 4 месяца назад
Mimi 😂😂😂😂
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir 4 месяца назад
Wasanii wetu ni waongo sana
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 4 месяца назад
Aisee mnapasha misosi kama mpo Ulaya
@user-uj1ps4tq9x
@user-uj1ps4tq9x 4 месяца назад
Amakweli usimzalau usiemjua
@salomewandya7257
@salomewandya7257 4 месяца назад
Kabisaa
@Juke995
@Juke995 4 месяца назад
Nimependa mtaa anaokaa ashaboko jaman anaejua ni wapi nitafute dalali chapu
@kettylucas5557
@kettylucas5557 4 месяца назад
Salehe na kula jaman hapana 😂😂😂 umeona ugeuze na kiporo
@hamidajabu3324
@hamidajabu3324 4 месяца назад
Yan inaonekana kabisa sio kwake yan km hajiamin jaman😂😂😂
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 месяца назад
Si kasema kapanga
@mwanaidimunga9099
@mwanaidimunga9099 4 месяца назад
Kwake kweli maana kwenye mpaka home alihoniwaga kipindi maisha Bado ya chini why asingefake kipindi hicho
@user-gt8fw9vk4c
@user-gt8fw9vk4c 4 месяца назад
Kwake bwana Kwan yeye hawezi kumiliki sehemu kama hiyo,half kingine anakigugumiz so unaweza kuhisi kama hajiamini 😂😂😂😂
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 4 месяца назад
Katanga sio nyumba yeke
@FatumaMuya
@FatumaMuya 4 месяца назад
Jamani yeye mwenyewe ameshasema amepanga
@leaherasto929
@leaherasto929 4 месяца назад
Nimefuraia sana interview
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir 4 месяца назад
Mlinzi tu kakukatalia itakua majirani😂😂😂😂muongo huyooooooo😂😂😂😂😂
@user-pi4rs4np1x
@user-pi4rs4np1x 4 месяца назад
Watatu mimi😂😂😂
@user-od8ik7fk9q
@user-od8ik7fk9q 4 месяца назад
Tuna pena uwende nyumbañi kwa alikiba harmonize daimond rayvanny
@user-od8ik7fk9q
@user-od8ik7fk9q 4 месяца назад
Utu oneshe maisha yawo yanyuma ya Kamera bro fanya ivo
@khadjamhozya
@khadjamhozya 4 месяца назад
Kwa diamond kwenda sio lahisi
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir 4 месяца назад
Ok nimekumbuka kumbe wewe comedy😂😂😂😂😂
@MariamJamal-lb3go
@MariamJamal-lb3go 4 месяца назад
Salehe tunaomba siku moja uwende kwa Mrs energy
@mwanamisiramadhan4773
@mwanamisiramadhan4773 4 месяца назад
Masha allah nyumba nzr 👏👏😍🥰
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir 4 месяца назад
😂😂😂😂eti maji kwa katuni si frij😂😂😂
@MrsKhalid-683
@MrsKhalid-683 4 месяца назад
Yani huyo kaka dah 😢
@RASHIDHASHIM-yj3dd
@RASHIDHASHIM-yj3dd 13 дней назад
Oya salehe mbona Kwa CLAM VEVO auendi nenda bas tujue maisha yake anayoish
@selinathindwa9754
@selinathindwa9754 4 месяца назад
Mgeni kaingia jikoni 😂😂😂😂 😅 ndo maana wanakusema kuwa unapenda kula😊
@annakbunga8377
@annakbunga8377 4 месяца назад
Sio kula tuu mbn wanadai ni mchicha poli jamani😢
@sophsoph4740
@sophsoph4740 4 месяца назад
Mchicha poli ndo nin jmn​@@annakbunga8377
@khadjamhozya
@khadjamhozya 4 месяца назад
Hujakosea anapenda Kura siku moja arienda kwa amina dadayake dura makabira kara pirau biri kunawa mikono😂😂😂😂😃😂😃😂
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 4 месяца назад
​@@annakbunga8377jibu unalo wewe
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 4 месяца назад
Hivi tatizo liko wapi basi hamna exposure ulaya mgeni akiingia anapitiliza anachukua glass anamimina wine anaendelea na stori au anatengeneza coffee wabongo ushamba tu
@selinathindwa9754
@selinathindwa9754 4 месяца назад
Mgeni kaingia jikoni 😂😂😂😂
@MahraMansoor5969
@MahraMansoor5969 4 месяца назад
Nampenda sana sana zaid ya sana Asha boko katibu Uk 🇬🇧 mtu kama huyu unaenjoy ukikaa nae kamuwwke mungu saba mbelempeni salam zangu
@azizayassin3623
@azizayassin3623 4 месяца назад
❤❤❤❤❤
@josephkanyongo3081
@josephkanyongo3081 4 месяца назад
Apo ni kwa mtoto wake tunataka kwakee
@Njeriii536
@Njeriii536 4 месяца назад
Umeweza kama mimi
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir 4 месяца назад
Wasanii wetu kuweni wakweli mnacho fanya ni kuwaharibu vijana wetu na kuwatia Tamaaa ambazo ni uongo mtupu,😮😮😮
@mishiomarhassan7115
@mishiomarhassan7115 4 месяца назад
😂😂😂😂 Swaleh mpka ule 😂😂😂
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 4 месяца назад
Kumbe ndio maana wamefanana na Amor
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 4 месяца назад
Ashaboko anaishi vizuri na wala hajisifii ila wangekua awa maslay queen sasa weee tungekoma 😂😂😂🙌🏻
@jacklinemsacky5587
@jacklinemsacky5587 4 месяца назад
Anunue gar jaman huku Bagamoyo akipita hakuna hata anaepepesa jicho anaipuyanga Bagamoyo nzima na miguu
@JennyJma
@JennyJma 4 месяца назад
😀😀😀😀😀 kumbe
@nishamwenendi-vh4wk
@nishamwenendi-vh4wk 4 месяца назад
Wapili naombeni like zangu plz😂
@verbalverbal2019
@verbalverbal2019 4 месяца назад
Dotto Magari anasema kuna waandishi walimfuata wakamwambia atafute nyumba kali wafanyie kipindi aseme ndio kwake atrend akakataa, huwa najiuliza sana ni waandishi wa channel gani
@Zainab_salat
@Zainab_salat 4 месяца назад
Maybe zamaradi
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 4 месяца назад
Ni Hawa Hawa wa Zamaradi
@user-yb1mv2nx6m
@user-yb1mv2nx6m 4 месяца назад
Asha pakua wali bwana😂😂
@erickmbega852
@erickmbega852 Месяц назад
Mmesha temea mate kwenye chakula😂😂😂😂
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir 4 месяца назад
Ok kesho mm nakuja none uko hapo hapo ila just kabisa mm sipokei rushwa nataka UKWELI tu??????
@faudhiaamour1914
@faudhiaamour1914 4 месяца назад
😂😂huo umemee sasa ..ila tanesco jmn
@user-mk8tp4md6r
@user-mk8tp4md6r 4 месяца назад
Namkumbuka sharo milionea daaah😢 ile video ya chuki ni bule ashaboko nomaaaa🎉🎉🎉
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 4 месяца назад
Hii ni nyumba yake au apartment amepanga
@jasminshemsanga8727
@jasminshemsanga8727 4 месяца назад
Msos mkavu mkavu😂😂😂 ht maji yakunywa
Далее
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Просмотров 21 млн
My Puzzle Robot is 200x Faster Than a Human
21:21
Просмотров 8 млн
Ставь ❤️ и подписывайся 🔥
0:14
Утро в Нью Йорке
0:16
Просмотров 3,4 млн