Uuuyie milard pole kaka angu mungu mungu akupe nguvu uchungu aftr uchungu tunakuombea sana take your heart everything will be fine usimkazilikie mungu kuna maisha kabla ya uchungu unayo pitia kwa sasa mungu akufanyie mema kwa yote.
Duhhh kijana mdogo Sana jaman pumzika Kwa aman Zuchero Mungu akupe kauli thabit ulipo Saiv tutakumis sana katika kazi Yako ya pictures kwenye Maudhui ya boss wako Millardayo 😭😭
So said niliikuta hyo ajali navua yote zaidi ya masaa matatu kalala ananyeshewa tu daaa KICHWANI alipasuka sana na nilikuwa naboda kiukweli sikuweza kuendelea nakazi kiukweli nilinyongo'onyea sana
@@FatumaMohamedi-t6t alikuwa keshakata moto so Hadi polisi wafike maana waligonwa kwa nyuma wakadondoka afu Gali nyingne akampitia kwa juu zote zikatembea ndo si watu kufika pale
Acha ujinga ww ajali ni ajali kifo nikifo acha kuleta habari ambazo sizo unaskia mm ndo niliishihudia hyo ajali so usisambaze taarifa ambazo sizo huzijui