Тёмный

Mpina amlipua tena Mwigulu Bungeni "TRABU na TRATI, tunaingia kwenye Mikopo, kodi hazina msingi" 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@benjagindo6251
@benjagindo6251 Год назад
Gooood............jusus chrixt
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Год назад
Mpina mzalendo pekee aliyebaki bungeni
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 Год назад
Big up!
@kingkendrickk
@kingkendrickk Год назад
Huyu jamaa tofauti kabisa na wabunge wenzake wa ccm
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 Год назад
Yah
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 Год назад
Huyu ndo anafaa kuwa Waziri wa Fedha sio huyo mbumbumbu Mwigulu
@kingkendrickk
@kingkendrickk Год назад
Wabunge kama hawa wanaojielewa ccm hawawataki wanawataka akina babu tale, mwana fa, musukuma, wapiga sarakasi nk
@alfredcharles8029
@alfredcharles8029 Год назад
Daah!....Mpina ni mashine pia Mzalendo wa kweli,it seems alikuwa na vitu vingi kuelezea ila tu muda umekuwa mfinyu
@wadidahlogi
@wadidahlogi Год назад
Mpina umezoea udikiteta, dunia imebadilika, sio kila kitu ni sheria hekima nayo itumike. Dunia inatafuta wawekezaji. Haki haipatikani kwa sheria ila kwa Imani kwa Yesu Kristo Wagalatia 3:10 " Wote walio chini ya sheria wako chini ya laana. Mpina sheria ni kama kioo tu kama kwenye dressing table soma Waraka wa Yakobo.
@teddyambrous7692
@teddyambrous7692 Год назад
Mungu akutunze baba🤗🤗
@Africana255
@Africana255 Год назад
Mh. Luaga. Nakunyoshea mikono.
@Godisable4281
@Godisable4281 Год назад
Huyu jamaa nilikuwa simwelewagi lakini sasa ndiye mbunge ambaye yupo hai kuliko wote
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Год назад
Walikua wanatoa matamko kufurahisha watu na si kutatua matatizo
@georgenicholaus9309
@georgenicholaus9309 Год назад
Mpina mpina mpina💯💯💯💯💯💯
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 Год назад
Okay thanks Brother tuna kuombeaa
@emmanueliman7408
@emmanueliman7408 Год назад
Hoja za mpina muwe mnampa walau saa 1,watanzania tunakwenda kwenye rekodi ya nyerere na magufuli wazalendo wa kweli Tanzania ndani ya ccm.
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Hata apewe siku nzima, je anayoyasema yanafanyiwa kazi.Mwigulu anafanya mambo mengi kinyume lakini bado wanamlinda inashangaza sana. Sijui kwa uvaaji wa tai ya bendera au ?anachota fedha kufungua miradi yake huyu ,nchi haina huruma na raia wake wanaburuzwa wasiojiweza ila muwekezaji anapewa misamaha kuiba rasilimali zetu raia anaejikongoja kodi za kila aina. Wao wanafungua makampuni na kujilimbikizia
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Год назад
​@@leokamil6284shida Iko hapo
@tungarazalucas1478
@tungarazalucas1478 Год назад
Heko mpina
@janethjohn7053
@janethjohn7053 Год назад
Mishahara inachelewa hivi kubadili tarehe za malipo ni kumpa madeni mtumishi mara 21 mara 24, mara 26 wastaafu hadi 27 na 30
@kibundapesamadimba6352
@kibundapesamadimba6352 Год назад
sijui wanakuelewa hawa ccm wenzioo?Kupatwa kwa Tanzania
@victorjames3730
@victorjames3730 Год назад
Waziri anakopa hela kwa ajili ya matumizi ya kawaida 😢
@mpakarangi8704
@mpakarangi8704 Год назад
KIUKWELI LUHAGA TUNAKUHITAJI KWA SASA
@yasinrashid985
@yasinrashid985 Год назад
Tungekua na wabunge watatu2 kama mpina nchi ingeenda vizuli kuliko hawa wnao enda naupepo lakini tuna wasubili huku ndo mtajua
@benjagindo6251
@benjagindo6251 Год назад
Ila wazir anajitahidi sana anafanya vizur kwa upande wang big up our government
@chandechande9642
@chandechande9642 Год назад
Wewe ni mbunge hujui kabisa
@gracemima5234
@gracemima5234 Год назад
Kama Hajuwi wewe unajuwa nini? Ama uelewo wako ni kidogo sana? Huelewi chochote Nenda zako huko
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Год назад
​@@gracemima5234itakuwa ndugu wa mwigulu
Далее