Тёмный

MBUNGE SHABIBY AWAKA; "PESA YANGU, BASI LANGU, SERIKALI NDIYO INIWEKEE PESA, BIASHARA YA WAPI HII?" 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 266 тыс.
50% 1

MBUNGE SHABIBY AWAKA; "PESA YANGU, BASI LANGU, SERIKALI NDIYO INIWEKEE PESA, BIASHARA YA WAPI HII?"
Bunge la Tanzania La Jamhuri Ya Muungano Leo May 17, 2021 Limeendelea Na Vikao Vyake Jijini Dodoma Ambapo Wizara Ya Miundombinu Na Ujenzi Imewasilisha Bajeti Yake Na Wabunge Wameendelea Kutoa Maoni na Ushauri Kwa Wizara Hiyo na Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby ameiwakia serikali.....
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 396   
@geraldngwisija5034
@geraldngwisija5034 3 года назад
Hawa wasema ukweli ndio wanatakiwa kuingia bungeni.hongera sana shabiby
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 3 года назад
Huyo wa Pembeni ni Mbunge au CHAWA wa Shabiby 😂😂😂
@karinokarino3049
@karinokarino3049 3 года назад
Uyo chawa aiseee maana sio makofi ayo
@mkimbizifelix9674
@mkimbizifelix9674 2 года назад
Haha
@danielbraitony9696
@danielbraitony9696 3 года назад
Kama unamuona anae umiza mikono gonga like
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 3 года назад
shabiby mitano tena 👏👏
@petermushy9883
@petermushy9883 3 года назад
Kuna mwamba kalipwa na boss anapiga Kofi moja moja😁
@patrickKitambo
@patrickKitambo 3 года назад
hahahhahaha, yuko makini kwenye kupiga makofi
@mkingaboy550
@mkingaboy550 3 года назад
Umeona kumbe;😂😂
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 3 года назад
Noma sana
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 3 года назад
😀😀😀😀😀😀 Katoa taarifa kwa msisitizo
@eventelias3566
@eventelias3566 3 года назад
Anazingua
@mussai.sillas3796
@mussai.sillas3796 3 года назад
Nakulewa sana mhe. Shabiby. Hongera
@paschalkipeta2353
@paschalkipeta2353 3 года назад
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu
@amanishoo1813
@amanishoo1813 3 года назад
Shabiby kachangia vzr km Mbunge sio wale wana mipasho hawana hoja wanasimama kupoteza muda tu
@juliethsemwenda8100
@juliethsemwenda8100 3 года назад
Hongera mbunge.
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 3 года назад
Safi Sana shabbiby ukogo vizuri sana
@luizabahati5198
@luizabahati5198 3 года назад
Ila kweli yani juzi dodoma nimeshuka 88 yani nilitamani kulia mchozi..nimepata tabu kweli...gharama...muda..daah
@barakanelson8123
@barakanelson8123 3 года назад
Uyu anaipiga Kofi anazingua aiseee😂😂
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 года назад
Watu wanazingua kweli
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 года назад
Nitabu tupu
@DominicMyumbilwa
@DominicMyumbilwa 3 года назад
Ashakula Gongo
@stevengracphord953
@stevengracphord953 3 года назад
Safi Sana kweli unajitahidi huchangii pumba
@neemajoel5081
@neemajoel5081 3 года назад
Well said Shabiby... Dom wanafunzi kushuka 8 8 upande boda, bajaji, tax adi town ni gharama mnooo
@bishoptvalbert4112
@bishoptvalbert4112 3 года назад
hi
@samiumussa1193
@samiumussa1193 3 года назад
Safi sana bos
@rwehumbizajonathan8689
@rwehumbizajonathan8689 3 года назад
Mbunge Makini....Anatema Points Tupu. Salute sana Mheshimiwa.....kwa Wabunge wa Aina hii Upinzani lazima Wapate tabu kupenya.
@neylatikilango401
@neylatikilango401 3 года назад
Mbunge wAngu MWENYE akili zake😂
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 3 года назад
umeongea sana Mr shabiby mungu akuongoze daima kweli kuusu stand niaibu sana naisi hii changamoto IPO mikoa yote ilikua na stand mpya
@sigfridprotas5695
@sigfridprotas5695 3 года назад
Vita kawaw ulikukuw umelala shabb kashakutajia idadi ya stand haraf we unatoa taarifa kweli hebu kuw Makin kuwasikiliza wenye hoja za mashik( shabib kataj Dom, iringa na songea we hukusikia?)
@archdauzanliwenga
@archdauzanliwenga 2 года назад
Hata hayupo makini huyu mbunge Vita,
@rhassanimkomwa
@rhassanimkomwa 3 года назад
wewe wa pembeni acha hizo habar mwenzako anaongea maana .acha kugonga gonga
@wardamzuka3997
@wardamzuka3997 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@suleimangaming1907
@suleimangaming1907 2 года назад
Safiii sanaa mr shabib
@chikuluchidodokochiitingan340
@chikuluchidodokochiitingan340 3 года назад
Umekulaa sanaa viazi ndio maanaa unaakili na hoja nzurii ho hongelaa
@abdulaziz703
@abdulaziz703 3 года назад
Maa Sha Allah, Shabiby unaongeaga ukweli mtupu. Nilichogundua ni kwamba wanasiasa wengi ni wachumia tumbo. Wanaongea chochote ilimradi matumbo yao yajae bila kujali maslahi ya wananchi wengine.
@fatimahants1526
@fatimahants1526 3 года назад
King of business.....🇴🇲🇹🇿 hongera sana
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 3 года назад
Mmmmmmh wabunge wabunge!!!!! Mbona toka mwezi jana mmekuwa waongeaji wazur hivyo!
@izraelyherman4467
@izraelyherman4467 3 года назад
Safi sana shabiby serikali yetu imetengeza mianya ya wizi
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 3 года назад
Huyu Shabiby ni mfanyabiashara makini Sana.. hongera Sana Sana.
@HanceBablo
@HanceBablo 21 день назад
Na kaiahia hajasoma kiivo je angekua kasoma ndo ingekua balaa
@HanceBablo
@HanceBablo 21 день назад
Shabiby anafaa kua rais kabisa anajua kutetea haki god bless
@salimbinargan9658
@salimbinargan9658 3 года назад
Qhongera muheshimiwa Ahmed shabiby nakukubali sana
@nikhatkhan8362
@nikhatkhan8362 3 года назад
Shabiby nakuunga mkono,huyo mbwa wa Latra amelishwa hela ondoa huyo
@jastinmkandala5620
@jastinmkandala5620 3 года назад
Sema mzee,nimekupenda bure,umewapa makavu yao
@simonsonelo1467
@simonsonelo1467 3 года назад
Safi Sana Shabiby kwa kuwatetea wanyonge
@tycoon9540
@tycoon9540 3 года назад
Safi sana Mh Shabiby
@ZachariaMwakiposa
@ZachariaMwakiposa Год назад
LATRA ni wezi kupindukia .... kwenye hili naomba bunge mkae muangalie ni namna gani mnaweza kuliboresha hili, ama wizara ya uchukuzi iangalie namna ya kuja na mpango mkakati wa kuiboresha upya hii mamlaka ... hawa ni MADALALI
@mchumiajuani1993
@mchumiajuani1993 3 года назад
Dah nampenda sana shabiby kwanza anajiamini saaana, dah asipewe uwaziri ili awe anapiga mawaziri
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 3 года назад
Dah hii ni hatariiii Sana mama futa huu wizi
@joshualaitei6275
@joshualaitei6275 3 года назад
Wizi huo udhibitiwe haraka Lait mzee angewaona hao wafanyabiashara mambo yangekuwa mazuri
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 3 года назад
Kweli Shabiby hapo kwenye kushusha abiria stend mbali na gari linaenda huko huko mjini kweeeli tunateseka Sana Sena baba abiria tupone
@kareisindilo2776
@kareisindilo2776 3 года назад
kiswaga tuliza mpira brother kwani mkono haiumi
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu Год назад
Hili Jinga Linalopigapiga Meza Linakera! Ndio Watanzania tunalipa watu wa aina hii. Kaa sikiliza, Hoja Nzuri hazihitaji Kelele zako za Kupiga Meza.
@rafikiwildlife4263
@rafikiwildlife4263 3 года назад
nimeipenda sana hiyo taarifa.
@eenpaard3915
@eenpaard3915 3 года назад
Duh sijajua Ndo system mbovuu sanaa
@damsonwillison435
@damsonwillison435 3 года назад
Huyu mbunge Ana Akili nyingi sana mmsikilize
@chogaissa1619
@chogaissa1619 3 года назад
Mbunge mwenye uwezo wa hali ya juu sana
@deohank5995
@deohank5995 3 года назад
Kila Mara Ninasema NIA NJEMA YENYE MAAMUZI MABOVU!
@rahimdikungule3737
@rahimdikungule3737 3 года назад
Bonge la point muheshimiwa Shabiby, safari hii nikishuka Dodoma natembea kwa miguu hadi mjini bora mgomo tuu
@joshuabryson8044
@joshuabryson8044 3 года назад
Mbunge anaongea mambo muhimu mnoooo,
@aishkombo6383
@aishkombo6383 3 года назад
Shabby kaka tuwasiliane leo umeeleweka kaka
@dorcasshayo5155
@dorcasshayo5155 3 года назад
Uyo kiswaga sasa😂😂😂 mikono haiumi kwani
@chosen1.
@chosen1. 3 года назад
Hahaaaaa
@tommytommy5885
@tommytommy5885 3 года назад
Ananichekesha 😂😂😂😂😂😂
@kareisindilo2776
@kareisindilo2776 3 года назад
kiswaga anaswaga tu menza
@issazakaria863
@issazakaria863 3 года назад
😂 😂 😂 😂
@lucasrobertstephano9138
@lucasrobertstephano9138 3 года назад
Hahahaaaaa, akwita matula umumamakono
@sudymgeni701
@sudymgeni701 3 года назад
Nakuunga mkono shabby
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 3 года назад
Msema ukweli ni mpenzi wa mungu
@dismascosmas1441
@dismascosmas1441 3 года назад
Gonga like kwa jirani yake..
@sadikiabdi6179
@sadikiabdi6179 3 года назад
mungu akuongoze ktk kaz yako mzee SHABBIBY! hongera sana!!!!!!!
@danielmpigasupi2212
@danielmpigasupi2212 3 года назад
Hongera sana Mhe.Shabiby kwa mchango wako mzuri umeongea uhalisia na ukweli uliopo. Suala la Stendi hizi kuwa mbali na miji zinatesa sana wananchi hasa wale wasiokuwa na uwezo!
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 3 года назад
Ndio maana siku hizi Shabiby hamtoi vinywaji... Oooh... Machine!!
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 3 года назад
Anatoa vinywaji hela iko kwa vendor😂😂
@Bruno-ed1ps
@Bruno-ed1ps 3 года назад
😀
@magonasoudy5297
@magonasoudy5297 3 года назад
Huyo anayemsapoti Shabiby anagonga kila mara,hiyo inaitwa kujipendekeza kwa Boss,afu kama anagonga kwa uoga hivi🤣🤣🤣
@highvoltages4169
@highvoltages4169 3 года назад
Sio kujipendekeza, huyo naye ana miliki mabasi (superfeo) yeye na G msigwa na Makinda
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 3 года назад
Nime cheka mimi mpka meliasss
@sospetermigera685
@sospetermigera685 2 года назад
Una akilia Shabiby huwa nakusklza utube sana na mafuta petroleum umeongea safi hongera ,TARIME tukipata kama wewe tunasonga
@pendael02
@pendael02 3 года назад
Kiswaga, meza inaomba kusamehewa
@chosen1.
@chosen1. 3 года назад
Haaahaaaa
@geraldenos5416
@geraldenos5416 3 года назад
Hivi lini kiswaga anaongeaga lini. Hii barabara kwani inapita magu
@rajabmartojr3302
@rajabmartojr3302 3 года назад
Naam kiswaga
@amanikomanya355
@amanikomanya355 3 года назад
😆😆😆meza inaumia kwakwl mwshowe ipasuke looh
@wardamzuka3997
@wardamzuka3997 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@mkakampole7802
@mkakampole7802 3 года назад
Yani kuna sheria zinawekwa ova ni vichaa wa mirembe wanazitunga borea umeongea shabiby
@aphrahanjopa5792
@aphrahanjopa5792 2 года назад
Hawa ndio viongozi makini wapewe mda wakutosha bungeni wawaongelee wananchi Keri zao sio kusifia2. Bora kwasiku waongee wabunge20 Ila wenye hoja za msingi
@pastormosesmwimitv1742
@pastormosesmwimitv1742 3 года назад
Kweli shabiby umesema pointi Nzuri
@herikaduma4993
@herikaduma4993 3 года назад
Shukrani Shabiby mambo yanashangaza sana kuhusu hizi stendi zilizo mbali na makazi ya watu zina usumbufu mkubwa
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 года назад
Kweli kabisa shabibu kwanini washushe abiria stendi wakati gari inaelekea hukohuko wanakokwenda?hivi kweli serikali kabla ya kutenda haijiongezi ?wakati gari siyo Yao ? Point unafaa uwaziri mama Samia hawa ndio wanaotakiwa uwape uwaziri
@shabanimyombe3834
@shabanimyombe3834 3 года назад
Kishwaga jamani mikono hiyo ...
@issaramadhan9937
@issaramadhan9937 2 года назад
Jazak Allah kheir Shabiby
@issazakaria863
@issazakaria863 3 года назад
😂 😂 😂 😂 wewe inakuuma nn wewe wakati huna hata basi
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 года назад
Ka'..JaMaNi....! Tumekuelewaa...swali ZuRi MjOmBa...
@b90tv2
@b90tv2 3 года назад
mh shabiby yupo sahihi kabisah suala la stand na umbali linatutesa
@dottodotto7621
@dottodotto7621 3 года назад
Mungu Akubariki sana Mzee Shabiby Kwa Kuliona hilo Serikali Ikubari Tu Kwamba Walikosea Na Wazirudishe Hizo Stend Mana Ni Mateso Mno! Mtu Anakwenda Iringa Mjini Unamshusha Igumbilo Kilometer 20 Nyuma Unamuingiza Kwenye Garama Nyingine C Kutesana Uku.
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 3 года назад
Haya sasa mm niliacha kutoa huduma ya kukusanya taka kwa ajilia huu upuuzi .... imagine unapewa efd unakusanya hela unaweka bank ya dcb mwisho wa mwezzi unataka hela unatakiwa kuandika barua ujadiliwe nimeoaki magari yangu
@daudajerry6654
@daudajerry6654 3 года назад
Serikali ili focus saana kwenye kukusanya tu ila sio hali za wafanyabiashara
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 3 года назад
Sawa mbunge wetu. Mwanike wa ukaya
@jenniferkaristo5671
@jenniferkaristo5671 3 года назад
Safi sana shabiby tunanyanyaswa ctend zpombali tukipewa msaada hawataki
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 3 года назад
Kweli huu ni wizi kweli kabisa
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 3 года назад
Sema Shabib sema kwa sauti
@christinafraha617
@christinafraha617 3 года назад
Jaman hali ni mbaya saaana tz basi tuuuu wawekezaji tunashndwaaaa
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 Год назад
Kuna watu wapo kazini na hawabahatishi wakitaka kuikosoa serikali na madudu yake bila kujali uchama na huo ndio uzalendo usiogope kumwambia mlengwa ili imsaidie kujirekebisha ikiwa ni muelewa nadhani BROO SHABIB CHUKUA FORM YA KUGOMBEA URAIS SINA MAANA KWAMBA ALIYEKUEPO HAFAI ILA MDA WAKE UMEISHA SO PLEASE GET THERE SOON BROO AND TAKE AND KEEP IT IN ADVANCE KURA YANGU NA FAMILIA YANGU TUNAKUPA hii nchi baadhi ya viongozi wana masiara na mizaha ya kuona watanzania ni wapuuzi hawajitambui kumbe nivile hakuna platform ya kutoa kero zao nahata wakizikuta kwenye mabango hakuna mwenye mda nazo
@kasimramadhani1502
@kasimramadhani1502 2 года назад
Shabiby wewe ni kiongozi mcha mungu na mungu akupe afya na rizki..una moyo wa utu sana
@sabbob574
@sabbob574 3 года назад
Huyo Mh pembeni anapiga meza kuishabiki. Ataondoka mkono umevimba.
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 года назад
Watu mnafatilia mnooo 🤣🤣🤣
@ahmedesmail4488
@ahmedesmail4488 3 года назад
He nimeikubali serikali acheni he mambo toeni mashine zenu
@dcollyne4968
@dcollyne4968 3 года назад
ivii kupiga meza bungenii ni fashion au mbn sierewii mtu hajaongea chochote tiali watu wanagonga meza ni nn ikii jmn wtz...sikilizeni point na kufanya tafakariii
@erickkimbori5402
@erickkimbori5402 3 года назад
Huyo mbunge kiswaga ametumwa na wananchi kugonga meza au
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 3 года назад
Hapana, kiswaga ni chawa wa shabiby. Kazi yake ndiyo hiyo akitoka hapo anapewa zawadi
@amanikomanya355
@amanikomanya355 3 года назад
Mazoea mweeh🤦
@kamanyile
@kamanyile 3 года назад
Shabiby safi sana umeongea point watu wanatoka mbali walipo na stand ya mabus safi kbsa
@samueltomboza3767
@samueltomboza3767 2 года назад
thanks so much father God bless you Good point
@thomastarimo
@thomastarimo Год назад
Yani sasa hivi kuna ushetani mkubwa sasa hivi ni bora mmejionea hayo nyiye wenyewe alafu kuna msamiati unasema wawekezaji labda mwekezaji kicha
@shafiijaribuni9844
@shafiijaribuni9844 3 года назад
Huyo wa pembeni ni CHAWA wake ? maana anakazi ya kupiga desk MWANZO MWISHO 😃😃
@amirikoshuma3039
@amirikoshuma3039 3 года назад
Mama Samia hatukuelewi hata kidogo mufumo yako unayoleta hatuilewi
@khaliphamajid270
@khaliphamajid270 3 года назад
Hiyo mifumo ilikuwako kabla mama Samia kuwa Raisi.Ila yalikuwa hayasemwi wakati mwamba yu hai.
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 года назад
Du kweli ukiwanapesana hata akili nayoinakua nauwezo wakufikili vizuri hongera mjomba mwenyemawe yake mjini
@jumabangaiza6589
@jumabangaiza6589 2 года назад
Hata kwetu Nkome,haturuhusiwi kushushwa Nkome centre mpaka ufikishwe standi wastani wa kilomita mbili
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 3 года назад
Hata basi huna wewe inakuuma nini 🤣🤣
@omarmkumba3547
@omarmkumba3547 3 года назад
Shabibyyyyyyyyyyyy,big up
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 года назад
Mambo mengi si nyie mnapitisha lakini havifanyiwi kazi pia mnawaumiza watu wa mabasi jirekibisheni serikali
@bettymassanja881
@bettymassanja881 3 года назад
Hakika, huo ni wizi
@frankjohn8706
@frankjohn8706 3 года назад
Ndio ccm hio na sasa wako wenyewe watapingana watatulizana watatukomesha
@frankkikambako9281
@frankkikambako9281 3 года назад
Mambo hayo ya balabala aliyaweza Magu tuu kwa sasa huyu mama we sahau kaka yangu hata irani ya chama tena hatuisikii masikioni mwetu...
@aronatv47
@aronatv47 2 года назад
Haaaahaaaa...!Hiii nchiii buana hivi unakuwa katibuuu hujuiii kituuu kikojeeee
@racheldaniel112
@racheldaniel112 2 года назад
Mmemuona Jirani yake anavyopiga meza 😂😂😂😂 inaashiria kabisa wapo pamoja na anaunga mkono hoja😁
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 3 года назад
Na hapo gari linaondoka halijajaa. Na umeshalipia watu hamsini na saba
@kabwangaselemani5228
@kabwangaselemani5228 3 года назад
Shabibu hoyee pale mjini Handeni wamebadilisha njia badala ya kupita mjini kuelekea stand gari sasa inapita sehemu isiyokuwa na watu kwa hiyo gharama inaongezeka na sababu za msingi hakuna.Hebu litizamwe hili
@jumakapola419
@jumakapola419 2 года назад
Iyo inchi mmeisha iyalibu sana ndio mana wateja wa magari wanakwenda Kenya na South Africa Tanzanian viongozi mmekuwa wajinga sana
@henrygerison3638
@henrygerison3638 2 года назад
Ndio maana tunahijaji wataalam kwenye kila idara ,huyu shabiby kaongea kwa uchungu sababu kabanwa anapopatia mkate wake na anauzefu mkubwa kama Magufuli alivyokuwa kwenye idara ya uvuvi na ujenzi
@hasionshekiondo8876
@hasionshekiondo8876 3 года назад
Kuna mwamba hapo anapiga kofi moja moja yan😂
@everever2807
@everever2807 2 года назад
Shabby bandarini hawaendeshi kisomi wanaendesha kichawi watu wapo hata elimu hawana wanaingia kindug
@karimkassam571
@karimkassam571 Год назад
Hata kongwa tuna barabara itokayo nako hadi kiteto.....hatujui hatima yake..
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 2 года назад
Nnchi za kiafrica ndo maana aziendelei mijitu mijizi tu, Nnchi isharudi kwa mijizi
@ondieckotoyo1143
@ondieckotoyo1143 2 года назад
Kwenye hili usiteteh ukwepaji kodi sheria ya kutumia poss mlipitisha miaka minne iliyopita mbona abc siku zote wanatumia efd na mabasi shabib ni moja ya watu ambao hawatumii efd kinyume cha sheria husika
@dominickdomissian3570
@dominickdomissian3570 3 года назад
Nashauri hyo maeneo mwendo kasi zibebe bureee kne vituo maana sini za serikali
Далее
Лиса🦊 УЖЕ НА ВСЕХ ПЛОЩАДКАХ!
00:24