Тёмный

MPINA ATANGAZA VITA MPYA NA SPIKA TULIA PAMOJA NA WAZIRI BASHE 

JAMBO TV
Подписаться 921 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 74   
@erasmichuwa4049
@erasmichuwa4049 2 месяца назад
Hapo ndipo mtakapotambua kwamba, wabunge mpo bungeni kupora kodi za Watanzania na siyo kuwatetea. Nafsi zenu ziwasute kwa jinsi mnavyo waumiza Watanzania kwa kuwatetea Watawala kwenye mapungufu yao ya kiutendaji. Wengi wameumizwa kwa chuki hivyo hivyo. Mjifunze kusimamia haki bungeni. NINAMNUKUU G. LEMA. ( MKISHATUMALIZA MTAANZA KUUMIZANA WENYEWE)
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 2 месяца назад
MPINA NI MTU WA MAANA KABISA I LOVE THIS MAN❤❤❤
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 2 месяца назад
Leo ni maaana tusiwe watu wakusahau huyu alivyokua wazir unakumbuka nn lifany😢😢😢
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 2 месяца назад
A wise man changes his mind
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 2 месяца назад
Yaani mambo kama hayo aliyofanya Speaker, ndiyo kinachoniondoleaga imani ya kumwamini mwanamke katika ngazi zau uongozi😢😢😢
@sebastianthadeus5270
@sebastianthadeus5270 2 месяца назад
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu lakini bunge la TZ ni tofauti sana kazi ni kusifu nguvu za raisi tu hakuna lingine !!
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 2 месяца назад
MPINA NI MWAMBA KABISA❤❤❤
@esterjames2016
@esterjames2016 2 месяца назад
Rais ajaye mwenye nguvu na kasi kama tai❤
@sospeterseleman5001
@sospeterseleman5001 2 месяца назад
umeupiga mwingi chief hongera
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 2 месяца назад
Wabunge wa Tanzania ni wanafiki
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 2 месяца назад
Watanzania tuombe Mungu.
@levissanga8867
@levissanga8867 2 месяца назад
Kuna mtu siku zote naoni ukweli ni uchawa siku zote. Subiri utakuja shuhudia hasara za uchawa wenu. Be blessed Mpina
@user-nz9eb4ud6y
@user-nz9eb4ud6y 2 месяца назад
You have been promoted my bro
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 2 месяца назад
C.C.M sasa hivi iko mara mbili A.ccm ya wale waadilifuwachache wanaofanyakazi kwauadilifu nawanaojituma kwa ajili yamanufaa ya Taifala Tanzania hiyondiyo CCM yamwalimuNyerere CCM B ni ile ambayokilawakati nawakowengi ni kuteteanakushabikia auuozowa mawaziri walionyuma ya maafisadi yanayoyumbisha nchi hii hukuwaonawale ndiowanufaika wakubwa huku nchi nawananchi wakiwahoi bini tabani. Wearewatching this daily.
@yudanziku6030
@yudanziku6030 2 месяца назад
Mungu Yuko na wewe kwakweli
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 2 месяца назад
Mpina wewe tu ndo Mbunge wa wananchi, waliobaki ni wabunge wa Serikali!.Tupo na wewe na utabaki kuwa mwakilishi wa wananchi.
@jabirmbegu8280
@jabirmbegu8280 2 месяца назад
Hii nchi ni huzuni sana, wanyonge hawana thamani kabisaaaa
@user-bp7nb7yp2o
@user-bp7nb7yp2o 2 месяца назад
Kaka Mpina wamekutoa kafara wakati wahusika wanaeleweka.ila kaka kapu ulilopo halitaki mtu anayeongea ukweli.
@deogratiasrugangila3100
@deogratiasrugangila3100 2 месяца назад
Kwa hiyo hata Bungeni sheria huwa zinapindishwa?km ni kweli ss wanyonge tutakimbilia wapi, maana huwa tunakimbilia wawakilishi tunapopata matatizo
@healingsschool4630
@healingsschool4630 2 месяца назад
GALATIANS 3:10 For as many as are of the works of the law are under the curse: for it is written, Cursed is every one that continueth not in all things which are written in the book of the law to do them. Haya ni maneno ya Mwanasheria Paul aliyoandika miaka mingi iliyopita lakini kwa bahati mbaya saana Dunia bado ipo chini ya sheria kwa hiyo imelaaniwa tumwombe Mwenyezi Mungu kwa jina la Yesu Christo ili tupate neema ya kuwa juu ya sheria......
@ezratv4364
@ezratv4364 2 месяца назад
Kwa nin usingetulia tuuu ndio tunafahamu kinachoendelea bungeni wanainchi tunaona ila usingekuja huku tena kutoa maelezo naona unaenda kufukuzwa ubunge kabisa pole sana
@josephatemmanuel458
@josephatemmanuel458 2 месяца назад
Wabunge wengi ni wanafiki Mpina piranha haki ya watanzania dunia inaona
@JoseSimon-mt6oc
@JoseSimon-mt6oc 2 месяца назад
Hakuna haki dunian kila ntu ale kwa urefu wa kamba yake, ila mungu yupo atakusaidia
@clemencemarcelli3365
@clemencemarcelli3365 2 месяца назад
Mimi nadhani hoja ijibiwe kwa hoja, siyo kuleta vipengele ambavyo sivyo, Bunge,
@nashonkibayayu3776
@nashonkibayayu3776 2 месяца назад
Wananchi was kesesa na watanzani Kwa Julia. Peni Santa . Naomba watu kama spika na wenzake, waspewa uongozi unaotokano na wananchi. Mtu akiomba kupewa uongozi, muulizeni mpina aliwa osea Nini? Has CCM na watu wake. Kuuhukumu mtu kabla ya kumsikiliz? Ccm mko wapi? Munatuharibia chama. Na mmekuwa mapanya, wanouma na kupuliza Ili mtafune zaidi.
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 2 месяца назад
Anafikiri yuko bungeni.Huyu ikiwezekana atolewe kabisa bungeni
@sultanalnaamani2156
@sultanalnaamani2156 2 месяца назад
Sawa waziri wa upimaji wa samaki kwa RULA imekula kwako punguza JAZBAAA
@mwitaprotus7649
@mwitaprotus7649 2 месяца назад
Me nashauli jimbo husika la mpina tumezulumowa mbunge wetu inatakiwa ajiuzulu tumpigie kura zakutosha aludi tena awe ccm au chadema et😊😊😊😊
@haggaikinyau1395
@haggaikinyau1395 2 месяца назад
Katika watu waliochanganikiwa ni pamoja na Mpina, nadhani alikuwa anajiamini sana kwamba hangeondolewa uwaziri, sasa kichwa chake hakijakaa sawa toka wakati huo. Mambo ya ndani ya bunge anatuletea sisi tuhoji kwa nani kwamba anachoongea ni kweli? Wakati mwingine kunyamaza ni hekima na aongeaye maneno mengi hujitengenezea mtego wake mwenyewe
@zakariamalembela3974
@zakariamalembela3974 2 месяца назад
Hujielewi weww 😂😂😂
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 2 месяца назад
Huyu kweli ni mgonjwa wa akili,anahitaji tiba.
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd 2 месяца назад
Huyo dada hatari sana ktk nchii hii
@thepresidenttobe5481
@thepresidenttobe5481 2 месяца назад
Aliye upload hii content kwa nini hajahariri? Sauti zimepandana na bado imeachwa ikae hewani! Lack of seriousness
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 2 месяца назад
Kwenye cv yako Umesahau kuwa uliwahi kuwa waziri mpima samaki
@user-nz9eb4ud6y
@user-nz9eb4ud6y 2 месяца назад
Wajifunze ya Kenya
@clemencemarcelli3365
@clemencemarcelli3365 2 месяца назад
Hii ndiyo TZ chama kushika hatamu?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 месяца назад
Njoo chadema tu huko ccm wanakuchelewesha hawapendi watu wanatetea wananchi wao wanataka kuunga mkono kila hoja ya serikal ya ccm
@mkanjimamkanjimamkanjima2043
@mkanjimamkanjimamkanjima2043 2 месяца назад
Bunge la tulia halina meno ya kuwajibisha selikari bali meno yake yapo kwa kuwasurubu waliopo upande wa wananchi. Kwahiyo bunge ni kibogoyo pia ni dhaifu na hilo hata CAG aliepita alisema na kutolea ufafanunuzi ila mwisho wa cku kila upande wa madalali wa mali za uma walijaza inzi kila kona ya nchi
@kiletepokela4301
@kiletepokela4301 2 месяца назад
Sauti mbona inapandana panda a 😡 😡
@misheckmtaki2425
@misheckmtaki2425 2 месяца назад
Tanzania tanzania
@fadhilimsafiri216
@fadhilimsafiri216 2 месяца назад
Fisiem majizi wakubwa wanalindana sana.
@sadikingonyani8124
@sadikingonyani8124 2 месяца назад
Kwa nini huo ulalamishi hukuufanyia ndani ya BUNGE? Kwa namna hiyo tunapimaje ukweli wako na uwongo wa BUNGE?
@zakariamalembela3974
@zakariamalembela3974 2 месяца назад
Amesema atapeleka kesi Mahakamani.
@francoraphael2076
@francoraphael2076 2 месяца назад
Mpaka hapo hatuna spika
@esterjames2016
@esterjames2016 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤
@PaulKabungo
@PaulKabungo 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@ramadhan122
@ramadhan122 2 месяца назад
Ndugu mpina unataka kusema kua bunge zima lime kuonea wewe peke yako tu. Kwa nini usi nyamaze tu. Hebu fikiri utakapo rudi bungeni utatizamika vipi na majority ya wabunge wenzako.?
@zakariamalembela3974
@zakariamalembela3974 2 месяца назад
Kumbe wewe unaakili za kitoto? Yaani unaogopa majority ili kupindishwa sheria? 😂😂😂 Tz bado sana tuna watu wa Hovyo.
@user-rm8fd3wh3w
@user-rm8fd3wh3w Месяц назад
Think BIG Mpina is a representative of of people not parliament.jifunze KUSIMAMIA ukweli hata kama utabaki peke Yako.
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 2 месяца назад
Mpina msanii amepewa fungu na viwanda vya sukari sukari kila ikifika ramadhani inapanda watu walitaka sukari sasa kama walipewa wauza simu badia kachori sisi tulitaka sukari iwepo ya kutosha🎉nyingi hayo malumbano pambaneni wenyewe ila kwa maoni yangu bashe baada ya kuchukua maamuzi sukari ilishuka bei nandio tulichokitaka sasa mpina kama hapendi tupate sukari na ishuke bei akijitia anatetea wananchi uongo mtupu
@mambas264
@mambas264 2 месяца назад
Bafyetu rest. Unakitete kwa ajili ya njaa zako tu, wakutoe kabisa. Tunataka young generation, nyinyi wote ni wezi speaker mpk mic.
@yudanziku6030
@yudanziku6030 2 месяца назад
Hapo sasa inashangaza kwakweli kuhusu jambo hilo
@PaulKabungo
@PaulKabungo 2 месяца назад
Hiii hatari Sana
@user-lj4hs4kg1i
@user-lj4hs4kg1i 2 месяца назад
This is very strange.Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Mungu atusaidie.Uchawa uchawa uchawa................
@ManoniIyuki
@ManoniIyuki Месяц назад
Mimi manoni nakuunga mkono
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 2 месяца назад
Mfa maji haishi kutapa
@yudanziku6030
@yudanziku6030 2 месяца назад
Mpina mungu Yuko?
@EliaHiluka
@EliaHiluka 2 месяца назад
Mpina hama hicho chama hakitaki wenye haki humo
@othmanali5362
@othmanali5362 2 месяца назад
Www jembe
@JuliusHatari
@JuliusHatari 2 месяца назад
Ni hatari sana
@esterjames2016
@esterjames2016 2 месяца назад
Mama makinda mwanao mwite mtie moyo
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 2 месяца назад
Hata hivyo hii inachekesha walionuna, yani inashangaza mijitu inayopatikana na wizi wa matrilion of sh hawaguswi, yaani wanalindana, ila mtumishi anaesema ukweli kuwatetea watu wa hali ya chini anapewa adhabu haraka kuliko upesi.. mpina wamekunoa, ukirudi umenoleka vizur. Dhahabu yetu wewe.
@deogratiustweve2611
@deogratiustweve2611 2 месяца назад
Rais ajaye
@hosea55richard53
@hosea55richard53 2 месяца назад
Nasubiri lengo aje na walaka
@beinafuu6219
@beinafuu6219 2 месяца назад
Lazima wakufungie tena
@user-lj4hs4kg1i
@user-lj4hs4kg1i 2 месяца назад
Komaa mh.Mpina.Spika Rudi darasani uanasheria wako una walakini
@edwardsenkondo6219
@edwardsenkondo6219 2 месяца назад
Nani kwambia kama huyo ni Mwanasheria?
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 2 месяца назад
Mpina CCM hawakutaki wewe ni msema ukweli njoo chadema
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 2 месяца назад
Wewe umeishiwa unataka madaraka na unataka wananchi wakuone huruma.tunakumbuka yte wakat ulivyokua wazir .je unakumbuka kuhusu samaka 😢😢😢mnafiki tu ww na ni mbinafisi
@HappyButterfly-ou6lu
@HappyButterfly-ou6lu 2 месяца назад
MUNGU yupo nawe usiogope
@ChristonNkya-dg2xd
@ChristonNkya-dg2xd 2 месяца назад
😅😅😅
@esterjames2016
@esterjames2016 2 месяца назад
Mama makinda mwanao mwite mtie moyo
Далее
BLOW TO RUTO; This is Gachagua’s THREAT
36:26
Просмотров 2,7 тыс.