Тёмный

MPOTO: 'Ukweli Mtupu Kuhusu Fumbo la 'Sizonje' 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 68 тыс.
50% 1

SIRI YA UTUNZI WA MASHAIRI YA MRISHO MPOTO HII HAPA
Msanii wa miondoko ya asili nchini, Mrisho Mpoto, amekanusha taarifa za kuwa wimbo wake wa 'Sizonje' maana yake ni kwamba Rais Magufuli, ila ametumia tu mafumbo kama kawaida yake.
Mpoto pia amefafanua kuhusiana na nyimbo zake zote kuanzia Mjomba, Adela, Chocheeni Kuni na nyingine nyingi huku wimbo wa Sizonje akisema kuwa maana yake ni 'Sizo za Nje'.
Subscribe muda huu / uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@michaelyphilipo9799
@michaelyphilipo9799 2 года назад
Hongera mpoto
@gasperkiwo8279
@gasperkiwo8279 5 лет назад
This guy has a talent,he is talented.
@makamevuai6132
@makamevuai6132 5 лет назад
HAKUNA MSANII AMBAE NAMPENDA KAMA HUYU MJOMBA MPOTO
@shabansaid3992
@shabansaid3992 2 года назад
nakukumbali sana mwalimu wangu.
@fredrickkimaro636
@fredrickkimaro636 4 года назад
Nakubali mjomba
@sidadkimbwelu5955
@sidadkimbwelu5955 6 лет назад
kweli kabisa
@bahatimatiku4294
@bahatimatiku4294 6 лет назад
Aisee uko vzr unafa kuandka vtabu na vifundshwe shulen mzee mashair yako unatumia akil kubwa
@simeonmwakabuku2672
@simeonmwakabuku2672 6 лет назад
namkubali sana mrisho mpoto, endelea kufanya vitu vyako baba
@alibomba3304
@alibomba3304 4 года назад
NINACHO PENDA NYIMBO ZAKO ZINA FANYA KUJENGA UTAMADUNI WA KI TANZANI UNAJITAHIDI SAANAUBUNI MAVAZI YA ASILI
@bothinabothina3603
@bothinabothina3603 6 лет назад
Napenda sana nyimbo zako
@josegisbert4351
@josegisbert4351 2 года назад
Kamusi ya Kiswahili
@Mwalimuchannel208
@Mwalimuchannel208 6 лет назад
sawa mzee baba kwa fasihi iliyosheheni mafumbo
@saidkaoneka2648
@saidkaoneka2648 6 лет назад
Nakukubar
@imanmwakaje9674
@imanmwakaje9674 4 года назад
Hakika unajua
@ancomagu8531
@ancomagu8531 6 лет назад
Myaka mia
@s.simponda138
@s.simponda138 6 лет назад
nyimbo zako napenda kusilikilza saana ila sielewi kabsa
@kalengemochi1306
@kalengemochi1306 2 года назад
Kkkkkkk
@alibora7870
@alibora7870 6 лет назад
big up mjomba
@makamekibao2301
@makamekibao2301 6 лет назад
Nakuja na mimi
@fatumamrishompoto7604
@fatumamrishompoto7604 6 лет назад
uncle upo vzur
@evasengo1906
@evasengo1906 5 лет назад
hongera sana mpoto
@emmanuelynkana5882
@emmanuelynkana5882 5 лет назад
Mjomba hiii nomb yangu 0743187154 nipo tayr!!!!!
@salumchina3258
@salumchina3258 4 года назад
Namkubali sana mjomba
@salumchina3258
@salumchina3258 4 года назад
Safi sana
@frankchamba8894
@frankchamba8894 5 лет назад
vizuri san
@bensonesipila4688
@bensonesipila4688 6 лет назад
CHOCHEENI KUNI INA SAUTI YA CHINI SANA
@kenkilifitv2606
@kenkilifitv2606 6 лет назад
mpoto naomba kututane tuongee kilimo
@fatumamrishompoto7604
@fatumamrishompoto7604 6 лет назад
imekaa poa
@lodriquephilipo8336
@lodriquephilipo8336 6 лет назад
namm nichukue nije kulima
@charlemagige2819
@charlemagige2819 6 лет назад
Mjomba sorry lakin hiv ukitakula unatakiwa kunawa au uli kwanza ndo unawe
@6paprildate11
@6paprildate11 6 лет назад
Nipigie mjomba nipo tayar kushiriki safari na wewe mpaka nwisho no 0765551616 0783124123
Далее
MWALIMU NYERERE ARTS FESTIVAL 2019 | MRISHO MPOTO
12:24