Hawajamaa wamekuja na mfumo wakipekee na nimetokea kuupenda. Waigizaji wachache lakini kazi ya kimataifa. Kusema ukweli wanajuwa kutengeneza contet, niwabunifu sana ktk kuandaa stori
Mzee likoma diboz kp zebuuu mbinguni mtapasikilizia kwenye taarifa ya habari tu, Shemj yangu kacheka mpaka kadondoka kwenye kit na machozi ju😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, hongeran sn nyie ni zaidi ya ubunifu
Jamani nyie .. hapo kwa shei shei kuwa mkenya nimependa....woow....eti mtoto wa kikenyaa,utembelee kanairo.. mombasa kisumu😂😂😂😂😂😂😂😂😂patamu hapo......tunawapenda mno wallae