Тёмный

MRADI WA UJENZI KONGANI YA VIWANDA SINO TAN, TRILIONI 15 KUKUSANYWA, UWEKEZAJI MKUBWA WAFANYIKA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@khadijaabdalla1011
@khadijaabdalla1011 10 месяцев назад
Industrial park ndio imefanya china ikaendelea sana. Ni mwanzo mzuri kwa nchi yetu. We need one in each zone so that we can realize our vision
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Год назад
Huu ndiyo uwekezaji hasa unaotakiwa na Watanzania
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 Год назад
Faida nazoziona za moja kwa moja kwa mtz ni ajira
@rehemaothuman3764
@rehemaothuman3764 Месяц назад
Tukanunue viwanja uko mapema kabra avijapanda bei
@officialbravetz2539
@officialbravetz2539 Год назад
2028 dah 😪 Mbona Mbali sana Aisee 🙄
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 Год назад
Kwa hiyo watu vyuo vikuu hawarusiwi kuja kujifunza
@haroldmabwe1436
@haroldmabwe1436 Год назад
Kuzitamka trillion 15 okay... issues zinaleta matokeo gani Kwa raia wake? Governance is about results not performance alone ..watu wanataka kuona matokeo ...unaweza kujinadi kukusanya matrillion ya kodi kama hazileti matokeo hizo zinabaki kuwa nyimbo tu...kumbuka tulivyoahidiwa gesi ya mtwara na faida lukuki zilizonadiwa...kikowapi? Tunahitaji utayari na udhubutu wa viongozi wetu katika kusimamia utelekelezaji wa haya yote.
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Год назад
Hoja yako nimeikubali umeona mbali Sana.
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Год назад
Matokeo gani wakati wanaenda kutoa Ajira za kudumu 100,000 na vibarua 500,000. Pia Viwanda vitakuwa 200 in maana Serikali itaingiza Faida ya Tirioni 14. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 Год назад
Kwamba wew unataka faida gani kubwa zaidi ya ajira hzo laki 1 kwa watanzania?, hayo mengine ya faida kwa serikali utayaona kupitia huduma za jamii ila faida ya moja kwa moja ni ajira na kipato
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 Год назад
Hahahaha angalia ustekwe aise
@vicentchuwa2687
@vicentchuwa2687 Год назад
Uganda tayari washatangulia
@officialbravetz2539
@officialbravetz2539 Год назад
Acha uongo
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Год назад
China na Urusi ndiyo Marafiki wa Afrika. Uchumi wa Viwanda unakuwa kwa kasi kupitia Uwekezaji kama huu katika Sekta Binafsi na Bandari kupitia DP World Iendelee ili tufikie Malengo ya Tanzania ya Viwanda. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Год назад
Kwenye uwekezaji katika Nchi mbalimbali Duniani China inanafasi kubwa Sana na imewekeza kweli lakini unapoijumuisha Russia katika uwekezaji Nchini Tanzania na sehemu nyingine Duniani huo ni upotoshaji au ni siasa tu,Hakuna miradi ya uwekezaji ya Russia katika Tanzania na Africa kwa ujumla. China ndiye mwenyewe kwenye uwekezaji na ujenzi wa miundombinu ya Kisasa katika Africa basi.
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Год назад
@@modestwenceslaus9 China na Urusi ndiyo waanzilishi wa BRICS na sisi tuko njiani kujiunga na BRICS. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Год назад
​@@Hillary_Daudi_MremaChina anamalengo ya mbali Sana katika uwekezaji Dunia nzima na ndiyo maana yeye anafungamana na Mataifa yote katika Biashara hivyo hajajifungia katika BRICS kwasababu Uchumi wake ni mkubwa Sana hivyo pande zote za Dunia yupo tu.
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 Год назад
Sioni haja yamanenokibao wakati hata iliopo bdo haisimamiwi huyu mama wa kambo hatufai reli mpaka Leo tunauliza na hatujibiwi Moro dar anakua kama hayawani mastory
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 Год назад
Hahahaha watalisha nchi ngapi huo niuongo haijaenda aise hio imebuma
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 Год назад
Ni wapi hapa ??
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Год назад
Ni Kwala kibaha mkoani Pwani.
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 Год назад
Asanteee .
@FranceChihongo-qu5nn
@FranceChihongo-qu5nn Год назад
Mkoa Gani huu kumewekwa hivi viwanda...?
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Год назад
nahisi pwani huko
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 Год назад
Hapo ni pwani boss, n pia kuna mtanzania nae ana konganni yake utakuwa na viwanda 208, n pia kuna kampuni kama 3 zimesha pewa maeneo na wao wanajenga kongani kama hyo
Далее
Starman🫡
00:18
Просмотров 14 млн
A Casual Stroll Through Morogoro Tanzania !
12:35
Просмотров 10 тыс.