Тёмный

UJENZI TRENI YA UMEME DSM TEGETA-MWENGE KUANZA, MATAJIRI GSM, MO DEWJI, BAKHRESA WAITAKA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 82 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 180   
@NINAZOHABARINJEMA-cd5ke
@NINAZOHABARINJEMA-cd5ke 8 дней назад
Hongereni kwa kazi nzur sana nishauri jambo Fanyeni mpango kuwa na mobile App kwaajili ya wakata tiketi ili kurahisisha utaratibu wa kupata tiketi Asante.
@mussamapesa8863
@mussamapesa8863 15 дней назад
Hii umekaa vzr sisi tunahitaji huduma sio nani anaindesha wapewe tu safi sana
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 15 дней назад
Walipewa viwanda vya sukari sasa mnalia. Yetu macho.
@salimnjowoka4357
@salimnjowoka4357 15 дней назад
​@@mwalimumstaafu8529huyu. Atakua mkenya,mwalimu nenda ka andamane,hukutz hupa wezii
@IkoUwasi-it6qy
@IkoUwasi-it6qy 12 дней назад
Basi wakupe wewe ​@@mwalimumstaafu8529
@abdallahshariff6555
@abdallahshariff6555 5 дней назад
Nakubaliana na wewe,Serekali yake Kodi,sio biashara,wanao ajiruwa na Serekali watakuwa walaji,Kwa mtu binafsi huwezu kuchezea kazi
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 15 дней назад
Very clear explanations
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 15 дней назад
hii nimeipenda ntanunua kichwa cha treni, very good aproach
@faridaltamimi7454
@faridaltamimi7454 15 дней назад
Labda cha ubo
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 15 дней назад
😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@PeninsulaHouses
@PeninsulaHouses 13 дней назад
Unavichwa viwili tu na vinakuendeshaa vibay Aya na ikiwa na icho kengine sasa😂
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 13 дней назад
@@PeninsulaHouses kichwa mchongoko hahaha
@BlackPanther-xx8dn
@BlackPanther-xx8dn 14 дней назад
jamaa anacho ongea Ilikuwa ni vision ya mzee mwinyi ila alipo ingia mkapa Alivuruga sana hii logistic Ya treni akaruhusu malori Ila kama wanairudisha Tena Ni wazo zuri.
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 9 дней назад
@@BlackPanther-xx8dn wapeni mtaona kama shirika la reli litaendelea kuwepo. Suala hili zuri lakini zitungwe sheria za kulinda masilahi ya taifa. Kumbukeni sisi kama wananchi ni wabia, tumewekeza kodi zetu. Ni lazima wabunge wakae na kutafakari kwa kina kabla ya maamuzi hayo. Mungu ibariki Tanganyika.
@magorymara5515
@magorymara5515 6 дней назад
​@@mwalimumstaafu8529watanganyika walirudi ujeruman sijui mwenzetu ni mmoja wao
@DM_15
@DM_15 15 дней назад
Safi sana wapewe binafsi waendeshe shughuli zao wenyewe sisi tupige mishe town
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 15 дней назад
big up utaifa ni kitu muhimu kliko uchawa
@SamwelMahene
@SamwelMahene 9 дней назад
Mzee upo clear sana. Safi
@utopolo543
@utopolo543 15 дней назад
Kumbe unaweza panda EMU train kwa 50k tsh kwenda Dodoma. Hio ni reasonable... Kuna 31k kuna 50k kuna 70k kuna laki sasa sijui watu wanalalamika nini.
@kazikazini1042
@kazikazini1042 15 дней назад
Unaona ni hela za madafu eti
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 15 дней назад
Basi tunapanda shabiby 50000
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 15 дней назад
Ilmradi tu waongee
@salimnjowoka4357
@salimnjowoka4357 15 дней назад
Acha tuone,kuongea si utendaji,hiindoTz bwana
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 15 дней назад
Duniani kote usafiri wa treni ni bei nafuu na lengo ni kuwasaidia wananchi kwa kuwa imejengwa kwa kodi za wananchi hivyo naul inapaswa kuwa chini,,,Toa kamasi kichwani humo uweke akili.
@aloycesamba998
@aloycesamba998 15 дней назад
Wazo zuri sana hongereni
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 15 дней назад
Mo dewji msimpe ni mshenzi sana
@carmp3
@carmp3 15 дней назад
Hahaha kafanya nn
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 15 дней назад
Ushenzi wa Mo Dewji ni upii?? Eleza acha chuki Binafsi. Wakupe wewe kwa Weledi na uwezo upi ulionao??
@samwelsimon7392
@samwelsimon7392 15 дней назад
wampe mama yako
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 дней назад
NANI ATAKUSIKILIZA FALA WEWE
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 15 дней назад
Hongera kwa kazi na maelezo kuntu
@Assu89Ma2ly-xt4np
@Assu89Ma2ly-xt4np 15 дней назад
Mbona kila kitu kinaanza ilala au kinondon hii mi naona ingeanzia steshen hadi mbagala hadi kisemvule maana ndo sehemu inaongoza kwa watu wengi na changamoto ya usafiri kuliko sehemu zote kati ya dar na pwani
@labanhezekiel5627
@labanhezekiel5627 12 дней назад
Shidah ya huko hamkawii kuiba nyaya za kpoa, screpa, kuna tren hapo😂 ndo maana mjifunze Kwanza Kwa wenzenu
@Assu89Ma2ly-xt4np
@Assu89Ma2ly-xt4np 8 дней назад
Mradi kama huo unakuwa na ulinzi na elimu hutolewa,mkurugenzi hapo kazungumza fiber wire na cable zinakatwa na kuibiwa wakat sgr kwa sasa ipo huko kwa wastaarabu na haijafika bado kwa wenye tabia hizo? Wezi wapo dunian kote kaka!
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 15 дней назад
Sawa kabisa na nijambo ZURI
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 15 дней назад
usikoma kwenye classifided document ya marekani... mojaya changamoto ya tanzania ni issue ya usafirishaji kwenye nchi za wenzetu wanaotuzunguka
@raymondjude6088
@raymondjude6088 15 дней назад
True
@nathanielmboje1479
@nathanielmboje1479 8 дней назад
Tunaweza kuwekeza nchi jirani kuziunga na TZ kama Rwanda, Butundi , Uganda, DRC, Zambia, Malawi, Zim na Angols
@nathanielmboje1479
@nathanielmboje1479 8 дней назад
I mean Burundi na Angola pia
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn 15 дней назад
mngetengeneza pia ya umeme kutoka dar kwenda mbeya ya abiria shirika hilohilo la reli ya kati alafu Tazara ibaki iwe ya kubebea mizigo tu,,
@reveliusmuchruza7952
@reveliusmuchruza7952 7 дней назад
Yani mambo yako sawa kaka hata sgr ipo ya umeme ya mizigo inatembea kama mwewe mizigo inafika on time sio siku tatu kama ilivyo ya zamani
@polloz77
@polloz77 10 дней назад
Muhimu TRC kuwa na askari police wake wenyewe ambao wamehajiriwa na TRC ni police kama police wetu na watakuwa na hadhi kama police wa kawaida kuweza kukamata mtu yeyote hatskaye fanya kosa na kuwakilisha mahakamani Pia kuwa na plain police ushauti naona kutatoa mZigo mkubwa wa mapolice wetu ambao wanafanya kazi kubwa kulinda wananchi na mali zao
@user-yj7uf3zq7b
@user-yj7uf3zq7b 15 дней назад
Kwa nini isifike Bagamoyo wajitahidi ifike huko saadani
@omarseif1920
@omarseif1920 14 дней назад
Nimekufahamu kiongozi
@safariweekends
@safariweekends 15 дней назад
Dar - Sadaani - Dar - Mikumi - Ruaha - Selous - Dar
@user-ui1qs9yl1n
@user-ui1qs9yl1n 9 дней назад
hii ni vizuri sana private hakuna wizi
@ahz6907
@ahz6907 6 дней назад
Usijidanganye😂
@DadysBoy.
@DadysBoy. 10 дней назад
nguvu ingewekwa kivukoni to kigamboni ingependeza zaid mana watu wanateseka sana pale feri.
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 13 дней назад
Kwa nini hamuwezi kufika Tanga na Kilimanjaro kwa train?
@abuubilal2646
@abuubilal2646 11 дней назад
Wachaga mutaihujumu kwa ajili ya mabasi yenu😂
@eugenemtaza201
@eugenemtaza201 13 дней назад
Pitisheni izo sheria na mziweke sehemu husika ili mtu ajue kwamba aki fanya kinyume kwamba ana enda jela .
@barikieliselemani5624
@barikieliselemani5624 10 дней назад
SGR haijaja ku replace model nyingine za transport.Hichi ni kichwa hakika
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 15 дней назад
Je tiketi zitakuwa za campuni yao au ya TCR kama huku Ulaya campuni binafsi tiketi zinakuwa za Serikali kama TCR hukuti tiketi za campuni binafsi sehemu ya kukata ni moja
@NM-yl2uw
@NM-yl2uw 15 дней назад
sio ulaya yote, italy kuna tren ya binafsi inaitwa Italo na wana ticket zao na operation zao haziingiliani na tren za serikali
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 13 дней назад
Nchi sio zote toronto marekani sio kama usemavyp nchi ipi hap sasa iran au wapi
@super815
@super815 15 дней назад
Kadogosa kajitahidi sana hajaleta tamaa mpaka mradi umekamilika
@reveliusmuchruza7952
@reveliusmuchruza7952 7 дней назад
Ogopa nkoi kukamata fulsa lazima muimbe
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 14 дней назад
Imekaa vizuri sana
@deogratiusprosper4796
@deogratiusprosper4796 15 дней назад
Hyo ya majaribio yenyewe bdo hata hamjamaliza na kujua changamoto zake mwakimbilia tegeta-mwenge
@huyu1993
@huyu1993 13 дней назад
Mbona hamna jema kila kitu kinachofanyika mnakosoa? Au upinzani unapungua nguvu?
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 13 дней назад
Akili minyoo inatokeana mnyoonumejinyonga viipi kwenye ibongo unacomment
@deokibona2835
@deokibona2835 14 дней назад
Uswahili umetuzidi sana sie. Watu wanahujumu miundombinu ya reli, wewe unasema tutaendelea kumassage kidogo!!! Chukulieni hao wahalifu hatua kali iwe fundisho kwa wengine.
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 15 дней назад
Idea- Innovation - Action is a way to success .. GO TANZANIA GO.
@samuelemmanuel3400
@samuelemmanuel3400 14 дней назад
The guy is smart and muandishi anahoji dumb Questions
@hamudzakuwani4149
@hamudzakuwani4149 15 дней назад
safii I bei powaa kabisaa
@fredymapunda1768
@fredymapunda1768 15 дней назад
Mkurudenzi tena
@niolaussdavid
@niolaussdavid 7 дней назад
@masanjakadogosa kuhusu sgr mamaeja wa vituo walivyokabidhiwa ndivyo vinatakiwa viwe hvyo muda wote
@hashimpalekar1565
@hashimpalekar1565 6 дней назад
Very constructive ideas
@AziziMsuya
@AziziMsuya 12 дней назад
Hii imekaa poa sana. Wenye uwezo wapewe tu
@isacklaizer6776
@isacklaizer6776 15 дней назад
Wapi Askofu Gwajima? Hajajitokeza?
@idrissamohamed1100
@idrissamohamed1100 12 дней назад
Ifike hadi Bagamoyo
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 13 дней назад
Hata toronto the same railways nyingi zina open access
@user-ui1qs9yl1n
@user-ui1qs9yl1n 9 дней назад
kadogoso mkurugenzi ameongea kiswahili na kama wewe mswahili kama mimi nafikili mmemwelewa
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 14 дней назад
Happy nimekuelewa
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 День назад
Hiyo tegeta posta mpaka airport itapita wapi jaman mwendokasi umemaliza Barabara au ndo tutabomoa nyumba na magorofa ya mjini
@usamaahmed2624
@usamaahmed2624 4 дня назад
Umeme bado uko monopolized aichieni private sector pia kama Kuna wa tanzania wawekeze.. Na pia tuachane na fikra za kutumia mafuta tena.. Dunia imeshahama tuwe na fikra za kutumia green energy ⚡ pls pls mheshimiwa pls
@emmanuelakutulaga9756
@emmanuelakutulaga9756 15 дней назад
Kati ya hao uliowataja MATAJIRI ni wawili TU; MO na Bharesa,...HUYU GSM Bado ni mjasiriamali TU.
@salimnjowoka4357
@salimnjowoka4357 15 дней назад
😂😂😂 yanga ume wa acha hapa. ungeza. sauti
@aminata3702
@aminata3702 15 дней назад
Lakini ndo humpati sasa
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri 13 дней назад
Mo Mali za nyumbani
@paulokateme7615
@paulokateme7615 11 дней назад
Milembe bado nafasi zipo.
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 11 дней назад
Hahaha. Mo ameshindwa kuendesha viwanda vya chai na wakulima wanalia na soko. Mwekezaji makini ni Bakhresa.
@hakarim786
@hakarim786 3 дня назад
When is TRC planning goods movement?
@user-oz6oo3qw9u
@user-oz6oo3qw9u 9 дней назад
Hifadhi ya reli ya kutokea Pugu Hadi Tanganyika Packers kiwandani Kawe ilikuwa kwa ajili ya mifugo ulikuwa mpa ngo wa serikali ya Mwalimu JEE mna mpango Gani mbadala kwa ajili ya maendeleo ya usafirishaji abiria katika Jiji?
@mussamussa8181
@mussamussa8181 3 дня назад
Mngewaambia sasa kua mnaweka fensi mliwaoji af amkuwaweka waz
@JimmyWilliam-mf4of
@JimmyWilliam-mf4of 15 дней назад
Ushauri wangu hii tren nimepanda kuna seheem wasimamiz wa hii tren wamekosea wameweka pis mbovu kwel piss kari zote ziko kwenye ndege tunaomba tuletewe piss kar kwenye tren hii ya mwendo kasi😮😮
@davidanselmo4041
@davidanselmo4041 14 дней назад
Acha umalaya wewe dada zako pisi kali😅
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 13 дней назад
Acha akili za ngono ww unaenda kupanda upate usafiri wa haraka au unaenda kuangalia wanawake??
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 13 дней назад
Unawaza ngono tu
@johanesmvula4390
@johanesmvula4390 12 дней назад
Ukimwi unakunyemelea
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 дней назад
UNAWAZA KUMA TU FALA WEWE
@erickpeter7190
@erickpeter7190 13 дней назад
Maan halis ya mkurugez mkuu.umeeleza vizur san
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 15 дней назад
Mother safi Sana, utadhani tuko ulaya
@salimnjowoka4357
@salimnjowoka4357 15 дней назад
maongezi si UTENDANDAJI nipo keko nawa angalia,
@mimiraia2531
@mimiraia2531 15 дней назад
Kazi za Magufuli, siyo ROYAL TOUR HII
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 дней назад
​@@mimiraia2531BASI NGOJA AFUFUKE AJE AJENGE 😂😂😂
@mattyhappy1581
@mattyhappy1581 8 дней назад
Tumeshindwa kuiendesha
@abrahamagapith4664
@abrahamagapith4664 День назад
Magufuli alilionglelea ili nakumbuka ilikuwa ni vikindu mjini Bagamoyo mjini na Kibaha mjini
@innocentrichard2945
@innocentrichard2945 15 дней назад
For the first time ameongea kitu nkamwelewa uyuu mzee
@ALiBAba-zz2td
@ALiBAba-zz2td 15 дней назад
wazo zuri.
@kelvinvanremmy263
@kelvinvanremmy263 15 дней назад
Tajiri nipo 😂
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 13 дней назад
Sheria zote zinatakiwa zibadilishwe zimepitwa na wakati.
@chollozanton
@chollozanton 8 дней назад
Safi sana
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 11 дней назад
Msuwahili kweli akiliyake inamtosha mwenyewe wewe pesa ya kipanda cha muhugo huna halafu unasema fulani mjasiria mali
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 15 дней назад
Nafikiri kwenye swala la elimu liongezwe kuhusi transpass... even me nlikuwa sijui na ningekamatwa napita ningehisi naonewa
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 15 дней назад
"transpass"? Ndiyo kufanyaje? Tupe ufafanuzi, ni kosa gani kwa sheria ipi? Au ni "trespassing"?
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 14 дней назад
@@sylvestercameo6263 ni kupita juu ya reli. hiyo treni inakimbia speed sana inaweza sababisha ajali ndio maana wanakataza
@letgodlead7930
@letgodlead7930 15 дней назад
❤❤❤
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 15 дней назад
Mwenge tegeta mnajenga mwendo kasi alafu hiyo ya umeme inakuwaje
@abuubilal2646
@abuubilal2646 11 дней назад
Ili uchague mwenyewe unataka usafiri gani
@UhaiLegeza
@UhaiLegeza 12 дней назад
Text interview weka matangazo ya TRC nyuma yako
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 15 дней назад
upo smart sana nimekupenda bure
@worldtechlab
@worldtechlab 15 дней назад
Mchongoko utaanza pia?
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu 15 дней назад
Sina shaka na Bahresa na GSM ila Mo msimuamini kamwe huyo Mo ngonjera nyingi sana.
@richardbegga6679
@richardbegga6679 15 дней назад
MO ndo Mwenye pesa Nyingi kuwashinda Wote Sasa na Biashara unangalia faida Sio Sifa
@muzneali4747
@muzneali4747 15 дней назад
JAMANI IFIKE BUNJU
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 15 дней назад
Yanaongea yanakunywa maji,kumbe hamna kitu.Train yenyewe inaonekana kupitwa na wakati.Siti ya watu watatu nani.apande(Ushamba) Watching wamevqmia kila kona wameleta mabasi ya kisasa.
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 15 дней назад
Kweli unapata shidaa! Uko wapi unauguahivyo ,?moyo unawaka ! Nyoyo za kishetani ,inaonekana hata mama yako unamwonea wivu kuolewa na kazee
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 15 дней назад
Mbwa wewe kwenu Kenya mnayo kama hii mjinga wewe
@abuubilal2646
@abuubilal2646 11 дней назад
We jamaa una roho mbaya sana siajabu wewe ni mchawi au ukizeeka utakuwa mchawi😮
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 15 дней назад
Pelekeni mikoani kama kaskazin na kwingine. Tanzania sio dar tu
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 13 дней назад
Dar ndo inaongoza kwa mapato ndo maana wanaijali zaidi
@abuubilal2646
@abuubilal2646 11 дней назад
Tulieni kwanza nyie watu wa shamba mambo yanaanzia mjini huku
@shehafa
@shehafa 15 дней назад
Huyu huyu wa bilion wa 20 za simba 😅😅😅😅
@Yayouselim
@Yayouselim 15 дней назад
Mwendo kasi zimekuwa mbovu maintenance wameshindwa na hizi cjui itakuweje
@exprodigitaltechtv5571
@exprodigitaltechtv5571 15 дней назад
Mnaanzaga hiv hiv lakin baadae utasikia kapewa mtu toka nje
@huyu1993
@huyu1993 13 дней назад
Kwani vibaya kama wa ndani hawana uwezo jee tufanyeje ? Kama wapo watu wanaweza kuwekeza kwanini tusiwape acheni ubinafsi nyinyi watu
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 15 дней назад
lakini magufuli alipoanza SGR alitunwa sana alionekana mawazo yake mabovu2 ila sasa ivi Ndio watu wanajua kwamba tulipga teke fuko rapesa
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 15 дней назад
Hakuna kumtaja maghufuri hata angekosa yeye angetokea kiongozi mungine angejega tu mana sasa kila kitu yeye wengine hawana akili mbona kaviacha havijajengwa mama kamalizia vyote mboni yupo kimiya hacheni hizo
@NDEWARA
@NDEWARA 15 дней назад
Magufuli alikuta mipango yote ya kujenga SGR imekamilika na hata wakandarasi wa kujenga walishapatikana. SGR halikuwa wazo la JPM peke yake
@uwembatvonline
@uwembatvonline 15 дней назад
SGR Wazo lilianza na Kikwete, Magufuli kaanza, mama kamalizia so hua ni mchakato wa muda
@NDEWARA
@NDEWARA 15 дней назад
@@uwembatvonline umenena ukweli mtupu 👏👏
@gabapentin8070
@gabapentin8070 15 дней назад
@@selemanisalum7685acha upumbavu miradi mingi maraisi hawajafanya jamaa kaonyesha uthubutu wa mambo mengi sana bwawa la nyerere wameliimba tangu nyerere akiwa hai kaja kujenga yeye alafu unasema asitajwe mbon kama una lana sele
@NOORMOHAMED-sg9lo
@NOORMOHAMED-sg9lo 15 дней назад
Hao matajiri wamepata wapi hela? Nyinyi ni wezi mnaiba mali za jasho la mwalimu Nyerere na wannanchi waliojitahidi kuleta uhuru na ukombozi. Mtaondoka wote na matajiri wenu. Vibaraka mnaojitia kuongelea siasa za nchi na hamna lolote. Wananchi sasa tuamke na tukomboe maisha yetu mema bila matajiri kututumilia kupata kipato kwa faida zao.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 дней назад
USITULETEE HABARI ZA MAITI HAPA UTAKUFA KWA ROHO CHAFU MWANGA MKUBWA WEWE
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 15 дней назад
Hatutaki Wahindi matapeli waliua Treni yetu ya Dar Kigoma
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 15 дней назад
Dah hizi chuki za propaganda mpaka lini jamani? Ile ya Tanga na ile ya kusini aliyeua nani?! Tuwe wa kweli!!
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 13 дней назад
Hawa ni watanzania wahindi unamaanisha nini
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 дней назад
MAJITU YA KIGOMA MNA ROHO CHAFU SANA NYIE
@nemesjosephat5612
@nemesjosephat5612 14 дней назад
Yale yaleeee
@timothmatiku6115
@timothmatiku6115 15 дней назад
Mbona sioni mwekezaji mwaafrica au uwekezaji ni rangi? Aliyeweka hizo picha ana inferiority complex, japo hajijui. Sera zetu lazima ziseme kwa kutumia bajeti ya nchi tutawawezesha WAAFRIKA au watu weusi kuwa wawekezaji. Na sio kuishia kusema mwekezaji ni mtu mwenye mtaji. Wakimkosa Tanzania watamtafuta Europe.
@Sheba4651
@Sheba4651 15 дней назад
Kwani baharesa yeye si mzawa, sema hujaona mkristo tu, kwani nyie si wafanya biashara, subirini nafasi za ajira serikalini mpeane wenyewe kwa wenyewe. Waislamu wacheni wajitume kwenye hizo sekta binafsi watapata neema na baraka huko huko mnakolazimisha wawepo. Tena mkiwaona wanaingia kwenye uwekezaji mseme mbona hakuna mtu mweusi.
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 15 дней назад
Huna akili....
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 15 дней назад
​@@Sheba4651we nawe huna akili..... kichwa yako ndo imeona udini, yeye ameona rangi usilazimishe udini. Hao waisilamu weusi mbona hamna sasa
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 15 дней назад
​@@Sheba4651Majibu yako ndiyo yanadhihirisha "inferiority complex" ambayo mwenzetu kaitolea maoni. Haya mawazo ya udini ni ya kijinga, ni ushamba na upumbvu"! Hivi wanaofanya kazi maofisini wanaajiriwa kwa sifa ya Imani yao ya dini au sifa za kitaaluma na ujuzi wa kazi husika? Kwa hiyo wanaobarikiwa katika kazi zao ni wafanyabiashara waislamu tu tena wenye asili ya kiasia? Mawazo ya kipumbavu sana!
@salumalriyamy
@salumalriyamy 15 дней назад
​@@rebbywealth9869Kuna aliyokatazwa?. Sheria imetengenezwa ili kuruhusu, wewe ulijaribu ukanyimwa?, au sio mweusi?
@altentic8616
@altentic8616 15 дней назад
Mbona umewaweka Waasia kwenye cover la video hii na sio watanzania?
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 15 дней назад
Omba bid kama unauwezo
@altentic8616
@altentic8616 15 дней назад
@@elinamilyatuu7337 ... unachozungumzia wewe mjinga, Tanzania ni nchi barani Afrika na idadi ya watu wake ni wengi weusi
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 дней назад
ULITAKA IWEKWE PICHA YAKO MUUZA MKAA WEWE??? 😂😂😂😂 ACHA UBAGUZI WOTE NI WATANZANIA
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 15 дней назад
Baadhi ya wawekezaji sio wazalendo ni corrupt wanaenda kuliua shirika. Kama watakuwa treni zao hii inanipa picha wanaenda kuchukua sehemu kubwa ya mizigo na treni faida kubwa iko kwenye mizigo Management ya trc kuweni makini sana katika kusamamia kwani wananchi wamewekeza pesa nyingi wanataka matokeo .
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 15 дней назад
Angalia kwa jicho la mbali zaidi! Hawa Hawa viongozi wetu ambao wanachota mabillion serikalini ndiyo haohao wataingia ubia na matajiri waliyotajwa kuendesha biashara ya usafirishaji kupitia SGR, halafu sisi wananchi tuambulie kubebeshwa mzigo wa kulipa madeni ya ujenzi wa mradi huu. Kama serikali imekopa kujenga reli inashindwa nini kuliwezesha TRC kuendesha mradi ukafanya kazi "to the maximum capacity"? Mfano, Bakhressa ndiye msafirishaji mkubwa wa mizigo na ndiye angekuwa mteja mkubwa wa TRC Sasa unapompa njia na kumshundanisha na TRC, TRC tayâri kafubgwa miguu!
@eddyrich.3312
@eddyrich.3312 15 дней назад
Ninahofia pia hao matajiri wataanza kwenda kuingia ubia na waleta mizigo huku kwetu ili ikifika iende moja kwa moja kwao kwa hiyo TRC watakosa na watabaki kuangalia tu mizigo ikija na kupitiliza kwa hao wasafirishaji binafsi
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 15 дней назад
@@eddyrich.3312 Huo ni mnyororo mrefu ukifunganishwa na DP WORLD bandarini!
@Kabwela776
@Kabwela776 15 дней назад
Kuna tatizo kubwa sana kufikiria , kukosa uzalendo Na corrupt minds yaani akili zilizokuwa zimejaa rushwa, kwa Nini muwape njia za reli au wahindi Na magachori na muanze kugombea wateja mwisho wa siku hao wahindi waarabu Na magabachori watachukua wateja wote wa mizigo Na TRC ishindwe kujiendesha kwa kukosa wateja wa mizigo tena kwa mambo ya ovyo ovyo ya Tanzania hata wafanyakazi wasio wazalendo wa TRC wanaweza kuwa wanalipwa pesa Na hao magabacholi na kuwapeleka kwenye treni za magabacholi! Huu ni upuuzi Na upumbavu kabisa kufanya huu uamuzi hivi huko serikalini wanaofanya maamuzi ni vichwa maji au wana masilahi yao sidhani kama Rais yeyote makini angekubali huu upumbavu mrefu !
@pauloillakwahhi1802
@pauloillakwahhi1802 13 дней назад
Yaani mo bil 20 zimemshinda treni ataweza
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 дней назад
BILIONI 20 ZA BABAKO AU
@paulokateme7615
@paulokateme7615 12 дней назад
Huyo Mohd kashindwa kuendesha viwanda vya chai na kavifunga huoni aibu kumtaja? Na unaongea kitaalamu hapo siasa haijaja utatoboa na hilo ?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 дней назад
USITULETEE MAMBO YA MAJANI YA CHAI HAPA WACHA UJINGA
@Kabwela776
@Kabwela776 15 дней назад
Kwa hiyo ni mantiki gani kuwaachia hao wahindi na magabacholi kuleta treni zao za mizigo hamuani mtaanza kugombea wateja Na nyie mtakosa wateja, Tanzania 🇹🇿 inakufa kwa watu serikalini kukosa uzalendo na wako corrupt !
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 дней назад
WEKEZA NA WEWE KAMA UNA HELA HUJAKATAZWA.
@Kabwela776
@Kabwela776 11 дней назад
@@salimmalaka256 uzalendo kwanza sio nchi hii ya wahindi Na magabacholi ingekuwa enzi za mzalendo Magufuli asingekubali usenge huu mna rais Samia mpumbavu Na sio mzalendo ndio maana kuna mipango kama hii ya kisenge
@sule17942
@sule17942 9 дней назад
imagine angekuwepo magufuli train hizi sasahivi zingekuwa kama daladala tanzania , umeme kama wote
@stanleymadata8767
@stanleymadata8767 15 дней назад
mtupatie pia mabeewa yalio matupu kakusimama na bei ziwe chini ya 6000 watanzania wanatumia sana na pia isisimame mda wote hiitembee umeme upo
Далее
На чем играют ПРО | Standoff 2
07:25
Просмотров 303 тыс.