Тёмный
No video :(

MREMA AIBUKA NA JIPYA, "NIMEMPELEKA IKULU MKE WANGU, HONEMOONY INAFUATA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@kondoatown8765
@kondoatown8765 2 года назад
Bibi harusi kaitumia fursa hii adhiim
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 2 года назад
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kaenda KUSALIMIA mama mkwe samia
@emmanicko1535
@emmanicko1535 2 года назад
Ninacho kiwaza mimi kwenye kushughulika itakuaja sasa 😋
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 2 года назад
SI hoja,nadhani zaidi anachohitaji atunzwe tu! Kuna usaidizi wa karibu ukiwa kama mtu Mzee,afu mgonjwa
@ynyynyyny
@ynyynyyny 2 года назад
Viongozi wa Tz, njaa na tamaa,kwann mrema usipunzike jamani?
@Kanyawela
@Kanyawela 2 года назад
Uyu anawazimu kusema eti ni mwenyekiti wa Trp muongo
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 2 года назад
Mpaka sasa watu hawajui huyo dada ni wa kitengo
@snkhannassoro2404
@snkhannassoro2404 2 года назад
Honemoon hivi soooooon? Unazingua mzee
@jacobsifukwe7291
@jacobsifukwe7291 2 года назад
We nae 😂😂😂😂🤣🤣
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 2 года назад
Pumzika baba ya haneymoon yaachie vijana ,unajichosha bure
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 года назад
hahahaa mwenyewe anataka kuenjoy
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 года назад
Mzee atachoka sana jaman ueee
@ellyswai1801
@ellyswai1801 2 года назад
Umayataka jaman acha achoke tuu 🙈
@jamesshao538
@jamesshao538 2 года назад
@@ellyswai1801 wifu tu umekujaa
@haroldtarimo3115
@haroldtarimo3115 2 года назад
Mzee bado anasema ni mwenyekiti was TLP taifa hivi hiki bado ni chama Cha siasa je huyo Mzee alivyochoka kwanini asipumnzike awaachie vijana wenye nguvu na mawazo mapya au ni kiki tu kualikwa kwenye shughuli za CCM
@marrymarco4455
@marrymarco4455 2 года назад
Aya bwana
@josephlorri431
@josephlorri431 2 года назад
Pumzika mzee Mrema, wife anakutumia kuji_brand.
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 2 года назад
Noo
@jamesshao538
@jamesshao538 2 года назад
Kunatatizo gani akiji brand
@josephlorri431
@josephlorri431 2 года назад
@@jamesshao538 mzee anachoka. Huyo baba sio kijana mwenzake..kumbuka Mengi na k_lyn...ilikuwa ni mizunguko tu..
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 2 года назад
Yaaani tena akilala ndo shida sana,bora atoke tuuu,kwani kinawauma nini????
@djtiffa9664
@djtiffa9664 2 года назад
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA *#.. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-ZgfBwGAJlrQ.html
@djtiffa9664
@djtiffa9664 2 года назад
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA *#.. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-ZgfBwGAJlrQ.html
Далее
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11