Тёмный

HUYU MTOTO ANATAKIWA ATOLEWE INI LIMEVIMBA, TUMBO LIMEJAA MAJI “ATAFARIKI, MAUMIVU MAKALI” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 88   
@abuu-hx3ru
@abuu-hx3ru 2 месяца назад
Watanzania tuko zaidi ya million 60 tunawaomba tujitokeze angalau watanzania million 1 wenye nia thabiti ya kumsaidi mtoto huyu Ili apone wakiwa watu million 1 wakichangia shilling 500 tu itakuwa 1,000,000x500=500,000,000Tsh Hela hii kama ikipatikan itaweza kumsaidi matibabu ya upasuaji pia mahitaji mengine ya kimalezi Kwa mtoto ndo ivyo baba mtu kamuachia masala pekeyake dada yetu tunapaswa roho ya huruma ituingie tumsaidie huyu mtoto Leo kwake kesho kwako huwez kujua yamungu ni mengi🙌🙏🙏🙏
@esthermliga4875
@esthermliga4875 2 месяца назад
Yesu wangu hujawahi kushindwa, mponye huyu mtoto, Damu Yako imtetee
@yunisigodson5083
@yunisigodson5083 2 месяца назад
Watanzania tupo wengi tukitoa ata 1000 tutakuwa tumeokoa maisha Mungu wa mbinguni simama katika hili
@hamisikiango4623
@hamisikiango4623 2 месяца назад
Jamani samahani naomba kuhuliza uyu mtoto alishaenda kifanyiwa matibabu
@yunisigodson5083
@yunisigodson5083 2 месяца назад
@@hamisikiango4623 naona bado
@PATIENCENDUNGURU-ik9oi
@PATIENCENDUNGURU-ik9oi 2 месяца назад
Pole sana mama munguu akupe uvumilivu na nguvuu watanzania naamini tunaupendo tuko pamoja nawe
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 месяца назад
Milioni 100 Subhannallah 😮 Mama acha kulipia magoli Milioni 100 nyingi watanzania watashindwa tusaidie Mama 😢😢😢
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 2 месяца назад
Ni nyingi saan lkn tukiamua tunaweza...ivi huduma kwa mtoto chini ya miaka 5 inakuwaje sielewagi
@ramsmfunga7817
@ramsmfunga7817 2 месяца назад
Bx selikari waache kununua magori wamsaidie mtt jaman
@OfficialElishamaMulokozi
@OfficialElishamaMulokozi 2 месяца назад
Habari kazi.Maumivu makali
@mtabevilaini6527
@mtabevilaini6527 2 месяца назад
Jamn hii dunia ,, Mungu akuponye mtoto Amal😢
@DIANAMAGESA-p3j
@DIANAMAGESA-p3j Месяц назад
Mungu amsaidie huyo mtto
@SuzanaMonary-fn6fm
@SuzanaMonary-fn6fm 2 месяца назад
Jamani pole sana dada nakuombea MUNGU akufanyie wepesi katika hili MUNGU hajawahi kushindwa chochote tuko pamoja
@benjo_brighter
@benjo_brighter 2 месяца назад
Mwenyezi Mungu akutangulie.
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 2 месяца назад
SubhanAllah Pole sana dada
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 месяца назад
Daaaaaaa jamn zangu dua amal aludi kwenye afya njema baby girl pole sna mama
@BarakaKamara
@BarakaKamara 2 месяца назад
Kabla hujaenda huko mjaribu Mungu kwanza uone matendo yake makuu,acheni kukimbilia India.
@IddiHajji
@IddiHajji 2 месяца назад
Pole sana Allah alete heri
@DoreenOmmy-gw3op
@DoreenOmmy-gw3op 2 месяца назад
Sasa simumsaidie malipo yafanyike taratubu au mpk nje ya nchi 😭😭😭😭😭
@jenivajacob7460
@jenivajacob7460 2 месяца назад
Mungu amfanyie wepesi apate kupona kabla ya upasuaji bad mdogo jamn, Yesu amponye malaika huyu
@blandinamanongi8818
@blandinamanongi8818 2 месяца назад
angetibiwa kwanza maisha ya mtoto ni ya muhimu
@baysuraoman7910
@baysuraoman7910 2 месяца назад
Mungu hatakufanyia wepesi mwanangu
@BarakaKamara
@BarakaKamara 2 месяца назад
Nakushauri nenda Kwa watumishi wa Mungu Hilo ni tatizo dogo Kwa Mungu. Maana yeye ndiye aliye muumba.
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 месяца назад
muone huyu naye..mxiew
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 2 месяца назад
Wee nawe sasa mungu ndio aliomuumba si atamuomba mwenyewe kwani mungu si wetu sote
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 2 месяца назад
Hao watumishi wenyewe wanakumbilia hospital we hangaika tu😏kama huna mchango tafuta kitanda ulale
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 2 месяца назад
Bhana na wewe hebu changia acha maneno watumishi wenywe mda mwengne wanataka kuombewa
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 месяца назад
Mfyuuu
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 2 месяца назад
Allah amjalie
@DoreenOmmy-gw3op
@DoreenOmmy-gw3op 2 месяца назад
Daaah poleni Sana
@CollinsMacha
@CollinsMacha 2 месяца назад
Mungu msaudie mtoto huyu
@mussatete2618
@mussatete2618 2 месяца назад
Jaribu kumtafuta mtandaoni Mtumishi wa Mungu (Nyisake Chaula) God is in control....
@ashuramahali3410
@ashuramahali3410 2 месяца назад
😢😢 MUNGU wangu😭
@chandemacheleking
@chandemacheleking 2 месяца назад
Mungu tuhifadhi
@aliceudoba3672
@aliceudoba3672 2 месяца назад
Wanasema kuanzia mimba hadi mtoto miaka mitano bure tz waongo sana
@JozeFeeen
@JozeFeeen 2 месяца назад
😢😢😢 pole dada Mungu mwema
@mwanakhamisimwinyimatano1185
@mwanakhamisimwinyimatano1185 2 месяца назад
Allah ampe shifaa yarabi
@BazarakiMalongo
@BazarakiMalongo 2 месяца назад
Mungu awe nawe mpaka ipatikane
@iftikharAlly
@iftikharAlly 2 месяца назад
Subhannallah
@zainabumshana9682
@zainabumshana9682 2 месяца назад
Mungu msaidie mtoto huyu
@TheodoraChaki
@TheodoraChaki 2 месяца назад
Pole sana mungu atamponya
@KabujeFulaha
@KabujeFulaha 2 месяца назад
Mungu amponye.nitumie namba ya kuchangia
@ImaniKijungu
@ImaniKijungu 2 месяца назад
Mungu afanye wepes ipatikan pesa ya matibabu
@DoreenOmmy-gw3op
@DoreenOmmy-gw3op 2 месяца назад
Daah tutakufa kwastahili hii milioni mia sasa unataka wapi 😭
@Shabalala99275
@Shabalala99275 2 месяца назад
Wallah sio pesa nyingi hizo usajili wa mchezaj moja2 ni milion300na ki2 Nina Iman kwa mwenye pesa na mwenye Iman bas nijambo la muda mfupi2
@KashindiRamadhani-w3o
@KashindiRamadhani-w3o 2 месяца назад
Pole sana
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 2 месяца назад
Polen kabla ajaenda uko mwambie aje kanisan Kwa nabii Rolinga mbez africana amuombee na YESU atamponya panda gari za mbez tegeta shuka kituo africana panda boda elfu 10 wambie unaenda Kwa Nabii Rolinga au kanisa la Omega ubarikiwe njoo ijumaa hi sa 2 mkesha wa mwisho wa mweZ au njoo jpl sa 3 asubui nawapenda
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 2 месяца назад
Boda elfu 10?
@MichaelJoashi
@MichaelJoashi 2 месяца назад
Dada pole sana ila nikushauri kitu yesu anaponya mpeleke kwenye maombi nina hakika uponyaji upo soma kitabu cha yeremia 32:27
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 2 месяца назад
Toka zako na wewe
@merumount5988
@merumount5988 2 месяца назад
​@@salmamlokela1987atoke aende wapi? amekosea nini kumshauri mama wa mtoto apeleke mtoto kwenye maombi.. Mpeleke mtoto kwenye maombi mama..zingatia!
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 месяца назад
​@@merumount5988magonjwa ya hospital akitoka huko ndio aende maombezi
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 2 месяца назад
Ini linatoka wapi Ili apewe yeye au ndio wanaibiwa watoto hawa wanaponeshwa wengine
@africanbeez3644
@africanbeez3644 2 месяца назад
Kk hlo halkuhusu ww fanya wajbu wako wakuchangia tu
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 месяца назад
Hilo jibu siyo kabisa​@@africanbeez3644
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 2 месяца назад
Acha kukariri
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 2 месяца назад
Lina muhusu jamani, ni haki yake kujua na sio kuchangia tu ​@@africanbeez3644
@LapulgaMessi-w1o
@LapulgaMessi-w1o 2 месяца назад
Daah inaumiza kweli
@maisaalawy8549
@maisaalawy8549 2 месяца назад
Mi nakushauri mpeleke mtoto kwa kuhani musa mtumishi wa mungu kimara temboni atamuombea mtoto atapona.
@AdamMohamed-u4p
@AdamMohamed-u4p 2 месяца назад
Wewe sio mzima
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 месяца назад
​@@AdamMohamed-u4pkabisaaa
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 2 месяца назад
@@AdamMohamed-u4p😂😂😂
@Pixxmoleli
@Pixxmoleli 2 месяца назад
Mungu husika
@MaulidiNchasi
@MaulidiNchasi 2 месяца назад
Allah ampe Afya mtoto😢
@matthewmichaelsylvester5612
@matthewmichaelsylvester5612 2 месяца назад
BALOZI POLEPOLE atusaidie QUBA Ugonjwa ini wanatibika mungu akutie nguvu dada
@IddiHajji
@IddiHajji 2 месяца назад
Sema naraisi nako afikishe hii shidah
@asanterabisimon1347
@asanterabisimon1347 2 месяца назад
Kiukweli serikali walibebe hili jambo kama wanaweze KUTOA milioni hamsini. Kwa wachezaji hili pia wanaweza kufanya jambo
@RonnieBertin
@RonnieBertin 2 месяца назад
Ini ama. Figo
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 2 месяца назад
Samahan boda elfu moja 1000
@TulysterJofrey
@TulysterJofrey 2 месяца назад
@@kelvinmasungakilunguja7539 hakuna malipo huko maana siku hz baadhi ya makanisa imekuwa ni ngumu kuingia na kupewa huduma mpaka ununue kitu ndo upate huduma
@gildopitapita1383
@gildopitapita1383 2 месяца назад
Amen
@BarakaKamara
@BarakaKamara 2 месяца назад
Watu wa Mungu wanaangamia Kwa kukosa maarifa.
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 2 месяца назад
Ebu utoe hyo maarifa yako tupate pesa ya matibabu
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 2 месяца назад
@@barikilangoy4737😂😂😂
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 2 месяца назад
Huyo raisi aache kununua magoli goli moja m5 ampe hizo hela huyu bint
@PATIENCENDUNGURU-ik9oi
@PATIENCENDUNGURU-ik9oi 2 месяца назад
Niombe serikali ilisikie hilii taasisi husika na mama yetu mpendwa mh rais
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 2 месяца назад
Goli la mama lihamie kwa huyu mtoto apate kupona
@hellenjulius7790
@hellenjulius7790 2 месяца назад
😭😭😭
@OmariNgurangwa
@OmariNgurangwa 2 месяца назад
Mama unanunua magoli ya yanga wasaidie ao
@LapulgaMessi-w1o
@LapulgaMessi-w1o 2 месяца назад
Serikali iangalie njia ya kumsaidia huyo malaika apone inshallah atapona
@gildopitapita1383
@gildopitapita1383 2 месяца назад
Apo nenda kwaza Kwa mwamposa akapone wikimoja tuu
@andrewkamese8492
@andrewkamese8492 2 месяца назад
Neñda kwa Mwamposa ongeza kiwango chako cha imani.
@AmaniManase-x1i
@AmaniManase-x1i 2 месяца назад
Duuh Mungu umsaidie huyu mtoto maana nchi yetu hii kuna matajiri waguswe kusaidia huyu mtoto
@JanetyDaud-ts7ur
@JanetyDaud-ts7ur 2 месяца назад
Kaka millad naomba namba yake
@EmmyMbore-yv8cb
@EmmyMbore-yv8cb 2 месяца назад
Namba imeandikwa hapo kwenye video
Далее
DUNIA (Ep 13)
20:45
Просмотров 72 тыс.