Тёмный

MSAMAHA KWA MKRISTO 

Matanda Emmanuel
Подписаться 56
Просмотров 2
50% 1

#HIMIZOLAMATUMAINI Ikiwa ni #MsamahaFriday #AsubuhiYaMatumaini
Wakolosai 1:14 Kwa Kristo Yesu Tunapata Msamaha Wa Dhambi Zetu!
Mwana matumaini Tufahamu kwamba
Kupitia yeye ambaye ni Kristo Yesu Dhambi zetu huondolewa.
Tunapaswa kujitahidi Kufanya Yaliyo Mazuri kwa ajili ya kumpendeza Mwenyezi Mungu Zaidi na bali Sio kuupendeza ulimwengu.
Kifungu kinasema ''ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;
Ni jambo la Kumshukuru Mungu . Kuwa kupitia kristo tunawekwa huru kutokana na vifungo vya Dhambi.
Tusikate tamaa katika magumu Yoyote kristo yupo Tayari kutupokea na kutusaidia tuendelee kumtumainia katika Yote.
Tuendelee kuomba bila kukoma Maana Hakuna linaloshindikana kwake .
Kama anaweza kufuta makosa yetu je? changamoto zetu hawezi? Kwa kweli anaweza Kabisa .
Tumfuate Kutoka ndani ya mioyo Yetu.#MatandaEmmanuel #AsubuhiYaMatumaini

Опубликовано:

 

27 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
How to win a argument
9:28
Просмотров 429 тыс.
Китайка Шрек поймал Зайца😂😆
00:20
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
21 Youtube Settings That F*ck Small Channels
17:35
ASUBUHI YA MATUMAINI
1:37
Просмотров