Тёмный

Msikilize Mmasai wa Kwanza Kuishi Marekani Akisimulia kwa Kiingereza Kilichomkuta 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 313 тыс.
50% 1

Subscribe / uwazi1
Inafahamika kwamba Wamasai ni watu wa kuishi porini, kuchunga ng'ombe, kuwinda na wakija mjini, basi kazi yao ni kulinda nyumba na maduka ya watu lakini kwa mzee huyu, hali ni tofauti kwani ameishi nchini Marekani kwa miaka kibao, akifanya kazi huko.
Katika kongamano maalum la utalii na kumuenzi mwalimu Nyerere, mzee huyu wa kimasai anaeleza mambo ya kushangaza kuhusu maisha yake ya Marekani.
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .

Опубликовано:

 

9 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 99   
@kephakipindu9083
@kephakipindu9083 6 лет назад
Very wonderful my papaaa
@mercywanjiku3740
@mercywanjiku3740 6 лет назад
I like the way he talk wonderful
@sengolupeja9658
@sengolupeja9658 3 года назад
Hatari sana
@agneswilbard9059
@agneswilbard9059 3 года назад
Hongera babu
@pamelanabokolweojuma1964
@pamelanabokolweojuma1964 4 года назад
I love you masaai
@hamzadasso5573
@hamzadasso5573 7 лет назад
Namkubali sana iyu mzee
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 7 лет назад
mungu akupe maisha
@ernestsinga6217
@ernestsinga6217 7 лет назад
Masai mungu akubariki
@kambamazig02024
@kambamazig02024 2 года назад
Hii historia ni ya kweli mnaposema mmasai wa kwanza kuishi Marekani? What is the source of this information, the US immigration data ama ni watu tu wanajaribu kumtumia huyu mzee wa Ngorongoro ambaye sisi wengine tunamfahamu! Jamani hii si nzuri, waandishi wa habari kuweni macho sana.
@bensonfrank643
@bensonfrank643 6 лет назад
He spoken US english language. N he sounds so dope..✊
@zepherniah6565
@zepherniah6565 6 лет назад
hahahaha i see youu
@peterokalo9632
@peterokalo9632 3 года назад
Africa’s be proudly of Africa’s language pls
@sankaresiato4002
@sankaresiato4002 6 лет назад
Waaoo papa mekitamayan engai
@makalkindy9807
@makalkindy9807 6 лет назад
big up dada wakitumbua og. tangaza kiswahlichetu story vp.?
@lomalaiza1261
@lomalaiza1261 4 года назад
Vizuri Sana is good with English
@paschaljastin9043
@paschaljastin9043 7 лет назад
Good
@munatwalib2808
@munatwalib2808 3 года назад
Wow
@hadijahmwajombe9588
@hadijahmwajombe9588 4 года назад
uyu baba nitajili sana sana anamashine handeni mangombe
@ramadhanisaidmmbaga1000
@ramadhanisaidmmbaga1000 6 лет назад
Inapendeza sana
@moseskayan3705
@moseskayan3705 6 лет назад
So kwali kuwa in mmasai wa kwanza kuishi usa
@collinskojode8824
@collinskojode8824 3 года назад
Congratulation Tanzania one by jakowak kojode
@michaellukas3914
@michaellukas3914 7 лет назад
Ongera babu
@wilkistamarema4907
@wilkistamarema4907 7 лет назад
Mungu wape Hekima watawala ili Amani izidi kutawala ndani ya Watawaliwa
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 7 лет назад
Global mbona umechelewa sana kumuweka you tube maana video yake ilitoka zamani sana
@mercysiyanga7067
@mercysiyanga7067 4 года назад
Masai juuu,
@kazikazini1042
@kazikazini1042 7 лет назад
Eti wa kwanza!
@davidlaizerleyan5259
@davidlaizerleyan5259 6 лет назад
Acheni uongo wamasai ni wengi marekani sema mtoa posti unaonekana mshamba na unafikiri kingereza n jambo lisilowezekana km hujui ww wengine wanajua
@saiyokiioleeneeksha6386
@saiyokiioleeneeksha6386 3 года назад
Na wewe Dada pia wewe fala tu kwani Huyo Mzee Wa kimasai kakosea nini mpaka unaongea kama hujijui km wewe hujui kizungu kaa ulee watoto huyo babu mnoma kizungu tena sio ile ya sasa ile piwa orijino ameposti nini km ni pesa kapata wewe umechangia kutuma sms
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 года назад
Jamanii...! Hivi "heading" umeielewa ndugu? Imeandikwa hivi; "MMASAI WA KWANZA KUISHI MAREKANI ASIMULIA..." Hajasema "Mmasai pekee alieishi Marekani.." Na wala hajasema "Mmsai pekee anaeongea kiingereza" Na kwa umri wake huyo babu huwenda alienda akiwa na age ya 18- 20 hapo, na sasa anaelekea 76 kama sikosei....by assumptions (76-18 = 58) which means alienda America 58yrs ago. (i.e. around 1958 ), coz hiyo video nimeiona for the 1st time 2016. Waweza ona ni before Tanganyika Independence. Sasa wewe umewaona/unawajua wazee wangapi kama huyo ama waliomzidi huyo wakiishi Marekani? Mpaka uiponde post ya mwenzio? Lakini pia, ni wapi mtoa post kataja neno "kiingereza"..? Jamani tuwe tunasoma vizuri headings za post mbalimbali na kusikiliza contents zake ndipo tu-comment...! Lakini pia tusiwe na -ve attitudes always..!
@ndiiyolazaro1125
@ndiiyolazaro1125 5 месяцев назад
Hakika wapo wengi
@alanmunyi8343
@alanmunyi8343 3 года назад
This grandpa makes the young mc's sound like he never stepped in an English class
@qeewoi2441
@qeewoi2441 4 года назад
Lakini krera ni wapi.?
@rhinaregina5806
@rhinaregina5806 6 лет назад
Ok he grows up to America and what States he was living? I can't understand his English well.. but he's trying his best 👍 his English is sounds Kanye English
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Месяц назад
Are you Kenyan?!
@amanam2735
@amanam2735 6 лет назад
Upuuzi wa kushangilia Kiingereza.
@magiehermess9949
@magiehermess9949 3 года назад
Hivi mnaonaje wamasai?
@aliceonesmo6454
@aliceonesmo6454 3 года назад
Uongo mbaya mbona wengi tumeishi Sana tu na wengi walishaishi na bado wanaishi acheni uongo kwani marekani imekuwa wapi
@neydathomjrsiria4624
@neydathomjrsiria4624 6 лет назад
xafi xana mzee
@hadijahmwajombe9588
@hadijahmwajombe9588 4 года назад
mama uyu mzee jamani ameenda lini umasaini nakumbuka miaka 8 nyuma alipita hoteli akanipa pesa akaniambia tukutane kologwe kaaa kiukweli nilimtapeli
@beautywithnay5974
@beautywithnay5974 6 лет назад
Mzee ananitolea yai hatariiiiii.
@emmanuelimaxxaka754
@emmanuelimaxxaka754 6 лет назад
😅😅😅😅umetisha sana masayi
@MaikomasettoMaseetomasai
@MaikomasettoMaseetomasai Месяц назад
Hi😂
@mwacetyjumbe9945
@mwacetyjumbe9945 4 года назад
Kwani mmasai cyo mtanzania?
@margretmfaume35
@margretmfaume35 6 лет назад
Welcome again in United States grandfather
@gideonsanago9943
@gideonsanago9943 3 года назад
Eti "wamasai wanaishi porini, wanawinda....na wakija mjini kazi yao ni kuwinda... " yaani maelezo ya kipuuzi kabisa haya. Take your time and research...tangu lini wamasai wakawa wawindaji? Je ni kila Mmasai alieko mjini analinda?? You don't take your time to research and crosscheck your facts. Kazi kuandika udaku tu
@charlesjeremiah7256
@charlesjeremiah7256 7 лет назад
sasa m2 hata hajui maana road fund was nn kuwa mkurugenzi
@AmiriNachan
@AmiriNachan Месяц назад
Huyo ngorongoro hajawahi fika marekani ila ameishi na wazungu watafiti na alikuwa na girl friend wa kizungu
@silolemusuni1999
@silolemusuni1999 6 лет назад
Am a Masai but many Masai live in the US , don't cheat my friend
@HASASON
@HASASON 7 лет назад
Nasubiria kuona mzungu akisifiwa nchini kwao kwa kuongea kiswahili, watanzania huu ulimbukeni wa kutukuza English tuwaachie wakenya tusijiingize kwenye huo ukosefu wa akili, hakuna muarabu wala mzungu anayejivunia uafrika lakini sisi waafrika tunatia aibu kujikomba na tamaduni zao
@zuberiismail6713
@zuberiismail6713 7 лет назад
acha wivuuuuuuu
@zuberiismail6713
@zuberiismail6713 7 лет назад
Hasaon acha wivuuuu!!! hupend m2 kusifiwaaaaaaa
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 7 лет назад
Umeongea point bro
@lasarusabore2092
@lasarusabore2092 6 лет назад
Kujua lugha ni elimu tosha. Yanayokusubua yaleya HIZO MBICHI sizitaki. Shame on you Bashite.
@ronnie7162
@ronnie7162 6 лет назад
The mzee never stepped in any class but he has good command in English, what about you Hamason??
@niceladeus1697
@niceladeus1697 6 лет назад
namhiee
@asiakheir3846
@asiakheir3846 7 лет назад
Lugha sio lazima kusoma, ukikaa nchini mwaotuu utajua.
@philbertmabuga424
@philbertmabuga424 6 лет назад
British
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 3 года назад
😀❤❤❤😀
@bjzee1981
@bjzee1981 7 лет назад
that's english indeed.
@bosiabu6607
@bosiabu6607 7 лет назад
Wamasai wa kutoka kenya mbona kibao marekani
@jumasasilo1222
@jumasasilo1222 6 лет назад
balonga exi
@NDALAMIA2027
@NDALAMIA2027 6 лет назад
Bosi Abu Tuko wengi sana niko New York Mimi maasai from Kenya
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Месяц назад
​@@NDALAMIA2027ni wengi lakini ni wa mwaka gani?! Angalia huo umri wa huyo mzee na akienda mwaka gani?!
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 3 года назад
Wabongo tupo nyuma kimawazo. Kwamba mtu anaejuwa kuongea kiingereza bas amesoma sana. 🤣🤣🤣 Wakati hii LUGHA kama LUGHA NYINGINE WAWEZA kuijua kwa UTENGAMANO wa JAMII wa LUGHA hiyo ambayo inakuzunguka. Emu tuachane ushamba na UVIVU wa KUFIKIRI.
@lowasalesirai9504
@lowasalesirai9504 3 года назад
Welcome again in united states grandfather
@hkfenias6543
@hkfenias6543 6 лет назад
Sio wakwanza niishi nawamasihi wenge sana huku marekani.
@makalkindy9807
@makalkindy9807 6 лет назад
dadawakitumbua mbona sikuiz ckuon kabsaa vp ? tutangazie kiswahilichetu huko uliko.
@salomeloda9655
@salomeloda9655 6 лет назад
Babu yetu kilemensi nakuaminiya kimayani engayi tobiko tobiko olengi
@manchestercitybettartv5922
@manchestercitybettartv5922 3 года назад
kuna watu umo wanashaangaatu hawaelewi mzee anachozungumzia
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 года назад
Sijaelewa anaongea na akina nani hadi atumie kiingereza
@umranim5854
@umranim5854 6 лет назад
Mgaie shilole anakipenda
@tonynuru435
@tonynuru435 7 лет назад
What's so funny there ... !! Mmekosa cha kufanya nn !!!
@adamumjomba82
@adamumjomba82 6 лет назад
Huo niupuuzi mtupu kabla LA wamasai lipo tz na Kenya .lakini wamasai kibao wamesafiri pote duniani .hasa wale wanao toka Kenya .na wengi wao wanaotoka Kenya sio wafugaji wanaishi mijini .na kufanya kazi ..na wanasafiri kila kukicha sio wakwanza huyo mzee.
@TRAVELANDTASTETANZANIA
@TRAVELANDTASTETANZANIA 7 лет назад
Sisi tunatangaza kiswahili kiwe lugha ya kimataifa
@williammatingo1883
@williammatingo1883 6 лет назад
Mzungu Wa Ndoto Zangu Daaa noma xana
@elizabethnthenge1271
@elizabethnthenge1271 6 лет назад
Remember mzungu makanga?? Remember mzungu ungali?? Hahaha thitima
@tonynuru435
@tonynuru435 7 лет назад
Lugha(English) siyo usomi wewe ! Umekariri ... Hiyo ni lugha tu kama lugha nyingne
@abisairobert5894
@abisairobert5894 7 лет назад
Kujua English sio kipimo cha akili watu wajui hivyo
@christophersimon823
@christophersimon823 7 лет назад
vp huyo
@elisantente2518
@elisantente2518 7 лет назад
NIUKOSEFU WA KAZI HUU!! ASILIMIA KUBWA YAWAMASAI KENYA NIWASOMI NA WAPO DUNIANI KOTE. NEXT TIME WEKA VITU VYA MAANA NAVYAKUFUNZA.
@petersulle4454
@petersulle4454 6 лет назад
😁😁😁😁
@samsonkusupa8115
@samsonkusupa8115 6 лет назад
mmh Kama kaburu
@yuscowakitojo1080
@yuscowakitojo1080 7 лет назад
Anaongea kama anachekesha
@justinmallya9749
@justinmallya9749 6 лет назад
Mzeee wa kimba
@sirinamsangi7384
@sirinamsangi7384 6 лет назад
Ñv
@speedonechimbamawe1419
@speedonechimbamawe1419 3 года назад
Jifunzeni komedi za dogo sele na stivu mweusi
@halimadarweish2710
@halimadarweish2710 7 лет назад
'
@naree3697
@naree3697 7 лет назад
hapo sio USA kuna maji ya uhai na kill
@petermgogosi8986
@petermgogosi8986 6 лет назад
sawa upo baada yakutoka new York
@shabanirikweme5374
@shabanirikweme5374 6 лет назад
hyo ni lugha tu ambayo hata watu ambao walijua kingereza hata chauswailini watu wanajua
@yagwisheheke7383
@yagwisheheke7383 6 лет назад
Hapana not English kimasai hicho lough tonation
@makalkindy9807
@makalkindy9807 6 лет назад
big up dada wakitumbua og. tangaza kiswahlichetu story vp.?
@tonynuru435
@tonynuru435 7 лет назад
Lugha(English) siyo usomi wewe ! Umekariri ... Hiyo ni lugha tu kama lugha nyingne
Далее
Changing The Flag Of The Countries #countryballs
00:18
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн
UTAPENDA! MZUNGU NA MMASAI WANAVYOKULA BATA UFUKWENI..
14:24
Changing The Flag Of The Countries #countryballs
00:18