Site tunaona na tunajua, we are not stupid!!!! JPM ndiye aliyefanya yote haya. Ideas za Nyerere katendea kazi. Kuamua na kufanya those are two different ideas. Kafanya kweli ni JPM!!! RIP JPM!!!!
Pamoja na porojo nyingi, JPM ni chanzo cha tukio lililowakusanya hapo! Nyerere mwenyewe aliishia kwenye idea tu miaka 20+ lakini ndani ya miaka 2 tu ya JPM akaanza kutenda badala ya kupiga porojo. Pumzika baba JPM!
Hii ni sherehe ya kuzindua Ikulu mpya ya Tanzania na Wala siyo Arobaini ya kumaliza msiba hivyo siyo sahihi kila Jambo linaloendelea hapo kuwataja viongozi waliotangulia mbele ya haki wao wanasiku yao ya kukumbuka.🎉🎉
Viongozi wetu wote wamefanya kazi kubwa tena kubwa mno, Ila ninacho kupa tu dondoo Wengine wote wanafanya Maendeleo Kwa kuwa Baba wa Taifa aliweka misingi mizuri mno na hatukupitia walio pitia wengi barani Africa 🌍 kwahiyo tuwape Heshima zao
@@ndukulusudikucho_ Sahihi kabisa Mkuu,tatazo Kuna baadhi ya Wantanzania wanajifanya kutokuona mazuri mengi yaliyofanywa na viongozi walioongoza Nchi hii kabla ya awamu ya Tano,imefikia hatua baadhi yao kutoona umuhimu wa umoja wa Kitaifa aliousimamia Mwl J.K Nyerere ambao ndiyo chachu ya mafanikio yote haya tunayoyaona.
Hahaha kwa hiyo hapo hatujakopa maana tabia zenu kila mkopo mnamtupia jpm usijitetee kikwete hukufanya chochote na hauna mchango ktk hiyo ikulu ifisi ya rais alijega jpm na alianza kuitumia ww ongelea chuo ila nishukulu umekili hela iliyojenga ikulu sio mkopo hii ni kuonyesha miradi yote jpm alijenga bila mkopo aibu yenu wote
@@davidsimbeye1548 magu alikua asemi tu, anatenda, Kina Nyerere na wengineo, walikua maneno mengi vitendo akuna, Hakuna Rais kama magu miaka 5 tu kafanya mambo makubwa
Sio kila kichwa ndani kina madini, mzee anatafuta kujichomeka ktk historia hii hata kusema ukweli kwamba hujafanya kitu nakumsifia mwenzako hasa jpm ni historia, eti ktk kipindi changu niliamua .... Hii yeyote anaweza kuamua issue ni uthubutu ktk vitendo mzee hizo zingine ni story tu bila nyama ha ha ha ha
'Katika kila Awamu, kuna yaliyofanyika,,, maana uongozi ni kazi ya kupokezana kijiti ... Unafanya unamalizia, anakuja mwenzako anafanya anasogeza mbele, mpaka mnafika mwisho wa safari'... Jamhuri ya Muungano wa Tz, kazi iendelee!
Nyie ndio zao la LGBTQ,hivi kweli kuna mtanzania anaweza andika upumbavu dhidi ya Kikwete km vile hakufanya kitu? Ni kweli hakuna mkamilifu lkn sio kufunika kila jambo zuri amefanya huyu mzee, Sisi tulikuwepo na tumesoma kwa huyu mzee,tuliona mazuri yake na mabaya yake sio kumuandika km vile hakuna alichofanya kenge ww, Huku ulipo lolote likukute,umbwa koko wewe
Mwalimu Nyerere alitamka "Mpumbavu ni yule asiyetaka kujifunza kutoka mataifa mengine" Kwa Mhe kusema wamejifunza kutoka Malaysia kuijenga Ikulu, ndio usahihi wa ustaarabu wa mataifa yaliyoendelea. China inasema imefanikisha kwa kufuata nyayo za waliopita. Tanzania mnapendeza kwa kukamilisha ndoto za Mwalimu Nyerere na wale waliotutangulia. Mungu awabariki Watanzania
Magufuri hii ni kazi yake wewe umekaa miaka 10 ukujenga.. JPM miaka miwili. tu kafanya mambo... sifa ziende kwa magu sio wewe.. wewe ulikuwa unakula bata tuuu..unajisifia tuu ukufanya lolote acha kupiga poyoyo.. kazi ni JPM
Porojo na siasa sizitofautishi,ziko nyingi ameziongea ila ukweli...JPM ni mwamba. Kwanini mnashindwa kusema kwa ukubwa aoichofanya JIWE?.roho mbaya mnazo ninyi mnaoishi miaka mingi
UJENZI WA IKULU YA DODOMA HILI JAMBO KILA KIONGOZI ANAINGIA KTK HISTORIA NA WATANZANIA WOTE ,JAPO KILA MTU ANASEHEMU YAKE KTK KUHAKIKISHA HILO LINATIMIA NA LEO LIMETIMIA japo nashangaa sana Kuna watu wanapenda kubagua viongozi KWAMBA huyu kafanya huyu hajafanya mnayatoa wapi