Тёмный
No video :(

Rais SAMIA amkosha MSUKUMA | Aimba bungeni, Spika ampiga marufuku | YANGA,SIMBA zatajwa 

Mwananchi Digital
Подписаться 992 тыс.
Просмотров 328 тыс.
50% 1

Wabunge wakichangia hoja ya kumpongeza Rais wa Tanzania Samia Suluhu, baada ya kutajwa mmoja kati ya viongozi wenye ushawishi mkubwa Duniani na kupata Tuzo ya Rais aliyeongoza katika ujenzi wa barabara kwa nchi za Afrika iitwayo tuzo ya 'Babacar Ndiaye'

Опубликовано:

 

25 май 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 131   
@menelus911mene5
@menelus911mene5 2 месяца назад
Mhe Msukuma wewe ni bgp sana saluti kwako wewe nikiongozi hasa darasa nakujiongeza na zako msukuma nimmoja wapo hongera sana kiongozi mungu akulinde sana mhe msukuma piga kazi❤❤
@EliasMasanja-qg1wh
@EliasMasanja-qg1wh 2 месяца назад
Namkubali sana ndugu yangu
@user-xq8tp2nl8d
@user-xq8tp2nl8d 3 месяца назад
Mweshimiwa unanifurahisha Sana.
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 года назад
Mama Samia kazi iendeleee chapa kazi mama 🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏
@GensonSpehano-no6hd
@GensonSpehano-no6hd 3 месяца назад
mungu akulinde sana mbuge wetu wa mwanza
@JacksonJohn-v2b
@JacksonJohn-v2b 21 день назад
Asante kiongozi wetu
@bennyjohn1412
@bennyjohn1412 2 года назад
Msukuma sasa umenunuliwa
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Kujipendekeza tuu,hana lolote,bei gani hata wakumnunua huyu nani,bure tuu halijitambui hovyo hili,hata akili halina,sauti kama kameza chura,linafiki kikubwa,linajua kudhulumu watu mali zao na aridhi,kujipendekeza kwa Rais kuficha mabaya yake,jinga hilo hovyooo
@bennyjohn1412
@bennyjohn1412 2 года назад
Ni kweli kabisa
@JulaybibiBabah
@JulaybibiBabah 2 месяца назад
Mama Hana Ubaya na Watu Lakini Mbowe na Lissu Hawana Shukrani
@allyhassan2973
@allyhassan2973 2 года назад
Msukuma kumbe nawewe ni hovyo tu. Ulikuepo kipindi cha mwendazake na ulikua ukiongea hivyohivyo. Yaani wabunge wa tz kupitia ccm kumbe wote ni hovyo tu, NI BENDERA FATA UPEPO!!. sijawahi kuona bunge lenye hoja ya kumsifu raisi. Hiyo sio hoja Bali wabunge WA tz mnatatizo la afya ya akili kama mnavyosema wenyewe hapo bungeni maana hamjui wajibu wenu mpompo tu hapo ndani.
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Yapoyapo tu!hasara kwa majitu ya hovyo kama haya!hata halina elimu ya kutosha,kuropoka tu kelele nyingi za kujaza matumbo yao,unafiki kujipendekeza kwingi,hovyo zombi kabisa hili,na mapumgufu yake wananchi watalichagua tena 2025 hovyoooo! linasimama kushabikia nini sasa hapo!ligonjwa hili afya ya akili!
@user-eh5bq1kq4f
@user-eh5bq1kq4f 3 месяца назад
مساء النور
@ShaidaAfati
@ShaidaAfati 2 месяца назад
Barabara zote kazijenga magufuli Samia kajenga ipi sisi wenye akili timamu tunajua wabunge washapewa chakwao mapema
@hamisiwandi3769
@hamisiwandi3769 2 года назад
Msukuma acha uongo sisi tunaishu majimon mbo hizo barabara zinazotengenezwa jmn acheni kujipendekeza wakati wananchi tunaona maisha yanavyokwenda.wakati wa kutudanganya umekwisha sifien kwa ajili ya matumbo yenu
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Hilo neno!👍👍wapo kwa ajili ya matumbo yao sio wanachi
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Hilo neno👍👍👍wapo kwa ajili ya matumbo yao,nasio kwa ajili ya wanachi
@drcharlesseka3474
@drcharlesseka3474 2 года назад
Huyu mmbunge Ni mnafiki tu
@HatariLutelemla-zc8ck
@HatariLutelemla-zc8ck Год назад
Barabara kwetu mbovu kweli ukilinganisha na uhalisia wa maeneo mengine kama tumesahaulika tupo mbogwe kata ilolangulu
@lucynagerald9427
@lucynagerald9427 2 года назад
Uyu jamaa anamfatafata nakumsifiasifia anatafuta uwaziri yy na gwajima tumeshawajua
@komblecharles2777
@komblecharles2777 2 года назад
Wote ccm kunanini mara mzgufuri Leo hayupo wanamponde kweri ccm
@zainabuyassini3095
@zainabuyassini3095 Год назад
Asante msukima
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 года назад
Msukuma kwa sasa ni mnafiki sana yaani hueleweki. Kwani humo ndani mna wabunge wa upinzani? Bunge hili ni la mazuzu kweli kweli
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Elimu iko wapi kwa msukuma!unadhani atachangia nini mtu mwenye afya ya akili?barabara mbovu huko jimboni kwake,jimbo limekaa hovyo kama alivyo yeye,anajua kupora mali za watu bila kulipa fidia,zombi kenge hili
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Afya ya akili hiyo,elimu tu'hana unaona kuna kitu hapo,mnafiki anashindwa kutoa hoja anajipendekeza kwa mama,utampa nini mama wewee!labda ukaibe mifugo ya watu,mali zako zote ni za dhulma,barabara jimboni kwako niza hovyo kama ulivyo wewe
@josephinelyimo2467
@josephinelyimo2467 2 года назад
Baada ya kupata huo udaktari wa mchongo , Sasa anategemea upate uteuzi,naibu wa wizara fulani !
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
@@josephinelyimo2467 udaktari uchwara!hata walio mpa hawako sawa kiakili,maana hawakuona watu wa mana wenye kustahili,huyu mtu udakitari wapi nawapi🤔amelewa ubunge,udakitari,na sasa ana njaa ya kuwa waziri fulani hivi,hovyo sana atawachezea wagonjwa wa akili kama yeye
@AndreaMgaya
@AndreaMgaya 3 месяца назад
Wewe ndio mnafiki na ujitafakari mambo mazuri huyapendi
@josephinelyimo2467
@josephinelyimo2467 2 года назад
Hivi afya ya akili ,imekaaje kwa Hawa wabunge ? Kuna shida hapa ndugu zangu !
@SamiluSamilu-rg9qr
@SamiluSamilu-rg9qr 3 месяца назад
Kwanini unaongea hivyo braza
@mtekelechapemba5501
@mtekelechapemba5501 2 года назад
Hakika hapo sijaelewa chochote anachoongea mtu niliyemwamini kwamba alimuelewa nakumpigania Magu
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Huyu mnafiki,huyu ndo wale bendera hufuata upepo,huko jimboni kwake amewaliza wananchi kwa kuwadhulumu mali na.aridhi zao eti.analeta maendeleo jimboni kwake,kuwadhulumu wemgine kujifanya kusaidia wengine,maendeleo gani hayo?mapori yapo kibao unadhulumu aridhi xa wamasikini,anajua wamehangaika vipi kuzipata?hili ni zombi tuu,linajificha nyuma ya pazia linafiki likubwa
@fredymwawila7761
@fredymwawila7761 2 года назад
Nice
@jacobwarieba5841
@jacobwarieba5841 2 года назад
Leooo iwejee use me mama.samia.wakati ileee...magufli.wakoo.ulisema.magufuli asiruhusu upinzani wasingie ikuluuu
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Umeona eee!afya ya akili hiyo,ligonjwa hili,linafiki kujipendekeza,hata mama aliangalie vizuri halifai hili,huyo anajipendekeza badala apige kazi'yani!watu walio mchagua msukuma awawakilishe nahofu na afya zao za akili,wapo hovyo kama msukuma
@NeemaJames-uy5vm
@NeemaJames-uy5vm 2 месяца назад
Wamekula hela hawa wabunge hakuna lolote mbali tuombeni mungu t atusaidie t
@marijanimustafa1876
@marijanimustafa1876 2 года назад
Inatakiwa nfanyiwe afya ya akil maana hata sielewi nn kinafanyika
@alexkhamis8334
@alexkhamis8334 Год назад
Hii nchi yamkini inaogelea kwenye laana tupu! Viongozi utopolo tu! Upuuzi gani Sasa huu??? Huyo mama yenu sisi Raia hatumwelewi; maisha magumu , Bei hazieleweki, madeni lukuki, hotuba za hovyo tu; halafu mnakaza kujisifu Muda wote? Musuku umenunuliwa? Mbowe Ikulu unatafuta Nini?
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 года назад
Siku hz bunge halijadl ya muhimu ndo maana baba alililifungia losioneshwe tuu boraa
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 2 года назад
Huyu ni mnafiki tuu huyu
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
👏👏👏umeliona nawewe eeee!zombi hili linatafuna watu kwa unafiki
@nyamwekomatoke9951
@nyamwekomatoke9951 2 года назад
Hiviii mmerogwa eh Mnaimani gani na samia Msukuma eh wasukuma hawanaga Msukuma mjinga usituaibishe wasukuma bana
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Hili nani kaliamini hasaa?kulichagua kuwa mbunge?zombi hili,hovyo kabisa,huko jimboni kwake linadhulumu watu mali na ardhi zao bila fidia,lunajipendekeza kwa Rais samia halijui wajibu wake ni kutetea wananchi,linaona maendeleo ni kudhulumu wengine na kuwapa wengine
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Wasukuma mjue mnahara kuwa na jitu hovyo kama hili,afya ya akili inahusu!linaumwa afya ya akili hili😂😂aibu kujiita msukuma!ana aibisha wasukuma
@menelus911mene5
@menelus911mene5 2 месяца назад
Duh!!! Umeimba mutani 😁😁😁😁🤲🙏❤️
@YusuphAmani-yx7ur
@YusuphAmani-yx7ur 2 месяца назад
mama safi
@Abimesa1
@Abimesa1 4 месяца назад
❤❤❤❤❤
@NzundaDanieli
@NzundaDanieli 3 месяца назад
Mbunge wetu sisi wanainchi tunaomba tusaidie kunawatu wanaojidai wanakopesha hela mtantaon tutakuta wameweka picha yamweshimiwa walizi kumbe nimatapeli tusaidie I
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 года назад
Ila mama yetuu msimpee sifaa sanaa achapee kazi kama jpm
@NeemaJames-uy5vm
@NeemaJames-uy5vm 2 месяца назад
Tumemchoka hyo mama enu samia watu wanateseka ww unatetea kweli
@mgemasteven2193
@mgemasteven2193 2 года назад
ww naee msukuma tulikuwaa tunakuamini kumbee na ww ndo walewalee kumbee unajivunia nn kwa samia ww
@jacobwarieba5841
@jacobwarieba5841 2 года назад
Wewe mhongooosaana hufai kuja bungeni
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Halifai zombi hili,sauti kama chura
@fidelisvalelian
@fidelisvalelian Год назад
Kuna wabunge nimataira kabisaaaaa
@fidelisvalelian
@fidelisvalelian Год назад
Duuuu!!! Mjinga lazima amaifie mjinga kwakweli jaman . An mnajisifu ujingauo duuu
@SamiluSamilu-rg9qr
@SamiluSamilu-rg9qr 3 месяца назад
Dah apo umetisha
@korneliovusindawa7525
@korneliovusindawa7525 2 года назад
Msukuma sema kwenu tu wamepata hiyo bahati usiseme kila Jimbo kwani wewe umetembea kila Jimbo sio kweli tembea majimbo nyingene utalia
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
kwake kwenyewe jimboni anadhulumu watu aridhi bila kuwalipa fidia,rinafiki hili,zombi hili la kisukuma,wanachaguliwa kuumiza wananchi,nasio kuwaletea maendeleo,anakula pesa za GSM migodi na za serikali,na wadau wamaendeleo,leta maendeleo sio kudhulumu watu aridhi yao kenge huyu,linafiki kujipendekeza kwa Rais
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 2 года назад
Umeanza kupotea kwenye ubora msukuma acha hizo simama kwenye ukweli .wananchi bado wanateseka uonevu kwa wananchi nimkubwa
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Toka lini huyu msukuma akawa na afadhali,amedhulumu mali za watu kwa kujitengezea sifa kuwa analeta maendeleo ktk jimbo lake,lkn amekuwa akidhumu mali na ardhi ya watu bila kulipa fidia, huyu ni kiongozi mwema kwa wananchi wake?huyu hafai ni dhulma, anakula pesa za fidia,hawalipi watu wenye ardhi,akiona ardhi yako ni nzuri na kubwa anaichukua kwa madai eti anaweka miradi ya wananchi,mbwa huyu,linajipendekeza kwa rais samia,hovyo sana jinga la mwisho hata akili halina
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Halina hata ubora hili ni lizombi tuu,jinga,zuzu na zoba kabisa hili,limbukeni la uongozi,na sauti kama lime meza chura!
@user-db9fi8bi2p
@user-db9fi8bi2p Год назад
Simba nayanga
@ManyamaWanjara
@ManyamaWanjara 2 месяца назад
Brytn
@user-qb3ew1qc8o
@user-qb3ew1qc8o 3 месяца назад
Lik😮😢🎉❤
@akidajulius8397
@akidajulius8397 2 года назад
BUNGE LA CCM,jaman,mala waluke sarakas, mala wapige magoti,mala walie,haya Sasa wamegeuka bendi wanaimba Sasa,mda wakujadili mambo ya mcngi wao wanatuletea vituko,lkn posho ndo imeshangia tayali,wanahaki ya kuimba na kuluka masarakasi,muhimu posho tu,
@zainabuyassini3095
@zainabuyassini3095 Год назад
Amukosi jambo la kulaumu mama Samia piga kazi
@cymonymlugu7280
@cymonymlugu7280 2 года назад
Kweli Tanzania Uhuru umezidi
@eliaabethlyd5568
@eliaabethlyd5568 2 года назад
Namupongeza saana Musukuma
@adambaragwe4811
@adambaragwe4811 Год назад
Mmmh hatali sana bungeni hakuna lolote
@nyamwekomatoke9951
@nyamwekomatoke9951 2 года назад
Baba au mama anapokuwa mkopaji saaaana anakuja Kuwa mtumwa wa madeni na kuiahibisha familia yake
@zainabuyassini3095
@zainabuyassini3095 Год назад
Hakuna asie kopa
@DeoKimbe-gt4op
@DeoKimbe-gt4op 3 месяца назад
Hata kwetu jimbo lakalenga balabala ya ipogolo kwenda kilolo
@chasejackson6681
@chasejackson6681 2 года назад
Wabunge wetu wanaumwa ugonjwa Gani? Kweli Kuna wananchi wanaoweza kumtuma mbunge wao akaimbe bungeni?
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Wanaumwa ugonjwa wa akili na tamaa,njaa mbaya zinawasumbua,wanachaguliwa n kutumikia na kuwatetea wananchi wao wanaanza kujaza matumbo yao kwanza,njaa zinawasumbua wanafiki
@chasejackson6681
@chasejackson6681 2 года назад
@@aairraahseif5648 Yeah.Wanadhani tukiwaona wakipiga sarakasi kuimba na kupiga magoti tutawakumbuka 2025. Tusubiri tuone
@fidelisvalelian
@fidelisvalelian Год назад
Kuna baadhi yawabunge inatakiwa wapimweakili Kama waliondoka majumban nakwenda bungen kuimba !! Iyo Sasa niatar
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 2 года назад
KWA UNAFIKI NA UJINGA HUU, I WILL NOT LOVE CCM FOR EVER, UNAFIKI WA NJAA NI HATARI KWA MAISHA YA WANANCHI WANAO WAWAKILISHA
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Hasara kuwa na watu wa aina hii bungeni,linafiki zombi hili,kudhulumu mali za wananchi nakujifanya linaleta maendeleo jimboni,huko jimboni kwake hakuna analolifanya la maendeleo,ni kudhulumu tuu,na kurudisha nyuma maendeleo aliyo yakuta,shule na vituo vya afya mpaka sasa havijakamilika,barabara jimboni kwake hazipitiki,limebakia kelele sauti mbaya kama chura
@abedikimeshu4238
@abedikimeshu4238 2 года назад
Acheni kumsifia mama kwa maslahi yenu binafsi angalieni wananchi wana hali gani sio kila siku mnapandisha vitu bei halafu hela za serikali zinachezewa ovyo kwa kukosa wasimamizi
@iddymbogowogo-yu3gv
@iddymbogowogo-yu3gv Год назад
Nikweli bwana pesa inaliwaliwa hovyo na waliokua wafuasi wa Mzee magu hawana nafasi kwa mama
@leonardalphonce8924
@leonardalphonce8924 Год назад
hvi huyu msukuma amekua mwehu mbona amekua mnafki hvo sawe hata hujui kusoma uwaziri hupewi
@awesuhambal1348
@awesuhambal1348 2 года назад
Bungeni sioni kinachoendelea
@user-eh5bq1kq4f
@user-eh5bq1kq4f 4 месяца назад
مساء النور
@jacobwarieba5841
@jacobwarieba5841 2 года назад
Chadeemaaa gani?.wabunge.wameshafutiwaaa
@msomimosomy9812
@msomimosomy9812 2 года назад
Bnge.hlinilaovyo kb
@daudifrank5886
@daudifrank5886 2 года назад
Jamaa ni linafiki Sanaa hili Hali a msmamo
@richardmagaka9525
@richardmagaka9525 2 года назад
Wamwache mama afanye kazi yake kwa moyo wake na dhamira maana sasa wanamsifu kwa kujikomba tangu lini msukuma afurahie kuinuka kwa upinzani
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
@@daudifrank5886 linafiki zombi hili
@KenedyMawazo
@KenedyMawazo 2 месяца назад
askari nzovwe
@Alex-zu6dd
@Alex-zu6dd Год назад
Save
@user-jy3sh3ns3w
@user-jy3sh3ns3w 5 месяцев назад
Goods msukuma
@abdalahabdalah8160
@abdalahabdalah8160 2 года назад
Mm sisemi
@mgemasteven2193
@mgemasteven2193 2 года назад
hatumuelewiii
@Alexcoster-eu3mw
@Alexcoster-eu3mw 3 месяца назад
Duuuh, hatar sana.
@sadockcharles22
@sadockcharles22 2 года назад
Yanga
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 2 года назад
Tuzo hiyo waperekewe watoto wa marehem magufuri .
@domysulley1887
@domysulley1887 2 месяца назад
Mkafagie vyoo tu nyie wabunge mafuta tuu
@user-xd2tg8eq1h
@user-xd2tg8eq1h Месяц назад
Kila siku magu magu au kwa kuwa mkiristo mwenzenu alah
@kisamurashid346
@kisamurashid346 3 месяца назад
Msukuma yupo vizri aisee
@ridhiwankivugo878
@ridhiwankivugo878 2 года назад
Humo ndan chadema ni nan?
@lovenessmay8075
@lovenessmay8075 Год назад
LAVALA
@dioclesefaustine1076
@dioclesefaustine1076 Год назад
Badala ya kuongea fact bungeni, unatuletea nyimbo za kisukuma bungeni. Wakati wananchi wapo mitaani tu hawajui lile wala hili. Nimegundua ni kwann wasomi uwazalau walioishia la saba. Hivyo kabisa.
@EzraMaliyatabu
@EzraMaliyatabu 3 месяца назад
Mmmmmmh
@jacobwarieba5841
@jacobwarieba5841 2 года назад
Umeshundwaaa tuu autarudi.bungni.tena
@edwardmagige874
@edwardmagige874 2 года назад
kama matoto vile
@user-nb5od8qz1o
@user-nb5od8qz1o 5 месяцев назад
Hy poa
@user-uf9nd4ji5k
@user-uf9nd4ji5k 7 месяцев назад
Sukumaaa
@zainabuyassini3095
@zainabuyassini3095 Год назад
Binadamu bwana ukimsifia inataka uwaziri. Awana lakisema
@fahadmussa8879
@fahadmussa8879 Год назад
Msukuma nichawa ilabungeni sasa hamna jipya kazi yauchawa
@iddymbogowogo-yu3gv
@iddymbogowogo-yu3gv Год назад
Sasa hivi watu wananunuliwa ili wasifiwe hamna kitu hapo mtajisifia sana
@marthadaniel4904
@marthadaniel4904 Год назад
Mmmmmh huy msukuma kumbe mnafik hv namuonang anamsimamo kumbe shinda tupuuu eti lami vijijn wp kuna vijijn hakun maji hakun maji hakun lami mpoo kimasilah yenu wambunge🥲🥲😭
@Maswi-zz9jo
@Maswi-zz9jo 5 месяцев назад
Pg
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 2 года назад
Unafaa kuwa waziri
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Waziri?wee unaugonjwa kama wake,mkatibiwe haraka msije leta madhara kwa wananchi
@komblecharles2777
@komblecharles2777 2 года назад
Mbuge niccm hakuna raha
@HatariLutelemla-zc8ck
@HatariLutelemla-zc8ck Год назад
Kama pesa zipo kila jimbo mbona hazifanyi kazi?
@acrybungabaye9824
@acrybungabaye9824 Год назад
Muongo balabala mbovu
@masungamasanja3296
@masungamasanja3296 2 года назад
I'm
@sibagilepeter9539
@sibagilepeter9539 2 года назад
Kumbe na wewe ni mama sasa soon chadema inaingia madalakani
@zainabuyassini3095
@zainabuyassini3095 Год назад
Mimi sipigii kura chadema na familia yangu. Maana chadema bado sana
@user-xd2tg8eq1h
@user-xd2tg8eq1h Месяц назад
Pumbavu zenu mkubalini samia nyie wajinga acheni udini wenu wa kisenge waislamu kwanini hamuwependi nyie makafiri
@MasalaKilulu
@MasalaKilulu 3 месяца назад
Xxxx
@lucaskashimwita6386
@lucaskashimwita6386 2 года назад
𝐇𝐢𝐯𝐢 𝐰𝐨𝐭𝐞 𝐦𝐧𝐚𝐤𝐮𝐚𝐣𝐢 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐧𝐢 🤤🤤
@rajabuathumani2787
@rajabuathumani2787 2 года назад
kweli shiling inaweza kimfanya mjanja kua mjinga
@JajiMandai
@JajiMandai 4 месяца назад
Yanga
@WilliamSairimo
@WilliamSairimo 3 месяца назад
🎉
@ridhiwankivugo878
@ridhiwankivugo878 2 года назад
Humo ndan chadema ni nan?
Далее
Big Baby Tape - Turbo (Majestic)
03:03
Просмотров 154 тыс.
MGOMBEA USPIKA ALIVYOWAKOSHA WABUNGE, ATUNZWA PESA
14:14