Ama kumbe ujahil wa abujeheli bado upo azi za sasa mwacheza kama harusi. Hata hao walio zaliwa ktk dini wanachanganyika na wanaume HASBIYA Allah waniima alwakil mtulizwa kesho kwa Alla
Jamila uko Na Nini wewe Na Sisi?fuata lako..wivu utakuchoma...Sisi Na mtume Na mtume Na sisi mpaka yawmul mahshar tuingie peponi Na mtume wetu Inshallah wewe baki hapo hapo Na pingamizi zako za khiyana
Asalaamn alaykum bi Mwajuma Nyota mashallah ila mikono yako iko wazi jitahidi kushona nguo ya mikono mirefu pamoja na kina mama wenzangu wote watu wa Maulidi tukijitahidi katika mavazi answar hawatuwezi tuna vitu vingi ikiwemo dua na maulidi
Vazi lenyewe tu ni kipimo, na maulidi zenu hizo. Unapodai hawatuwezi ni akina nani , ni Mola wako mlezi au alieifundisha dini Mtume wetu Mohammad ndie aliekataa hayo bidaa yenu. Stars yenyewe tu mtihani!