Ma sha ALLAAH, ALLAAH SW akuzidishie ilm. Kwetu tunauita, "Shalqeedda" kwa lugha ya "Burji". Makao yetu hasa ni Kusini mwa Habeshi na Mashariki mwa Kenya katika jimbo la Marsabit. Hakuna nyumba au ploti isipokuwa ina miti zaidi ya mitatu ya Shalqeedda (Mringa). Kwetu sisi ni mboga na huwa tunapika karibu kila siku.
Naomba uandike vitabu kuhusu fainda za hizo miti ushapishe kwa lugha nyingi usambaze kwa misikiti na bookshop na watu watanunua sababu ni elimu muhimu kwa vizazi vingi mungu akuongezee hekima zaidi brp
ELIMU NZUR SANA BT NAHOFIA HIZO IDADI YA MBEGU 22 ZA MLONGE MTU ATUMIE ASUBUH NA 22 JION. UKILA NYINGI KWA SIKU NA KWA MUDA MREFU HUWA ZINAPUNGUZA UFANISI WA FIGO