Тёмный

Unajua kwanini mti wa Mbaazi unachukiwa na wachawi? Behind the scene Sheikh Othman akiwa Porini 

Kalamutz
Подписаться 145 тыс.
Просмотров 191 тыс.
50% 1

Sheikh Othman Michael na Jaafar Abdulrahman wakiwa kazini Porini

Опубликовано:

 

27 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 190   
@paulinakiria7918
@paulinakiria7918 3 месяца назад
Mimi shekhe Othman Michael huwa ananifanya niipende uislam nampenda kwasababu ni mnyenyekevu sana huyu kaka mungu akutunze akupe umri mrefu kwa unyenyekevu aliokupa mungu
@suleim505
@suleim505 Год назад
MASHALLAH : Ndiyo maana mimi maishani mwangu mimi najivunia kuwa muislamu,, MASHEKHE WETU : ALLAH AWAPE UMRI MREFU WENYE MANUFAA HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA,, na kila atakaeitikia amin
@KASSIMFUNDSIMU
@KASSIMFUNDSIMU Год назад
Hii video hata wachawi wanaangalia kwaiy wanachukua tahadhar
@saidothman4527
@saidothman4527 4 месяца назад
Amin
@KhadijaMaginya-ie1ir
@KhadijaMaginya-ie1ir Год назад
Allah amrehemu Huyo mzee ampe Nuru njema ktk Kaburi lake . Nawe na ustadh awape nyingi heri
@mshauriibrahimu-ov5fq
@mshauriibrahimu-ov5fq 6 месяцев назад
allah awaongoze inshaallah muendeleee kutupa elmuu inshaallah
@jumamwamreko4683
@jumamwamreko4683 Год назад
Asalam alaykum, shukran sana masheikh wetu kwa kutuonesha dawa za kiasili lkn hamkutuambia jina la mti huo mliouchuna! Tafadhali ningependa mtuambie jina la huo mti. Asanteni.
@makebakelly9935
@makebakelly9935 3 месяца назад
Shehe mimi ni mkenya naumba duwa biashara yangu sipati wateja,,,mambo yangu yote yamekwama.mtoto wangu pia akaa msisha ya kung'ang"ana hadi hawezi nisaidia .naomba dua kwa heshima zote milango yangu ifunguke.
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe Год назад
mashaallah ni kweli Jamani tuisome quran na tuifanyie kazi yani kunasehem ukisoma hata kama ulipon kuna wachawi wengi vihi hawahuwez kwa idhini yake Allah kupitia quran
@ashalaurent2465
@ashalaurent2465 Год назад
Mashaallah Mwenyzi awahifadhi mpaka pumzi zenu za mwisho inshaallah
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 Год назад
Aamin
@saidothman4527
@saidothman4527 4 месяца назад
Amin
@AdamMachano-o2g
@AdamMachano-o2g Год назад
Mashallah nimeipenda sana hii Allah awape umri mrefu mashekhe wetu amin.
@ZainabSaid-m7h
@ZainabSaid-m7h Год назад
Aslam aleyku sheykh othman mungu akuhifadhi inshaa allah❤
@badihamisi1012
@badihamisi1012 Год назад
Sheikhuna, assalaam aleiqum, w,llahi wabaraqaatuh, shuqran wallah kwa tiba nzuri kabisa na nazidi kufwatilia ila nna swali kidogo, je huu mbaazi wenye wamaanisha nihuu wenye sisi wakenya twaufahamu au nigani labda kiuhalisia, afwan.
@rashidimrangi1953
@rashidimrangi1953 Год назад
Shekhe nakupnd san ndugu yangu kwajili ya allah jalla jallalli allah akupe uzima na umri mrefu inshaalalh
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Год назад
Shukraan sana mashekhe zetu Allah awajaalie pepo❤❤❤
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 Год назад
Aamin na ss
@khadeejahrashid3177
@khadeejahrashid3177 Год назад
Masha Allah, sheikh mm nahitaji unitumie huo mti Kenya, ama nije tz kuonana nawe na kuuchukua
@assinaassina1177
@assinaassina1177 Год назад
Shukran ma sheikh Allah awazidishiye kila lakheri
@aminaamina3972
@aminaamina3972 Год назад
Asante Sana Allah akulipeni Duniani na akhera inshallah
@piliramadan875
@piliramadan875 Год назад
Maashaallah maashaallah shekh athman
@ZainabSaid-m7h
@ZainabSaid-m7h Год назад
Mimi natamani nikuone mwanangu lakini mie ni mgonjwa sijui nitafanya nini
@عبداللهالعامري-ل1ع
Asalamu alekum sheikh athuman sheikh jaifar nikepenada sana kumualeza sheikh athaman sheikh mm nimejaribi sana kuwasiliyana na ww hatanikafukasafari kujahuko lakini nalupofika Dar salam mawasiliyano mm na ww ikabadilika sauti ikawa si ww na nalio abiwa nifane yalinishaza sana so vip kukupata
@HalimixHamix
@HalimixHamix 4 месяца назад
Shehe nakuelewa Sana katika tiba kuliko dr sule wallah,,,na Alhamdulillah haina majigambo
@emmysam7938
@emmysam7938 Год назад
Amen watumishi wa MUNGU ❤
@wardawardaarshad
@wardawardaarshad Год назад
Asalam aleykum Allah awahifazi nakila shari nauliza kidogo jee huo mti dukani unapatikana na km upo unaitwaje
@fabianmkimbu880
@fabianmkimbu880 Год назад
Hayo mambo ni ya kishirikina na nimpango wa shetani siyo mpango wa Mungu,mtafuteni Mungu wa kweli uchawi au mapepo hayatakupata.jina la Yesu linatosha maana yeye ndiyo kila kitu.
@thesonstv786
@thesonstv786 Год назад
Akili yenu sijui mnapeleka wapi
@Hawa-z4i
@Hawa-z4i Год назад
Imenibd nicheke😂😂😂
@lallylasly2074
@lallylasly2074 Год назад
Asalam.aleykum shukrann sn SHEIKH othmann ila nashid naww nakupataj
@mejumaashabani203
@mejumaashabani203 Год назад
Asalam aleyku sheykh mungu akulinde
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Mashallah tabaraka llah 🥰🌹❤️❤️❤️
@mrokay1time958
@mrokay1time958 3 месяца назад
Nihatariii poleeeeniii saaaanaaaa saaanaaa
@MwaishambaKipanga-bu9sz
@MwaishambaKipanga-bu9sz Год назад
Allah mubariq shehe wang
@salmashinna7705
@salmashinna7705 Год назад
MashaAllah Allah awazidishie Kila la kheir
@faridaiddi104
@faridaiddi104 Год назад
Allah akuhifadhi vipenxi va Allah
@AllySalum-x3y
@AllySalum-x3y 6 дней назад
nimtiganihuo shekh
@TijaraJuma
@TijaraJuma 2 месяца назад
Axalaam alyekum jaman ni mbaaz upi huu tunay Pand au Kuna mbaaz mwingin
@tawadudihaji3907
@tawadudihaji3907 Год назад
Situnambiwa tiba hyo ni ushirikina vp leo watupo elmu hyo niweke wazi sheikh kipenzi wetu mwalimu wetu
@neemahassan5726
@neemahassan5726 6 месяцев назад
Asalam Aleikum sheikh naomb jina la huo mti naomb sana
@SamaduIdrisa-kp6uh
@SamaduIdrisa-kp6uh Год назад
Masha allah
@nasilmatichomes1949
@nasilmatichomes1949 Год назад
Masha'allah jazaka'allah kheyr,Allah awaongezeni umri
@latifaSeleman-bh8lz
@latifaSeleman-bh8lz 3 месяца назад
Mashaallah
@salmashinna7705
@salmashinna7705 Год назад
Asalmkum shekh hapo kuoga na maziwa ya faa
@Shumy-nw6rm
@Shumy-nw6rm Год назад
Asalam aleikum unaweza kuchemsha mizizi ya mbaazi ukanywa ikasaidia kuponesha tumbo la chango
@amenamaashaallahyasheikh3457
Maa sha Allah
@hassansammy1076
@hassansammy1076 Год назад
Mashaallah ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
@drpaulfullstop1332
@drpaulfullstop1332 Год назад
Mnadaganya nyinyi io ni mti ya mbaazi mmeshika ama doo kumbwa sana
@MohamediMvungi
@MohamediMvungi 2 месяца назад
Tunajiungaje ili kupata elim hi kupitia group ama hata whatssap
@nuriahussen2160
@nuriahussen2160 Год назад
Assalam caleikum sheikh tuletee huu mti Kenya iA
@neemahassan5726
@neemahassan5726 6 месяцев назад
Asalam Aleikum sheikh Allah barik
@piliramadan875
@piliramadan875 Год назад
Tumeona mambo ya dawa Masha Allah
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 Год назад
jamani jamani mimi kutoka kenya ufatiliya makala ya huyu mgojwa hawa ni na ombi kwa nini sheikh wangu hamuungani pamoja mukafunga msafara mpaka kwa hawa mukamsaidia miaka mitatano ni mingi kwa kuuguwa kwa hawa vituko anavyo pata ni vya mazingaombwe basi na waomba kama mume guswa na maombi yangu basi tafadhalini na waomba fanyieni kazi.Kama mimi ni livyo guswa na maradhi ya hawa please.
@hashimswaibu9827
@hashimswaibu9827 Год назад
Ungechukuwa namba zao ukawasiliana nao
@أمنعمان-س4د
@أمنعمان-س4د Год назад
Maasha Allah, kweli hata mm jana naunga mkono Hawa anateseka😢😢😢
@afiahsalmin7508
@afiahsalmin7508 Год назад
Masheikh wa sikuizi kama hauna pesa awakusikilizi waone ivi ivi.....Imani imeondoka kila binadamu yuko kimaslai, nmeongea ivi na sababu
@hidayah3405
@hidayah3405 Год назад
​@@afiahsalmin7508 Kweli kabisa ndo maana swapendi hatari anaweza kwambia hii dawa nzuri lkin ukimuuliza yaitwaje anataka hela tayari kwakweli hawa ndo watakaofufuliwa matumbo ya buruta😏😏
@afiahsalmin7508
@afiahsalmin7508 Год назад
@Hidayah kuna Sheikh mmoja tu uku Mombasa kenya ndio namkubali sanaa....kwanza achukui ata shilingili ya mtu pili ayuko mtandaoni, kwake kwajaa watu kutoka duniani kote na visomo kuanzia usiku sanaa nane after apo dawa yuwatoa bure kulengana na matatizo yako
@mealii5793
@mealii5793 Год назад
Assalamualaikum warahmatulah wabarakatuh shekhe naomba utuonyeshe na majani yake pia😢😢😢😢😢😢😢😢
@HassanNgao_254
@HassanNgao_254 Год назад
Kweli kwa sababu hatujui huo mti vzr
@nehemiaayo9527
@nehemiaayo9527 Год назад
Mmmm hii siyo ni uchawi tu Kama uchawi mwingine Ukweli ni kwamba jina la Yesu ni top katika ushirikina asilimia kubwa uwo Ukweli amtaki kuusikia ila ndivyo ilivyo
@ramadhanshabani9736
@ramadhanshabani9736 Год назад
Ukweli gani?.
@EshaRashid-i9c
@EshaRashid-i9c 5 месяцев назад
Na huuu ukweli wa kua issa n prophet si mungu kwa mana mungu hakuzaa wala hakuzaliwa kwanini usiuamini
@DativaMbowe
@DativaMbowe Месяц назад
Waiz hao
@aminasuleimanmohammed4487
@aminasuleimanmohammed4487 Год назад
Asalam alaykum warahmatullah shekhe jafar mm Nina matatizo lkn sio sahiihi kuongea ktk public media nahitaji no yako au ya shekh maiko
@naomiapoko9404
@naomiapoko9404 Год назад
Marshall
@AhmedNaswagi
@AhmedNaswagi 2 месяца назад
Jina lamuti sheikh
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 Год назад
Jina la mti huo kwa kiswahili unaitwaje nasi tulo mbali tujisaidie tafadhali sheikh wangu naomba utujimbu tujue maana nasi pia tuna madhila sheikh please.
@meekman1805
@meekman1805 Год назад
Sheikh tueleze matumizi ya mbaazi kufukuzia majini au wachawi.
@iphermayd
@iphermayd Год назад
Mtu mkuu n mvujee ama
@ruqaihAA
@ruqaihAA 3 месяца назад
Usthad mm niko na mwanangu yuko na shida ya kuongeaakiongea leo ywaeza chukuwa siku tano ndipo aongee je naezafanyaje naomba unisaidiye
@catherinemhagama7505
@catherinemhagama7505 Год назад
Mie nipo Songea naomba namba ya simu niweze kuwasaidia nawe
@mrokay1time958
@mrokay1time958 3 месяца назад
Kwa mihangahiko ya dawaaaaa
@hashtagdarling4738
@hashtagdarling4738 Год назад
Asalam Alaekum. Shekhe setu. Naomba jina jingine la huu mti mkuu....Sasa sijajua nimkunazi au vp
@rashidmohamed4051
@rashidmohamed4051 3 месяца назад
Sasa huu kwtu Kenya tuaupata VIP na hatujui
@blueberrypotatogames7950
@blueberrypotatogames7950 Год назад
Tunaomba number za simu
@hidayah3405
@hidayah3405 Год назад
Hawa anatesema sana na nyinyi mwajua fumbuo la maradhi yake na nimuuislamu kama nyinyi 4yrs kila siku maumivu tuu hana raha kabisa tunachanga anabasuliwa kila siku lakin hakuna matumaini mbona musiende mujamsaidia na kama mwataka pesa tuko tayari kuchanga tuwalipe basi lakin muokoeni
@mwajabuhassan4673
@mwajabuhassan4673 5 месяцев назад
Anasumbuliwa na nini huyo hawa?
@DativaMbowe
@DativaMbowe Месяц назад
​@@mwajabuhassan4673 hawa siniyule msanii anae umwa kafanyiwa upasuaji ma 21 😢😢
@moddyCheriz
@moddyCheriz Год назад
Shekhe. Unga wakutowa jini mahab nko Mombasa ni pesa ngapi tafadhali
@DativaMbowe
@DativaMbowe Месяц назад
Utaibiwa ela zako wewe
@mateusvianovaaraujo
@mateusvianovaaraujo Год назад
@annalugano5246
@annalugano5246 5 месяцев назад
Mbona hamtaji jina la mti
@magdalenalaban8895
@magdalenalaban8895 5 месяцев назад
Kuna harufu ndani kila siku usiku ni nini?
@shaphaina9941
@shaphaina9941 Год назад
Mti mkuu kwa kisiwani zanzibar unaitwaje ?
@salamaabasi816
@salamaabasi816 Год назад
@ziko lyra mbaaz hiz hiz mbon selew
@kabayesankula7895
@kabayesankula7895 Год назад
Shekhe Namba ya simu nahitaji
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
+255784122858
@MaaneML
@MaaneML Год назад
Mbona mti wenyewe hamuuonyeshi
@barakamwamba288
@barakamwamba288 Год назад
Haaa
@ASUMPTAMWAMLIMA
@ASUMPTAMWAMLIMA Год назад
Nahisi mti mkuu ni mbaazi
@tobiusjtz7607
@tobiusjtz7607 Год назад
Ukwl mtupu
@nawandafamito500
@nawandafamito500 Год назад
Mwanga jini ni, kivumbasi.
@athumanidido3038
@athumanidido3038 6 месяцев назад
Muinga jini
@blondymwaringa
@blondymwaringa Год назад
Huo mkunazi ndio unaitwa mti mkuuu
@Mumewangu
@Mumewangu Год назад
Shekh usiseme wenzetu washirikina itakuwa unajiingiza na we we. Sema washirikina
@KASSIMFUNDSIMU
@KASSIMFUNDSIMU Год назад
Ndugu mbona mbona umendika mumewang Kama jina
@Mumewangu
@Mumewangu Год назад
@@KASSIMFUNDSIMU ndio jina langu sheikh kasim
@beckooh
@beckooh Год назад
​@@KASSIMFUNDSIMU 😂😂😂
@beckooh
@beckooh Год назад
​@@Mumewangu 😂😂😂
@blueberrypotatogames7950
@blueberrypotatogames7950 Год назад
❤❤❤❤❤❤❤
@shifaazawadi4438
@shifaazawadi4438 Год назад
Mti mkuu hauna jina lengine
@Mposa-ds5yq
@Mposa-ds5yq 3 месяца назад
English please
@IssaAlly-lj3iq
@IssaAlly-lj3iq 5 месяцев назад
Tunawaomba mututajie jina lake
@samiath-hr6mt
@samiath-hr6mt 4 месяца назад
tunaomba jina la mti
@Alicia12343
@Alicia12343 Год назад
Nawezaje kupata kuwasiliana nanyi nahitaji msaada wa dawa hiyo
@AnnaRobart
@AnnaRobart 6 месяцев назад
Huo mti unaitwa na unapatikana wap na wap samahan naomben majibu
@hasinaalrahbi6681
@hasinaalrahbi6681 Год назад
Kwa mtizamo wangu huu sio mbaazi
@kimamybeautypoint9656
@kimamybeautypoint9656 Год назад
kweli kbs nmebaki naukagua
@HassanNgao_254
@HassanNgao_254 Год назад
Ata sielewi pia mm ama ni mbaazi gani 🤔🤔
@AbdulRashid-vi1wg
@AbdulRashid-vi1wg Год назад
Uwo mti ndo waitwa mkunazi siyo
@HassanNgao_254
@HassanNgao_254 Год назад
@zikolyra huo ndo mbaazi wenye wazaa mbaazi ama??
@glorysilvan6167
@glorysilvan6167 11 месяцев назад
Mnamaanisha mbaazi zipi hapo mpo porini mbona sijaona mbaazi hapo
@bwanajared9254
@bwanajared9254 Год назад
Msaada wako ni upi sisi tunataka hiyo dawa
@RehemaNyela-ps1tn
@RehemaNyela-ps1tn 7 месяцев назад
Nimekuelewa NaombA namba yako shekh
@blondymwaringa
@blondymwaringa Год назад
Ama ni huo mbaazi
@saidamur5747
@saidamur5747 Год назад
Mbazi.tunazokula Ndo.mtwake.dawa
@fatihamwandoto
@fatihamwandoto 8 месяцев назад
ndio
@HassanHassan-pk8or
@HassanHassan-pk8or Год назад
Mbaazi hizi tunazokula mti wake ndio tiba au mbaazi upi tafadhali nifafanulie
@tatuomary3189
@tatuomary3189 Год назад
Ndio huo huo
@KandiShaffi-yn6th
@KandiShaffi-yn6th Год назад
Mimi sijaelewa mbaazi hupi au nihuu wachapiti na Mbaazi au vipi?
@TrinityYohana
@TrinityYohana 6 месяцев назад
Ukiotaunany0ngwa
@blueberrypotatogames7950
@blueberrypotatogames7950 Год назад
👍🏽🙏💪👏
@HARUSIABOUD
@HARUSIABOUD 15 дней назад
As alykm Shekhe smhn km sikupata huo mti mkuu mbaazi unafaa kufanyA HAYO
@kyaraal2155
@kyaraal2155 Год назад
Mansha Allah
@blondymwaringa
@blondymwaringa Год назад
Ama ni huo mbaazi
@athmanaman4279
@athmanaman4279 День назад
Mti mkuu ni ni mpingo
@rashidswalehmwanjama3404
@rashidswalehmwanjama3404 Год назад
Assalamu Alykum warahmatulah waabarakatuh n mbaaz gani huu
@assfzainab912
@assfzainab912 Год назад
Kweli kila maradhi yana dawa naamini sana hilo hata ukimwi unadawa zake za kiasili
@meekman1805
@meekman1805 Год назад
Jazakumullahu kheyr. Allah akulipeni kheri mufanye tiba kwa ajili ya Allah. Aaamin
@SamuelKobia-iy3fs
@SamuelKobia-iy3fs 9 месяцев назад
mashaallah,allah,awalipe,ningepeda,dawa,yenu
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 4 месяца назад
Sasa huo mti mkuu mlouzungumzia hapo ni m,baazi? Au ni mtihuo mloufata huko porini hamjaeka wazi hapo
@AshuraHassan-w3s
@AshuraHassan-w3s 3 месяца назад
Shegh othman Allah bless you ❤ukiongea huna papara mardhia mashaallah nakupenda bure kaka
Далее