Bunafsi siyo muislam lakini nimeyapenda haya malezi na matumizi ya akili za watoto wetu. Hakika ni jambo jema na fahari umma wa waaminio katika imani yenu. Angekuwa karibu ningempa zawadi hata mimi. Tuwafundishe watoto mambo ya Kimungu zaidi. Amazing....... Wow
Waislamu mko wapi tupongeze kijana wetu kwa mambo ya kheri. Ingekua ni mtoto amehifadhi wanasiasa na wasanii ungeona coment 1k. Tujivunie na Watoto wenye faida km hawa wakuhifadhi Quran. MashaAllah Mungu amulinde mtoto huyo
Richard Soka wewe fala. Mtume wetu Mohammed Salalal aleihi wa salaam. Hakuna sku tutaandika ufupi. MUOB. fatana na mambo ya yesu. Munae muita Mungu wachana na mambo hasio kuhusu. Sis waislam tunajivunia Watoto km huyo unae muona amehifadhi Quran hajahifadhi nyimbo za kwaya ama kipa imara vitu visvyo na faida. Kuja kwangu uone Watoto wa miaka 7 anavyo kuchambulia Quran. Fatana na misalaba
mashaallah,Allah amhifadhi na amjaalie watakao ingia jannatul firdaus na yy in shaa Allah,,, Allah aturuzuku na Sie kizazi bora kama hiki in shaa Allah
Maa shaa Allah Tabarakallah Laahawla Walaquatha Ila Billahi Allah Akujaze kheyr duniani na Akhera na Akuepushe na shari za waja Na watoto wetu Allah Awajalie Khifidhul Qu'an
Faraja Ally @ Amiyn hakika Allah ni msikivu wa dua. kilichopo ni sisi kutakasa nia zetu kwaajiri yake isiwe tuombe kupata maafidh ama sisi kuhifadh kwaajiri ya mashindano laa hasha! bali iwe ni kwaajiri ya kupata ujira kutoka kwake Allah subhaana wata'ala na hayo ndo mafunzo ya deen yanavyosema. ndo maana unakuta kunamaafidh hifdhi zao haziwasaidii chochote katika twaa ya Allah kwasababu ya nia zao katika kuhifadhi Qur'an
masha allah kijan wang allah akulipe gheri za baraka za rahman allah akulinde na kila lenye shari nawe akupe kila lenye kheri na wew amiiiin yaa allah tupe kizazi chenye kher na ss kiwe chenye kuku abud wew allah subhan llah wataala
Masha Allah. Allah ampe ujuzi zaid ya hapo alipofikia. Akasha Daawa. Naombeni mnisaidie mawasiliano ya sheikh Abuu Hamza ambaye kwa mujibu wa maelezo hapo yeye ndiye mwalimu wa Ramadhani Nasri. Allah atakulipeni InshaAllah
Masha Allah Allah akujaalie kila lakher Insh na akuinue ktk kipaji chako uwe miongoni mwa waja wema Insh nass Allah atuongoze amin Allah akulinde na mijicho mibaya yawatu amin akueke Allah hifadhi yake amin
mashaallah mshaallah baraka Allahu akhsanal khalikiin Allah amzidishie pia atujaalie na sisi nguvu na iman ya kuyajua maneno ya Allah kwa ukamilifu usawa km alivyo isoma mtume wetu Muhammad s.w
Masha Allah hv naomba niulize vpaji hivi Allah anavyowajalia watoto wa kiislam husoma ktk madrasa ipi hapa nchini tafadhali naomba nipate mawasiliano ya madrasa hiyo biidhin-llah inshallah nipate kuwacliana nijue utaratibu wao nipate kumleta kijana wng