Тёмный

SULEMAN MAZINGE AKIMFUNZA MURTAD ALI. 

KENYA DAWAH TV
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 448 тыс.
50% 1

TANA RIVER COUNTY DAAWAH PROGRAM.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 587   
@rizone8298
@rizone8298 3 года назад
Mashallah Allah akuzidishie kwa kazi unayoifanya
@fahadjuma5150
@fahadjuma5150 5 лет назад
Jazakallahu Kheyr Sheikh Suleimani Mazinge
@gacalibnuabdiabdi5776
@gacalibnuabdiabdi5776 4 года назад
Sheikh Suleiman mazenge we love you our sheikh
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 5 лет назад
Alhamdulilah, mungu awaongeze watu katika njia ilo nyoka shukran sana mazinge
@rilkabuya6519
@rilkabuya6519 4 года назад
Subuhanallah mashaallah tabarak kweli kabisa shekh wangu u islamu ni dini ya haki
@husseinmwenja4398
@husseinmwenja4398 5 лет назад
MASHALLAH ALLAH AFANYE WEPESI popote penye uzito kwenye kazi hii adhwiiim.....amiin
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Allahuma Amin thenks Alhabib
@iddyamiriiddyamiri4889
@iddyamiriiddyamiri4889 5 лет назад
hussein mwenja muvi
@gerkombo6512
@gerkombo6512 5 лет назад
Pumbav zenu nyie makafir waislam msiekula kitimoto
@leonardmahona4069
@leonardmahona4069 4 года назад
W
@ismaeldaprince4797
@ismaeldaprince4797 5 лет назад
Alhamdhulillah kwa kua ktka dini ya hakhi Allah atujaalie tufe tukiwa waislam
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
Maa Shaa Allah, Allah awabariki Ma Sheikh Wetu, Alhamdulillah.Wanaelewa Hawa ila Ushindani tuu.
@ibrahimiddi3134
@ibrahimiddi3134 3 года назад
Nashkur mungu kunijaalia kuw muislam maana mtihan upo kw wakiristo alaf n wakaid sn ila tuwaombee duwa ipo cku mungu atawajaalia wataslim
@machanomachano2047
@machanomachano2047 4 года назад
Asante sh mange hawajielewi hao uyo yesu nimuungu Mara mwanawamuungu ukweliwao hawause
@waridiwaridi7147
@waridiwaridi7147 5 лет назад
Masha allah Allah waongoze sana mana kazi mnayo ifanya si ndogo kuwaelimisha ao mpaka kuelewa si kazi ndogo
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 5 лет назад
Alhamdulillah Nashukuru Allah kwakuzaliwa Muislm, nipo kwenye dini ya haqak
@sidisaid4833
@sidisaid4833 5 лет назад
Dini ya haki mbele mwenyezi mungu ni uislam si ukresto na si dinii
@mapendomrosso2270
@mapendomrosso2270 5 лет назад
Abdallah Kambangwa >laiti ungejua yale yaletanyo aman ungekuwa huru kama Mungu alimfukuza Luzifa na malaika wenzake wakawa pepo wabaya ninyi mnawaamini kuwa ni wazuri hongereni ndioaana mtume wenu hajui litakalo mpata kwenye kiyama hajui atajinjwa au atakarangwa je? wewe unae jisifia ndini ambayo haina matendo vip hukumu anaetoa ni Mungu peke yake wewe watoa wapi mamlaka ya kumlaani shetani na siyo tu shetan hata wanadamu wenzio unawaita makafiri je? wajijua wewe uko wapi na jee?kesho yako itakuaje? pia mnajisifia eti alie arabuni ni muhamadi kweli kusoma hamjui hata picha hamuon neno "arabuni " maana yake ni "mdhamini" na huyu mdhamini ni Roho mtakatifu ambae ninyi hamuwezi kumpokea maana haonekani
@meshakikigumbi4459
@meshakikigumbi4459 5 лет назад
Abdallah Kambangwa mpumbavu ni mpumbavu tu.
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 5 лет назад
MashaAllah..
@gerkombo6512
@gerkombo6512 5 лет назад
@@sidisaid4833 we ndo fala kweli
@Amakurutv764
@Amakurutv764 2 года назад
Jazak'Allahu Khayran Ndugu yangu
@mamuwashev4772
@mamuwashev4772 5 лет назад
Nilijikuta nasema rahaaaa kwanguvu pare alipouluza laha sio lahaaa wallah najivunia kua mwisilam
@absameosman9113
@absameosman9113 4 года назад
Manshallah sheikh wangu Suleiman mazinge.... Am abig fan of you..... Hapo uliweza n kumwambia almayo ukwli
@mohamedfauz2369
@mohamedfauz2369 5 лет назад
Allah akuzidishiye sheikh Sulaymaniyah mazinge
@munamuhammad211
@munamuhammad211 5 лет назад
Ma Shaa Allah masheik wetu,Allah awalipe fil duniya wal akhera In Shaa Allah.Leo nimekua wakwanza kucommet na wapili kuview
@mudkhamis3078
@mudkhamis3078 4 года назад
Aamin aamin
@awesuramadhan2326
@awesuramadhan2326 4 года назад
@@mudkhamis3078 Assalama Allaykum
@awesuramadhan2326
@awesuramadhan2326 4 года назад
Assalama Allaykum
@yusuphumohammed5833
@yusuphumohammed5833 5 лет назад
shekh mazinge Kauli nzuri tumia, ishaalar kwa daawa yako
@mathiasmpundukwa5473
@mathiasmpundukwa5473 4 года назад
Dah YESU wetu ni mzur sana nawapenda waislamu kwa kua siku moja watamkiri YESU Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yao na kubatizwa kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu sema Amen
@mathiasmpundukwa5473
@mathiasmpundukwa5473 4 года назад
Mungu wa mbingu na nchi ni mkuu sanaa
@leylasalim9380
@leylasalim9380 2 года назад
Hamna muumin wa kweli akakiri ukafir
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
YESU NI MWANA WA MUNGU ABADANI. Makafiri ni nyinyi Waislamu, mmekuja kuwapinga Mungu wa kweli YEHOVA na Manabii wake watakatifu,,, Manabii WOOOTE WANASEMA MUNGU ANA MWANA
@fatumasumish5752
@fatumasumish5752 5 лет назад
MashaAllah Mungu awazidishie elimu yenu
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Allahuma Amin
@bongo3006
@bongo3006 5 лет назад
Jinga ww
@alawibakari7852
@alawibakari7852 5 лет назад
Fatuma Sumish mungu hana mtoto wala mungu haja zaaa wala haja zaliwa wala hafa nani na chochote kile iweje leo hii wa maskofu mna waongopea watu wenu mna wambia yesu nimwana wa mungu
@missfa4650
@missfa4650 5 лет назад
mashallah sheikh wetuu miss u..Allah akbat
@billowali8808
@billowali8808 5 лет назад
Muhimpundu Assiya
@mahdiyusuf3431
@mahdiyusuf3431 2 года назад
Mansha Allah
@swalehabdulkarim4265
@swalehabdulkarim4265 3 года назад
Yeyote aliyesikia almayo akisema sheikh masenge gonga like hapa
@suleymanally4729
@suleymanally4729 3 года назад
Chezea kubanwa nn 😂😂😂😂😂chaajab kitab nichao lkn wanafundishwa
@mgazaathumani3446
@mgazaathumani3446 5 лет назад
Eeeh mola wetu ALLAH mtukufu muumba wa vitu vyote vilivyopo duniani tunavyovijua na tusivyovijua hakika viumbe wako si wakamilifu tunaomba utusameh madhambi yetu
@Sisterjemi1
@Sisterjemi1 2 года назад
Yuko wapi hatumsikia tena
@mohammedzyenhassan1401
@mohammedzyenhassan1401 5 лет назад
Allah akuzidishe Hekma sheikh Mazinge
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Allahuma Amin
@sadockchaz5665
@sadockchaz5665 5 лет назад
Mbowe
@gerkombo6512
@gerkombo6512 5 лет назад
Upuuzi mtupu
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 4 года назад
Waislamu tumshukuru mungu katupa hidaya tumekuwa waislam. Tuwaombee wengine nao waione dini ya haki.
@nurudinamchome6852
@nurudinamchome6852 5 лет назад
Maashaallah Allah wajaze kheir wahadhir wetu Aaamin
@hamidurumanywa5023
@hamidurumanywa5023 4 года назад
Allah awajalie mwisho mwema na mdumu ktk kaz yake aamina
@najmaalzaabi8385
@najmaalzaabi8385 5 лет назад
alhamdulinllahi kuwa mm ni muslim kwakweli wenzetu mmepotea mnajiaibisha tu
@mudkhamis3078
@mudkhamis3078 4 года назад
Hongera sna najma kwa kushkuru kwahilo, hakuna dini ya kweli ispokuwa ni uislam pekee
@danielmsafiri8635
@danielmsafiri8635 4 года назад
Unajiabixha ww
@egetinginyemachoka2726
@egetinginyemachoka2726 5 лет назад
Asante sana Mazinge niko nanyinyi.
@amashamnemwa3484
@amashamnemwa3484 5 лет назад
Maashallah
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 4 года назад
Wamejichanganya kisawa sawa ndugu zetu. Mimi huwa sijui wanamuomba mungu au yesu? Haina mantik naona. Mungu awaongoe.
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 лет назад
Masha Allah, hongereni masheikh kwa kazi nzuri mnayoifanya , Allah awajaalie mwisho mwema yaa Rabbi
@neelamrassul4224
@neelamrassul4224 5 лет назад
Allah hakujalie mwisho mwema ustadhi mazinge
@mapendomrosso2270
@mapendomrosso2270 5 лет назад
ukhty sakina
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 лет назад
@@mapendomrosso2270 uso haya n wewe mpotevu unojipotosha
@mapendomrosso2270
@mapendomrosso2270 5 лет назад
ukhty sakina @ asante kwa kujiona unajua kumbe unaungua na jua tatizo elimu ya dunia ni tofauti na elimu itokayo kwa Mungu .yiyi hata jina la Mungu hamlijui mmebaki uitia cheo tu ukubalini wokovu utokanao na injili acheni kungangania dini tena mnasema eti uislamu ndiyo dini sijui hata kama mnajua maana ya uislam kama mngejua mgekua vielelezo vya kuwahubiria watu injili ya wokovu aliyoiitia Mungu ili watu muache mambo ya dunia mumfwate yeye aliyewaumba na kuacha kujisifia kansu na vibarakashee ambavyo nje mnaonekana wasafi lakini moyoni ni wachafu wenye kumtukana Mungu na weye majivuno iweni wapole kama huwa na wanyenyekevu kama lilivyo jina la wislamu mmejaa matuzi weye kuhukumu kana kwamba ninyi hamjawahi kukosea kiongozi wenu hajawahi kurudi akawaambia kwamba mpo sahii sisi tunao mwamini Mungu kwa njia ya imani katika jina la Bwana Yesu tunauhakia na ujaziri wa kujivunia jina la Bwana maana yeye ndiye yule jana leo na hata milele alisema na adamu kwa neno alisema na Musa kwa neno na manabii wote mwisho akajidhihirisha kwa mwili aliouumba ndani ya tumbo la bikira mariamu ili kwa huo mwili ufanyike sadaka ya kulipa madeni ya watu wote katika dunia wale watakaoiamini injili na kuliamini jina la Bwana kisha kajitoa nafzi yake ili Damu yake iwe dhabihu safi mbele za Mungu / ukweli kimwili alikua mwanadamu asilimia mia ila Roho alikua Mungu na dio maana alisema sisemi mimi bali Baba ndie anasema ndani yangu tatizo watu masikio magumu na mioyo ni migumu laiti mngejua kusoma mngeelewa lakin kusoma hamjui mpaka msomewe na wasio na uelewa tangu lini kipofu akamwongoza kipofu mwenzake ? mmebaki kubishana na kuongea hata mzicho kielewa mnashangilia sijui huwa mnaitwa mzikitini mnaambiwa kesho tutakuwa na mkutano mjitokeze kutushangilia kana kwamba mpo kwenye mechi ya simba na nyanga badilikeni na mwombeni mungu awafungue macho na masikio na mioyo yenu maana Nabii isaya anasema watu hawa wamefungwa macho yao yanatazama hayaoni masikio yanasikia hawaelewi na mioyo ni migumu hawaamini .
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 лет назад
@@mapendomrosso2270 yani cna mda wa kusuma hii comment yako na cna mda wa kubishana nawe so fata dini yako niache kwenye dini yangu tusibabaishaneee
@daudimmary3965
@daudimmary3965 4 года назад
Allah ilinde dini yako, hakuna wa kuivunja hali ya kuwa watakao taka ivunja ni wanadamu ulowaumba mwenyewe, yaarabu nashkuru kuniumba nikiwa ndani ya dini ya kiislam na unifishe ndani ya dini hii iliyo ya khaki.
@idrissajumakona5871
@idrissajumakona5871 5 лет назад
ماشاءاللہ
@brightonwashira5420
@brightonwashira5420 5 лет назад
Uslaam raha
@nsabimanahussein6054
@nsabimanahussein6054 5 лет назад
kuwa mwisilamu nilahasana namushukulu mungu kuona mm nimwisilamu asantii mungu
@issakabwende5083
@issakabwende5083 5 лет назад
Ukweli ni kwamba dini nyingine tofauti na uislam ni dini babaishi historia zake ukichimba ukweli ni maslahi ya watu uislamu raha bana ni universal na uko uniform kila pahala watu waswali wakitamka na kusoma aya zile zile historia yake ni Allah mwenyew uliza about kristo utapata ushahid wake maskini wamepotosha adi utume wa issa aleiykh salaam afu wanakaririshwa hawajitambui mpk papa kiongoz wao anawakana na kusujudu ila hawaelewi yan
@emanuelmsigala4033
@emanuelmsigala4033 5 лет назад
Kumbuka Mungu hakuleta dini
@zamzamahmed5718
@zamzamahmed5718 4 года назад
Hahahaha mashaallah sheikh mazinge nakupenda sana ndugu yangu
@kimsi682
@kimsi682 Год назад
Ushawahi fanya kazi kwa Mall of America?
@yahayazedy9779
@yahayazedy9779 4 года назад
Manshaallah Allah awalipe kwakazi kubwa mnayo fanya
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 5 лет назад
Jazaakumu llahu khayra
@failunajuma4507
@failunajuma4507 5 лет назад
Imamu Online Tv uislam rakhaa sanaa
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 3 года назад
Jadhaakallahu kher
@mohammedzyenhassan1401
@mohammedzyenhassan1401 5 лет назад
Muovu hukimbia Mezani pasipo fuata na mtu bali sisi Waislamu ni wajasiri kama Simba ..May Allah bless all Ummah of Muhammad(p.b.h)
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
hakika....Allahuma amin
@AishaAli-lk7gh
@AishaAli-lk7gh 5 лет назад
amin thuma amin
@fadhilihamidu6156
@fadhilihamidu6156 5 лет назад
Kila lahle waslaamu mungu atujalie tuwe watu wa peponi
@shabanihusein8341
@shabanihusein8341 5 лет назад
Jazaakumu Allahukhairi.
@mudkhamis3078
@mudkhamis3078 4 года назад
Aaamin aamin
@hashimmhashim2663
@hashimmhashim2663 5 лет назад
جزاكم الله خير
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
amin
@Hoodoayaan2000
@Hoodoayaan2000 4 года назад
Mashalaah
@hashimmhashim2663
@hashimmhashim2663 5 лет назад
ماشاء الله!
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
TabarakaLLAH
@pungopungo411
@pungopungo411 Год назад
Hao kiboko yao ndacha
@mohamedwario8368
@mohamedwario8368 3 года назад
Masha Allah
@fatumarashid8001
@fatumarashid8001 5 лет назад
MUNGU AWASAMEHE KWA KUPOTEZA WATU WA MUNGU MAZIGE NA WEZAKO ASIRA YA MUNGU HITAWAKA JUU YENU NDIPO MTAKAPO JUWA KWELI YA MUNGU ....
@wazaitunikajagwe4274
@wazaitunikajagwe4274 5 лет назад
Uislam raha mno☝️☝️
@abdiosmail4653
@abdiosmail4653 2 года назад
MashaAllah
@shishshikoh4979
@shishshikoh4979 5 лет назад
Kila mtu ni kiumbe Cha Mungu lakini wanaosikia neno na kutii amri za Mungu ndio wana wake.....na Yesu ni mwana wa Mungu...
@wondersmotivation5543
@wondersmotivation5543 5 лет назад
As salaam aleykum,,,,Allah awape ufafanuzi kwa kila watakalo,,,washushiye ujasiri kwa lolote watendalo,,,In shaa Allah,,,
@mnyamwezionlinetv3998
@mnyamwezionlinetv3998 5 лет назад
Waalaykum salaam Aamiin
@saidahmed9688
@saidahmed9688 Год назад
muhadhara mzuri
@fatumamroki2716
@fatumamroki2716 3 года назад
Allah akuhifazin inshaAllah
@mohammedzyenhassan1401
@mohammedzyenhassan1401 5 лет назад
Uislamu Neema
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Naam
@martinmkoba361
@martinmkoba361 5 лет назад
Waisilamu mmebaki kushangiliwa tu,ukisikiliza mada waisilamu mnashindwa kazi kutukana
@mucomwizaruqaiyah4064
@mucomwizaruqaiyah4064 5 лет назад
Mazinge wew kipoko 👌👌
@myself4128
@myself4128 4 года назад
Unawaona waislamu wanamcheka.Muhubiri sababu mapepo yamewatawala.masikini wanangojea jehamanamu tuuinasikitishaaaa
@frankjohn8570
@frankjohn8570 5 лет назад
hawa jamaa wapotoshaji wanatumia ujanja kama nyoka,waanabadilisha maneno kiujanjaujanja wanasoma sawa wanaeleza tofauti kidoga kama nyoka wa edeni alivyomdanganya Adam ,lkn tatizo ni kutokumjua MUNGU muumbaji kwamba anaweza yote hakuna jambo gumu LA kumshinda MUNGU, bora kumjua Mungu wa Lugha zote kuliko kuamini mungu wa lugha moja
@munezeroamida2102
@munezeroamida2102 5 лет назад
ManshaAllah😍
@kasimulamadhani3735
@kasimulamadhani3735 5 лет назад
Mashaa Allah
@martinouma8163
@martinouma8163 4 года назад
inasikitisha xna kuona mkristo anamwacha yesu aliye Mungu wa kweli na uzima wa milele na kwenda kusilimu , mimi nina swali moja na ambayo imewashinda waisilamu wote kujibu, the question is just simple if Allah is the god that people must worship, please give provide me with a verse from Quran that says Allah is the true God and eternal life?? I can change my faith and become a Muslim at any time
@richadamsmovementstv9723
@richadamsmovementstv9723 4 года назад
Mashaallah
@amanchidundo2849
@amanchidundo2849 5 лет назад
Ndugu zangu Waislam mnamkataa Yesu Kristo,ghadhabu ya Mungu itakaa juu yenu. Msifanye mioyo yenu kuwa migumu,wakati ni sasa.
@siwemasadiki1316
@siwemasadiki1316 5 лет назад
shida sio kukataa shida n kubeba imani bla akili tutakubali vip akat maandko ya kwenye bible yenyewe hayajasema yesu n mungu someni jmn
@bwegelanyakhaido3088
@bwegelanyakhaido3088 5 лет назад
aman chidundo hakuna undugu kati ya mkristo na waislam
@bigmapesa1449
@bigmapesa1449 5 лет назад
Kwanza kuzaliwa mwislamu raha mangine yanafata mashallah
@siwajibufarida3428
@siwajibufarida3428 5 лет назад
Mbona raha kuwa mwisilamu jamani kila kitu sawa
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
ni neema kubwa sana kuwa muislam
@mapendomrosso2270
@mapendomrosso2270 5 лет назад
Siwajibu Farida .ndio ujue watu wanapotea kwa kukosa maarifa kila kitu wanashabikia hawaeleweki wako upande gani kwe shetani amewakalia kila kona ndio mana wakiwa wanaswali wana angalia kulia kushoto maana kuna majamaa yako pembeni yana waongoza
@josephosborne3818
@josephosborne3818 5 лет назад
Kuna Raha gani,,mbona wako waislamu tupu??wangemkaribisha na mchungaji Daniel Mwankemwa anayewaelimishaga
@mudkhamis3078
@mudkhamis3078 4 года назад
Hapo hata aje mchungaji gani basi uislam utabaki kuwa ndodini yakweli tu
@benardagira8659
@benardagira8659 2 года назад
Kwani sauti ikitoka mawinguni inamaanisha Mungu anakaa mawinguni? Hapo sauti ikitoka kwa spika inamaanisha mnenaji anakaa Kwa spika?
@dereverommy1732
@dereverommy1732 4 года назад
Hongeren allwa atawalipa
@Hoodoayaan2000
@Hoodoayaan2000 4 года назад
Alaahu akbar
@minanichris4303
@minanichris4303 4 года назад
Mubishabe amamuache nyote wawili siwaamini najuwa .Mungu ana dini
@eastafrica6858
@eastafrica6858 3 года назад
Ingekua mmungu hana dini asonge teremsha mitume na kukataza mabaya tungekua sawa na wanyama
@sirpaindakiseya697
@sirpaindakiseya697 4 года назад
Mnakufuruuu nyiee
@iddiseleman396
@iddiseleman396 3 года назад
Kweli njaa zinawapeleka makafr
@dastaniguni5599
@dastaniguni5599 4 года назад
Hahahahahah Mazinge hiyo Mistali bhana
@nin-geed-saaran
@nin-geed-saaran 5 лет назад
Haki uislamu ni raha 🇸🇴🇸🇴
@salmaalkyumi2270
@salmaalkyumi2270 4 года назад
Salallahu Alaihi Wasalam
@cosmasmasawe9875
@cosmasmasawe9875 5 лет назад
Upotoehaji huuu waislamu
@godisgreat1845
@godisgreat1845 4 года назад
Wakristo hamuoni aibu wachungaji wanashindwa kutetea Imani yenu
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 5 лет назад
Hhhhhhhh absolutely true, wanaenda tu kwa sabbu ya pesa.
@mgazaathumani3446
@mgazaathumani3446 5 лет назад
Maana watu wanapotosha watu kuwa Kuna dini nyngn Zaid ya uislam..... tunaomba utusameh mola wetu ALLAH mtukufu
@pubghackermatch9011
@pubghackermatch9011 5 лет назад
Nashukuru MUNGU kwa kuniumba mkristo na kunipa upeo wa kuweza kusoma na kueelewa maneno yako pasipo kubabaika,, naamini YESU ni mwanao na umenena kwa kinywa chako japokuwa shetani anainua watu na kutaka kupotosha wenzao.... Mazinge kaka yangu labda nikuelekeze unapoisoma biblia usisome kama unasoma gazeti na hii nasema na waislam wote. Biblia sio gazeti kuisoma kwake kunatakiwa utulivu wa akili kwa hali ya juu ni hilo tu
@paixpong7426
@paixpong7426 4 года назад
Pastor mazinge Umetoa neno lenye Moto ndani yake. Pia wokovu ni neema kwahio usipate tabu watakao sikia watakombolewa
@mohammedbemunda878
@mohammedbemunda878 5 лет назад
Mazinge kasilimu mwaka wa 2000 na kafanya mengi ya kumridhisha Allah je mm na wewe tumefanya nn kwa dini ya Allah
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 лет назад
Ali Murtad ni mlevi maana analotamka haieleweki,kweli njaa ndio inawapeleka kanisani
@issackmohamed479
@issackmohamed479 5 лет назад
I bless Almighty Allah 4 being been a muslim
@myself4128
@myself4128 3 года назад
Allah is great he aint almighty Keep worshipping that arab idol.. I feel sorry u have just inherited an idolatery Cult,the day muslims realizes that stone they been kissing all the time is actually their god it will be too late cuz mohammad just created allah
@shabanimiraji5388
@shabanimiraji5388 5 лет назад
Uislam rahaaa
@mchricharderickmtoni438
@mchricharderickmtoni438 5 лет назад
mazinge na hao wafuasi wake wote moto unawangojea nyinyi....
@bwegelanyakhaido3088
@bwegelanyakhaido3088 5 лет назад
Richard Erick kwann unasema ivyo
@oliviakemuto1412
@oliviakemuto1412 5 лет назад
Hawa waislamu wanajisifu kwamba wao ndo wamjua Mungu kwani nani kawambia,sisi wote tuasubiri Mungu mwenyewe atuhukumu
@mchricharderickmtoni438
@mchricharderickmtoni438 5 лет назад
Kwasababu anapotosha watu.....
@eastafrica6858
@eastafrica6858 3 года назад
Ww utaingia motoni kufata wazungu wako kuabudu binadam hata cc wailam tunaujua yesu ni na bii hata kat guruani yupo na mmungu ni huyohuyo mmoja ukiwa ukiwa hufatilizii utaona hawajui dini kumbe ww umepoteaaaa maskini mazinge kashtukaa kaona ataingizwa motoni mmungu kampenda ww endelea kuabudu mipicha ya yesu wa kizungu mcheza filamu
@eastafrica6858
@eastafrica6858 3 года назад
@@oliviakemuto1412 mmungu ni mmoja angekua mwingine tusinge ona ktk quruani yesu aliandikwa na mama yake ila wazungu ndio walibadili dini ya yesu kua sio wana isrzel walimpiga wakasulubu paulo akasema yesu mungu yy yesu hajasema yy mungu aliomba msada bada ya kusulubiwa na katahiriwa hv mungu anatahiriwa huo ni kukufuru
@mohdeddy123
@mohdeddy123 5 лет назад
Hiiii jamani hawa wakristo ndo tuseme hawajuwi kama ni mungu mmoja au hawanaadabu wataadhibiwa kesho akhera wache tu
@minaminaa1669
@minaminaa1669 5 лет назад
wadanganywa kanisani
@mapendomrosso2270
@mapendomrosso2270 5 лет назад
Mohd Eddy > ukweli ni Kwamba Mungu ni Mmoja nae ni Roho asiyeonekana tatizo ninyi wanadamu mnapenda kushabikia Nino la Mungu kanakwamba mpo kwenye mechi ya zimba na yanga badala mwelimishane kwa upole na unyenyekevu ninyi waislamu mnajifanya mnajua sana na hakuna mnacho kijua kumkana Yesu ambae manabii walitabiri habari zake leo mnajifanya mnawaamini manabii na mitume wote hali walitabiri habari zake Yesu aliye fanyika dhambi kwa ajili ya Ulimwengu wote leo mnamwona zii kitu sijui kama tangia umezaliwa ulisha chinja mnyama yoyote kwa ajili ya dhambi zako kama inavyo agiza torati ya musa kama hujafanya hivyo unasubiri nn
@gerkombo6512
@gerkombo6512 5 лет назад
Muumin wa kweli wa mwenyezi Mungu lazima ale kitimoto kama huli wewe mdo haramu kumshinda hata nguruwe
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 4 года назад
Kama upo na ROHO MTAKATIFU unaweza elewa otherwise msijisumbue kuelewa utatu huu maana HAMTAKAA MUELEWE MPAKA SIKU YA HUKUMU MTAKAPOKUTANA NAYE AKATI HUKU MNAMKANA
@mbidadaud1256
@mbidadaud1256 4 года назад
Waislam Leo mnamkubali Paulo neno arabuni halijatumika kama nchi ina maana ya rehani,amana hiyo aya igeuze kwa kiingereza sehemu arabuni utaona imeandikwa Guarantee
@libentchristopher9448
@libentchristopher9448 5 лет назад
Ahaaaaaaa,,,mazinge
@najmaalzaabi8385
@najmaalzaabi8385 5 лет назад
takbiiiiiiiiiiil
@jahbless4063
@jahbless4063 5 лет назад
Najma Alzaabi Allah akbar
@fadhilajumamswali2032
@fadhilajumamswali2032 4 года назад
Najma Alzaabi allahuaqbar
@knifensharper2725
@knifensharper2725 4 года назад
Maashaah
@assfzainab912
@assfzainab912 3 года назад
Wanadamu wengine wamepotea et mungu anamtoto pole sana mungu akuongoze INSHAALLAH
@hamisimuhammad6225
@hamisimuhammad6225 2 года назад
Yan Hawa makafiri hawajielewi ndy maan wanajiongelea tu
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Ile Sauti iliyotoka mawinguni niya Mungu Baba mwenyewe akisema Yesu ni mwanawe,, Luka 3:21-22 21 Ikawa, watu wote walipokwisha kubatizwa, na Yesu naye amebatizwa, naye anaomba, mbingu zilifunuka; 22 Roho Mtakatifu akashuka juu yake kwa mfano wa kiwiliwili, kama hua; sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe Mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa nawe.
@amourjamal7292
@amourjamal7292 4 года назад
Waislaamu Amna chochote kabsa Nimeamini.!
@hildababyabdullah5627
@hildababyabdullah5627 5 лет назад
Mashaallahu
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 лет назад
Yaani raha jaman dini yetu tamu karibuni kwenye uislam dini ya haqi
@minaminaa1669
@minaminaa1669 5 лет назад
waislamu raha 😊😀😁😁
@joelgodia5559
@joelgodia5559 5 лет назад
hatuwalaumu ila ninyi taelewa mnamwabudu marehemu Muhammad dipo hamweleweki.Tena bila Yesu kristo jehanam
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 лет назад
@@joelgodia5559 sisi tunamuabudu Allah hatuabudu kiumbe kama vile mnavoabudu nyie
@mgunduzimedia364
@mgunduzimedia364 5 лет назад
Ivi maana ya mabishano haya ni nini maana awa ni watu wa dini alafu nashangaa wanabishania dini Hamjui dini sio kwajili ya kukosoa nikufundisha na kuelimisha
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 5 лет назад
MashAllah
Далее
WEWE NDACHA NITAKUUA MIMI NATISHA //Prof MAZINGE
29:23
Просмотров 358 тыс.
KUKURU KAKARA ..  MAZINGE VS PASTOR
33:37
Просмотров 148 тыс.
Kanisa La Ibilisi Part 3
23:53
Просмотров 332 тыс.