Yani wa tanzania bila kupromote ushirikina SubhanaAllah hamupati furaha,yani mumkosea Mola kisa kupata views,hamuna maegizo mengine ila ushirikina tumuogopeni Mungu kuna na kesho tutajibu nn kama waigizaji na watazamaji,poleni kama nimewakosea ila ni nasaha tu
new subscriber ....ila kidogo uaga siielewi swala ilo la uchawi kwenye filam aswa za kitanzania ....: mchawi anapiga kelele kwa kicheko kikubwa ...mganga ivo ivo mpaka jini Bado kelele izo izo ....nielewesheni watazamaji ndivyo tafiti Zina vyosema ??