Clam ni ushauri 2 cnow mnapata veaws nyingi kiufupi mpo juu kiasi Fran.... Bs jmn mpendezesheni huyo dada kdg awe nakamuonekano fran hivi!!!! Km wale wadada wa Mr big big
Kweli Wanawake dhaifu warahisi kudanganyika na hivyo ndivyo Hawa alidanganyika akaleta Dhambi duniani ona alikuwa Kesha danganyika akataka kufungua chumba sasa Kama kungekuwa na mzimu humu ndani ungefanyaje
Kila kitu kina sababu hio ilikua n sababu tu,ilikua ni mipango ya mungu awalete duniani Ili tuzaane na ndo mana ukazaliwa na wewe, bila ya huyo Hawa kuteleza wewe usingekupe na kuanza kukoment Leo hii