Mapigano makali kati ya M23 na jeshi la serikali likishirikiananna wazalendo yaendelea kwenye milima ya NDUMBA wilayni Masisi Kivu Kaskazini mashariki mwa Congo.
Sasa ndege za vita zinalala kwanini?? watoto ya watu wakiendelea kufariki??😮 lakini hatahivi kuna siri kwamambo hayo 😢 wazalendo Mungu awashindaniye kwa hilo taifa lisilo tahiriwa😢😮
Wanyarwanda ni wahangaishi kweli. Nasikia kushangaa namna roho ya wizi inaweza toa watu kwao kwenda iba mali ya inchi zingine. Wanakubali kufa ku wizi na wakijidai eti ni wa panafricanist. Akili sawa hiyi ya viongozi wa Rwanda haisaidie ku maendeleo ya Africa.