Тёмный
No video :(

MUAMMAR GADDAFI: Mkuu wa Ujasusi wa UFARANSA asimulia walivyomgeuka - Na DJ Sma 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 47 тыс.
50% 1

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 251   
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Год назад
Dj smaaaa mungu akulinde miaka 1,000. Achna na hao ma untfuse cause hauwajuwi tu hata usingewajibu sasa nakuambia hao ni mashoga na manyangau meusi (wanazi weusi) hivyo wanateseka kuona bosi wa mashoga wote duniani Biden (marekani) anachezea za mbavu so piga chini ngombe hao wanatupotezea time endelea leta fact tunakuelewa asilimia 99.9%
@erickabel6201
@erickabel6201 Год назад
😂😂
@MasudiNsengiyumva-wq6bv
@MasudiNsengiyumva-wq6bv 9 месяцев назад
Asalam Mwalykum, Dj smaa, asante kwakutehelimisha, naomba na kipindi ka Mobutu wa Zaïre
@HudumaBlack-se6xb
@HudumaBlack-se6xb Год назад
DJ SMA Ubarikiwe sana. Makala yako huwa nayapakua na kuyapichaka kwenye flash disk ili niwe nayafuatilia muda wote maana unatoa elimu kubwa sana.
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 11 месяцев назад
Gaddafi always in my heart I cried that day I remember I was so young I kept his pictures in my laptop up to today 😢
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td Год назад
DJ sma no1 from 🇧🇮👊 nakupenda san nakutakia maishamalefu nakuombeaushi myakabuku 1000❤❤❤
@hemedtawah4130
@hemedtawah4130 Год назад
Nakusikiliza sana from Spain. Kazi safi sana. Uchambuzi mzuri yakinifu. Salute
@aminielkombe66
@aminielkombe66 Год назад
Kazi nzuri Jumaa,, hawa wanaoandika vitabu vya historia za maisha wanaboa kweli,, unajuta then unauza kitabu
@trendz_2548
@trendz_2548 Год назад
DJ Sma wafanya kazi nzuri sana. Nafatilia toka Kenya
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Год назад
Binafsi huwa naumia kuona viongozi wetu wa kiafrika wanavyojipendekeza kwa wazungu wakati wanajua kabisa kwamba wao hawana rafiki wa kweli bali masilahi binafsi
@user-te6lr9ez9p
@user-te6lr9ez9p Год назад
Bruh keep it up sana. Sisibinadamu tupo wagumu kuelewa endelea nakutupea ukweli love from Kansas 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 let’s goooooooo kk mku
@amaradiombera2198
@amaradiombera2198 Год назад
Mr facts DJ sma thanks 🙏👍 🇲🇱
@fauziaalmaamry8360
@fauziaalmaamry8360 Год назад
Brother tunakushukuru kwa kutuchambuliya habari nzuri sana tuna faika na malezo yako mimi natoka Oman
@newttechog75
@newttechog75 7 месяцев назад
DJ SMA maneno ya hao protestors yasitupeleke tuweke kwenye reli vijana wa taifa la sasa tuje kujenga afrika yetu bora❤
@abdinoorkamau9745
@abdinoorkamau9745 Год назад
Sorry bro Kenya tunakupta loud and clear may Allah give strength and God bless u bro💪💪💪🙏🙏
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Год назад
R.i.peace Gaddafi, watching n listening from Bahrain.❤
@AbumishAbu-cz9su
@AbumishAbu-cz9su Год назад
Bro hii niliiona iliniuma sana kama mzalendo wa Africa
@MohamedHasan-kt4lw
@MohamedHasan-kt4lw Год назад
Big up Sana bro KAZI nzuri endelea nalo achana na vibaraka ambao wataka kukuvuruga
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 Год назад
I support you very much with your research and translate of many controlvential issues
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Год назад
I was watching this malema's speech today😢😢
@cbpassociate7503
@cbpassociate7503 Год назад
All the way from Mozambique
@zayneryassin6054
@zayneryassin6054 Год назад
Mimi najiuliza sipati majibu ivi viongozi wa africa atakama ni viziwi atapicha hawaoni inauma sana yani 😢😢
@ballackenock
@ballackenock Год назад
Kaka viongozi wetu tulisha wapa mamlaka,wanajari familia zao na ndugu zao
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 Год назад
Maamuuzi ya viongozi wetu yanatoka Amerika Afrika bado hatujapata uhuru.
@tatujuma8781
@tatujuma8781 11 месяцев назад
Viongozi wa kuramba wazungu matako
@georgewmk7601
@georgewmk7601 Год назад
ivi unasomaga izi coment lakn? We endelea kusimulia tu achana na watu wanaolalama , siku zote huwez kuungwa mkono na kila mtu
@jotafungo4622
@jotafungo4622 Год назад
Niko na Wachina hapa wanamlilia Gadhaf
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
❤ djsma inaumiza kichwaa na mtu au watu wanao kusumbua Sana sisi Africa ni wanafiki kukosoa kazi nzuri waende kwenye chanel za udaku wajitafute huko huku kazi ya kukutumia hela ya bando
@salehemohamed2937
@salehemohamed2937 Год назад
Safi sn,achana nao hao wazushi.kazi nzuri kwa kweli.
@iddimoshi8459
@iddimoshi8459 Год назад
I am your Huge fan now
@khamisshee803
@khamisshee803 Год назад
Waalekum musalam bro Aka bachuchu Mombasa 001 🇰🇪🔥🇰🇪🔥🇰🇪🔥
@jumaciza461
@jumaciza461 Год назад
Saport from Burundi 🇧🇮🇧🇮
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 8 месяцев назад
DJ Sma wafanya kazi nzuri sana unazidi kuwafunguwa watu macho
@dreamtvtz283
@dreamtvtz283 Год назад
Ongera sana mwamba nimekubali sana nakupata toka US
@heliudjulias7748
@heliudjulias7748 Год назад
Dj smaa achana na anti fyuz niwa puuzi hata uki mpa kitu gani bora hawezi jua samani yake nakupa mauwa yako kazi nzuri good job
@allykirunginyamka9171
@allykirunginyamka9171 Год назад
Ndio Afrika yetu, unayo tetea. Afrika bado sana. Sio Mrusi, Mmarekani na wazungu kwa ujumla. Wapo kimaslahi.
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 6 месяцев назад
Hawa majamaa hawafai hata kubaki katika dunia yaleyo coz fitna yao nimbaya sanaa Allah mrehem kiongozi alijitoa kuisaidia afrika kwamoyo moja kwa kweli ❤
@user-eo6ou4zd4d
@user-eo6ou4zd4d 6 месяцев назад
Bro,naelimika sana kupitia makala zako. Nimeweza kuwajua viongozi wetu wa Kiafrika na Wazungu. Ubarikiwe sana.
@user-sv7uu3xw1r
@user-sv7uu3xw1r Год назад
Dj Sma Gaddafi wa muwaa nato; mimi moçambique
@raphaeljickson9476
@raphaeljickson9476 Год назад
Daaa! Mungu tunusilu waafrica
@lourykibudu6180
@lourykibudu6180 Год назад
Hakuna nguvu yoyote ya binadamu itaangusha maamuzi ya mungu gadafi kwa sasa huenda anakula matunda yake peponi just imajin pia kwa sadam hussein naye the same and then kwa sasa walibya wako kwenye majuto makubwa sana tusubiri mda utaongea dj sma big up sna coz fact zimenyooka but home work tulitee stori ya kweli ya kifo cha mkwawa je ni kweli alijinyonga au aliuwawa na wa jerumani maana kuna pure history na impure history hatujui ipi ni ukweli pia tunataka kujua ni kweli mirambo jina la kweli ni issa au ndo udini mwingi search it
@fatmaabeid9668
@fatmaabeid9668 Год назад
Nakukunali💯👏
@jamesgabriel548
@jamesgabriel548 Год назад
Dj sma🔥🔥💐💐
@shaiduna
@shaiduna Год назад
Ebeana Saudi yako kama hussein bashe waziri wa kilimo😂😂 I love your contents tho my guy keep up the good work we together on this journey
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 Год назад
Asante ustadh smaaaaa ❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-nd1pu8wx7k
@user-nd1pu8wx7k Год назад
🎉kaka dj smaaaa upewe mauwa yako Mimi ni John kutoka buza kwasasa Niko pande za sinza uku job kaka Asante kwakutuelemisha kaka ongera sana kaka
@mwaminiesperance6276
@mwaminiesperance6276 Год назад
HOOO GOD THIS PEOPLE AS DONE A LOT IN AFRICA. AFRIKA KWAPAMOJA TUNAWEZA KUBADILI UUWAJI WAKIKATILI KWAWENGINE ASANTE KAKA MIMI NA FWATILIA KUTOKA CONGO 🇨🇩 DRC
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 Год назад
DJ Smaa kunawatu watakubali unalolisema siku ukifaa hivi bado unapumua watapinga tu kuna mtu mmoja alikua anampinga sana Magufuli enzi za utawala wake lakini juzi hapa nimesikia anamsifia na kumpongeza
@kingmtetezi6670
@kingmtetezi6670 Год назад
Dj smaa wewe ni mtu sana kaka Allah akupe umri mrefu uendelee kutupa madini from Mwanza nakupata vyema
@youngbona3804
@youngbona3804 Год назад
💯🔥🔥🔥👏
@ballackenock
@ballackenock Год назад
Barikiwa sana Dj sma,endelea kutuelimisha
@sammysammy2001
@sammysammy2001 Год назад
Angalia sahiii wanavyo teseka walio muuuwa..watu wa mungu hawauwawi😢😢😢😢
@yuahahmad6651
@yuahahmad6651 Год назад
Dj smaaaaaaaaaaa nakutakia maisha marefuuuuuuuu
@othumanahmad
@othumanahmad Год назад
Asante kaka
@lonsman
@lonsman Год назад
Watching from Nairobi, Kenya
@erichakizimana6024
@erichakizimana6024 Год назад
Good good brother ❤❤🇧🇮
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Год назад
Malema namuelewa sana
@FurahaEliya-df5fo
@FurahaEliya-df5fo Год назад
Kaka mbona unapenda kulalama? We songa mbele tunakuelewa wanaosema kinyume chako achana nao kwani kila kitu kwenye hii dunia kina changamoto zake, lakini pia ili ufike mbali zaidi lazima ukutane na upinzani wa aina fulani, "either kukosolewa kutukanwa n.k." na ukiona kitu chochote unachokifanya hakina changamoto yeyote, basi achana nayo kwa sababu inawezekana sio chenyewe au hakifiki mbali ndio maana hakina upinzani wa aina wowote. Hivyo Mimi ninakushauri songa mbele tu acha kusikiliza wakatisha tamaa kwani ndio muundo wa dunia ulivyo. Mbali na hilo binafsi mm nakuelewa sana nipo kasulu-kigoma.
@brunoh_bx
@brunoh_bx 8 месяцев назад
Point sana hii sijui km amesoma yaan me binafsi huwa napenda anachokifanya ila ananiboa mara nyingi analalama hadi inakuw inaboa😮 ashushe nondo tu watu tutoe comments zetu kulingana na mitazamo yetu
@stellah3844
@stellah3844 Год назад
Dj Smaa❤❤❤❤ achana na hawa vichwa vigumu kuelewa kwan wanafata nini kwenye makala yako kama wakiskliza wanaumia,,kwan siwaskilize contents nyingne mbona zipo nying sana
@nmasare9364
@nmasare9364 Год назад
Bro mi nasemaga wewe ndo Mkuu wetu wa kikosi nakukubali sana
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Год назад
DJ Sma nakubali sana binafsi naona viongozi wetu wengi wa Afrika ni wanafiki si wakweli kabisa na hawasimami kwa niaba ya raia wake bali kwa masilahi yao na masilahi ya wazungu ili tu wawalindie siri zao
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 Год назад
Dj SMA we andaa content, hao jamaa ant fuse tuachie sisi, maana wengi washapulizia zile perfume alizokamata mh. Mwakyembe
@ramahfingika15
@ramahfingika15 Год назад
Dj sma,pamoja sana tunakukubali sana mashabiki zako, usitumie muda mwingi kuwa defend vichwa vigum Sisi twende mbele
@dominickchristopher1669
@dominickchristopher1669 Год назад
Mm Dominick kutoka Rukwa mungu akubaliki sana
@maxiellmillians9pl278
@maxiellmillians9pl278 Год назад
Wakina nani wanakusumbua ??? Dj wetu tuwa peleke🔥🔥
@nicholausmlaponi8588
@nicholausmlaponi8588 Год назад
Kaka hao wengine Wana wivu na kipaji chako,Basi usiwe una Wataja unawapa mairege za bure wa kaushie big up na kukubali maokoto Yana kuja
@rajabuhamisi2769
@rajabuhamisi2769 Месяц назад
Sitaki kuwalaumu sna viongozi wa Africa shida ni sisi wa Africa sisi ndio tunauwa viongozi wetu wengi ni wanafki.
@ibrahimurembo7397
@ibrahimurembo7397 Год назад
Watakuerewa siku moja Africa
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb Год назад
Mwamba tunakuelewa achana nao hao wagaigai from 🇬🇧
@tausijarufu
@tausijarufu Год назад
Panama 🇵🇦
@erickselei3426
@erickselei3426 Год назад
Go go go go djSmaa
@abuubakarhaji2078
@abuubakarhaji2078 Год назад
Dj smaa sis tunakuelewa asi kuelewa usimueleweshe but Allah akupe afya njema ili uzidi kutupa Habari
@zaitunifamao7777
@zaitunifamao7777 Год назад
proud of you Sns
@nassoloabdala8836
@nassoloabdala8836 Год назад
Mm niko Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@KIDEMA
@KIDEMA Год назад
My broo usikate tamaa kwa wapuuzi manao jiona wanajua
@danielmjinja2033
@danielmjinja2033 9 месяцев назад
Mkuu ungejikita kutoa simulizi, hizi za kuchamba wanaokuchallenge zinaboa wasikilizaji makini. Pia elewa mtu mwingine hii ndo video yake ya kwanza kutoka kwako, so achana na habari za kuconect na stories za nyuma. Asante.
@Alkebu_lan22
@Alkebu_lan22 Год назад
Fuse is the brain banger🔥💪🏾🙌🏾
@user-uc5yb7ij5n
@user-uc5yb7ij5n Год назад
From znz unguja
@ZeraGeofrey
@ZeraGeofrey Год назад
🔥🔥
@maubusiness2409
@maubusiness2409 Год назад
Nipo Dar es salaam nakufatilia sana mimi Maulidi Adam Mrisho
@abdulbandidu119
@abdulbandidu119 Год назад
It's your tech Dj Sma.
@amadecassamo1606
@amadecassamo1606 Год назад
Uko vzr
@IrineJulius
@IrineJulius Год назад
Dj sma wasikukatishe tamaa hao anti fuse hawana lolote na hawajui wanachokifanya halafu labdahao wanatumiwa na France
@Dokson5817
@Dokson5817 Год назад
Dj smaa long live endelea kutupa chai y’a moto. Alaf kaka mkubwa achana n’a hawo wanaotaka utafsri neno kwa neo
@patriciatumain172
@patriciatumain172 Год назад
Hao wanaosema video Ile ya waziri toka Italia wajinga tu dj smaa God bless you am from Moshi kilimanjaro
@talents7934
@talents7934 Год назад
DJ smaa Huna Baya kaka🖤🖤🖤🖤💪🏿
@ibrahimkitumbo3761
@ibrahimkitumbo3761 Год назад
Bro tunakuelewa sana mungu akubaliki
@aby.beka1630
@aby.beka1630 11 месяцев назад
unatujuz meng san tusoyajua asant sn broo~
@salumunsabimana6502
@salumunsabimana6502 Год назад
DJ S achana na watanzaniya hata mungu anajuwa kawaumba ni watu mbumbumbu hata ukiwaambiya nini hawaelewi wameenda shule lakini hamna kitu kazi uhasidi na maneno mengi ya ujanja na utapeli hilo wamejaliwa
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 Год назад
Kaka daa ukwel toka nikufatilie hakka naona viongozi wa africa wanadeni kubwa kwa wananchi wao kwa n usalit dhid ya maisha ya waafricaa
@pongezimwakyoma5505
@pongezimwakyoma5505 Год назад
zako tia maji, all the way from singida
@charlesgabriel4918
@charlesgabriel4918 Год назад
Bro upo vizuri,wanasema ukitaka kujua mtu mwenye akili,ni pale tu anapoanza kuongea,bro una akili pana sanaa na hii uwa ni talent kutoka kwa mungu tu, bro una kipaji na ume barikiwa, ata wanao kupinga awawezi,hao siku zote uwa wapo, ni kama kina lisu enzi za jpm,leo wanataka kutembea mlemle,.bora mungu akunyime ,,,,, akupe akili..wenye kukupinga hata 23% ya akili awana,wasubilikufuata mkumbo tu kwa baba zao wanao wapa ef 10, na kuwa badisha akili,wasipo pinga watafukuzwa
@hatungimanajamali
@hatungimanajamali Год назад
DJ sma tupe madini nakukubali sana
@issaabdi9129
@issaabdi9129 Год назад
Huyo mzee aliemgeuka qadaff yy mwenyewe maisha ameshakula. Nani amuone saa hii labda anaokota mikebe huko tripol.
@user-yk7ff9ks6q
@user-yk7ff9ks6q Год назад
Waafrika tuamke tunatumika kuua viongozi wetu
@isikesamike
@isikesamike Год назад
R. I. P. The Legend Gaddafi
@sayshabani6350
@sayshabani6350 Год назад
Myaka mingi sana Dj
@mussamkanga3329
@mussamkanga3329 Год назад
Dj smaa sisi wana fyuz tunakuelewa sana NAKUOMBA achana nao walokuw hawakuelwi usiwajibu....
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Год назад
Wazungu hamna kitu hawana kitu kbsa sisi ni rushwa na ubinafsi ndio inaharibu na viongozi wetu ni wakunyongwa maana hata kwenye dini yetu ya kiislam rushwa ni adui
@ABDULCOSTA
@ABDULCOSTA 26 дней назад
Dj, Sma achana na hao wajinga wachache wasio na fikra zao wenyewe, kwa sisi wenye akili timamu tunakuelewa vizuri sana, "well done! And be blessed. We are together with you!
@oscarmangwangwa3865
@oscarmangwangwa3865 Год назад
Kamanda chapa kazi achqna naazuzu, Elimisha jamii.
@user-js2fs2lv2h
@user-js2fs2lv2h Год назад
😢😢😢 inaumasana
@user-jz3yn7vy1d
@user-jz3yn7vy1d Год назад
Nakuelewa Sana Dj smaaa
@IzzahBoe-to8ng
@IzzahBoe-to8ng Год назад
🦅🦅🦅
@andrewngarya6293
@andrewngarya6293 Год назад
Sema nasi achana na hao watakuumiza kichwa🙏
Далее
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
Просмотров 57 тыс.