Тёмный

JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO 

AL FATAH TV ONLINE
Подписаться 98 тыс.
Просмотров 60 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 330   
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 Месяц назад
This guy is always right! Nyerere wanted to be a leader of Africa hakutoshekaa na Tanzania.
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 5 месяцев назад
Kunamijitu inaumia sana yenye sura za manyan unapo ongelewa ukweli kama huo..lakn kama yanaumia yakajinyonge na laana ziwashukie..
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 5 месяцев назад
Hayati Jumbe alikuwa na sura kama unayosema lakini alipambania Zanzibar iwe nje ya muungano sasa iwe vp mtu mwenye sura ya mtu Kama wewe kuchonga umbea kupelekea Jambo azimu unalolitaka kushindwa? Labda Kuna mambo yapo nyuma ya pazia mliyonayo nyie wenye sura za watu tofauti ya Zanzibar huru? Ni ya namna gani hiyo ikiwa mwenzene alibutua sahani ya chakula kizuri Cha Wazanzibar
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 месяцев назад
Muhamad hicho ni kisiwa cha watumwa na wewe mwenyewe umezaliwa ndani ya utumwa huna hyjui hata kabila lako zaidi ya kiarabu na kiswahili hujui ba hujasoma na umezaliwa mwaka 2000 nenda zako na ujinga wako umetawaliwa na ubaguzi wa rangi na kabila
@hassanbilali1697
@hassanbilali1697 5 месяцев назад
Nimeona nilijibu kwa kukuonya lugha yako chafu na hata maadili huna wewe umejiumba mwenyewe kwa hiyo wenye sura mbaya wamejivisha vinyago. Angalia lugha yako Hujafa Allah atakupa usilolijua na laana ikarudi kwako. Omba msamaha kwa Allah na usirudir tena.
@Hongkongman2
@Hongkongman2 5 месяцев назад
Wacha ikufe kwa roho zao mbaya Imekalia ujambazi tu hiyo
@edwinmbelle4207
@edwinmbelle4207 5 месяцев назад
Tuwe na upendo suala la kuwaweza Watanganyika ni kama shilingi kuna pande mbili , Akishika Mtanganyika mjiandae kuvumilia tuache kashfa, leo ukicheka jiandae na kilio pia !
@geey7893
@geey7893 4 месяца назад
Kwanini Huwa inaonekana ni dhambi Mtanganyika kuuponda Muungano lakin Mzanzibar akiunanga Muungano inaonekana ni Haki???
@eliajimmy95
@eliajimmy95 4 месяца назад
Sasa sijui hizi lawama unampelekea nani wakati anayeshikilia huu muungano kwa sasa ni Mzanzibari mwenzenu Samia
@awadhally1052
@awadhally1052 4 месяца назад
😂😂😂😂wame changa nyikiwa hawa
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 4 месяца назад
Wanajua wanachokitaka alafu Kama hawataki vile .. 😂😂😂😂 ... Dah!, kweli mtu anaeongea Sana mara nyingi haitimishi kwa vitendo, ..
@AlbadawiyHaji
@AlbadawiyHaji 5 месяцев назад
Njia ya kuipata Zanzibar ni moja tu kuwa wakweli Wazanzibari na kumuelekea Allah naamini Zanzibar itajitawala tu
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 5 месяцев назад
Unataka ijitawale mara ngapi hiyo zanzibar
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 5 месяцев назад
Kwana hawana Allah ubaguzi mkubwa
@edwinmbelle4207
@edwinmbelle4207 5 месяцев назад
Uchoyo na ubinafsi na uroho wa madaraka ,
@111dudi
@111dudi 5 месяцев назад
Njia ya kwanza ni kujuta kwa waliyoyafanya 1964, na wawe qanaomboleza kila mwaka,badala ya kujivunia, kutoa neno "mapinduzi" ktk kamusi zote, kuvunja sherehe ya mapinduzi,na kusherehekea siku ya uhuru, kutoa vielelezo vyote vya uongo vinavoonesha utumwa wa waarabu, kwa sbb biashara hii hata mabwana zao wazungu na wahindi waliifanya.
@edwinmbelle4207
@edwinmbelle4207 5 месяцев назад
Ijitawale mara ngapi, na Tanganyika je acheni uroho dose ya mtu mzima hawezi kupewa mtoto
@fidelisferuzi5503
@fidelisferuzi5503 5 месяцев назад
Masuala ya kiutawala ni mapana sana. Mbali na udugu kati ya watu wa Tanganyika na Zanzibar kuna suala la usalama. Kila mmoja anamtegemea mwenzie. Ukiangalia kinachoendelea HAITI sasa hivi utaelewa. Tuwe na shukurani na tupambane kizalendo kuboresha muungano wetu. Haya mengine hayana maslahi kwetu.
@ChristopherMgoli
@ChristopherMgoli 4 месяца назад
Upo Sahihi Sana Kwa Hilo
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
Hiyo sio hoja.suluhu ni serikali 3
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 4 месяца назад
usalama
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
@@edwardmkwelele ndio maana wanashauri kuwe na serikali tatu.Mfano sijui wa haiti ni hoja mfu isiyo maana yoyote.
@nsajisambi3417
@nsajisambi3417 4 месяца назад
Mbona sudan waligawinya kusini na kaskazini kama kuna kero kwann kila mtu asishike zake
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 5 месяцев назад
Muungano uvunjwe tu, ila hawa ccm ndo wana ushikiria, asilinia kubwa ya wazanzibar hawataki huu muungano, hata mimi muungano siutaki abadani hauna maana, Huyu mzee anasema kweli kabisa
@MackameHassani
@MackameHassani 4 месяца назад
Ukiangalia kwa undani Wazanzibar hawautaki huu muungano kbs kbs jmn!! Wengi wetu sisi Watanganyika sisi hatuna makelele wala maneno km hawa wenzetu. Km hawautaki basi wapewe n nchi yao tuu jmn.
@111dudi
@111dudi 5 месяцев назад
Zanzibar ilijitawala na serikali iliyochaguliwa na wazanzibari ni kuanzia 10Dec 1963 mpaka 12 Jan 1964.ukaja utawala wa kumwaga damu mpaka 26Apr 1964, baada ya hapo ikarudi kutawaliwa.
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 5 месяцев назад
Exact Na utashangaa eti kuna wazanzibar wakisikia haya hua wanasapot watanganyika
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 5 месяцев назад
Kuna Watanganyika hapa kwasasa wanapewa kibali cha hapa na wameshaanza kumiliki ardh ccm oyeee nipo pale nasubiri hatma ya wazanzibar 2030
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 месяцев назад
​@@Lundege_Hips Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar sio kosa akikidhi vigezo ikiwa ni pamoja na kuwa Mkaazi wa Zanzibar kwa kuishi miaka 3. Sote ni Watanzania tofauti ni kwamba Mzanzibar ana HAKI zote Tanganyika siku yoyote akifika huko.
@kasimkassam9565
@kasimkassam9565 5 месяцев назад
je ni kitu gani ambocho tanganyika inafaidika na hawa wazanzibari kwa nini huu mungano ufiriiye mbali hawa wanzanzibari ni watumwa wa kiarabu
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 5 месяцев назад
​@@Lundege_HipsHataaa tafadhali sio ajabu ya wale waliotaka Sultan awepo madarakani na kukutaa mapinduzi Kwenye nyoyo zao ambazo zimepigwa muhuri wa mapenzi ya minyororo ya Sultan...
@zuwenasaid9707
@zuwenasaid9707 5 месяцев назад
Msijali wazanzibari wenzangu iliyopita ni dhulma ila msisahau mfundisho yetu yanasema hatozidisha chochote idhalimu ila hasara ila dhalala hakuna kinachodumu chini ya jua ni suala la muda tu hata kama itapita miaka 100 znz itapata uhuru wake tena mungu huleta mkombozi kutoka katika jamii ya hao wakandamizaji na dalili ipo hivo ndivo Mungu anapoleta nusra yake .
@EmmanuelSanga-u4e
@EmmanuelSanga-u4e 5 месяцев назад
Nimekupenda bure ila ongeza Elimu ya Alh kulikoni ya hii dunia
@awadhally1052
@awadhally1052 4 месяца назад
Kwani zanzibar ni yenuu au ni mwarabu alipita hapo akaacha machotaraaa kwenye ni Arabuni. Sio zanziba 😂😂
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 5 месяцев назад
Mambo haya ya Jussa ebu yaungane na yale ya comde Lissu wa CHADEMA. Majuzi kati alipotamka hadharani kwamba kuna madhaifu makubwa katika katiba ya muungano na kwamba katiba inaleta ubaguzi na hivyo kutokuwepo haki kwa pande mbili za muungano, alilaaniwa sana tena kupitia bunge la jamhuri na wanasiasa wa bara ambao hawasomi historia isipokuwa ni wataalamu wa uchawa wakiongozwa na NAPE MNAWIE.
@josephatmwambega2874
@josephatmwambega2874 4 месяца назад
TX
@rahimahamad1016
@rahimahamad1016 5 месяцев назад
Mimi namkubali sana Jussa na nafatilia sana vitabu ila Watanganyika waelewe kama Zabzibar sio huru na Tanganyika sio huru maana wanaogopa hata kujitambulisha kama wanatoka Tanganyika na kuielezea nchi zaliwa yao (Watanganyika ni waoga na wao hawana uhuru amini hivi)
@hancymtembo1870
@hancymtembo1870 5 месяцев назад
Hakuna mtanganyika anataka muungano kwa lipi Zanzibar lililopo, Zanzibar hakuna chochote, hakuna mtanganyika anafaidika.
@hancymtembo1870
@hancymtembo1870 5 месяцев назад
Hamjawahi hata kuandamana manapiga como tu
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 5 месяцев назад
Zanzibar has her own constitution,which provide her House of representatives with instruments to enact laws.Why is it that Zanzibar is not free? Secondly,if it is true that Zanzibar has not ratified the Union agreement with Tanganyika why are the Zanzibar people in the Union for 60 years?
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 4 месяца назад
Academic argument!
@eliajimmy95
@eliajimmy95 4 месяца назад
Hawa wazanzibari kwa sasa wasitudanganye wao ndio wanufaika wa muungano wangekuwa sio wanufaika huyu mama kwa sababu ni Mzanzibari mwenzao angekuwa ameshauvunja huo muungano
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
​@@eliajimmy95muungano una utaratibu wake wa kuuvunja.kwanza unataka Rais jasiri na mwenye uwezo na hekima na busara ya hali ya juu sana.Ila huu muungano haufai na hautendi haki kabisa kwa pande zote.
@suleimanmohammed5344
@suleimanmohammed5344 Месяц назад
​@@eliajimmy95Samia anaanzaje kuuvunja muungano wakati yeye ni namba moja ya mnufaikaji mkubwa wa muungano kwa sasa, hata ungekuwa wewe au mimi huwezi kuuvunja wala kuusema vibaya😂
@suleimanmohammed5344
@suleimanmohammed5344 Месяц назад
​@@MathewNathan-yb2bzumeongea point ya maana.
@gmarwapanoceanictz
@gmarwapanoceanictz 5 месяцев назад
ASANTE kwa historia nzuli. Lakini kwa sasa tuishi kwa wakati. Hata YESU alivyokuja ndugu zake hawakumuelewa. we should now live on contemporary history not as previously one. should you suggest anyone? Sawa Zanzibar wafanye kurejea maridhiano...poa tuu. haliihitaji somo. kama wana muda poa. waaheni wananchi waamue sio wanasiasa tuu.
@alindurya2852
@alindurya2852 5 месяцев назад
Mama Samia amewaweza sana watanganyika
@maisarirajab4846
@maisarirajab4846 5 месяцев назад
Sasa ikiwa yote hayo ni mipango ya muingereza ivi tutatumia njia gani ya kuipata zanzibar
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 5 месяцев назад
Hakika umeweka bayana ya audui mkoloni ambaye wengi hatumjui na huenda tunamkwepa kumuhusisha na KERO NA MATOKEO YA MUUNGANO tangu ushindi wa vita ya pili ya dunia Hadi kuja kumpoteza Mjerumani Tanganyika na kupoteza tena Sultan Unguja na Pemba kisha kuunda mifumo yake ambayo leo hii Waandishi maarufu na hodari wa siasa za mapinduzi Afrika hapa bara na visiwani hawaelezi isipokuwa kama wanafurahia upande fulani ikionekana ndio walioshika muhuri wa wakutaabisha mwingine laa hasha huu Ni muendelezo wa ila za mkoloni wa Ulaya ambaye alimtoa Sultan bara Arab ambako biashara chafu ya watu na vingine ilishakomesha kwa misingi ya dini hivyo wao ndio waliyomteua mtu wao kufanya naye biashara huku bara Zenji Kisha mabadiliko ya siasa za dunia walimuondosha kwa mikono yao kisha kukimiliki kisiwa na bara huku kwa namna waipangayo ...
@alibaba-mc6cf
@alibaba-mc6cf 5 месяцев назад
Njia ya kuigomboa Zanzibar ni wazanzibar kuwa wakweli na wasimamie kauli moja tu bila ya kujali itakadi zao za kisiasa au masilahi binafsi nayo ni Zanzibar kwanza .biidhin lahi tutafanikiwa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 месяцев назад
Maisarir wewe hujui siasa kuwa ni mchezo mchafu wewe unapenda kurudi utumwani usiwe mjinga wenzio hao wanasiasa wanataka vyeo acha kupenda utumwa hapo ulipo hujui hata kabila lako wewe mtumwa tu tulia Hussein Mwinyi aitengeneze Zanzibar njema
@HilmiHilal-g8j
@HilmiHilal-g8j 5 месяцев назад
@@margarethpolepole7438 Akili kisoda kabisa! huo ndo ukomo wako wa kujenga hoja au una maslahi binafsi? kwa ulichokiandika hapo wewe ni either mnafiki mwenye maslahi binafsi dhidi ya Wazanzibari au ni mtumwa wa fikra kwa kiwango cha juu kabisa! At least unapokosoa jambo kama hili la maslahi makubwa ya watu basi kosoa kwa hoja sio unazi!
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 4 месяца назад
@@margarethpolepole7438kuma la Mama ako Mmbwaa wewe Mtoto wa Malaya hatukutakini Zanzibar
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 3 месяца назад
Shida km ni family za kizanzibar muwe na makubakiano sacrifice family ziliko Tanganyika ziwe za Tanganyika na Zanzibar ziwe Zanzibar wachache Wanaka kuwa raia wa Tanganyika or Zanzibar wapewe passport ya Tanganyika na wanzanzibari wapwee passport za Zanzibar
@geey7893
@geey7893 4 месяца назад
Angalia tunavochafuliwa na Wazanzibar kumamake. Halafu sisi tukizungumza Tunasutwa na watanganyika Wenzetu Mazwazwa wachumia tumbo. Nyerere anasemwa anatukanwa anabezwa na hakuna anayetoka hadharani kukemea. Kumaanina haya mambo yanaudhi. Ukigusa Zanzibar watu wanakujia juu kisenge. Mungu yupo
@idahkyusa3170
@idahkyusa3170 4 месяца назад
O,
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 4 месяца назад
Hizi chokochoko zitaisha siku tukiwa serious yaani tuichukue Zanzibar moja kwa moja kama Crimea iliyochukuliwa
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 5 месяцев назад
Mungano Mungano mpk wametuondoshea passport zetu saiv tunatumia Tanzania 😅
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 5 месяцев назад
Ah tena ndo usiseme apo wametuondoshea mamlaka yote
@bindawood978
@bindawood978 5 месяцев назад
Kila lenye mwanzo na mwisho wake upo
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 месяцев назад
Hapa ndio kosa letu lilipo kuingiza siasa badala ya ukweli. Wakati tupo kwenye Muungano iwe kwa hiari au lazima HAITAWEZEKANA kuwa na passport, USA ina state 52 zenye mamlaka ya ndani kama ilivyo Zanzibar lakini USA ina Passport 1 tu. Uingereza ina nchi 4 England, Scotland, Wales and Northern Ireland lakini kuna Passport 1. Hivyo tuachane na Muungano tupate Passport. Lakini kuna mambo ya kutafakari pia kabla ya uamuzi huo juu ya hatma ya Wazanzibar waliopo Tanganyika ambapo Wazanzibar wengi wapo Tanganyika na mali nyingi zisizohamishika. Pia kabla ya 1964 hadi 1980's Wazanzibar (Waunguja na Wapemba) kila mmoja alikuwa kwao lakini leo tupo pamoja na hasa Unguja je tutakubali tuishi kwa uwiano visiwani petu? Zanzibar ni ndogo sana sio tatizo kwa Watanganyika waliopo Zanzibar kurudi kwao na Tanganyika haitahisi kwamba wamepokea mzigo hasa kwa vile Watanganyika waliopo Zanzibar hawana mali. Jingine malipo ya Watumishi koplo wa JWTZ analipwa vizuri kuliko Meja general wa vikosi. Kubwa kuliko yote nani atalipa passion yya Wastaafu .
@ebonybhoke5321
@ebonybhoke5321 4 месяца назад
Hebu ondoa Tz Port ujue km unajulikana wapi duniani
@kingnyamafutv8646
@kingnyamafutv8646 4 месяца назад
Nzanzibar nikisiwa sio inchi jamani harufu wasitokee wetu wakavuruga mungano huu nzuri kwa maneno maneno ya uragai wazee watu walikubaliana vizuri
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 4 месяца назад
Hebu jifundishe kuandika kwanza kuma la mama ako
@suleimanmohammed5344
@suleimanmohammed5344 Месяц назад
Unavyojua wewe haswa nini maana ya nchi? Kwa hiyo visiwa vya Madascar, Mauritius, Comoros sio nchi hizi?
@suleimanmohammed5344
@suleimanmohammed5344 Месяц назад
Nakutajia baadhi tu ya nchi maarufu duniani ambazo ni visiwa (eneo lake limezungukwa na bahari) Japan, New Zealand, Iceland, Phillipine na Indonesia (visiwa vya indonesia ukubwa wake ni mara 3 ya eneo la Tanganyika yote)
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 5 месяцев назад
Sasa MWINYI na samia wote SI wazanzibar wambieni watangqze kuvunja mungano mbona jambo dogo😂😂😂
@straitnews3441
@straitnews3441 4 месяца назад
😅😅😅😊
@raymrash
@raymrash 4 месяца назад
Wafanye su!
@awadhally1052
@awadhally1052 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂huyuu kavimbiwa urojooo yaheeeee
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 месяцев назад
Hongera sana Jusa vunjeni muungano. Sasa kwa nini sasa hivi Samia hataki KATIBA ambayo tunataka Inchi tatu. Ili Zanzibar iendelee kuwa Inchi kamili. Na Tanganyika irudishwe kama wanapenda jina la Tanzania basi wajibatize kuwa "Tanzania " waweze kusema zamani tuitwa Tanganyika na sasa tutaitwa Tanzania. Si wanaipenda? Lakini siyo kulazimisha na kuchukuwa uhuru wake kwa nguvu ati Tanzania ni muungano waksti ni unafiki wa CCM na watawala wake wanapenda sifa za unafiki.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 месяца назад
Watanganyika ndiyo wanafiki wakubwa ndiyo sababu Watanganyika wanaona dhambi kubwa kukosoa muungano. Kuficha unafiki watu
@maisarirajab4846
@maisarirajab4846 5 месяцев назад
Km kuna kitu cha kukuombea zaid ya dua bc ningekuombea lkn sina ila nakuombea mungu akupe umri mrefu na afya njema
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 5 месяцев назад
Amin yaarabbi
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 месяцев назад
​@@saeedmassoud256 Amin
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 месяца назад
Kwani kufufua makubari kunaubaya gani? Kutokufufua makuburi ni unafiki. Kwa kweli watawala wa Africa udictator ni mwingi sana.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 месяца назад
Ni kweli Jussa tumeishi katika uongo tangu kujifanya kuungana. Mimi nasema tumeishi kwenya unafiki
@YussufKhamis-n4c
@YussufKhamis-n4c 5 месяцев назад
Bwana Jusa unataka mungano wa Zanzibar India . Acha kurembusha macho , hujui hata unalosema unatafuta gia TU ya maisha .
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 месяца назад
Kweli kabisa kuna watawala wa TANU baadaye CCM ni wababe wa kutaka kutumikisha wanainchi. Kwa sababu watawala wengine walikuwa wanataka kutawala wengine tu.
@issakhamis9581
@issakhamis9581 5 месяцев назад
Aminn
@nsajisambi3417
@nsajisambi3417 4 месяца назад
There are arguments of this called Union of Tanganyika and Zanzibar, First off all there was no referendum from people of both part whether to unite or not it was just the vision of the leader from Tanganyika and other leader was threaten if he decide not to unite, so there are Griaviances from both part of union Mainland and islands
@abuumadesign8095
@abuumadesign8095 4 месяца назад
Haya masalia ya warabu laana ya ubagizi inawatesa yani shida yao sio uzanzibar bali wanataka wapewe zanzibar ili wawanyanyase ngozi nyeusi
@awadhally1052
@awadhally1052 4 месяца назад
😂😂😂hawa machotara wanashida sanaaaa
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
​@@awadhally1052zanzibar wana haki ya kujitawala.kuendelea na muungano ambao hautendi haki ni dhuluma na ujinga.
@nsajisambi3417
@nsajisambi3417 4 месяца назад
Acha ubaguzi wewe kwa hyo anyamaze tu kama hana ubongo au amekatwa kichwa?
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 5 месяцев назад
WEWE JUSA MBONA WEWE SIO MNZANZIBAR.. SI MWARABU WEWE HAYA ZANZIBAR NA WAARABU VP
@ntvtanzania6467
@ntvtanzania6467 5 месяцев назад
Kwani zanzibar sio huru?
@georgemwaikusa4451
@georgemwaikusa4451 4 месяца назад
Zanzibar uarabu siyo hoja kwa kua kuna wazanzibari warabu kama ilivyo Tanzania, niambie naibu spika wetu ni ......
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
Kwani waarabu hawana haki ya kuwa raia wa Zanzibar?
@nsajisambi3417
@nsajisambi3417 4 месяца назад
Mbona Dewji ni mtanzania bara kwa hyo na yeye arudi india? msiwe wabaguzi kama kuna kero akae tu kimya? Rejea wafalme2 ktk Biblia MUNGU aligawanya taifa la israeli yaani israeli na Yuda sembuse huu muungano wa kiimla?
@suleimanmohammed5344
@suleimanmohammed5344 Месяц назад
​​@@georgemwaikusa4451unaonekana muelewa wa mambo maana ndugu zetu watanganyika kwa kweli walio wengi hapa mnachanganya sana kwa zanzibar mchanganyiko wa asili za watu ni jambo la kawaida na huyo alosema Jussa ni muarabu kakosea kidogo Jussa asili yake uhindini si muarabu.
@zengandoto7088
@zengandoto7088 5 месяцев назад
Muungano ndio njia ya kwenda mbela Africa.Jusa unaleta siasa za kibaguzi Sasa .uwaulize wazungu wanatupiga vita tusiungane uli tulete Matatizo ya wenyewe kwa wenyewe.unawatia simu vijana .vijana amkeni watu wa siasa watugombanisha wenyewe kwa wenyewe waafrika
@MbaroukSilima
@MbaroukSilima 5 месяцев назад
Muongano huo wa kukandamiza sehemu nyengine 😂😂😂😂
@marwamagere
@marwamagere 5 месяцев назад
Tunataka Tanganyika yetu tumechoka na mungano wa kitapeli na ccm majambazi
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 5 месяцев назад
Tena ni majambazi kweli ccm, hawana maana kabisa, Muungano hatuutaki tena, Tanganyika yetu haina raisi, sasa huu muungano gani
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 месяца назад
Hivi kwa nini mtu akisema ukweli mnamuita mbaguzi? Ninyi wanafiki kweli. Kuna Inchi iliyo na waafrika weusi pekee siku hizi? Ninyi ndiyo wabaguzi wakubwa. Hata hapa Tanganyika tunawhindi, warabu namakabila wengine mengi na pia rangi mbali mbali lakini ni watanganyika? Itakuwa Zanzibar? Kwanza warabu walikuwa wengi kuliko hao wasukuma na wanyamwezi kama siyo kuwafukuza kwa uhuni fulani.
@salmaabdu5011
@salmaabdu5011 4 месяца назад
Kama mzanzibari halisi muungano hatuutaki lo vinganganizi na wauwaji walokuja kutumaliza wanzibari kila wakati wa uchaguzi na kujazana zanzibar
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 4 месяца назад
Hapana@ Mara zingine kuendelea kwa kujitenga ni kuzuri zaidi. Ndoa zinakatika sembuse nchi!
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 5 месяцев назад
Huyu Jusa Ni mnafiki.kwa Nini afufue makaburi yaliyokwisha zikwa? Maneno haya wangezungumzwa wakati Mzee Karume yupoo. Sasa Zanzibar nzuri,Ina maendeleo.watu wamezaliana,na wengine wapi bars. Mpaka na wajukuu wamezaliwa..hapa tunaangalia umma wa wazanzibar na watanganyika upo salama?Kuna amani? Huo ndio umuhimu wa nchi yamepitwa na wakati..Nakuuliza Jusa Nia na madhu
@alisalimo2861
@alisalimo2861 5 месяцев назад
Oko sawa baba wafunguee macho
@UswegeJohn-ov3ym
@UswegeJohn-ov3ym 5 месяцев назад
Wewe ni mchochezi tu,unachotaka ni kuifanya Zanzibar kuwa ni nchi ya kiislam basi.
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 5 месяцев назад
UDINI TU UMEKUJAA TU NA UKIWA MBAGUZI HUWEZI KUFANIKISHA UNACHO WAZA KWANI UNANIA YAKO ILIYOJIFICHA
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 5 месяцев назад
Haitakuwa mbaya kwani mpaka sasa wengi huko ni waislamu takriban 99%.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
Kwani ikiwa ni nchi ya uislam kuna ubaya gani?
@shizoshop2469
@shizoshop2469 5 месяцев назад
Nyerere alimzidi akiri karume
@mohdally7896
@mohdally7896 5 месяцев назад
Sio akili Alimzidi nguvu
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 месяцев назад
Hakuna ulaghai wala nguvu yoyote wote walikuwa na nia ya dhati, isitoshe Karume alikuwa na mamlaka kamili kama Makamo wa Rais akiwa na mamlaka yote ya Rais ikiwemo kusani miswaada. Tatizo tunaloliona sasa ni kwamba kabla ya Muungano kuna vitu/mambo yalikuwa yakiendeshwa kijumuiya ya Afrika Mashariki kama Elimu ya Juu, Fedha nk hafla baada ya Muungano Jumuiya ilikufa hivyo yale mambo yalibebwa kimuungano kwa sababu zinazoelezeka na zinazoeleweka. Kama sasa hatuna nia ile tuuvunjeni.
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 5 месяцев назад
Mimi naona yeye ndiye alizidiwa akiri. Karume alibaki na katiba ya nchi yake, serikali, baraza la wawakilishi, na nchi ikiwa intact. Nyerere aliitelekeza Tanganyika ambayo sasa hivi hata haijulikani ilipo.
@EnockFumbuka
@EnockFumbuka 5 месяцев назад
Zanzibar Walizisamisha kwa Serikali ya TANGANYIKA. Kulinda usalama wao Sultan wa Omani asirudi.
@EmmanuelSanga-u4e
@EmmanuelSanga-u4e 5 месяцев назад
Huo ndio ukweli lakini je serikali hizi mbili je zimeanza leo tunapo fungua macho na je tumeamua kuwa Nguruwe asie tosheka kulikoni Binaadamu na je nchi hizi 2 zimekubali kuingia umwagaji damu wa hadhara na kwanini serikali 2 ila moja haina hatma na ikiwa inakosekana yapili hata uwakilishi wake na askari tena du vitisho vimekuwa sehemu ya maisha ya watu tena sirini sana Shikamoo Tanzania
@barakabaraka8665
@barakabaraka8665 5 месяцев назад
Hoja ya Jussa ingekuwa na mantiki zaidi kama Historia ya kutawaliwa Zanzibar ingeanzia tokea mwaka 1832.Jee anatuamimisha kwamba waliokuwa wakitawala kipindi hicho walikuwa ni wazanzibar kindakindaki?!!Ni tafakuri tu!!
@suleimanmohammed5344
@suleimanmohammed5344 Месяц назад
Hoja si uzanzibar kindaki ndaki kwa kuwa tukianza kujadili uzanzibar kindaki ndaki wa mwanzo tutakae mgusa ni rais wa kwanza wa Zanziabar, kuna wakati Dr Salmin Amour aliwahi kusema kuwa Jemshid anaruhusiwa kurudi unguja kuja kuishi kama raia kwa kuwa yeye pia ni mzanzibar (mababu zake wamezaliwa Unguja)
@hassanbilali1697
@hassanbilali1697 5 месяцев назад
Jusa unataka madaraka lakini usichokijua ........ Kwani unazani sisi Wabara wakawaida tunashida na nyinyi we kama unaweza pambana ktk boksi upate unachokitaka
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
Jussa yuko sahihi sana
@InnocentCharles-hm3ff
@InnocentCharles-hm3ff 4 месяца назад
Muungano ulipaswa kuwa wa wa watu na fursa....sasa hapa watu wa nchi mbili wanaogelea fursa za nchi moja...hiyo nchi ingine fursa za ke ni zake....sijui ni muungano wa aina gani..so perplexing 2 my opinion...
@bakanga1410
@bakanga1410 5 месяцев назад
jusa nae anajua sana ila nataka kumwambia auangalie muungano kwa faida cyo mapungufu ya muundo awe realistic je ni muda sahihi kufikiria kuuvunja muungano kwa sababu ya ulevi wa ubinafsi
@georgemwaikusa4451
@georgemwaikusa4451 4 месяца назад
Atoke sasa mtu apinge haya kwa hoja ili kwa pamoja tutafakari na badae sote kwa pamoja au kwa uwingi wetu tujirdhishe kama ni kweli au vinginevyo.
@SayyidAhmadBaalawy
@SayyidAhmadBaalawy 5 месяцев назад
Mulipigwa Na Nyerere Vibaya Mno Bila Kujielewa Kana Kwamba Mlirogwa Nyie..... Sasa Ashawatawala Shukuruni Mungu Au Muuvunje Mkataba Kila Mtu Abakie Kwake Hakuna Makubaliano Ya sharuti Hapa Kuwa Nilazima Mubakie Kwenye Muungano Na Atakae Kuuvunja Muungano Awe Ni Adui Hapana Huo Sio Muungano Ila Utakua Ni Uhaini Wa Kifikra Na Maridhiano. #maoniyangutu
@DamtelLegunju
@DamtelLegunju 4 месяца назад
watu wote wa zanzibari asiri yao ni bara tena kabira za wanyamwezi na makabira mengine walochukuliwa na waarab kama watumwa😮 wakazaliaana pare ndo maananhakuna kabira
@AliOmar-le2cy
@AliOmar-le2cy 5 месяцев назад
@khalidhasan4506
@khalidhasan4506 5 месяцев назад
Ipo siku inshallah zanzibar itakuwa huru
@CheupeSaid-ny5ud
@CheupeSaid-ny5ud 5 месяцев назад
Ifike pahali km hakuna meza yamazungumzo tulazimishane cc ndio raiya wa nchi hii viongozi wao waongoze tu liwalo naliwe papatu kwa papatu tuligawe jahazi la mabao
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 4 месяца назад
Kabila haliwezi kushindana na ukoo na ukoo hauwezi kushindana na utawala ......
@ImamuDossa
@ImamuDossa 4 месяца назад
Mimi ni mkenya.Unamwita Jussa kuwa ni Muhindi!!!Ikomboe akili yako.Jussa anakuteteeni.
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 5 месяцев назад
Mimi ni Mtanganyika niko bara who.is Kennedy Kaunda kuja maamuzi ya wazee Zanzubar kuweni makini na hao washirika wa Sultani Zanzibar Hakuna ardhi huko ya kuwatunza wote Huku bara ndo kwenu njoni mchukuwe maeneo maish yaendelee Hatutembei na hoja za wazungu
@MbaroukSilima
@MbaroukSilima 5 месяцев назад
Hujitambui
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 5 месяцев назад
Wewe ndo hujitambui ubinafsi unataka kuniambia hao wazee waliyoasisis muungano walikuwa wajinga mbona walikuwa na uwezo wa akili hata kuliko wewe acha ushabiki huo ndo uhalisia munadanganywa na kuchochewa sima historua na fatilia uzao wa Maalimu Seif yout still young Jussa awambire Ukweli yeye ametokea wapi Usultani tu huo
@MbaroukSilima
@MbaroukSilima 5 месяцев назад
Sasa unashindana na hyo anayanukuu jussa hyo sio ya kwake narejea tena ww hujitambui na ukiendelea kua na fikira hzo mgando htojiolewa zaidi na zaidi
@Soon815
@Soon815 5 месяцев назад
@@lingwamalagila3003 🔯
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 5 месяцев назад
Wewe una ardhi hekari ngapi huko Tanganyika mpaka unaalika wazanzibari waje kuchukua?
@AbeidMabrouk
@AbeidMabrouk 5 месяцев назад
Zanzibar kutokakwenyemikonoyatanganyika sirahisi kwasababu wazanzibar niwanafiki wahawanadini
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 месяцев назад
Hawana dini kivipi, wanaonekana ni washika dini
@AbeidMabrouk
@AbeidMabrouk 5 месяцев назад
@@MiriamAbdallah washikajini nasiwashikadin kushikadinisichezo alieshikadini yauisilam kwamalekezo kutoka kwa Allah mtuhuyo kila akivutapunzi anasikiaharufuyapepo wazanzibar akivutapunzi wasikaharufuyamavi
@alindurya2852
@alindurya2852 5 месяцев назад
Baada ya kuuzwa bandari zote za Tanganyika na mapori yake Sasa Zanzibar wanaweza kujitenga na kujitawala bila bughdi yeyote. 😊😊
@BettyMboya-b2y
@BettyMboya-b2y 5 месяцев назад
Mh. Jusa usituseme sana Sisi Watanganyika nyie ni wachache hata katiba yenu imejaa ubaguzi haimruhusu mtanganyika kugombea nafasi yoyote ile Zanzibar lakini nyie mnafanya mnapata nafasi bara, acha kufundisha watu ujinga Jusa.
@barakaanthony159
@barakaanthony159 4 месяца назад
Mbona wewe ni muhindi Africa unafnya nn,,ki asili wewe sio mu Africa unafnya nn Africa,,muuza stationary wewe
@jumasuleiman7171
@jumasuleiman7171 Месяц назад
Mzanzibar Ni yule anae zaliwa Zanzibar hatungalii rangi ya mtu wa Zanzibar Ni mchanganyiko wawatu tofauti
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 5 месяцев назад
SIO watawala wakubali kwa ridhaa yao, bali WALAZIMISHWE KUKUBALI. Kama Wazanzibari hawakubali aina ya Muungano uliopo na Katiba yake, kama ilivyo kwa Watanganyika wasivyo ukubali Muungano na Katiba yake. Ni nani anayeng'ang'ania huu Muungano na Katiba yake?? Kwa manufaa ya NANI??
@Allyhujjat
@Allyhujjat 4 месяца назад
Ujui kitu wewe nyerere alipendekeza mzee jomo kenyatta ndio awe raisi endapo tungeungana na kenya ujui kitu wewe
@remigiushaule3302
@remigiushaule3302 4 месяца назад
Sasa wewe jussa na sisi huku bara tunaitaka Tanganyika yetu,Tanganyika imepotea ivi Zanzbar imeungana na nchi gani?Si mjitoe tu kwenye muungano na sisi tubaki na Tanganyika yetu jamani mnatunisha misuli tuu ya nini jitoeni tu kwenye muungano huu kelele tumechoka.
@mremaelisenguo
@mremaelisenguo 5 месяцев назад
Jitahidini Jussa na wenzio muungano uvunjike hata mwaka huu ili Tanganyika ipone
@saiddigogogo8218
@saiddigogogo8218 4 месяца назад
Kwanini wa Zanzibari amuwezi kuanzisha chama au vyama vyenu mpaka mtegemee vyama vya bara
@suleimanmohammed5344
@suleimanmohammed5344 Месяц назад
Ndivyo sheria ya sasa ya vyama vya siasa inavyotaka kumbuka kabla ya mwaka 1977 kila upande kulikuwa na chama chake , bara TANU na Zanzibar ASP.
@kipozeobakari7254
@kipozeobakari7254 Месяц назад
Uwongo jusa unadanganya
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 4 месяца назад
Wazanzibari watu wachache wanataka kuwachanganya maana mnahamasishwa kuvunja muungano ikitokea muungano unavunjika wote mnarudi kwenu mtatoshea kwenye nchi yenu Jamani wakati wanasiasa wanawamezesha chuki kwa manufaa yao muwe pia mnachuja mambo kwa kina
@faizanassor9400
@faizanassor9400 4 месяца назад
Baadhi ya watanganyika wanamtuka rais wetu mama samia
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 4 месяца назад
Zanzibar ni kisiwa? Sio nchi? Kw io na japan sio nchi? Na hiyo uingereza naio sio nchi?!! Ama kweli,tunesoma sana!!
@sureboyofficial6473
@sureboyofficial6473 4 месяца назад
ASIWAAMBUKIZE UJINGA HUYU NI MMOJA KATI YA WAKOLONI KWANZA ZANZIBAR HAIKUWA NA WATU KAMA HUYU SISI NI WEUSI TIIIIIIIIIIII,
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 месяцев назад
Wazanzibar sijui kwa nini mnashida gani ya kujitawala na kuendesha mambo yenu? Mimi ningekuwa mzanzibari ningefanya kujitoa muungo huu ambayo haukushisha watu hata zaidi ya wawili. Kwani Wazanzibar mbafungwa na nini kutangaza mamlaka yeu kamili na mnajiunga kwenye shirikusho la Mashariki. Kama na ndiyo sababu ya huo unafiki wanapoteza Inchi ya Tanganyika. Kweli kabisa msikubali umateka huu. Hata CHADEMA msije mkafanya Zanzibar kama ukoloni. Kama hakuna kwa sababu hii nadhani ni dhahili kuvunja muungano ili tubaki na shirikisho la Mashariki.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
Tatizo ni viongozi kutoka Tanzania bara na viongozi wasaliti kutoka Zanzibar ndio wanaong'ang'ania huu muungano usio na usawa wala haki.Ingekuwa mimi ndio Rais ningeuvunjilia mbali.
@muzneali4747
@muzneali4747 4 месяца назад
JUSSA ACHA UWONGO SIRI YA MUUNGANO UTAIJUAJE WAKATI WALIOAMUA KUSAINI HIZO HATI WEWE ULIKUWEPO?? ACHA UZUSHI HATA UFANYE NINI MUUNGANO HAUVUNJIKI
@yonazimpombe1160
@yonazimpombe1160 5 месяцев назад
Lakini kwa nini wazanzibar wanapouza ardhi ya tz bara lengo lao ni nini
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 5 месяцев назад
MH JUSSA UNASTAHIKI KUWA MWENYEKITI WA CHAMA kwasababu una uwezo mkubwa wa UONGOZI,
@111dudi
@111dudi 5 месяцев назад
Kuunda jeshi hakukuzungumzwa,na ndilo jambo la msingi lililomfanya Karume akubali muungano. Baada ya kuua watu mwaka 1964, badala ya kutengeneza jeshi,walikaa kugawana madaraka, na kuoa waarabu. Tanganyika ikaweka majeshi Znz.
@suleimanmohammed5344
@suleimanmohammed5344 Месяц назад
😂😂😂 lakini Karume mke wake Bi Fatma kamuoa kabla hata hajaingia kwenye siasa.
@aminattai2676
@aminattai2676 4 месяца назад
Kwanza tafuta muungano wewe kama muhindi na zanzibar ni nani aliekuunganisha na kwa faida ya nani mpaka leo hii ujadili muungano wa waafrica na wewe ukiwa sio muafrica
@alfoncekasanyi6584
@alfoncekasanyi6584 5 месяцев назад
Huyu mwarabu kala maharage ya wapi?Hajui kuwa Yeye si Mzanzibari? Zanzibar siyo ya waarabu.Zanzibar Ni ya Waafrika weusi.Awulize. Waarabu waenzake wa Oman.Sultan wa Oman alifika eneo Hilo kutafuta watumwa akanogewa na uzuri wa eneo Hilo hasa maji baridi na kina Cha bahari akaamuwa kuweka makazi yake pale
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 5 месяцев назад
Hivi ni nani anaye nufaika na Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika? na nani wanapata hasara ? Kuna faida au hasara gani tukivunja Muungano ? Nani ataumia zaidi?
@MackameHassani
@MackameHassani 4 месяца назад
Binafsi mm naona serikali hizi mbili ndo zinazojua haswaaa faida na hasara za huu muungano nasiyo sisi raia wa kawaida tuu. Tusijazane chuki mpk kufikia hatua yakutoelewana, wazanzibar walio wengi wanaona muungano unawabana na hawapati haki zilizo Sawa. Sasa tujiulize sisi watu wa Tanganyika huku nn tunakipata zaidi.....tujiulize hapaa.
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 4 месяца назад
​@@MackameHassaniUko sahihi sana na wanaohangaika na hoja hizo ni wanasiasa ambao lengo lao kubwa ni kupata madaraka yatakayo wanufaisha wao huku wananchi wa kawaida hawana cha kunufaika nacho. Unawashangaa hawataki muungano uvunjike kabisa ila wanataka serikali tatu na sio mbili. Kwani Kwa Nini usivunjwe kabisa au kwa nini usiwe wa serikali Moja? Kuna unafiki fulani Huwa siupendi kwa wanasiasa wetu. Hawako wazi na ingefaa tu watanzania wapige kura za ; 1. Wale ambao hawataki kabisa Muungano 2. Wanaotaka serikali moja, 3. Wanaotaka serikali mbili 4. Wanaotaka serikali tatu. Kwa sababu tunajua Zanzibari imekaliwa na watu Toka makabila na nchi mbalimbali na kimsingi Bado sababu xilizo wafanya waje Zanzibar haxijawatoka akilini na hasa waliotoka nchi za mbali na hao ndio tatizo kubwa kwa sababu bado Wana ndugu na jamaa zao ambao wanaikumbuka Zanzibar na bado wanaitaka na sidhani kama wameridhika na jinsi walivyoondolewa huko Zanzibar.
@ibrahimjuma9709
@ibrahimjuma9709 5 месяцев назад
Kwan muungano ndiyo njia ya za kutafutia kura funguweni akili za kubuni miradi Zanzibar siyo fitina weee jusa alie muuwa karume ni nani ? Fikirieni amani kuliko fitina mtakufa nakila kitu mtawacha watoto wetu wanaitaji amani
@NassorsalumMohammed
@NassorsalumMohammed 5 месяцев назад
Wewe hujui historia ya zanzibar na yanayoendelea kwenye huo muungano Naujue pia muungano sio shida shida ni wanaousimamia huo muungano wenyewe
@ibrahimjuma9709
@ibrahimjuma9709 5 месяцев назад
@@NassorsalumMohammed wew mwenye kujua history tz na Zanzibar viliisha kadiriwa na ALLAH nani atakuwa mzuri kwa mwenzake nani atakuwa mbaya mkitaka kuimba Zanzibar mnavyotaka amtoweza njia moja na amtoweza kamwe mpaka dunia inaisha ondoweni watu mpaka nawewe mwenye kusimamia zoezi zima mtafute mwenye asili ya Zanzibar toka dunia inaanza mumrudishe hapo Zanzibar nyinyi nyote mnaviraka vya uwasilia uwelewe robo 3 ya wazanzibari ni watumwa wa bara waliokuwa wanaletwa hapo na hiyo ndiyo njia iliyo fanya muungano upo mpaka leo tazama inchi ngapi zinajalibu muungano zinashindwa kwsbbu siyo asili ya watu wanao ungana wacheni fikra za wazayuni kuwakataa ndugu zao na kuwangangani wapagani
@RynoFiree
@RynoFiree 4 месяца назад
Hata sionagi faida ya huu muungano
@amanam2735
@amanam2735 5 месяцев назад
Kumbe wa kulaumu ni Uingereza? Nenda ubalozi wa Uingereza kamwage povu.
@JosephKayombo-e9h
@JosephKayombo-e9h 4 месяца назад
😂😂mbona povu
@RUQYAHTIBMUJARRAB
@RUQYAHTIBMUJARRAB 4 месяца назад
Unajua kila mzanzibari nimtanzaia lakini si kila mtanzania ni mzanzibari na nikwanini?
@jumasuleiman7171
@jumasuleiman7171 Месяц назад
Ndio mzanzibar Ni mtanzania ila mtanzania hawezi kuwa mzanzibar
@happyjeremiahmhuli4043
@happyjeremiahmhuli4043 4 месяца назад
TANGANYIKA IBAKI NA ZANZIBA IBAKI BAADAE NDO TUUNGANE
@wistardmwilenga6551
@wistardmwilenga6551 5 месяцев назад
Sisi tuna amani lakini nyie wanasiasa mnatuharibia sana
@fahadabdalla8194
@fahadabdalla8194 5 месяцев назад
Which one ikifika uchaguzi kuja kuuwa watu ndio Amani au
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 месяцев назад
Amani!! Hiyo amani iko wapi
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
Wanasiasa ndio huweka malengo ya nchi
@BettyMboya-b2y
@BettyMboya-b2y 5 месяцев назад
Hivi Mh. Jusa wewe ni kabila Gani? Hata sisi tumewachoka mnaongea sana! Haya Samia ni mzanzibar na mwinyi ni mzanzibar waambieni wavunje basi msiongee sanaaaaaaaa!
@ndikumanaismail5419
@ndikumanaismail5419 4 месяца назад
Wa zazbar kuweni free kama mnataka kujitenga semani watu tuwaskiye
@sureboyofficial6473
@sureboyofficial6473 4 месяца назад
FISADI TU HUYU MUARABU KOKO , TUNAJUA BABA ZAKE NDIO TULIWAKIMBIZA WAKATI WA KUDAI UHURU NA SASA ANATAKA TENA KUHARIBU NGUVU ZA AFRIKA SASA TUNAFIKIRI KUUNGANA AFRIKA HUYU NAONA NI MUARABU TU ,
@BettyMboya-b2y
@BettyMboya-b2y 5 месяцев назад
Huyu katumwa na waarabu!
@AbbasHussein-zq3yi
@AbbasHussein-zq3yi 5 месяцев назад
Wewe unayetaka taarifa hizi tujuulishe yafuatayo:- I) Kabla ya Mapinduzi wewe ulikuwa Upande wa nani? Karume au Hizbu? ii) Wajuulishe hao unaowaita Vijana kabla ya Mapinduzi, Mwafrika alikuwa Daraja la 3 ndani ya Zanzibar. III) Wajuulishe hao Vijana Kundi la Waarabu walipata mafunzo Cuba walitaka kuja kumpindua Serikali ya Mapinduzi.Wafahamishe na hilo wajue.
@AbbasHussein-zq3yi
@AbbasHussein-zq3yi 5 месяцев назад
Si uwongo ni kweli kabisa.
@AbbasHussein-zq3yi
@AbbasHussein-zq3yi 5 месяцев назад
Kuna ajenda nyuma ya pazia.Anazunguka tu.Muungano ndiyo uliyompa HADHI Mzanzibari Mwafrika badala ya kuitwa Raia Daraja la 3.Ndiyo chanzo cha Karume kufanya Mapinduzi.
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 5 месяцев назад
JINA LA TANZANIA NI JANGA KUBWA KWA WAZANZIBARI, NDIO MAANA WATANGANYIKA HAWATAKI NCHI YAO TANGANYIKA!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 месяцев назад
Ni kweli jina lako na maoni yako sawa huna akili na wala hujui historia myumwa wa hedi
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 5 месяцев назад
@@margarethpolepole7438 KAA KIMYA WE MSUKULE🤣🤣
@wistardmwilenga6551
@wistardmwilenga6551 5 месяцев назад
Lengo lako nini
@JafariHamisi-gu4ef
@JafariHamisi-gu4ef 5 месяцев назад
Lengo wazanziba waujue ukweli
@hassanihamidu8546
@hassanihamidu8546 5 месяцев назад
Wewe piga kelele tu lakini hakuna nchi inaitwa nzanzibar ila kunakisiwa kinaitwa nzanzibar, nzanzibar ipo ndani ya Tanzania tena mkileta kelele tutafuta kabisa urais nzanzibar kutakuwa na wakuu wa mikoa tu
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 5 месяцев назад
Ukweli utabakia kuwa ukweli tu ww kama umenuna kwanye sumu..ww mtoto wajuz tu utajuaje kama kuna nchi inaitwa Zanzibar..mshenz usiokuwa na kwenu na wazee wako walio kutapika maana wangekuzaa wasingezaa firaun kama ww..
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 5 месяцев назад
Hizo zote ni chuku Kwa wazanzibar kwakuwa ni wazuri tofauti na nyie wenye sura za manyan..mtabaki hivo hivo na chuki zenu kuzulumu watu halafu mkajiona wajanja kumbe mumezoea vya kunyonga vya kuchunja hamviwezi..ila juwa kuwa kama Dunia ina mwisho bas na unyanyasaji wa wazanzibar Kwa kisingizio Cha muungano..
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 5 месяцев назад
Wewe unahikdii mafundo na ukweli unaozungumzo
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 5 месяцев назад
Yanayozungumzwa kuhusu maslahii ya zanzibar huku wewe na wenzio mukipata maslahi yenu hapa hapa kishaaa wewe unaongea mabaya kuhusu ukweli huuu
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 5 месяцев назад
Futa huo urais wa zanzibar kama ukidume pumbavu 😂😂😂 alishindwa nyerere utaweza wewe😂😂
@mohamedmagongo9348
@mohamedmagongo9348 4 месяца назад
Unaongea ujinga wewe! Ukiona watu wanauongelea Muungano badi ujuwe ni kwa kutaka madaraka au kwaajili ya kuleta ubaguzi. Nyie rukeni rukeni ila msithubutu kutaka kuuvunja Muungano.
@kingnyamafutv8646
@kingnyamafutv8646 4 месяца назад
Huyu mzee kuna mambo mengi kadanganya sana tena sana
@alliyharith3457
@alliyharith3457 4 месяца назад
Hebu yaorodheshe na uyafafanue kwa ushahidi hayo aliyodanganya, ili tupate Elimu ya kweli kutoka kwako.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
Mzee anaongea ukweli na haki tupu
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz 5 месяцев назад
Kama Wewe Hassan unataka kuleta Wakuu Wa Mikoa Zanzibar una uwezo huo fanya hivyo Kwa ubabe umuondoe huyo Rais wa Zanzibar ulete hao Wakuu wa Mikoa huku Zanzibar
@SoudOmar-lu7we
@SoudOmar-lu7we 5 месяцев назад
Bora ufukie na bahar
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 5 месяцев назад
Umekusudia nini
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 5 месяцев назад
Jusa hao Waafrika unaowahubiria hapo wazazi wao walikua raia daraja la tatu, hizo habari za Israel walizijulia wapi labda useme waarabu ndio waliandamana
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 5 месяцев назад
WANZANZIBAR KINACHO WATESA NI UDINI SI KINGINE NDIO MAANA MUNAWAZA KUJITENGA NA HAIWEZEKANI
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 4 месяца назад
Sio udini kama unavyowaza wewe dhulma na hadaa inayofanyika juu ya huu Muungano ndio kinachowakera watu sio udini ,jifunze mambo unapomuona mtu mnaongea usichokijua ili ukijue .itafaidika kwa mengi na utajua kwa nimi huu Muungano unalalamikiwa sana kwa upande wa Zanzibar ,hata hao CCM kwa upande wa Zanzibar wakiwa pembeni wanakubali kuwa Zanzibar tupo nyuma kimaendeleo kwa sababu ya huu Muungano .
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
​@@jumamohamed3168Nakuunga mkono.Muungano huu ni batili na hautendi haki kwa pande zote.
@JOSEPHCHAMGONGO
@JOSEPHCHAMGONGO 5 месяцев назад
Huyo asili yake wapi? Na elimu ya political history ya ZANZIBAR NA TANGANYIKA anaielewa kwa undani. Hivi wewe asili yako ya uraia ni wapi?
@edwinmbelle4207
@edwinmbelle4207 4 месяца назад
Jussa arudishwe kwao Omani asituharibie Nchi 😁😁🇹🇿
@Nicolasmosereta
@Nicolasmosereta 4 месяца назад
Iv chanzo cha huu mfukuto ni nini nani katonesha kidonda ushauri tu Watanzania ni watulivu kwa utawala uliopo madarakani shughulikieni kero na changamoto zinazowachefua na kuwakosesha usingizi watanzania kabla hazijaja siku ngumu
@bonnkepatrick
@bonnkepatrick 4 месяца назад
Sisi wenyewe WA Tanganyika hatuoni umuhimu wenu 😂 mmejaa tu ilala na magomen
@eliajimmy95
@eliajimmy95 4 месяца назад
Si wamwambie Samia Mzanzibari mwenzao arekebishe hizo changamoto za muungano?
@happyjeremiahmhuli4043
@happyjeremiahmhuli4043 4 месяца назад
SHUGHULIKENI NA HAO MA CCM
@ThomasMakarius-x9n
@ThomasMakarius-x9n 5 месяцев назад
Jussa ni nani?
Далее
PERFECT PITCH FILTER.. (CR7 EDITION) 🙈😅
00:21
Просмотров 4,5 млн
ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?😁​⁠​⁠@osssadchiy
00:20
22 Maovu ya Mapinduzi
12:26
Просмотров 47 тыс.
NI YUPI MWANAMKE BORA BAINA YA HAWA? (HUBBUL HALAL)
42:39
MWANDISHI WA HABARI WA MZEE KARUME AILILIA ZANZIBAR
36:02
PERFECT PITCH FILTER.. (CR7 EDITION) 🙈😅
00:21
Просмотров 4,5 млн