Тёмный

MUHUBIRI SHAFII AWATIKISA WAISLAM MBAGALA 

SHEIKH MWAIPOPO TV
Подписаться 45 тыс.
Просмотров 114 тыс.
50% 1

#SHEIKHMWAIPOPO #MUHUBIRIMWAIPOPO #SHEIKHMWAIPOPOTV
Tafadhali Usiache KuSubscribe katika Channel hii ya RU-vid ya SHEIKH MWAIPOPO TV..Like pamoja na kusharekwa wengine hili wapatwe na Kheri kutoka kwa Sheikh wetu Mhadhiri Said Mwaipopo.
MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE:+255 756 361 906
..................من فضلك لا تتوقف عن الاشتراك في قناة الشيخ موايبوبو التلفزيونية على يوتيوب..مثل مع المشاركةللآخرين ليتم استدعاؤهم من قبل خيري من الشيخ المحاضر سعيد موايبوبو.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 287   
@omarmadzumba1632
@omarmadzumba1632 3 года назад
MAASHAALLAH..ALLAH awape umri mrefu wahadhiri wetu
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 3 года назад
Amiin
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 3 года назад
Mwaipopo mungu akupe afya njema kwakazi Unafanya Nakupenda kwajili Allah 💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙
@nasirahmed3295
@nasirahmed3295 3 года назад
AAMIIN
@FaizoMayamba-ne9hl
@FaizoMayamba-ne9hl 19 дней назад
Allah awawekea wepesi Allahumah Ameen
@ibrahimhamza832
@ibrahimhamza832 Год назад
Mungu ana waona kwa kazi kubwa mzazofana mashaalla
@fatumjumaa5563
@fatumjumaa5563 3 года назад
Ma sheikh Allah awape nguvu na umri mrefu mihadhara irudi kama zamani inshaallah
@maimunampole9894
@maimunampole9894 3 года назад
👇 *NAKUOMBA BONYEZA HAPA* 👇.... ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-jpnUT3uMd-k.html
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
inshaallah
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 3 года назад
MashaAllah Allah akubarik sheikhe Shafii kila la kheir na baraka afya njema na umri mrefu inshaAllah amiin
@hassanmohamedi7585
@hassanmohamedi7585 2 года назад
Hostazi shaffii mungu akupe umrii mrefu uendelee kuupgania uislamu nakupnda sana kwa ajili ya allah
@abdulbogoyo1243
@abdulbogoyo1243 3 года назад
Shukran sana mashekhe wetu
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 3 года назад
Maashallah mwenyezi mungu awalipe Kheir
@nooroman2535
@nooroman2535 3 года назад
MashaAllah Shelkh Shafii shukrani
@zulfawaithera5479
@zulfawaithera5479 3 года назад
Maa shaa Allah Tabarak Allah
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 года назад
Shekhe Mwaipopo Allah akuweke wewe na Mashekhe wenzako wote Ameen.
@tunudimandogreek9683
@tunudimandogreek9683 2 года назад
Mwenyezi Mungu awape wesi zaidi ili na sisi maamuma tufaidike na kuelewa dini ya kweri ni ipi (uislam)
@SakinaMuhsin-nc4zq
@SakinaMuhsin-nc4zq Год назад
Mungu akupe kila la kheri hapa duniani na kesho akhera
@mwashambamakame4435
@mwashambamakame4435 2 года назад
Maashaallah, jazaakallah lkheir
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 года назад
SSP uyo Mashallah Shekhe Shafi nakupenda sanaa Kwa ajili ya Allah na Allah akuweke.
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 3 года назад
Amiin
@jumakhamis226
@jumakhamis226 2 года назад
Jazaka Allah khaira shekh shafi
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 3 года назад
Masha allah shekh shafii🙏🙏
@evahenry7798
@evahenry7798 2 года назад
Du nimegudua kuwa bado sana watu kumuelewa Yesu Kristo....mbona maandiko mengine hamsomi mfano Yoh.1:1-5, 14 ukielewa hayo maandiko utajua kuwa Yesu ni nani.... Yesu alikufa na akafufuka mwenyewe, je ni mwanadamu yupi alifufuka mwenyewe?....
@alrashdi2710
@alrashdi2710 3 года назад
Mashaallah shekh, Shafii, nakupenda sana
@husseinismail5972
@husseinismail5972 Год назад
Alhamdulillahi niko mwisilalu na nife katika haki
@hamoodalrawahy2026
@hamoodalrawahy2026 3 года назад
ASALAAM ALAIKUM. MAASHAA ALLAH. MAASHAA ALLAH. MAASHAA ALLAH. TABARAKA RAHMAN ALLAH AZIDI WA IBAREEK
@زهرغنيه
@زهرغنيه 3 года назад
Walaykum Salam warahmatullah wabarakatuh amiin
@maryambintukhadija1604
@maryambintukhadija1604 3 года назад
Maa shaa Allah tabarakaah Allah allah akuweke sana mashekh wetu
@jimjam4148
@jimjam4148 3 года назад
MASHAA ALLAH!
@issmuking3987
@issmuking3987 3 года назад
tusemen alhamdulillah kwa kuzaliwa muislamu na pia kwa wale walioiona njia ya haki na kuifata Allah awalipe kila la kher
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 3 года назад
Alhamdulilah
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 2 года назад
ALLAH AWAJAZE KHERI, BARAKA NA HEKIMA NYINGI SHK MWAIPOPO NA USTAADH SHAFI.. AAAAMEEEEIN
@rajabusirarojars2340
@rajabusirarojars2340 2 года назад
Shafi nakupenda sana kwa ajili ya Allah brother
@lovenessitiku6293
@lovenessitiku6293 3 года назад
Shafiii mtoto wa kwa Aziza Ally hongera sana juhudi zako naziona na umri umeshakimbia duuuh
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 3 года назад
Shafi mashaallah tabarakaallah Mungu akupe afya njema kwakazi Unafanya
@maimunampole9894
@maimunampole9894 3 года назад
👇 *NAKUOMBA BONYEZA HAPA* 👇.... ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-jpnUT3uMd-k.html
@dicksonluena3266
@dicksonluena3266 2 года назад
Wakristu Tunakutakiakheri,,Kuhusu Dini Sote Tumezikuta,,Tuombeanekheri,,Tusikebehi,, Kifo Akichagui Sote Wamoja
@Khmediy3241
@Khmediy3241 3 года назад
Uyu mtu geniuz kuliko maprofesa wanaonifundisha mashaaallah!
@ummuhkhalfan5542
@ummuhkhalfan5542 3 года назад
Masha'Allah
@missrukia9661
@missrukia9661 3 года назад
Mashallhaaa shafii khatalisana
@jumamakamba2212
@jumamakamba2212 3 года назад
Mungu awabariki sana naomba muje na huku tegeta salasala kawe tunajifunza mengi mno
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 3 года назад
Wallah cjutii kutoka kwenye ukristo na kuwa Muislam
@saddybrezzy9777
@saddybrezzy9777 Год назад
ALLAH Akufanyie wepesi kaka
@omarmohd181
@omarmohd181 Год назад
Allah qzidish iman yak kaka
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 Год назад
@@saddybrezzy9777 Ameeeeeeen ndg yng
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 Год назад
@@omarmohd181 Ameeeeeeen ndg yng
@kalaboy6132
@kalaboy6132 Год назад
Ongera sana kwakuingia kwenye din ya haakki.
@tumajunior6080
@tumajunior6080 3 года назад
Mashaallah kakangu shafi ww ni transformer ya Allah 💪💪💪watuzidisha imani na kututia nguvu
@achanifumos1093
@achanifumos1093 3 года назад
Shafiiiii...nakupenda kwa sababu ya ALLAH...na inshaAllah upate mapenzi ya ALLAH
@abdalaauame3863
@abdalaauame3863 3 года назад
Takibirr allahuakibarro.mashalla
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 года назад
Ndo shaffi huyo Masha"Allah
@barakamwekwa1413
@barakamwekwa1413 3 года назад
Wewe hujui unalo sem wewe nimshabikitu wadini umeamua kuwafurahisha watu kwa ucheshi tu
@saideomarnaimo8350
@saideomarnaimo8350 3 года назад
Assalamu ãlaykum yaa akhey, vipi hali yako?
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 3 года назад
🤝
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 3 года назад
🤝
@anwarambar6141
@anwarambar6141 3 года назад
MashaAllah Sheikh Shafi Allah akuzidishie ilimu , uzidi kutoa watu kutoka kwa Giza kuwaleta katika Nuru kwa idhini ya Allah Subhanahu wataala
@IssaMbaru-qw6ug
@IssaMbaru-qw6ug 3 месяца назад
Manshallah allah akbar
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 3 года назад
MaashaaAllah Jazaakumullahu khairan 🙏 Sheikh Shaafi
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 2 года назад
Poleni sana msilolijua ni sawa na usiku wa giza mnajifurahisha tu hapo bila kusema Yesu hamnaga raha Mungu awasamehe siku ya kiama ndo mtajua Yesu ni nani tena mtaingia motoni jinsi mlivyo
@ahmedabdirustu2193
@ahmedabdirustu2193 3 года назад
MashaAllah sheikh shafii, good job
@shakilaabdallaherio5617
@shakilaabdallaherio5617 2 года назад
Mashaallaah mashekhe wangu
@حليمهعلي-ض6ذ
@حليمهعلي-ض6ذ 2 года назад
Asalam alekum:Mashallah,Mashallah Mimi ni mkenya nimefurahi sana kwahiyo mawaitha
@AminaAmina-on3yf
@AminaAmina-on3yf 3 года назад
Mashaallah Allah kareem
@moureenkamau8697
@moureenkamau8697 2 года назад
mungu. akuli. Sheik
@kabarezephanie3573
@kabarezephanie3573 2 года назад
Mungu alionekana kwa Ibrahim kitabo ca mwanzo 18
@yashoopatrickpatrick2286
@yashoopatrickpatrick2286 Год назад
Masha Allah
@chriswasonga1782
@chriswasonga1782 Год назад
Yesu ni Mungu aliyekuja kushinda kifo wala hilo kama hamna imani hamiwezi kuelewa
@luluelia-yo2rg
@luluelia-yo2rg 4 месяца назад
Wew ndouna lolote
@chriswasonga1782
@chriswasonga1782 4 месяца назад
Hawa wote wamechanganyikiwa ni kama waganga wkienyeji. Hata huyu anayeongeya ndiyo karogwa
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 года назад
Mkristo akisimama kumzungumzia Muhammad basi pia mue mnavumilia pia
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 года назад
We nini bwana
@faridayendayenda7664
@faridayendayenda7664 3 года назад
Shafii umenenepa mashallah
@mansourmkanakuta6641
@mansourmkanakuta6641 2 года назад
She shafi kipaji kingne ich another talented
@fatmazena8886
@fatmazena8886 3 года назад
Ma Shaa Allah
@maimunampole9894
@maimunampole9894 3 года назад
👇 *NAKUOMBA BONYEZA HAPA* 👇.... ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-jpnUT3uMd-k.html
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 года назад
Tubonyeze nini acha ujinga
@safiunamugen2523
@safiunamugen2523 2 года назад
Masha Allah napenda kumsikiza Shafii
@jimmyajmi8501
@jimmyajmi8501 Год назад
Mashalah
@khaliddaud5352
@khaliddaud5352 3 года назад
Shafii,wewe ni noma ,unatisha! Tunamshukuru Allah kwa kumuumba mtu muhimu kama wewe
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 3 года назад
Amiin
@jacksonnzai1593
@jacksonnzai1593 2 года назад
@@nuswemwaipopo9558 anatisha kwako la c kwa wakristo, atishe ye jini?.
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 2 года назад
@@jacksonnzai1593 he nimesema nini?
@KhalfaniFarisy-c3w
@KhalfaniFarisy-c3w Месяц назад
​@@jacksonnzai1593Hauko sawa, ndo mana umekuwa mkristo. Ukisilimu ndo utapewa ufahamu mkubwa
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 года назад
Shafii km Shafii Mmafia og❤️
@nextleveltalent1576
@nextleveltalent1576 2 года назад
subhanah alahh akbar
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 года назад
Inshaa allah
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 года назад
Twakupenda shafii😘
@asiabakar3207
@asiabakar3207 2 года назад
Na mi naeapenda
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 3 года назад
Mashallah Allah
@hamissuche6576
@hamissuche6576 3 года назад
Masha Allah,.. Sheikh wangu MUNGU akueke,.. Wallah chakushangaza kwani hawa wakristo hizi aya huwa hawazionii ama tatizo huwa liko wp,.. Biblia hujaijua wakimbilia Quran utaiwezaa ?
@maryambintukhadija1604
@maryambintukhadija1604 3 года назад
Maa shaa allaj
@shabanirukundo4272
@shabanirukundo4272 3 года назад
Napendasana kufatiliamiazarayenu
@OmaryRamadan-m8v
@OmaryRamadan-m8v 3 месяца назад
😂😂😂najiskia furaha kwa kuzaliwa muislamu mungu awalipe kwa kazi nzuri na allah awalipe kheri wale waloelewa na kufata dini ya haki inshaallah
@elishasaiti
@elishasaiti Год назад
HAKUNA NABII HAKUNA MTUME HAKUNA MUNGU NNJE YA YESU KRISTO KILA GOTI LITAPIGWA KILA ULIMI UTAMKIRI
@fadhilinalinga6604
@fadhilinalinga6604 2 года назад
Safi
@hashim8130
@hashim8130 3 года назад
ماشاء الله شيخ شافي شماري الله يحفظه ويطول عمره
@alhajjwaupe4593
@alhajjwaupe4593 Год назад
Ameen
@braysonyakuza5959
@braysonyakuza5959 2 года назад
MASHALLA aah🕌
@alinuribrahim4216
@alinuribrahim4216 2 года назад
MashaAllah
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Ndivyo ilivyo kwa Yesu,, Mungu alijifunua kupitia umbo la kibinadamu, tunachoona ni mwili wa kibinadamu ambao Mungu yupo ndani yake; 👇👇 Waebrania 1:1-2 1 Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi, 2 mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 2 года назад
wakati Mungu yupo ndani ya Yesu,na yesu anaomba Baba yetu uliye mbinguni sasa ni mungu gani tena aliekua mbinguni anaomba wakati yupo ndani kamvaa yesu..ebu jaribu kuitumia akili ata kidogo basi
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
@@shabamuhidin634 Swali zuri umeuliza. Mungu wetu ni Mmoja, lakini hujifunua katika Wingi,, Katika Baba na Neno na Roho Mtakatifu na kubaki hivyo hivyo mmoja, Mathayo 28:19. Neno(Yesu) alipofanyika mwili akiwa duniani alikuwa akiongea na Baba aliyekuwa mbinguni.
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
@@shabamuhidin634 Waislamu elimu ya Roho hamuna
@pamoles1303
@pamoles1303 2 года назад
@@frankmpembu2505 Paulo kakuingizeni mkenge mwenyezimungu ni mmoja tu na SI watatu Wala wanne
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
@@pamoles1303 Aliyekua mbia Mungu watatu nani? Soma Vizuri comments zangu
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 3 года назад
Amiin
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 3 года назад
Aamiin
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Waislamu elimu ya Roho hamuna, na kamwe hamtokuja kuijua kweli mpaka Yesu atakaporudi mara ya pili kama alivyosema na mtaishia motoni. ULIOKUFA NI MWILI, LAKINI ROHO YAKE HAIKUFA. NI MWILI ALIOUVAA NENO(Yesu ni Neno Yohana 1:1) NDIYO ULIOKUFA LAKINI ROHO YAKE HAIKUFA ILIENDELEA KUWEPO KAMA KAWAID. 👇👇 1Petro 3:18 18 Kwa maana Kristo naye aliteswa mara moja kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili yao wasio haki, ili atulete kwa Mungu; MWILI WAKE AKAUAWA, bali👉 ROHO YAKE AKAHUISHWA Tunaposema Yesu alikufa ni Mwili ule aliouvaa ndiyo uliokufa, Lakini ROHO yake iliendelea kuwa hai kama kawaida, sio kama binadamu sisi, tunapokufa, tunakufa mwili na roho.
@t.v.a.i.s.s6842
@t.v.a.i.s.s6842 3 года назад
Ameen yaa a rabb
@nasirahmed3295
@nasirahmed3295 3 года назад
Tunaomba Sana yule muhuni ndacha mutukamatie
@nooroman2535
@nooroman2535 3 года назад
Amina
@HassanAli-lt4xm
@HassanAli-lt4xm 2 года назад
Sheikh shaffi Allah akufungulia kila palipo fungika
@زهرغنيه
@زهرغنيه 3 года назад
Nema ya Allah jamani shafi amenenepa vizuli Allah akuwekeye wepesi kwakazi unayoyafany
@hajikabugahamis3149
@hajikabugahamis3149 3 года назад
Tam Sana
@adammasunga5363
@adammasunga5363 2 года назад
Kwa kweli kuelewa ni kazi ngumu Waislamu munashangilia kitu msichokijua
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Ni kweli, hakuna aliyewahi kumwona Mungu, na Mungu anasema Binadamu hawezi kumwona akaishi, hivyo Mungu utumia maumbile ya asili yanayomzunguka Binadamu huyo aliyemwumba kuongea naye. Mfano, Mungu alitumia kijiti kilichokuwa kikiwaka Moto kuongea na nabii Musa, kutoka 3:4; 4 Bwana alipoona ya kuwa amegeuka ili atazame, Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti, akasema, Musa! Musa! Akasema, Mimi hapa
@mukrimmohd8954
@mukrimmohd8954 2 года назад
Hujui ulisemalo mungu avae mtu veep
@nasirahmed3295
@nasirahmed3295 3 года назад
Asalamu Waislamu tunaomba tuwachangie taa za camera na maiki za ziada (kama navyo ona kigiza kikianza picha hazionekani)Mashekhe zetu kwani kila kiltu sio waombeombe tujiongeze
@abdulbogoyo1243
@abdulbogoyo1243 3 года назад
Masjallah: Shekh shafii unapoongea lazima tu watu wacheke
@theheraldbroadcastingnetwo4836
Porojo tupu Allah wa dhahiri,vipi
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Qur'an 29:47 47. Na namna hivi tumekuteremshia Kitabu (cha Qur'ani). Basi wale tulio wapa Kitabu CHA BIBLIA wataiamini (Qur'ani), na miongoni mwa hawa (washirikina) wapo watakao iamini. Na hawazikatai ishara zetu isipo kuwa makafiri.
@burhanimahmoud8985
@burhanimahmoud8985 2 года назад
Frank kuwa tu muislam mashallah unapendezea sana kaka
@kabarezephanie3573
@kabarezephanie3573 2 года назад
Amini yesu Cristo hili udum milele
@idriskinye1190
@idriskinye1190 2 года назад
Jaman waisalam mspige makofinyinyi
@khalfansharji9790
@khalfansharji9790 2 года назад
Mashaallah lugha fasaha tafsiri sahihi wakati muhimu ila tu ni kwa watu wenye akili Shafi asie kuelewa ni ambaye alishahukumiwa ukweli uko wazi hakuna kupindisha ukweli sifa za mungu ni hizi na sifa za mwana adam ni hizi sasa wee pinga kwa kuwa ulishamezeshwa clip ya YESU MUNGU na hilo mpaka kufa mpaka.........ALLAH Awape umri mrefu wenye manfaa kwa uma wa mtume Muhammad.
@AshraqNasoro
@AshraqNasoro 4 месяца назад
Mashalla ustadhi shafi
@AshraqNasoro
@AshraqNasoro 4 месяца назад
Alla akulinde na maaduyi wa baya
@kwaleboy6064
@kwaleboy6064 3 года назад
Shafi kiboko
@tumajunior6080
@tumajunior6080 3 года назад
🤣🤣🤣🤣rahaaaa mpk ndani ya nafsi nakupenda bure kakangu kwa ajili ya Allah
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Hilo swali Waislamu mmelikwepa kujibu, "hii ni Qur'an bwana, kunavitu unatakiwa uwenavyo ndiyo uweze kuielewa" Kisha akakimbilia kwenye Biblia, na kuacha swali aliloulizwa, na hii clip mmeiweka nusu
@pamoles1303
@pamoles1303 2 года назад
Klip mbona zipo nyingi
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
@@pamoles1303 Hilo swali Mmeshindwa kujibu,,mmekimbilia kwenye Biblia, Biblia yenyewe hamuiwezi,Mnaisoma kama gazeti lenu Qur'an
@pungopungo411
@pungopungo411 Год назад
Ndio maana mnakula lakini mmechakaa .kwa kugusa mambo msioyajua undani . wake.tatizo mko kimwili zaidi. Kuna siri hamjaijua kuhusu yesu kristo
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 2 года назад
Kweli ni mtihani kuna makabila fulani hawaja tahiliwa lakini mungu wao yesu katahiliwa duu kweli ni vaisi vesa eti mpaka uwe na roho mtakatifu ndio maana zumaridi nae kawa ambia watu wake yeye ni mungu subhanallah Allahu Akbar hii ndio shida kukubali kila unacho ambiwa kisingizio roho mtakatifu mmm
@zaburionlinetv6245
@zaburionlinetv6245 3 года назад
Sheikh Shafii huwa namkubali sana?
@maimunampole9894
@maimunampole9894 3 года назад
👇 *NAKUOMBA BONYEZA HAPA* 👇.... ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-jpnUT3uMd-k.html
@Dr.zaidi4
@Dr.zaidi4 2 года назад
Mbona wakristo hawamtaji Muhammad kwenye mihadhara Yao? Lakini waislamu wanakereka sana na jina kuu juu ya majina yote alilopewa Kristo,hapa duniani na huko mbinguni? Atakaporudi tena itakuwaje?
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 2 года назад
Hapa ndipo shida ilipo. Unaweza soma neno la Mungu usilielewe vile Mungu anavyo taka ulielewe. Ni sawa na kwa na simu usijue kutumia kila kitu kilicho ndani yake.
@mukrimmohd8954
@mukrimmohd8954 2 года назад
Haingii akilini dini unasomeshwa toka mdogo
@mukrimmohd8954
@mukrimmohd8954 2 года назад
Nonsense
@IddiMgalura
@IddiMgalura 9 месяцев назад
Jembe
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
Mungu pia alitumia upepo wa kisulisuli kuongea na nabii Ayubu, Ayubu 40:6; 6 Ndipo Bwana akamjibu Ayubu katika UPEPO WA KISULISULI na kusema, Ayubu 42:5 5 Nilikuwa nimesikia habari zako, kwa kusikia kwa masikio; Bali sasa jicho langu linakuona. Mungu alitumia upepo wa kisulisuli kuongea na nabii Ayubu, na Ayubu 42:5 nabii Ayubu anamwambia Mungu NAKUONA. Sio kwamba anamuona Mungu mojamoja na umbo lake jinsi alivyo, hapana, anachoona ni upepo wa kisulisuli ambapo Mungu yupo ndani yake.
@bellalygeomecky1145
@bellalygeomecky1145 2 года назад
ah hujielewi ww
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 года назад
@@bellalygeomecky1145 Kivipi?
@hoseapatel8005
@hoseapatel8005 2 года назад
Tunza ulimi shehhhh
@jacksonnzai1593
@jacksonnzai1593 2 года назад
Jamani amna ufahamu wakujua uungu wa yesu ju nyie mlimjua Yesu bada ya yeye kuzaliwa, wakristo kumemfahamu tangu misingi ya dunia haijawekwa. amtaelewa ata mwisho unless muokoke.
@salehabdulaziz9218
@salehabdulaziz9218 2 года назад
Okokaa ww mwanzo kwenye kaburi utaliaa utatamani ungekua mwislamu tuhh
@crescentvscross1132
@crescentvscross1132 2 года назад
Uislamu ni Nuru uvaticani ni kupoteza muda
Далее
Ustadh Shafii wazungu katika ndege ||| QIBLATEIN ONLINE
21:31
SHEKH MWAIPOPO AMKWAMISHA MCHUNGAJI
19:17
Просмотров 11 тыс.
САМАЯ ТУПАЯ СМЕРТЬ / ЧЕРНЕЦ
1:04:43
USTADH SHAFII AMLIPUA MWAMPOSA NA UONGO MAFUTA YAKE
12:56
MUIMBA KWAYA ASLIM NA KUWALIZA WAISLAM
16:28
Просмотров 34 тыс.
MASAI AWASHTAKI WAISLAMU KWA MUNGU TANZANIA
30:57
Просмотров 1 тыс.
MKRISTO ATAKA KUNYWA SUMU KEWNYE MUHADHARA LEO
52:54
Просмотров 25 тыс.
САМАЯ ТУПАЯ СМЕРТЬ / ЧЕРНЕЦ
1:04:43