Alhamdhulillah kuwa muislam tu ni neema kabla kitu chochote kwanza, tuseme Alhamdhulillah kwa kuipata neema kma hii.... Replacement ya mazinge naiona sasa
proud is sin ...proud ni kiburi kwa kiswahili .....so hapo tu unapokuwa na kiburi ndipo unaangukia ......kama kweli unadhani utafika mbinguni kwa kutambua kuwa uislamu ndio dini ya kikweli ? umeboronga ? hakuna jina kubwa kama jina la Yesu ....Mungu wetu ametubebea dhambi zilizopita zilizoko na zijazo ....hakuna matendo utafanya mema kamwe yakufikishe mbinguni ....mwisho wa kunukuu
@@zouzou2849 nani kakupa hyo haki ya kunihukumu ety mm kafiri ...wewe umeketi kwa kiti cha enzi kwani ama uko katika mkono wa kuume wa Mungu .....acha kiburi mkubsli yesu ...ama shikilia dini ww ikufikishe kwa Mungu
Baada ya miaka 570 ndipo ilikuja Imani nyingine. Hakuna mtu awae yote anaeweza kuushinda Ukristo.Kila na nabii alikuwa na kalenda yake. Yesu 00-2023.Dunia haikuanza wakati wa Yesu.Sasa Kwa Nini ni 2023 na sio vinginevyo