Тёмный

MUME WA ISHAMASHAUZI AMCHANA MUME WA SHILOLE KUACHWA/ANATUAHIBISHA WANAUME/KULALA NDANI/VIBE TEN 

Carrymastory
Подписаться 480 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

NI UJINGA NI UPUMBAVU ROMMY KAZINGUA SANA HUWEZI KULALA MWANAMKE AMEENDA KUTAFUTA -Tumepiga story na mpenzi wa isha masdhauzi mabango kingdom ameonekana kuchukizwa na na kuongelea kuvunjika kwa penzi la #shilole na aliekua mpenzi wake #rommy3d mabango amesema anaona #shilole yuko sahihi kumuacha mwanaume ambae hatoi pesa fua

Развлечения

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@zayanazayana5518
@zayanazayana5518 3 месяца назад
Anafanana na Sheikh Abdul Sijui wanahusiana
@hussenyahaya8675
@hussenyahaya8675 3 месяца назад
Ucmalize maneno bro ngoja tukupe muda
@eestermos9933
@eestermos9933 3 месяца назад
Unaongea sana Shida nyingne subir uachike tutajua
@TatoTato-t7s
@TatoTato-t7s 3 месяца назад
Mwanaume acha kuongea sana
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 3 месяца назад
Ongea kwa nukta dunia ina mengi. Mpk hapo ushajiaibisha ni aibu😏😏
@Marjeby
@Marjeby 3 месяца назад
😂😂😂Vijana wa Bongo wa hovyo sana masikio kama popo
@righitkileo
@righitkileo Месяц назад
Tukubali tukatae maisha yamebadilika sana karne hii .Zaman kipindi wanaume wakiwa wanaume huwezi kuwakuta wanajisifu kuhusu mahusiano.kulelewa,vitu kama.hizo No,no,ila kwa sasa dunia ipo hapa .very sad
@Marjeby
@Marjeby 3 месяца назад
😂😂😂😂Huyu mtoto kwanza hakuna ubishi ni darasa la saba huyu!
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Месяц назад
Kila mtu ana aina ya life style yake. Wacha kuingiliana maisha ya wengine. Weye fanya yako. Ona sasa mbona umeachwa. Sasa kakojoe ukalale. umeachwa
@AnnaJacobo-q4i
@AnnaJacobo-q4i 3 месяца назад
Uko sawa.
@marthatv9335
@marthatv9335 3 месяца назад
Yanamuda tunakupa mwaka to😮
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 3 месяца назад
Nnachojua wanaume hawaongei sana ati mpka unaonesha transaction 😂😂 yan unalazimisha tukuone unajamjali mwanamke wako punguza tambo bro tunaijua hii mapenz ya mwanzo yana mbwembwe ata Rommy na shishi walianza hivihivi na ndoa wakafunga lakin sai ameanikwa hatoi matumizi😅
@AishaAisha-q4t
@AishaAisha-q4t 3 месяца назад
Achana nao hao penda mpendane mapezi kupeana furaha
@mushtaqakram9843
@mushtaqakram9843 3 месяца назад
Acha kuongea sana ww bado ayajakukuta awo viumbe ata ufanye nn mda wowote wanabadilika acha ujinga
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 3 месяца назад
Mhhh🙌🏼
@eestermos9933
@eestermos9933 3 месяца назад
Huyu nae mpuuzi tu
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 3 месяца назад
Uyo mwanaum unaongea ivooo duuuh
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 3 месяца назад
Tushakuchoka nawewe bwana lelewagwa uko chefu au ndo unautafuta umaarufu kwa nguvu komwe kama paa la nyumba 😏😏
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 3 месяца назад
Ndugu yangu yasije yakakukuta mambo haya
@elizabethchikoti3534
@elizabethchikoti3534 3 месяца назад
Tena anyamaze yy apambane tu isha apate mtoto
@AishaAisha-q4t
@AishaAisha-q4t 3 месяца назад
Wanaona donge tumia paty yako
Далее
VITUKO VYA KWENYE DALADALA STEVE KIMEMLAMBA NDARO
8:00
Кто тут самый-самый?
0:36
Просмотров 5 млн