Тёмный

MWAKINYO Amjibu MANDONGA Utapenda|PROMOTER MWAZOA ATOA SIRI NZITO. 

M.P TV Online
Подписаться 30 тыс.
Просмотров 83 тыс.
50% 1

#skysports#ccm#live#live#new#sports#kenya#garenafreefire#diamondplatnumz#mwakinyo#full

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 109   
@cmb6342
@cmb6342 Год назад
Ndugu yangu mwakinyo ww Ndo boxing ya Tanzania hao wengine wapiga debe tu wew kwa hadhi yako usijihangaishe kumjibu mandonga yule Ni kibaraka wa wapumbavu af yule Ni demu tu hafikishi ngumi yako fala mmoja tu yule na cku ukipigana nae Ndo hatokaa apigane tena
@williamdetkvant1313
@williamdetkvant1313 Год назад
Hyo mandonga muache apige kelele hapa Tanzania ukimtoa seleman kidunda hakuna zaidi yako.promota watafute mabondia nje ya Tanzania.mwakinyo sio level za ngumi za mtaani hyu ni professional icon
@farajafleva
@farajafleva Год назад
Kazi nzuri ipo na changamoto watu waache mdomo hongera jitu mandonga
@khamisbuda
@khamisbuda Год назад
Maongez meng.twaha Mara ngap amekutaman muonyeshan bado unabak na maneno muoga boss wa manen mandong unamtaka twaha mbn hutak chawa
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 Год назад
Mandonga bado tunamuhitaji kwahiyomwakinyo asije mtoa taya buure!
@saidmansoury1526
@saidmansoury1526 Год назад
Alafu anajikweza sanaa bado ujafika broo
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa Год назад
Ww umefika
@BigZhumbe
@BigZhumbe Год назад
Bado ajafika ikiwa Africa nzima alikua namba moja
@bonabonaza5066
@bonabonaza5066 Год назад
Mwakinyo unaonges Kama mgonjwa,,
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 Год назад
Sio nembo ya tanzania tu ni nembo ya africa mzima hiyo iko wazi
@mtatapharaoh5174
@mtatapharaoh5174 Год назад
Tangu uuze mechi UK heshima imeshuka sana
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Год назад
Sana
@nimrodsigulu6249
@nimrodsigulu6249 Год назад
Huyu KWA mandonga ayoboi..labda asahau begi send ya Magufuli....😄
@ikramsalum5655
@ikramsalum5655 Год назад
Mwakinyo usi papatike na mandonga mandonga ni buludisho lawatanzania ktkt ndondi.. ucidhani kua akikutajataja ukajua ndio anakuitaji apigane nawe .hapana ..ila kama unajiweza yavagae kwa kakamkubwa kiduku.....
@osmanali9967
@osmanali9967 Год назад
Mungu akupe ushindi kwenye pambano lako mwakinyo tuko pamoja
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Год назад
Huyu jamaaa mdomo umemponzaa alitakıwa kuwa na heshima kwa wanadam bocing hakuanza yy. Alkuwa mshamba ktk boxing ndıo 7b ya kupoteza wafhiwa wake. Udishamgar Mandonga atakuwa juu kulko huyu 7b Mandonga hajikwaz yy n mtu kama wengne anamuheshm kıla mtu . Heshima ndıo afanıkıo ktk Dunya ya leo!!!
@jamalsaid7475
@jamalsaid7475 Год назад
Subira huvuta kheri Tanzania 🇹🇿 hoooyaah Nyote ni Mabondia wetu Tunawapenda nyote Bwana Mwakinyo umesema kweli All the best 👍brother
@zephaniamwangu9857
@zephaniamwangu9857 Год назад
Anamwogopa Mandoga na kiduku huyo!!!!
@adamnassiri8512
@adamnassiri8512 Год назад
Ww pga ndonga huyo✍🏻💬💵
@mosesburton184
@mosesburton184 Год назад
Mandonga Anatafuta Hela Mwakinyo ni Boss kwa Mandonga.Wakikutana Mandonga ataokolewa na Refa kifo
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 Год назад
Wala si utani kaka
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Nyie tulieni muone mandonga atavyomchakaza huyu bwege😂
@magigeruanda6032
@magigeruanda6032 Год назад
Tatizo hatujakuelew Kwa Nini ulikubali kushindwa kule uingerza?au uliuza mechi.wengi wanasem umeuza mechi Hilo linatusumbua San kichwa
@savagetz.1447
@savagetz.1447 Год назад
kaka we bondia ckupingi sema sometime unaongea shonde sana
@frenkfrenk5064
@frenkfrenk5064 Год назад
Mwakinyoo nikilazaa
@shaibually5524
@shaibually5524 Год назад
Mandonga hasumbui .. mtt mdgo xnaa
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 Год назад
Haunaga baya Brother Mwakinyo.
@b.zedontvabdulkadershabani8285
Mwamba Anaonekana kumuogopa Sana karim mandoga
@stanleyjacobo3285
@stanleyjacobo3285 Год назад
We vp huyo mandonga nae bondia mchekeshaj yule
@samsont.albini5998
@samsont.albini5998 Год назад
Anamgwaya mandonga huyo
@hamiboy1706
@hamiboy1706 Год назад
All the best 💯💪
@saidmansoury1526
@saidmansoury1526 Год назад
Bondia wamchongo ujielewi nlikuwa shibiki wake sana lkn kwa viatu no
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 Год назад
Mandonga anatafuta Kiki kwa Mwakinyo
@salimliemba3458
@salimliemba3458 Год назад
Mandonga apijane na mwakinyo ataka kik tu hajafikia hata punje ya kupijana na mwakinyo
@ashirafukitololi540
@ashirafukitololi540 Год назад
Fanya kaz mwakinyo achana na maneno mengi bado hujafika maongez mangii mda wa wewe kuongea bado sanaa, pambaania kipaji chako, naamin kipaj unacho,ila ss ivi unaonekana kama una relax sanaa bado muda wa ku relax, na usikubali kupambanishwa na watu ambo sio ma boxer ni kujivunjia record yako kama professional, tumia mda mwingi kwenye mazoez ndo vitu vitavyokusaidia ,ulikua unakuja vizul sanaa ila kwa kweli sasa hivi kwa jinsi ninavyokuona maneno mengi kama ni legendary ila wewe bado sio wa hizo hadh, wewe ni future boxer light nw
@ashirafukitololi540
@ashirafukitololi540 Год назад
Usipigana ngum kwa mihamko ya watanzania watakufelisha cz watanzania hawapeleki michechezo kwenye direction ya international na ndo maana wanasapot watu hambao hawana vipaji sasa na wewe ukifata direction ya watanzania utapotea,ludi kwenye direction ile uloonza nayo ulianza vizul tuu,achana na hao viongoz wa sports wenye mawazo madogo kwenye sports, huwa wanaangalia tu jinsi watakavyojaza uwanja na sio kuandaa ma boxer ili wapambane international walete ma taji ya ubingwa dunian, kama watu wanajitambua kwenye sports huwez kumtaja mandonga!!! Mandonga hatatupeleka wapi?.....achen mihamko ya kipumbav mnaalib tasnia ya boxer bila ya wenyewe kujitambua,
@juliasmasanja3874
@juliasmasanja3874 Год назад
Kama mandonga unamjua na unamweza weka pambano.watu wavyojua unamwogopa.vunja ukimya
@itsmelatz
@itsmelatz Год назад
Home is best. 👊🏼👊🏽
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 Год назад
Nilikukubali sana ila pale kwenye viatu nilikudharau sana na ilikuwa ndio mwisho wa kukushabikia. Bora tubaki na mtu kazi asiye na MATAMAA
@BigZhumbe
@BigZhumbe Год назад
Unaacha ushabiki kisa kapoteza mchezo mmoja????
@Siasa-k7v
@Siasa-k7v Год назад
Sio kupoteza pambano Moja,bali kushindwa kikekike.
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 Год назад
@@BigZhumbe kwan mandonga ninayemkubali . Kapoteza mangapi. Hapa ni kwamba amepotezaje . Yaan kwa namna gan
@magigeruanda6032
@magigeruanda6032 Год назад
Yan tumedharirikaje na ngozi nyeupe haaaa au aliuaa mechi hyu?
@ngayaimkwe5175
@ngayaimkwe5175 Год назад
Maongezi mengi kwako ni kawaida acha ndondi za mchongo
@noelbernard6390
@noelbernard6390 Год назад
Mwakinyo hamuwezi mandonga, Kwa ule mziki wa Kenya
@saidollarchain2895
@saidollarchain2895 Год назад
Mwakinyo nibondia wa mchongo Mandonga ni MTU kazi, Mwakinyo anaweza kupigwa hata nahisi ameanza kuogopa mandonga alisema atampga round ya 4 saiv mbona haongelei tena
@ecostats51
@ecostats51 Год назад
Tunamtaka mwakinyo wa zamani,huyu siye yeye for sure.
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Год назад
Wewe ni mpumbavu mwehu mkubwa.Umeuza mechi kwa mzungu kisingizio cha kubana viatu.usimshirikishe mungu katika unafiki wako
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa Год назад
Wewe unajua maana ya shirki pumbavu ww
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 Год назад
Kwan watu wanatafuta nini??
@shaban9730
@shaban9730 Год назад
Saiz mwakilishi ni mandonga tuu
@dominickjohn1128
@dominickjohn1128 Год назад
Kaoneka alikudunda usijisahau
@fabianfaustine444
@fabianfaustine444 Год назад
Wewe ni bondia mzuri ila kwenye viatu haaaaaa!!!!
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Next atatwambia bukta imemfinya sio viatu tena😂
@makupejafar1771
@makupejafar1771 Год назад
Bondia ni Ibra class tz
@westmanmoses541
@westmanmoses541 Год назад
Ni kaoneka tu ndo champion
@mussabuhe8881
@mussabuhe8881 Год назад
Ndugu yangu mwakinyo achana mandonga tafuta mapambano nnje acha ya ndani hato ni manenotu ni kawaida tuna jua unashinda ukimpiga ana panda akikupiga ana panda acha mihemko wewe
@jamalsaid7475
@jamalsaid7475 Год назад
Peace and love Tanzania 🇹🇿 We love you All Boxers Neema hio. Alhamdulillah.
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Год назад
Huyu ni bondia wa mchongo tu.Mzee wa kubana viatu.mchongo uendelee hatuna imani na wewe tena.
@mkanganails5839
@mkanganails5839 Год назад
Kumbe mpaka kwao tanga wanajua yeye anaongea Sana bila kupigana hatari sana mpinzani akiwa mkatili chaajabu uwa alieleweki
@emmanuelmasse459
@emmanuelmasse459 Год назад
Yaani mwakinyo sijui ulifeli wapi kutokushinda lile pambano la uingereza jirani alituchangisha ili kununua kifurushi lakini ukatukosea Sana ni Bora nikamwangalie mandonga anapigwa kuliko kukwangalia wewe unashinda Tena ushindi wako wa hapa Tanzania umekuwa wa mchongo Sana
@ecostats51
@ecostats51 Год назад
Kaisha bro. Amepoteza kujiamini kabisa baada ya pambano lile la Uingereza.
@tanzaboy4824
@tanzaboy4824 Год назад
utajua kusema viatu vinabana tena
@sadickrajabu8980
@sadickrajabu8980 Год назад
Ww unatuzingua tu kupigana aupigan maneno kaimbe taarabu
@ecostats51
@ecostats51 Год назад
Amekwishapoteza kujiamini teNa. Sio mwakinyo yule tuliyekuwa tukimshangilia. Na asipoangalia atapotea kwenye ramani ya ngumi moja kwa moja.
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Год назад
Mpumbavu niyule aliepigwa Uk
@philipowillium3530
@philipowillium3530 Год назад
Huyu jamaa ni ovyo tu
@marcellysumaye341
@marcellysumaye341 Год назад
Umekuwa nembo lini ya tanzania wew
@alexlambert6692
@alexlambert6692 Год назад
Hamna bondia apo mchongo tu ajichanganye sku auvae kwa kiduku
@tumainkitundu1015
@tumainkitundu1015 Год назад
Huyu ndo champion bhana
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 Год назад
Huyu mtu ana akili na anajua msingi wa kazi na malengo
@eagleeyes4449
@eagleeyes4449 Год назад
Nimesikia ww mnafiki wewe
@mayaltv9441
@mayaltv9441 Год назад
Huyu mcheza baikoko hana jipya kabisa
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Год назад
Kuna sukunyo wewe mwakinyo jiangalie
@geraldsimbeye4810
@geraldsimbeye4810 Год назад
Huyu apambane na ibra
@shaban9730
@shaban9730 Год назад
Ulikosea kusema viatu vimekubana
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Год назад
Mbona sauti hamna
@ecostats51
@ecostats51 Год назад
Ameshapoteza kujiamini huyu jamaa
@charlesvicent113
@charlesvicent113 Год назад
Ila kwenye viatu tu uliniacha hoiii ata mm mwakinyooo mwanyonyoo
@raybirry3816
@raybirry3816 Год назад
Mwakinyo ANAMUOGOPA mtu kazi Mandonga.
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Год назад
Nembo yaTanzania niMandongaNtukazi
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Год назад
Ntu kazi uyo wenu, mandonga ni mtu kazi
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Год назад
hamna bondia apa!! na kabla ujapanda na mandonga tunataka ujipime na Twaha
@stanleyjacobo3285
@stanleyjacobo3285 Год назад
Twaha bondia wawalevi mwakinyo levo nyingne wew
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Год назад
@@stanleyjacobo3285 Level ipi sasa, unapigwa unakuja na hoja dhaifu ya kusingizia viatu
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Год назад
Acha majigambo unamuogopa mandonga
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Год назад
ALISHA JIMALIZA UINGEREZA BASI TENA!
@alykasyunga2506
@alykasyunga2506 Год назад
Mwakinyo ni bondia mzuri lakini Haridhiki. Like pambano la uingereza aliuza. Yule jamaa hakuwa na uwezo wa kumpiga mwakinyo kwahiyo heshima yake imepungua.
@mboga7
@mboga7 Год назад
Huyu hamna kitu
@DonDallas
@DonDallas Год назад
Mandonga juu ww viatu vimekuponza ndugu
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Год назад
haha😂😂😂 viatu??? aligongwa tu uwezo mdg
@magarikiswili5934
@magarikiswili5934 Год назад
Wewe mfanya biashara sio bondia
@tumainkitundu1015
@tumainkitundu1015 Год назад
Kila mtu ana malengo yake kwenye ubondia sio dhambi kufanya biashara kwenye ubondia
@mtatapharaoh5174
@mtatapharaoh5174 Год назад
Kauza mechi UK
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Год назад
pumbavu ni wewe mwakinyo ulie uza pambano na kusingizia viatu😂😂
@victorwilliam1111
@victorwilliam1111 Год назад
Nchi yenyewe ilimtelekeza ulaya ulitegemea afanye nini, bora alirudi salama , sisi inatutosha . Ila kwa sababu alikuwa peke yake angeshinda lile pambano asingerudi salama
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Год назад
@@victorwilliam1111 jibu unalo aliuza pamba kwa kuhofia maisha yake
@victorwilliam1111
@victorwilliam1111 Год назад
Asiyewajua wazungu anafikiri anaenda manzese. Wale ni siyo watu brother. Ndiyo maana mabondia wengine unaona wanalondwa kwa gharama kubwa halafu sisi tunamuacha anaenda kama anaenda sokoni . Sipati tabu watunwengi kitoelewa kwa sababu uhalisia hawaufahamu .
@ecostats51
@ecostats51 Год назад
@@victorwilliam1111 Kivipi an mkuu. Hebu niambie kinaga ubaga!!🤔🤔
@victorwilliam1111
@victorwilliam1111 Год назад
@@ecostats51 kwa kawaida michezo ya ngumi katika level kubwa huwa ni biashara kubwa mno na Ina uharamu mwingi kama hakuna ulinzi wa kutosha. Alishatoka uingereza akawaachia majonzi, ndiyo maana walizuia viza za team yake ili aende peke yake. Na ilikuwa angeshinda pambano huenda wangemuua kwa sababu alienda kama anaenda mgahawan. Kiutaratibu ilibidi serikal impe ulinzi na kuhakikisha team yake nzima inafika. Ila wampokee wao, wamlishe wao, Wamlaze wao na achukue point. Hicho kitu hakipo. Wale siyo watu linapokuja swala la maslah na bland zao. Ila kuna sisi ni wakijifunza naamini kuna funzo wadau na wizara husika wamejifunza
@TALLUBOY
@TALLUBOY Год назад
wewe ni mjinga kama wajinga wengine aupo sawa kwa mkono unafEk vp pambano wewe wewe jamaa unafel wapi mzee mimi napigana nawatu kisa wewe kususema kwa watu kuwa hassan mwakinyo kuwa boxing namba 1 tanzania na kwa Africa kwa watu wenye uzito wako matokeo yake unafanya ujinga
@salumdigaga542
@salumdigaga542 Год назад
yeye mwenyewe kasema kwaniaba ya watu wa tanga na nchezo atacheza kwao na wasambaa wenzie
@makupejafar1771
@makupejafar1771 Год назад
Wewe muoga unakaa kimya
Далее