Тёмный

MPAKA HOME KWA FEISAL SALUM, MAMA MZAZI AFUNGUKA MAZITO/DADA NA KAKA ZAKE WAKOSHWA NA UJIKO WA FEI. 

Mpenja TV
Подписаться 557 тыс.
Просмотров 507 тыс.
50% 1

Leo Agosti 2 2022 Mpenja Tv tunakuletea mahojiano na familia ya Mchezaji wa Yanga Feisal Salum Abdallah maarufu kama Fei Toto.
.
Mama mzazi wa Feisal amezungumza mengi ndani ya Mahojiano haya.
.
Fungua video hii kupata uhondo wote wa habari hii.
.

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 209   
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 2 года назад
Mtangazaji unajitahidi sana kuipatia lafudhi ya Kiunguja, big up unajua kuendana na mazingira ya kazi yako
@witneyzpaul4047
@witneyzpaul4047 2 года назад
Huyu fei toto nampenda sana ,kumbe macho karith upande wa mama zake🥰❤️
@salumsheikh5349
@salumsheikh5349 Год назад
Safi kabisa! Tutafteni hela bhana ndugu watakuja tuu! Amazing mama mkubwa mama mdogo hhh
@ChuseIcon
@ChuseIcon 2 года назад
Fanyeni ivo Kwa Kila mchezaji mzawa. Nijambo zur sana
@aminamzee6295
@aminamzee6295 2 года назад
Mungu akubariki mwanangu uko vizuri Sana kwenye Tim yet ya yanga🙏💚💚💚💚💚🏃🏃
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 2 года назад
Asante nimeskia mama yake yuko kazini
@zollax_tz4164
@zollax_tz4164 2 года назад
Kwel fey YANGA damu mpk makochi ni ya kijani🔥na njano🔥🔥🔥🔥🔥
@samueldavid8853
@samueldavid8853 2 года назад
Emb fanya kuniombea namba za ma mdogo wake Fei mzuri sana mashallah ♥ me ba mdogo wake fei
@mussavande-mcstar1890
@mussavande-mcstar1890 2 года назад
😂
@veronicasulle1849
@veronicasulle1849 2 года назад
🤣🤣
@TheNgomo
@TheNgomo 2 года назад
Tuko wengi tunaihitaji
@zainabunyengedi8691
@zainabunyengedi8691 2 года назад
😂😂😂
@annachiguru9578
@annachiguru9578 Год назад
😂😂 jaman wanaume mna shda gani?
@Abdulhamid_Suleiman
@Abdulhamid_Suleiman 2 года назад
Alwatan broh unaupiga mwingi sana Allah akubariq kwa talent yako
@sarahtz4936
@sarahtz4936 2 года назад
Hata maji tu hupewi
@yusuphmakhahala6570
@yusuphmakhahala6570 2 года назад
Wazanzibari wanazigua sana usishangae brother wanavokujibu.
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 2 года назад
Sasa kajibiwa vibaya wapi mbona chuki nyingi na wewe
@uaeuae4814
@uaeuae4814 2 года назад
Sasa wanamjibu vip.
@rkellyrkellywhite5851
@rkellyrkellywhite5851 2 года назад
Nakubal kaka alwatan uko vizur kwa kazi yako
@atanaskafwimb8955
@atanaskafwimb8955 2 года назад
Upo vzr kaka feithal japo nipo Simba ila Huwa nakupenda sana
@akidamakui9364
@akidamakui9364 Год назад
Fei Anajua Sana Boli kongole kwake
@erickkapinga2045
@erickkapinga2045 Год назад
Erick kapinga Tujifunze toka kwa wazazi hawa kujuwa matokeo ya mwanao hapo baadae
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 2 года назад
Huyu mdogoake fei bana kkkk anaonekana mtu wa mambo sana
@estaendu2870
@estaendu2870 2 года назад
Hahaha kwel bhn ulijuaje
@aliyahyaissaissa7423
@aliyahyaissaissa7423 Год назад
Km mvutaj ivi
@witinesselipidius
@witinesselipidius Год назад
Da nimepend San family yake feitoto na ninamkubal San et kama vip nipate no yake
@witinesselipidius
@witinesselipidius Год назад
No. Yake et
@jumasharif3580
@jumasharif3580 Год назад
,mko vizur watangazaj Allah awasaidie mfke mbali
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 2 года назад
SAFI SANA MPENJA MNAMFUATILIA MTU NA SIFA ZAKE ANAZIPATA 🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏👏
@nassorochongwe9093
@nassorochongwe9093 2 года назад
Mama yake bado yupo vizuri
@shaacollection801
@shaacollection801 2 года назад
Ukiona rangi ya yanga mashaallah
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 2 года назад
MASHAALLAH NIMEPENDA SANA
@asmajuma4960
@asmajuma4960 2 года назад
Hi familiya iko very nice nimeipenda bule😊
@alira3080
@alira3080 Год назад
Njoo tujenge yetu
@alira3080
@alira3080 Год назад
Njoo tuungane tuunde familia yetu
@neemapaulmwananchi7116
@neemapaulmwananchi7116 Год назад
Mim uxhauri wangu kwako achan nawatu penye rizik hapakoxi kelel au walitaka kukuharibia tu kipaji chako kaa mbali nao
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 2 года назад
Ma mdgo wa fei toto maashaallah sjui ameolewa huyu
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 2 года назад
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
@farhatomar7495
@farhatomar7495 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@aliabeid5122
@aliabeid5122 2 года назад
Chombo kwel kwel sio masiyara
@nguzzorajab6380
@nguzzorajab6380 2 года назад
Mtangazaji unaujuaji sana mpaka unakera masta Acha watu wamzungumzie mtu wao..
@sadayusuph1907
@sadayusuph1907 2 года назад
Mtangazj ni zao from University of Dar es salaam 🥰
@sozoartifex
@sozoartifex 2 года назад
Sure hauliziii vizuriiiii
@islamsuleymani2652
@islamsuleymani2652 Год назад
Adili kma adili hahahahaaa yaan jamaa anazingua anavyoongea
@nestorymapunda4596
@nestorymapunda4596 2 года назад
Mpenja tv mko vizuri san
@omaryally7677
@omaryally7677 Год назад
Mmmh farhaty mashaallah
@shinjemwagala232
@shinjemwagala232 2 года назад
Asante sana brother
@fredymwakikono1575
@fredymwakikono1575 Год назад
Kabla hajaanza kula ugali kwa sukari hapa 😂😂😂
@Zaburi-
@Zaburi- 2 года назад
Mtangazaji punguza mbwembwe acha mtu ajieleze, una interference nyingi sana wakati mtu anaongea, you did good job though but learn some techniques
@jerryfaraja1094
@jerryfaraja1094 2 года назад
Sure jamaa anazengua sana,,sifa mingi
@sozoartifex
@sozoartifex 2 года назад
Exactly hapangirii vitu
@dandassimon3116
@dandassimon3116 Год назад
Mimi sipendi watu wanaozuia riziki za wachezaji kwani maisha ya mchezaji ni mpira , na akipata dau kubwa inabidi aachiwe atafute maisha mazuri ya familia lķn utakuta anazuia lakini kama ni hitaji mpeni anayotaka .
@kassimomar7589
@kassimomar7589 2 года назад
Zanzibar home sweet home
@mgenihasnuu8448
@mgenihasnuu8448 2 года назад
Mama fei yuko vzr
@fatmaamin3848
@fatmaamin3848 2 года назад
Huyu mama wau ni mzanzibari
@shaacollection801
@shaacollection801 2 года назад
Good family
@lightnessmsangi3148
@lightnessmsangi3148 Год назад
Arsenal lovers ❤
@ahmedhamad2410
@ahmedhamad2410 2 года назад
Huku uarabuni tunamkubali sana fei toto fundi wa mpira Tanzania
@elishajuma2615
@elishajuma2615 2 года назад
Uarabuni ya nyoko au
@emanueljunior2996
@emanueljunior2996 Год назад
Unguja bwana wanajitahidi huwa wanahimiza wanaangalia kile mtoto anachokitaka hususani kwa vipaji wanajali sana binafsi nawapenda mno
@nobyytz
@nobyytz Год назад
Daaaaah 2taumia xana ukiondoka jembe letu
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 года назад
Huyu jamaa anajibu maswali vizuri sana hana kukurupuka
@naomyjacob1258
@naomyjacob1258 2 года назад
Penda sana mama fei
@juliusmagoti5650
@juliusmagoti5650 Год назад
Halafu leo mama huyu anatoka anasema Yanga imemtesa sana Feisal, aibu sana kwa mama
@msimbatiboy7517
@msimbatiboy7517 2 года назад
Mama kama mama 🙏
@magimsolohanya5570
@magimsolohanya5570 Год назад
Feisal for every things
@jumaomary974
@jumaomary974 2 года назад
ipo sawa family
@abdallahridhiwanijk2295
@abdallahridhiwanijk2295 2 года назад
Hajapewa mpunga aache kuchukua hela ndefu akuskilize wew haijakuja tu hio ofa ya simba
@bahatimahone4922
@bahatimahone4922 2 года назад
Mtangazaji mbona unalembuwa kama dem kaza sout
@alunibraah6075
@alunibraah6075 2 года назад
Umeona 😄
@yl_sports_af1994
@yl_sports_af1994 2 года назад
Nimeongea Na Kidozo Hahahaha
@magrethjacobadliano7277
@magrethjacobadliano7277 2 года назад
Hi angefanya milladyo ingependaza sana
@sozoartifex
@sozoartifex 2 года назад
Kweliii
@alexjohn1399
@alexjohn1399 Год назад
Umenena kabisa
@eliayloksi6660
@eliayloksi6660 Год назад
Naomba namba ya hyo dada
@abdallahally842
@abdallahally842 2 года назад
Mama.mrembo mashallah kafanan na mwanawe
@R10_Rajab
@R10_Rajab 2 года назад
Mama mzazi na baba mzazi wapo wapi?
@adilaadila1128
@adilaadila1128 Год назад
Hawapendi camera
@hamiduhk3856
@hamiduhk3856 2 года назад
wanzanzibar wakarimu lakn pia ni wajeuri ukitaka kuamini cheki mwanzo wa interview
@is-haqsalim9754
@is-haqsalim9754 2 года назад
kaka mbona kosa moja unahukumu kila ktu je wewe ni mkamilifu wa yte kwa nini unasema wazaznzibar
@hamiduhk3856
@hamiduhk3856 2 года назад
@@is-haqsalim9754 tatizo lako uelewa wako ni mdg wapi hapo ktk maelezo yang nilipopitisha hukm???cwez kuhukum cx ni iyo ni sifa ya allah... nilichondk ni sifa ya wanzanzibar ni watu wakarimu lkn piah ni wajeuri kwa maana gani? hawana mihemko ya kijinga hata wakiona k2 au jambo lenye ufahari wao wanachukulia kwa kawaida ndo mana nikaandk "ukitaka kuamini kuwa ni wajeur chek mwanzo wa interview hao wadada wa dukani;
@is-haqsalim9754
@is-haqsalim9754 2 года назад
mashallah napnda ufafanuzi wako inapndeza ukielezea hivyo mana neno wajeuri limekaa lugha tata
@uaeuae4814
@uaeuae4814 2 года назад
Kaz mnayo mana mnavowasakama ao wazanzibar cjui tumewakosea nn
@josephmakonga3201
@josephmakonga3201 2 года назад
Mtangazaji unajichekeshaaa
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 2 года назад
Umeona ee
@samueldavid8853
@samueldavid8853 2 года назад
Anamtaka ma mdogo
@sozoartifex
@sozoartifex 2 года назад
Anamaswalii mengi tofauti na mada muhimuu mwisho wa siku anapayuka mambo mengii na kujichekesha juu
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 2 года назад
Mama mzazi wa Fei yuko wapi?
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 2 года назад
maliza clip....yupo kahojiwa
@najuf8021
@najuf8021 2 года назад
Mtangazaji punguza uongeaji mwingi usiokua namaana yaan hujatulia hata kidogo paka kero
@sozoartifex
@sozoartifex 2 года назад
Sanaaa
@sozoartifex
@sozoartifex 2 года назад
Anaongea vitu vingii afu nahama hama madaaa sanaa kwa sababu ya maswalii ya ovyoo mengii sio kwa ubaya ila apunguzee tuuu mamboo mengiiii
@guccij6236
@guccij6236 2 года назад
Naomba namba za uyo mamdogo please 😟
@issaofficialvideo6375
@issaofficialvideo6375 2 года назад
🤭🤭🤭
@alenialex6941
@alenialex6941 2 года назад
Mtangazaji punguza mbwembwe
@sozoartifex
@sozoartifex 2 года назад
Hatuliii hapangiliii mambooo
@alexjohn1399
@alexjohn1399 Год назад
Mbn ajahoji mambo muhimu
@Marjeby
@Marjeby 2 года назад
Dogo uko na kipaji sana cha kutangaza kaza utafika mbali
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 года назад
Family 🥰🥰🥰🥰❤
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 2 года назад
Masha Allah 💚💛💚💚💛💚
@mozanzibar3237
@mozanzibar3237 2 года назад
Hujamboooo dear
@sabitinahamidu7251
@sabitinahamidu7251 2 года назад
Unaposema familia ya bol inamana wote wanapenda mpira??
@josephinejoseph3919
@josephinejoseph3919 2 года назад
💚💛
@zeyanaalhabsi8636
@zeyanaalhabsi8636 2 года назад
Manshalaaa good family❤️❤️❤️
@naomyjacob1258
@naomyjacob1258 2 года назад
💚💛
@chikagovietnam1648
@chikagovietnam1648 Год назад
Pamoja
@ramadhanimohamed4190
@ramadhanimohamed4190 Год назад
Nimependa sana ao dada wa dukan
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 2 года назад
Majirani tutoe ushirikiano kwa waandishi kama hawa mmmmmh jiraniiiii
@salehkombo8205
@salehkombo8205 2 года назад
sio Zanzibar wanavo ogopa camera
@tinabapemacho8650
@tinabapemacho8650 2 года назад
Mashallah
@salummzee9739
@salummzee9739 2 года назад
Huyu adili mtu stimu,macho km pweza
@uaeuae4814
@uaeuae4814 2 года назад
Hahahahahaha
@fatumampumbo6186
@fatumampumbo6186 2 года назад
Eti nimetembezwa apandani😂😂😂😂
@abdallahally842
@abdallahally842 2 года назад
Toto anasura ya mama
@OnlyRuky
@OnlyRuky 2 года назад
Mtangazaji maswali yakoooo mengi ya ovyoo unasahau km upo kwenye family ya watu...unaongeaa mpka unaowahoji wanapoteza points
@fatmaabdul2712
@fatmaabdul2712 2 года назад
Tena anamazoea mabaya Sana harafu mbea
@sozoartifex
@sozoartifex 2 года назад
Nikajua nimeona peke yangu anaongea personal sanaa
@issaofficialvideo6375
@issaofficialvideo6375 2 года назад
Acheni uchoyo kwn kaj kwenu
@OnlyRuky
@OnlyRuky 2 года назад
@@issaofficialvideo6375 Uchoyo wa nini? Umeona kuna chakula hapo? Hujui kusoma unaparamia tu watu ovyooo km huyo mtangazaji stupid
@eddybayour2208
@eddybayour2208 Год назад
nice
@shedadiabdul654
@shedadiabdul654 2 года назад
Mama yake Baba yake mbona hatuwaoni?
@preciouspeace4553
@preciouspeace4553 2 года назад
mama yake si umesikia yupo kazini au
@maryamtan682
@maryamtan682 2 года назад
Wako kzn.
@mahamoudmursal9474
@mahamoudmursal9474 Год назад
Mahamud
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 года назад
Mamaake fey bado yuko vizur sana
@hadijaally99
@hadijaally99 2 года назад
Mkweli
@mnyonetv8437
@mnyonetv8437 2 года назад
Mtangazaji kwa asha
@faizbonge9992
@faizbonge9992 2 года назад
Jitahidi ktk mahujiano unaacha vitu muhimu vya kuuliza,
@sozoartifex
@sozoartifex 2 года назад
Kwelii ndugu yanguu anamambo mengii sanaaaaa
@HH54508
@HH54508 2 года назад
Duh mbona kamera inakwenda sana mrama kulikoni mpigapicha mikono ina nini
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 2 года назад
Kuna Mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa Feo toto!!!!..
@dayanajeremia7412
@dayanajeremia7412 2 года назад
👏👏👏👏👏
@witinesselipidius
@witinesselipidius Год назад
Pip
@husseinrashidi5828
@husseinrashidi5828 2 года назад
Waislam mnaweka picha za viumbe ndani ya nyumba aifahi
@fahadfahmy
@fahadfahmy 2 года назад
upo sawa Hussein
@shafiibobalish8532
@shafiibobalish8532 2 года назад
Ungeweka hadith au aya inayokataza kuweka picha za viumbe hai ungeelimisha na sio kukosoa huenda we mwenyewe hujui.
@fahadfahmy
@fahadfahmy 2 года назад
@@shafiibobalish8532 Kipo kisa kilitokea wakati Mtume Muhammad alikua anataka kuingia kwake ikawa anazuiwa na Malaika asiingie ndani,Mtume akamuuliza mkewe bibi Aisha kama sikosei ameweka kitu gani kipya ndani ya Nyumba akamjibu ametia pazia jipya basi Mtume akamjibu litowe hilo pazia,lilipotolewa pazia mtume akaweza kuingia,ifahamike yakua hilo pazia lilikua limechorwa picha nadhani ilikua ya mnyama.
@husseinrashidi5828
@husseinrashidi5828 2 года назад
@@shafiibobalish8532 ndio sijui basi Allah atujuze sote
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 2 года назад
Hao ni waislam pw kka
@witinesselipidius
@witinesselipidius Год назад
Napend San na nimepeda family yake vip no yake
@alaikamyale784
@alaikamyale784 2 года назад
Huyu mtangazaji anatembea tembea ovyo kwenye nyumba ya watu mh.!
@sozoartifex
@sozoartifex 2 года назад
Anamambo mengiiiii
@tunnhajj2222
@tunnhajj2222 2 года назад
Zanzibar home
@godfreywilliam8139
@godfreywilliam8139 2 года назад
Sasa hiyo familia kila mama kahamia kwa fei inakuaje hapo make mkubwa mdogo wote hapo
@nahedstationery3851
@nahedstationery3851 2 года назад
Kwa maisha ya Zanzibar ni jambo la kawaida sana tu.
@saidshavu3714
@saidshavu3714 2 года назад
Sasa wasihamie vp na hapo ni kwa mtoto wao! Au ulitaka wahamie kwako
@abbyadams8691
@abbyadams8691 2 года назад
Kwani kuna ubayaa?
@jumamakame417
@jumamakame417 2 года назад
Kuna ubaya gani kukaa kwa pamoja
@mcprincemfumbi
@mcprincemfumbi Год назад
Hapo ni kwao sio kwake mzee
@sembasitianayinzaki1253
@sembasitianayinzaki1253 2 года назад
Raaaaaaaaaaha!
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 2 года назад
Mamdogo julie Instagram yako gani kama unanisoma? Nimekupenda nakutafuta toka interview ile ulifanya mwaka jana na channel nyingine ilikuja hapo
@far-hatharoub5511
@far-hatharoub5511 2 года назад
Kakufanya Nini huyo ma mdogo wake 😂😂😂😂😂
@yunyuny5538
@yunyuny5538 2 года назад
@@far-hatharoub5511 😂😂😂
@jumahamis227
@jumahamis227 2 года назад
😂 😂.
@far-hatharoub5511
@far-hatharoub5511 2 года назад
@@yunyuny5538 😅😅😅
@far-hatharoub5511
@far-hatharoub5511 2 года назад
@@yunyuny5538 asema maana ndio nipo hapa mwenyewe 😂
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 2 года назад
Sema mtangazi unaongea ata mlengwa hamalizi neno umekaa kma bichi boy
@sozoartifex
@sozoartifex 2 года назад
Nikajua nimeona peke yanguu
@OmanOman-iu7jf
@OmanOman-iu7jf 2 года назад
Fei sasa Yule mwanamke.anayelia uliyo.mtoa mimba yuko.wapi
@adilaadila1128
@adilaadila1128 Год назад
Kafariki
@OmanOman-iu7jf
@OmanOman-iu7jf Год назад
@@adilaadila1128 kweli au unanitania ww
@thamaneliya4076
@thamaneliya4076 2 года назад
mnacho kelaga mnatu malizia bando na matangazo
@chiefmtoto1365
@chiefmtoto1365 2 года назад
Eti ukiona rangi ya Yanga ndio hapo hapo
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 2 года назад
😂😂😂
@catherineodede2017
@catherineodede2017 2 года назад
Hogela sama
@abdallahridhiwanijk2295
@abdallahridhiwanijk2295 2 года назад
Huyo mdada anenunua vitu hapo dukani ni mshine kweli kweli amegeuka kidogo tu nimeona hio pua subiri niende zangu nyumbni nikatafute mke bhana
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 2 года назад
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 2 года назад
Nikupe namba yake??
@mirajiali3926
@mirajiali3926 2 года назад
Baba fei toto yuko wapi hatujamuona
@timibakat7345
@timibakat7345 2 года назад
Ashafarki
@OmanOman-iu7jf
@OmanOman-iu7jf 2 года назад
Baba fei amefariki mbona
@mirajiali3926
@mirajiali3926 2 года назад
@@OmanOman-iu7jf ok
@OmanOman-iu7jf
@OmanOman-iu7jf 2 года назад
@@mirajiali3926 powa
@princessdalgha8294
@princessdalgha8294 2 года назад
@@timibakat7345 hapana hajafariki
@jamesassanga8581
@jamesassanga8581 2 года назад
Huyu jamaa kasomea kweli uandishi/utangazaji??? Anaongea sana kuliko hata anayemuoji
@abdallahmtale4060
@abdallahmtale4060 2 года назад
Mtangazaji yuko vizuri.
@fatumahussein3474
@fatumahussein3474 2 года назад
Tatizo umbea umemzid anatamani aingie vyumban aone palivo
@fatmamansour676
@fatmamansour676 2 года назад
Adil anaonesha mtu Wa starehe
@aickatesha4542
@aickatesha4542 Год назад
Sofa💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
@eliakimubura5229
@eliakimubura5229 2 года назад
Ahahahhahahhahahahaha mpenj nawakubl
@mohamedaden5881
@mohamedaden5881 2 года назад
Mtangazaji huna adhabu unaongea Sana
@sozoartifex
@sozoartifex 2 года назад
Sanaaaaa
@hagaijonas388
@hagaijonas388 2 года назад
nakbl
Далее
These Are Too Smooth 😮‍💨
00:57
Просмотров 2,8 млн
NIUNGANISHIE RAFIKI YAKE
10:20
Просмотров 7 тыс.