Тёмный

MWALIMU AJITOLEA KUFUNDISHA MIAKA 16, WANANCHI WAMJENGEA NYUMBA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 25 тыс.
50% 1

MKazi wa kitongoji Cha Manyara kijiji Cha Twatwatwa wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro Amina Masoud ambaye anataaluma ya uwalimu wa awali amejitolea kufundisha shule ya Msingi Twatwatwa kwa miaka 16 katika shule hiyo akiwa Mwalimu pekee katika shule hiyo.

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 94   
@willymwasakyeni4393
@willymwasakyeni4393 2 года назад
Daaaah huyu mama Mungu ampe maisha marefu
@64aaa
@64aaa 2 года назад
Ameen 🙏
@ahmadyahya9961
@ahmadyahya9961 2 года назад
Sasa huyu ndio ukiskia tunataka mfanya kazi lkn mwenye ujuzi wa miaka na hiyo kazi hapa mama atapita bila ya wasi hongera sana mama wenye moyo Kama wa kwako wamekufa kwenye vita ya pili ya Dunia ukabaki peke yako kwa kizazi Cha Sasa hata miaka miwili tuu angeshindwa hongera sana mungu akubariki👏👏👏👏
@rafikiwildlife4263
@rafikiwildlife4263 2 года назад
hongera sana Mama, unastahili tuzo ya heshima
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 2 года назад
Mbunge laki Tano🤔 Mpambanie huyo Bimkubwa kafanya uzarendo wa Hali ya juu Sana hongera Sana 🙏🏼 Mama wa chache saana miaka kumi na sira
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 2 года назад
Kabudi hivi mmekuwaje? Ninyi si mlikuwa mnatoa mil 5, 10 barabarani Kabudi...Laki 5???? Em tupeni namba ya huyu mama anko MILARD .....WATANZANIA TUNA JAMBO LETU NAE, Please!
@kimariokiluvya8020
@kimariokiluvya8020 2 года назад
Sasa Ukisikia WITO Ndio huu hapa. Passion Be blessed Mom🙏
@vero57
@vero57 2 года назад
Serikali pigeni mahesabu 20,mumlipe huyu mama, mshahara wa miaka 20,sio munampa laki 5,etii
@mansixwilliamofficial5496
@mansixwilliamofficial5496 2 года назад
Umeongea point nakuunga mkono
@danielmbalwa9307
@danielmbalwa9307 2 года назад
Hongeraaa mama kwa kazii nzurii sanaaa!!Ni wachachee wenye moyo kama wa kwako!!
@sakinaamani1486
@sakinaamani1486 2 года назад
Masha Allah tabaraka Allah mungu smueke vyema in shaa Allah
@mrgeorgeisdory5277
@mrgeorgeisdory5277 2 года назад
Hongera Mama Mungu akupe nguvu zaidi
@ashuramussa2011
@ashuramussa2011 2 года назад
Hongera sana mama Allah akuzidishie moyo wa imani
@vallerinejesse2299
@vallerinejesse2299 2 года назад
Ni MZALENDO wa kupigiwa mfano!! I wish Magufuli angekuwepo! Yeye alithamini Sana wazalendo kama Hawa!.
@ashuramussa2011
@ashuramussa2011 2 года назад
@@vallerinejesse2299 ni kweli serikali imuangalie jmn
@blasiomtweve.9670
@blasiomtweve.9670 2 года назад
Duuuu mama kweli ni mama wachache duniani wenye moyo kama hiyo .mungu akupe maisha marefu xanaaaaa
@skjjsj1889
@skjjsj1889 2 года назад
Hongera mama kwa kupambana na kufindisha👍👍👍😁
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 2 года назад
Hongera mama mzalendo wa kweli
@64aaa
@64aaa 2 года назад
MashaAllah! Allah amueke inshaAllah
@saulilaizar767
@saulilaizar767 2 года назад
Mungu akubariki na ni vyema serikali wakuangalie Kwa jicho la kipekee Kwa jambo jema la kizalendo
@fetychina3273
@fetychina3273 2 года назад
Duh!mungu akuzidi kukupa moyo wa huruma mama yangu
@alumonkisinda4574
@alumonkisinda4574 2 года назад
Hongera mama viongozi waelewa ungepewa kiinua mgongo
@adkajisi4536
@adkajisi4536 2 года назад
Prof. Mungu akutembelee unatakiwa umjengee nyumba nyingne yenye hadhi zaidi
@danieljaphet7818
@danieljaphet7818 2 года назад
Hongera sana mama kwa upendo uliotukuka.
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 2 года назад
Serikali inatakiwa imuangalie huyu mwalimu kwa jicho la pili kwakweli kwa mazingira anayo fundisha hata wamgepeleka walimu wasingekaa lkn yeye kwa vile ni mkaazi wa huko kaamua kubeba jukum hilo kwa uzalendo kabisa na kufundisha jamani huyu mama waziri wa elimu nchini na waziri wa Tamisemi waziri mkuu na Rais wa nchi mumuangalia huyu mama msimpuuze kwa alichokifanya kwa miaka yote.
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Kweli,,,
@shangwehalisi7659
@shangwehalisi7659 2 года назад
Yani ninyi wanasiasa Moto wenu Kwa Mungu Ni wa Volkano
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 2 года назад
Daaahhh Kweli Ualimu ni Wito nakubali Nakuombea Kwa Mungu akupe Maisha Marefu Na Akulipe kheri
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 года назад
Wizara ya Elimu ebu muoneni mama Mariam kumpa mshahara kila mwezi.Sio 500,000
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Mashallah, hongera sana Bibiake 😍💕
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 2 года назад
Mama ajengewe sanamu ..ukarimu huu ni kutoka kwa Mungu tu🙏
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 2 года назад
Wanasiasa ni majuzi wakubwa. Nyinyi ni wazee bado mnaishi kula Serikalini kwanini na huyo mama msimwingize serikali andelee kufundisha hapo huku akilipwa mshahara! Tunawaona mkiwa hata vikongwe bado mnaishi kwa kuitegemea serikali. Mpeni kazi huyo mama hata afikishe miaka 70 kama fidia.
@jesusiscoming237
@jesusiscoming237 2 года назад
It's all about Passion and love
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 года назад
Na walimu wengine wanaojitolea waangaliwe wapewe motisha
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 2 года назад
Mzalendo wa kweli ❤ mama hongera
@shaameshaame9721
@shaameshaame9721 2 года назад
Kujitolea miaka yote hyo eti unasimama kifua mbele untoa laki tano? Mungu wangu !!!! Mlipeni huyo mama kafanya kazi kubwa!!!
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 2 года назад
Mzee laki tano, Kwa ww milioni sawa
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 2 года назад
Hongera sn mh kabudi nahongera sn mm kwakujitolea kwamoyo wko wote mwenyezi mungu akukinge nakila baraa
@adkajisi4536
@adkajisi4536 2 года назад
Serikali ajirini waalimu mbona store wengi sanaa Dah!
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 2 года назад
Mungu akubariki mama
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 года назад
Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli
@jokhaaliy3720
@jokhaaliy3720 2 года назад
Tena anaongea kwa mkazo Laki Tano aibuuuuuu mh
@elishakishiwa599
@elishakishiwa599 2 года назад
tatizo mnapenda kubeza bila sabab za msing ametoa lakni tano kwa ajili ya matumiz umeiona na amesema atachangia laki tano ya ujenzi wa nyumba inamaana itakuwa milion moja na ujue ametoa mfukon mwake pesa ya mshahara sio ya serikari lakini wewe hujatoa chochote na bado unabeza ok hembu tuma ya kwako 2one
@sosomacharles6685
@sosomacharles6685 2 года назад
Angekuwepo uncle Magu ungesikia mama njoo uchukue haka kamilion tano katakusaidia,na mchango juu hapo hapo hakuna cha baadae,Nahic ingetoka kama milion nane au kumi.
@mwana4599
@mwana4599 2 года назад
Wooow. Watanzania tumchangie huyu Mama. Serikali imlipe huyu Mama na imuingize kwenye pension.
@paulinaobiria9649
@paulinaobiria9649 2 года назад
Huyu mama tukiambiwa wanachi tumchangie itakuwa Sadaka njema
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 2 года назад
MUNGU akuinue viwango vya juu zaidi mama
@prince.eric_msemwa9732
@prince.eric_msemwa9732 2 года назад
Legend,
@miriammollel1755
@miriammollel1755 2 года назад
Hongera sana Mama. Big up.
@mohamedidangeni346
@mohamedidangeni346 2 года назад
Uyu ndiye mwalimu kweli
@sumimarco933
@sumimarco933 2 года назад
Mungu akutie nguvu
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 2 года назад
Ai twatwatwa 😆😆🤣 jina limenifurahisha kwakweli. Hongera mama kwa kujitolea
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 года назад
Twatwatwatwatwa
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Twa x 3 (Twatwatwa) 😃😃😃
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
🤣🤣🤣
@richardsaidi2448
@richardsaidi2448 2 года назад
Hongeraaaa sanaaa. Mamaa
@rasterwangu9708
@rasterwangu9708 2 года назад
Mmmh lak 5
@ibrahimsanga690
@ibrahimsanga690 2 года назад
Miaka 22??? Hongera mama....
@zachariakonyanza2259
@zachariakonyanza2259 2 года назад
Nani kama mama hongera sana
@sylviermuhonjah8411
@sylviermuhonjah8411 2 года назад
Hili jambo la kupea watu tupesa kwanye hathara hatari sana,,mwishowe wahuni wamtoe roho
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 2 года назад
Mashalllah mama
@d.a.t3383
@d.a.t3383 2 года назад
Engeza dau mzee
@chimbokiswaga8662
@chimbokiswaga8662 2 года назад
Shukurani Sana mariamu
@salustiashayo3486
@salustiashayo3486 2 года назад
Kila anayetoa kwa moyo hulipwa na Mungu,
@s0phialwassa574
@s0phialwassa574 2 года назад
Wamefanya la maana ila mh.mbunge hiyo laki 5 ungeongeza kidogo nyumba isimame haraka
@d.a.t3383
@d.a.t3383 2 года назад
Lakitanooo nikifikiri milioni tano jamani
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 2 года назад
Laki tano kweli kabudi
@happymacha9053
@happymacha9053 2 года назад
Goood
@mrtembakiboboy6145
@mrtembakiboboy6145 2 года назад
Nasisi wengne tunaojitolea hatuonekani e!?,sawa
@enockmsigwa6909
@enockmsigwa6909 2 года назад
Eti laki tano😳😳 for what kafanya kazi kubwa huyu Mama
@patrickchaula925
@patrickchaula925 2 года назад
Kweli huyu mzarendo
@mao9622
@mao9622 2 года назад
TWA TWA twa
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 2 года назад
Wazir hapo hamna kitu laki tano mmmm ndogo ongeza km magufuli
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 2 года назад
Mpeni pensheni huyu mama
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 2 года назад
Sasa shule ikawa na mwalimu mmoja Serikali ilikuwa wapi kuleta mwalimu.
@eliaichraymond1215
@eliaichraymond1215 2 года назад
Mh mbunge kachangia sh laki Tano!!!!🤷🤷🤷🏃🏃🏃
@mwana4599
@mwana4599 2 года назад
,Hawa ndio Malkiacwa nguvu sio wauza sura.
@janegeogre3234
@janegeogre3234 2 года назад
huyu ni kielelezo cha wazalendo wa nchi hii!...
@mcback4384
@mcback4384 2 года назад
Mlipeni mama wa watu mishahara ya miaka 20 acheni mboyoyo
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 2 года назад
Laki tanooo!!!
@vero57
@vero57 2 года назад
Khee laki tano?? Kwa kutoa elimu??elimu muhimu
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 2 года назад
Hahhhhh laki tano..
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Duuh
@skillstalentartsgroup
@skillstalentartsgroup 2 года назад
Watoto wa kiume ukifanyiwa hivi na mdada utafanyaje ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-2wY6sZIZqaM.html
@getrudalufega9770
@getrudalufega9770 2 года назад
Serikali mlipeni mafao ake
@verombwambo3703
@verombwambo3703 2 года назад
Laki tano tu duuh
@samsonmagesa3959
@samsonmagesa3959 2 года назад
Mbunge na Waziri wa muda mrefu unatoa Laki 5
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 года назад
Ww umetoa ngapi
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 2 года назад
Asingetoa ungesemaje
@samsonmagesa3959
@samsonmagesa3959 2 года назад
@@mustaphahassan589 bora Asingetoa tu
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Asante Profesa Kabudi kwa ukarimu wako... Naipenda hii "nitahakikisha Jina lako linafika mahali fulani!"
@dicksonmatulile1523
@dicksonmatulile1523 2 года назад
Hongera mama, Mungu atakulipa
Далее
这位大哥以后恐怕都不敢再插队了吧…
00:16